Mutumishi fundisho linaumiza sana moyo wangu ninauchungu mwingi sana moyoni.mimi niko kazi ugaibuni na mume wangu yuko kenya na watoto so nikaambiwa na watoto baba ana lala na mfanyikazi mama.mtumishi hapa nilipo nahisi uchungu nipe muelekeo nifanye nini mtumishi wa mungu
Mungu akubariki sana mtumishi wake 1.Unatakiwa kumsamehe mumeo Mathayo 6:14-15 2.Unatakiwa kuishi kiroho ,usiishi kimwili ,wewe ishi kiroho na Mungu atakubariki Warumi 8:13 Mungu akubariki sana ombea familia yako kila siku na usisahau kujiombea ,mwinue Yesu ,msifu Yesu ,usimwache Yesu. 3.kama haujaokoka hakikisha unaokoka mpe Bwana Yesu maisha yako na kama umeokoka usimwache Yesu Zaburi 23:1
Asante mtumishi kwa ushauri wako mimi nimeokoka nampenda yesu ni mokozi wa maisha yangu namuona akinitetea nikiwa mahali huku..nitayatilia maanani uliyo niambia na mungu akubariki sana