Sijawai kua wa Wakwanz leo jamani me ndo Kwanza mashabiki wote wa NDARO TZ na STEVE MWEUSI tujuane kwa like please..🙏 mnipe hata like 100 tafadhali ndugu zangu ...❤❤❤❤
TEAM NDARO TZ AND STEVE MWUSI HEBU NIPENI LIKE ZANGU JAMANI MIMI LEO NDO WA KWANZA. ❤❤❤😂😂😂. ILA UYU NDARO NA STEVE. NIVICHAA KABISA. JAMANI. INATAKIWA WAKAPIMWE KWANZA AKILI 😅😅😅
nyie hamjui tu ndaro alivyomind kuvuliwa acapella kichwani.,alikua hataki identity yake ya kichwa tuijue ila ndo script ishashutiwa sasa atafanyaje 😂😂😂🙌