Ndaro ni mzuri kwenye kuwakilisha punch zake..ila anazo chache..ila Leonardo ana punch nyingi sana...ila ku deliver bado hayuko poa sana..ila Leonardo ni mkali zaidi..ana material mengi sana
WOTE WAMEFANYA VIZURI MNO, ila ingekua ni mtihani angefaulu LEONARDO ... ndaro alikua ana Point moja tu ya OMBAOMBA ila ameijaza nyama imekaa vizuri, ila Leonardo kaongelea vitu vingi sana vya kuhusu mkoa huo
Aise maticha mkiona mastudent pale primary wanataniana msiwazingue, muwape support, si unaona ni ajira hii😅😅 ikiwezekana hata huko UMITASHUMTA waweke kipengele cha kutaniana🤣🤣🤣 . Ajira zipo, ila kuziweka kwenye system, kama wale wakorofi, hao ndiyo wanajeshi wenyewe sasa na mabodyguard huko wa wasanii😁😁 hii imekaaje wadau?
Wote wamefanya vizuri ila Leonardo ana contents nyingi na zote ni funny 😀, ndalo ame dili na content moja ya omba omba ila kaijazia imekaa poa! Are the best for sure ila Leonard salute kaka
Leonardo alikuwa na kazi rahisi coz watu wa Kigoma wana vituko vingi so kupata points nyingi ni rahisi, hata hivo kuna vingine kasahau kama ufupi, weusi n.k ila mkoa wa Dodoma kuuchambua ni ngumu coz umepewa hadhi sana na serikali, so ni rahisi kuusifia kuliko kuupondea😀
Leonardo Bado Ana Aibu Sana Jukwaani So Aongeze Confidence ... Ila Very Creative , Huyo Jamaa Wa Au Basi Anajiamini Sana Ndio Freestyle Zinakuja Kwa Urahisi.... Overall Hongereni Sana Mmejua Kunichekesha 😂
Mhhh Leonard Hana aibu Ana confidence Sana Tena Sana ukikutana nae live Yuko hvyohvyo Ila tu Ni mpole sio muongeaj Sana ndomn unamuona km hajiamin Ila very talented
@@mack_B. Watu Wa Sanaa Watakua Wamenielewa ...Aibu Sio Ya Kuangalia Camera Ndugu ,Kutawala Jukwaa Ni Kitu Muhimu Sana Kwenye Sanaa ...Kwenye Creativity NADHANI Nimesema Hapo
The best roast was this because these guys are very talented and they were listening to each in order to get point eg.ndaro on Leonardo point about mirembe few minutes later he use that point to punish him
I wish ingekuwa kama rounds zingekuwa mbili mbili Cause mara nyingi huwa anayeanza huwa anakuwa roasted finally So ni vizuri kuwe na round mbili hata kama za dakika tatu tatu