Hakika kaka nay uko sahihi tufungulie njia tupate at kuhema Kila mda TRA kodi tunafunga vibanda kwa kuhofia tutakula Nini wakitupata kibandan kwa kudai kodi zao sisi tunakufata nyuma salute kaka
Hao ndio wanafaa kusikilizwa hata nyimbo zao kwani zinaleta maanafran na zinakumbusha mambo frani yaliyosahaulika kwa maksudi au kukumbusha mambo ambayo yanafanywa kwa maslahi yao binafsi ,sio nyege nyegezi upuuzi mtupu 🎉🎉🎉🎉 Mpambanaji
mungu mpe uzima na urinzi kwa wabaya wake na yure makonda afe ghafla asimsumbuee baba yaga aameni mungu mbariki mrinde mfiche kwenye mikono yako mungu muumba binadamu na dunia yako mungu amina
brother mungu akupe nguvu ujumbe umefika brother najua msema ukwel hapendwe ila siku zote mwanafunz akiwa Kila mhura ndo wakwaza anajisahu kama ni yeye TU dalasan ila akiwa na mpizan lazima hajitahid kufanya vizl kwahiyo huyu mama etu Alisha jisahau kama niyeye TU mwenyewe ajui wapo wengi Kila Moja anajitahidi awe kama yeye hapo alipo na ukikosolewa Kabali ndo kulekebeshana siyo ugov Wala chuki
Ni kweli mkuu. Tumuombee Mama Samia awe mjasiri maana ata wenye maphamars ya madawa tutauziwa dawa feki zimeex paya. Tumuunge mkono mama yetu mkono ili mabepari wasije mletea kashfa mama yetu na kiongozi wetu Samia Suluhu.
Ukisikia wazalendo ndio hawa kwasababu hawafikilii kukamatwa Bali anachojali nikuweka mambo wazi ya nchi yaliojaa uozo, kwahio ney ww uko poa Sana , na tukipata watu wengi wasanii kama hawa ktk nchi hii ujue watu watakua macho, maana watu wanadanganyiwa furaha ya mipira saana Ili wasifatilie na kujadili mambo ya serikal Bali wawe watu wanafatilia kujadili mipira TU .. 8:46
Kwanza nimeusikiliza Leo nimejikuta natoka na machozi..jamaa kaongea kweli.wengi wanatamani kusema Ila wanahofu..kaka najitoa sana.mungu atakulinda inshaallah.
Tamaa za viongozi ni wa nchi hii Yani hakuna anaewaza vitu vya maana Zaid ya kuaza machinga tu kila Leo hawana plan b hawana maono ni viongozi wa kipumbavu kabxa
Ebhana josephat apa kiukweli binafc namkubali Sana uyu mwamba 7bu kwanza anajiamini na sku zte binadamu unatakiw kjiamini na unachkifanya mungu aendelee kumpa moyo w ujasili big up Sana ney