Тёмный
No video :(

NDOA INAMIAKA NANE | KILA SIKU NIVIPIGO | NALALA NJAA | HANA VIBALI VYA KUISHI | TUNAISHI GESTI 

Official Dating Assistance
Подписаться 42 тыс.
Просмотров 25 тыс.
50% 1

Editha ameeleza mwanzo wa safari yake ya mahusiano na mwanaume raia wa Uholanzi ambae walifunga ndoa na mpaka sasa ndoa yao ina miaka 8.
Wame adopt watoto wawili ambao wanawalea lakini maisha yamekua magumu sana baada ya muholanzi huyo kubadilika na kutafuta wanawake wengine na kuishia kushinda Kigogo - Dar es salaam
Pia amekua akimpiga mara kwa mara na Editha ni mgonjwa kwasasa.
Thank you Editha for allowing this to be online
www.oda.international

Опубликовано:

 

17 сен 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 405   
@didamanyanya595
@didamanyanya595 11 месяцев назад
Mimi sijui ni mshamba wazungu nawaogopa sana kingine awezi nipiga kwenye nchii yangu
@swahiliwithZita
@swahiliwithZita 11 месяцев назад
Sio ushamba ni kujihami tu, ila binadamu yeyote hapaswi kuogopwa 😂 my aunty aliniambia zamani enzi za 70's akiwa morogoro, alikuwa na mzungu yani kuna baadhi ya watu walidhani ananyonya damu, wengine wakimuona wanakimbia hatari uoga 😂 zama zimebadilika siku hizi wazungu ni rangi tu ila wote ni sawa tu tena nahisi wametuzidi uwendawazimu, vichaa haswa huyu wa leo 😢
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 11 месяцев назад
Weee usiseme hivyo niulize mm nilikuwa nabutuliwa nikimpeleka police anahonga wanamtoa
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 10 месяцев назад
​@@swahiliwithZita😂😂😂
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 10 месяцев назад
​@@aminakawawa5800😂😂😂pole sana na wazungu wenu mweeee 😂
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 10 месяцев назад
Wee mm sijawahi kuwa na wazungu njaa na sasa hivi niko Austria 🇦🇹 labda yy fala mshamba wa wazungu pole yake 🤣🤣🤣🤣
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 11 месяцев назад
wewe ushaharibu maisha yako palipobaki ondoka ukamaliziye maisha yako kwa mbele
@ReginaErnest-cf6ji
@ReginaErnest-cf6ji 11 месяцев назад
Ushauri tu huyo mzee hakufai acha nae dunia ya sasa ivi usipokuwa makini utapoteza maisha kwa kuendekeza mapenzi mfano iko mingi uhai wako na uzima wako ni muhimu sana kwako na ndugu zako please move on tena nenda mbali kabisa na huyo mtu tena m block hakufai kabisa muache atesekee mwenyewe atakuja akupatie maradhi bure acha nae
@upendogreutert199
@upendogreutert199 11 месяцев назад
Hii story jamani, Huyo mzungu Kama wasanii wa Bongo movie kabisa
@swahiliwithZita
@swahiliwithZita 11 месяцев назад
😂😂 nacheka ka mazuri vile
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 11 месяцев назад
Tanzania hawezi kukaa na mzungu utapokonywa tu pole sana story yako inataka kafanana na yakwangu dah mtihani sana 😢🙏🙏🙏
@annamariajackson4842
@annamariajackson4842 11 месяцев назад
Mimi ningemshauri huyu dada yetu Editha aende ubalozi wa Holland awaeleze ili wamrudishe huyo mwanaume kwao kama ndoa imekuwa chungu. She has the right to enjoy her life.
@valenakomba9218
@valenakomba9218 10 месяцев назад
Kwani hapo si anaongea akiwa Tanzania?.
@pendoclement6672
@pendoclement6672 11 месяцев назад
Shena, this woman has been abused physically and mentally. You can see from all the explanations she made , she has been more than what she said.when a person get extremely abused, they can't even think what to explain, too much scenarios n desperado.Someone need to help this woman to navigate the situation n open her eyes to see the worst world she is living, before divorce she need to live separate from this monster at least the money she get from good samaritans won't fall in the hand of this abuser, unless otherwise it will be difficult to free her from this bizarre situation, her mind is in dark circle. We can send little we have, but if she isn't free herself from this old man, mh!
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 10 месяцев назад
Definitely
@monicahsulley5163
@monicahsulley5163 10 месяцев назад
True..anatesekaje kwa nchi yake huyo mzungu anatakiwa ashikwe kabisa
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 10 месяцев назад
Sio mahaba alijua mzungu anacho kazi yako ndio mumeo numbet moja . Me nilitoka Bongo kuja Ujerumany na visa ya kazi kwa hiyo huku namshukuru Mungu nilitririka Soma lugha piga unesi wangu aka napaa pesa yangu mume mjeru number 2 mme wangu number 1 ni kazi yangu.
@odalomary5446
@odalomary5446 11 месяцев назад
Pole...ila upo kwenye nchi yako haina haja ya kuteseka...fanya mpango.. divorce..uwe na amani bana...uhai muhimu sana
@NeemaAbdon
@NeemaAbdon 11 месяцев назад
Asante na shukuru kwa mchango wa mawazo
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 10 месяцев назад
Me hapo die nashangaa nyumbani mzungu anitese jamani . Afrika ni sheeda tunaendekeza hawa wazungu nawaambia hivi huku ulaya sisi ni bidhaa ya mwisho kwa haki na kila kitu
@valenakomba9218
@valenakomba9218 10 месяцев назад
Si ndo hapo.
@valenakomba9218
@valenakomba9218 10 месяцев назад
Samahani Sana mdogowangu Editha. Au ungepunguza Familia hapo nyumbani ili mbaki tu wewe na yeye na wstoto. Maana kwa wazungu maranyingi hawapendi kuishi nyumba moja na kundi kubwa la watu. Wazungu wanapenda muwe wewe na yeye tuu. Wanaweza kukutembelea, lakini siyo kuishi wote .. labda hiyo ingewasaidia.
@valenakomba9218
@valenakomba9218 10 месяцев назад
Huyo anajielewa Sanaa tuu. Huyo ni muholanzi bwanaa.
@jennytugara9470
@jennytugara9470 11 месяцев назад
Mwanamme akiona huna nguzo eti yeye ndio anashikilia maisha yako wafwaaa!!!
@NeemaAbdon
@NeemaAbdon 11 месяцев назад
Usise hivyo mda huu na tatizo la afya ndo maana sifanyi kazi
@jennytugara9470
@jennytugara9470 11 месяцев назад
@@NeemaAbdon lakini Aunty alianza drama mapema kulingana na mazubgumzo yako sema tu Wanawake huwa tunavumilia na ndio kinachotuumiza.
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 11 месяцев назад
Nenda kwenu dada. Alafu watanzania tuache akili ngumu. Yaani ndugu zake eti hatuwezi kukusaidia wewe mke wa mtu? Kweli!! Tuache akili mbovu kwa hiyo mpk mtu afe. Ndugu tuache roho mbaya. Dada omba sana huyo baba ni pepo lilikuja kukuvurugia maisha. Omba sana si kawaida hii. Yaani upo nchini kwako unatendewa haya na kuendelea kumfuata huyu mnyang'anyi. Let him go dada na uendelee na maisha yako Alafu ngozi nyeusi mtoe msaada akikwamaga hana msaidizi,hii sijui ni kwnn jamani. Tukumbukage fadhila basi hata kidogo ndugu zangu,yaani tunakosa aibu sana sisi. Nimeona kwingi wanaosaidia wakikwama kinachobaki ni majungu. Duuuh
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 10 месяцев назад
Nenda kwenu kwa nini uteseke kwenu cio kwa mahaba hayo utakufa kwenu
@swahiliwithZita
@swahiliwithZita 11 месяцев назад
Kah hii ya leo kali. Huruma sana. Mbona maisha mafupi sana kuishi hayo maisha. Dada, Mungu akusaidie akupe hekima, maarifa na uelewa. Anza upya tu
@jennytugara9470
@jennytugara9470 11 месяцев назад
Kwa kweli pole sana Aunty. Mimi Nina Watoto wa Nne lkn niliachia ngazi and am happy Camper. Nimepiga hatua 2000 toka maisha niliyotoka. Kinachokuumiza ni kwa sababu unamtegemea anaona huna nguzo.
@user-qo8eu1br6f
@user-qo8eu1br6f 11 месяцев назад
Ana Umwa kwa kweli wa tz tumsaidie ina huzunisha sn
@1964AliK
@1964AliK 10 месяцев назад
Inaoneshea kuwa wanawake wetu ni ving'ang'anizi wa Wazungu
@maswamills3161
@maswamills3161 10 месяцев назад
Aende kwao ,Kuna shida gani!???
@SalimaNzeyimana
@SalimaNzeyimana 11 месяцев назад
Mm naon bora utoke wende ujipange maisha yko unatesek na uko kwenu panga chumba kimoja pika ata mandazi mungu yuko pamoj na ww
@stephaniabenjamini2848
@stephaniabenjamini2848 11 месяцев назад
Jiondoe kwa mzu gu .huyo ni mzungu uchwara
@ReginaErnest-cf6ji
@ReginaErnest-cf6ji 11 месяцев назад
Du pole sana ndugu yangu mpendwa maisha ni hatar sana viatu vyako ni vizito sana mtu kuvaaa
@GloryDeo-gz6wd
@GloryDeo-gz6wd 11 месяцев назад
achana nae kwanza sio raiya muache atateseka sana
@herbertygeofrey2724
@herbertygeofrey2724 11 месяцев назад
Pole dada apo ulikutana na mswahili mwenzetu mwenye rangi nyeupe
@upendogreutert199
@upendogreutert199 11 месяцев назад
Yaaani huyo mzungu mfano wake sijaupata
@mohamedsalome8837
@mohamedsalome8837 11 месяцев назад
Mmmh pole dada, ila wanawake tunajua kuvumilia jmn, lakini pia tujifunze kupitia huyu dada, SI kila mzungu anamapenzi ya kweli, na kama unamuona anakuzingua ni Bora mapema ujiupushe nae. Upo nchini kwako sidhani kama unaruhusu aendelee kukutesa, in my opinion ningemshtaki kwanza anaishi bila kibali pili anakupiga na afya Yako si nzuri kwa sasa. Mungu akufanyie wepesi dada.
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 9 месяцев назад
Pole dada bora umove on mzungu ameshakuvuruga
@user-sj4ur9zk9e
@user-sj4ur9zk9e 10 месяцев назад
Upo Tanzania inakuwa vp mgeni akusumbue maaajabu
@user-sr1mz4ob5q
@user-sr1mz4ob5q 11 месяцев назад
duh jamn! dada aachane na huyo mzungu tu! atamletea shida kwake na uhamiaji!tafuta kaz ufanye maisha mengine yaendelee!
@user-ee8hq1bg5l
@user-ee8hq1bg5l 11 месяцев назад
Msaada wangu kwangu kwako tafuta kazi au biashara yoyote yenye mtaji mdogo achana nae atakupotezea muda wako na atakuumiza ki saikolejia
@nassorowaziri3076
@nassorowaziri3076 10 месяцев назад
Pole Sana Dada! Naomba urudi nyumbani kwenu kwani hujafukuzwa Kwa nn usifanye Maamuzi Tu mana usiwe mjinga na ww mana shida zote umeshaziona. Ondoka Acha ujinga
@ongowi5701
@ongowi5701 11 месяцев назад
Story inahuzunisha. Huyo mzungu ingekuwa mimi ningempeleka polisi akanyee debe. Huyo nchini kwao atakuwa kashindikana. Kwanza wadachi ni kosa kumpiga mwanamke sasa anakuja Tz kupiga mwanamke hebu achana nae maana hana msaada wowote kwako.
@swahiliwithZita
@swahiliwithZita 11 месяцев назад
Mimi ningeshampeleka ubalozini kwao. Mzungu mshenzi huyu
@jennifermmanyema6693
@jennifermmanyema6693 10 месяцев назад
Acha polic nawez mtafutia wahuni WA mtaa wamfundishe adabu
@nassorowaziri3076
@nassorowaziri3076 10 месяцев назад
Dada Nyumbani ni Nyumbani Tu nakushauri urudi Tu achana na maisha hayo pia usione Aibu Rudi Tu nenda ukaanze mwanzo lkn nenda Temeke ukafungua kesi ombi Talaka.
@Jessy-f9w
@Jessy-f9w 11 месяцев назад
Inaumiza Sana Mungu akufanyie wepesi Editha wetu
@janethrichard2748
@janethrichard2748 10 месяцев назад
Dah. Dada ondoka na maisha yako
@Keyjop
@Keyjop Месяц назад
Mzungu uchwala kaabisaa😂😂😂 khaa! Kama mswahilina kaabisaa khaa🙌
@leokamil6284
@leokamil6284 11 месяцев назад
Hawawezi kumsaidia chochote kama ndoa yao ilifungwa Tanzania na hakuwahi kuishi Uholanzi akapata Parmit ya kuishi Uholanzi. Kutokana na ndoa kufungwa Tanzania watamwambia aende Mahakama za hapa Tanzania. Pia inawezekana huyo Mzungu hana njia yeyote ya kipato kutoka kwao hivyo sidhani kama kutoka Holland atapata msaada kwa maisha ya huyo yanavyojionyesha.Pole sana kwake
@Serenawilson11
@Serenawilson11 9 месяцев назад
Ukifunga ndoa Tanzania na mzungu weeeh taraka chap tu kutoka n mbaya saba kufunga ndoa kwenye nnchi za watu
@leilaassey1726
@leilaassey1726 11 месяцев назад
Pole sana mpenzi mwache tu wazungu wakichirt wana zarau sana anaonekana dadaangu anaumwa pili naomba kuuliza Tanzanian huoewi uraia mwanaume akifunga ndoa na mtanzania hapewi uraia
@shamsakiobia6421
@shamsakiobia6421 11 месяцев назад
Mwenzangu we bint achana nae
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt 10 месяцев назад
Hahaha hahaha hahaha 🤣😂🤣 pole kwakweri asa mtu mzee Ivo ulifata dudu la yoyo😂😂
@saysophyfarm1780
@saysophyfarm1780 10 месяцев назад
Foreigner anakua tapeli, halafu anaendelea kuishi nchini jamani, daaahh😢😢😢😢
@leaherasto929
@leaherasto929 11 месяцев назад
Pole sana Mungu atakupigania kiuchumi na kiafya
@marymremi1051
@marymremi1051 10 месяцев назад
dada mbona umewekeza maisha yako kwa mzungu mzee ondoka haraka sana mpendwa anakuchelewesha
@simonitaagesti4765
@simonitaagesti4765 11 месяцев назад
ungejua wazungu wengi wanamaradhi ya ukichaaa msingewapenda kabisa
@neemamdami7466
@neemamdami7466 5 месяцев назад
Sijaipenda hii interview yaani unipige kwenye Nchi yangu tena na kibabu thubutuuuuu Pole sana umekutana na Mzungu chokoraa 😊
@aliciaprojestus2336
@aliciaprojestus2336 Месяц назад
Kwanza watoto wasingepaswa kusikiliza haya Mazungumzo
@annamariajackson4842
@annamariajackson4842 11 месяцев назад
Shena nakupata toka Ireland. Hongera kwa kazi nzuri na yenye uvumilivu
@1964AliK
@1964AliK 10 месяцев назад
Nafikiria matapeli na wahuni wa kizungu wameshaelewa kuwa wanawake wa Tanzania ni cheap mno, ving'ang'anizi wa Wazungu, hawawezi kujitetea, hawana mtetezi. Kwa hivyo wanakuja kuvuruga wanavyopenda. Tumeshaishi nchi nyengine na huwezi kuwanyanyasa wanawake wao kama hivi na ukaachiwa ubaki katika nchi zao.
@valenakomba9218
@valenakomba9218 10 месяцев назад
Asante Mamdogo. Ubarikiwe kwa kazi nzuri.
@Jessy-f9w
@Jessy-f9w 11 месяцев назад
Huyo mzungu kiboko,utadhani ni mzungu kokooo,Mungu amfanyie wepesi aondoke kwenye ndoa ya mateso na pia aende kwenye maombezi atakuja na shida kubwa sana,mambo mengine ni ya rohoni sana,aongeze maombi sana
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 11 месяцев назад
Pia Achana nae maisha yaendelee uko kwenye nchi yako asikunyanyase
@EstherShija
@EstherShija 11 месяцев назад
Pole sana mdada kwa kuanzia dada anahitaji msaada wa afya ya kimwili na.pia kisaikolojia kuhusu msaada kama mke halali wa mholanzi kuna maswali je ndoa yake iko registered uholanzi?Ana international marriage certificate? Aliwahi kuishi Holland mfululizo bila kuhama for at least 5 years?Aliwahi kuwa na residence permit ya muda mrefu Holland?Unyanyasaji hapa Holland ni kosa la jinai kwanini huyu mdutch asishtakiwe hapo hapo Tanzania kwa kuanzia?
@haricanhabiburitha8883
@haricanhabiburitha8883 9 месяцев назад
Njoo Mozambique 🇲🇿 tutakupatia kazi kabisa bila shida
@dorcaskarago2876
@dorcaskarago2876 10 месяцев назад
Mzungu yeyote anaenda Africa uyo hana kitu
@consolatamaunde9820
@consolatamaunde9820 10 месяцев назад
Samahani dada lkn hata sikuelewi sorry, yaani mwanaume akunyanyase ivyo wakati upo nyumbani TZ kweli? Au kwa sababu ni mzungu😢? Najiuliza maswali mengi hata sipati jibu. Pole
@ashaidei5680
@ashaidei5680 8 месяцев назад
Wewee dada mbona hata weusi wanateswa tena sana lakini watu washaharibiwa psychology ni ndoa kaa kwenye ndoa
@saysophyfarm1780
@saysophyfarm1780 10 месяцев назад
Jamani kama kuna watu wa ubalozi hapa na uhamiaji tafadhali tumsaidie huyu dada, haiwezekani hilo gume gume la kidachi litunyanyasie ndugu yetu tena hapa nchini kwetu! Halafu jamaa linaishi halina vibali wala nini, kweli??? Hii ni aibu kwa taifa kulikumbatia hili jambazi hapa nchini
@severinaseverinanyoni707
@severinaseverinanyoni707 10 месяцев назад
Kbs hili.lishikwe kbs lihukumiwe mbwa huyu
@edinachami4318
@edinachami4318 11 месяцев назад
Sasa siumuache mtu hata hujazaa naye pesa Hana halafu hakueshim yanini kuishi naye mwisho wasiku atakupiga bastola ufe nayeye akafungwe cz huyo nimzungu kichaa
@hamidamnyika5866
@hamidamnyika5866 11 месяцев назад
kwa mateso hayo na bado umemungangania embu achana huyo ni pepo kabisa.
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 11 месяцев назад
Tamuu
@saumukambi8562
@saumukambi8562 10 месяцев назад
Pole sana ndg Mungu atakusaidia. Wanaume ni mbwaaaaaaa
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 11 месяцев назад
Wazungu rangi pole dear
@bongomastory791
@bongomastory791 9 месяцев назад
Huyu dada mjinga,ajielewi na hajiamini unawezaje kuvumilia ujinga kwenye nchi yako
@suzanalucasemanuel7006
@suzanalucasemanuel7006 11 месяцев назад
Pole sana nenda kwenye maombi kwa mwamposa mambo yatakaa sawa
@dictarchelsea
@dictarchelsea 10 месяцев назад
Broo wtf
@kissanjulumi-vt3yl
@kissanjulumi-vt3yl 11 месяцев назад
Pole sana Dada huyo mume hakufai kabisa Ila Mimi nakushauri nenda kwenye maombi mungu atafanya kitu juu yako
@imakulatabakarysumaye9235
@imakulatabakarysumaye9235 10 месяцев назад
Aende kwenye maombi
@JazilaSiraja-st8cu
@JazilaSiraja-st8cu 22 дня назад
Nmewahi live au
@halimaomari7589
@halimaomari7589 10 месяцев назад
Yaani unateswa na mzungu nchini kwenu, achana na yeye uangalie maisha mengine
@LilianPhilemon
@LilianPhilemon 11 месяцев назад
😢😢😢hivi ni vituko kweli
@rehemadaudi4390
@rehemadaudi4390 9 месяцев назад
Pole Mungu akufungulie njia daah
@user-li4kt7lz1r
@user-li4kt7lz1r 10 месяцев назад
Jaman mm nawaogopa wazungu pole dada kakupotezea muda wako afu ndugu bana ivi ndugu yangu anaumwa afu mm nimwambie eti ww c umeolewa ha ndugu tupendane tukiwa hai pole dada
@estakapufi7582
@estakapufi7582 11 месяцев назад
Kwa ushauli ndugu yangu fungasha uende nyumbani ujipange maana bora ungevumilia sehemu amabayo inafaida lakini uko gest bado unavumilia daa pole sana.ila uyo mzungu hana kitu cha kusema utavumilia kwakweli duu kweli changamoto zinatofautiana
@juliethkatabwa5306
@juliethkatabwa5306 4 месяца назад
Nawaomba msimcheke, wanawake tunatofautiana. Please, hujafa hujaumbika. Kuna vitu vingi hapa huyu dada anahitaji msaada wa kisaikolojia, maombi, huyu shemeji aliletwa maishani kwa dada editha na shetani. Dada wa watu mpole.
@atomphoton5000
@atomphoton5000 11 месяцев назад
wadachi komesha!!!!!!!!!!! wabahiri hawa watu wewe acha tu.
@nassorowaziri3076
@nassorowaziri3076 10 месяцев назад
Pole Sana Dada lkn nakushauri ufanye utaratibu Wa kuvunja Ndoa kisheria mana Huyo mtu ni Hatari Sana kwako
@cdeleo9336
@cdeleo9336 7 месяцев назад
Please achana na hiyo ndoa. Mbona upo Tz endelea tu na maisha yako achana na huyo tapeli
@everose276
@everose276 10 месяцев назад
Maadamu upo nyumbani tayari hiyo ni hatua, achana nae pambania maisha yako maana ungekuwa ugenini hapo ndio ingekuwa balaa.Mi niko nchini kwangu najua kona zote ndio ningempiga chini dakika sifuri silei ujinga mimi.
@MartinaMsimbe-qk8ug
@MartinaMsimbe-qk8ug 3 месяца назад
Huyu mama anashida ya maamuzi, hapa Kuna tatizo😢😢😢.Yuko Tanzania anakutesa hivyo sababu ni ndoa. Ningemtoa mbio angepanda ndege tu arudi kwao kwa Masada polisi wa uhamiaji
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 11 месяцев назад
Mwanzo tu wa stori huyu ni tapeli. Yaani mtu anakupigia kwenu ukienda kwao atakuua. Yaani huyo kiumbe peleka migration na upuuzi wake alafu achana nae. Kiumbe mzito huyo asiye na ramani akutese ?! Mxiuuuu. Yaani yaani. Mungu niepushe na balaa hili.
@NeemaAbdon
@NeemaAbdon 10 месяцев назад
Asante kwa ushauri wako wa kunitia moyo
@reginamanyangu7258
@reginamanyangu7258 9 месяцев назад
Du pole Sana mpenzi
@verynicemoshi9959
@verynicemoshi9959 11 месяцев назад
iii nayo kali ata kujielezea ni kaz pole yake sana
@NeemaAbdon
@NeemaAbdon 11 месяцев назад
Bint nilikuwa kama ww omba likupate ndo ujue kujieleza vizuri mungu akupe upendo kwa binadam mwenzio mwenye shida kama hizi
@jescamuijsers4206
@jescamuijsers4206 11 месяцев назад
Hivi mzungu anawezaje kukunyanyasa kiasi hicho kwenye nchi yako? Umevumilia muda wote huo kweli manyanyaso yote hayo? Kisa ionekane umeolewa na mzungu?muda umefika wanawake tujitambue, kusema ukweli bado unampenda ungekua humtaki ungeishafanya maamuzi mzungu anakutesaje upo nchini kwako inakuaje? Sielewi,kwakifupi mzungu ikiishinae unatakiwa ukisema no unamaanisha no ,ukiesema yes unamaanisha yes, kuwa mwangalifu anaweza kukuletea magonjwa, huku ulaya hawapigi wanawake kabisa ni mwiko. Nashangaa huyo sijuwi ni mzungu gani.
@marthageorge5043
@marthageorge5043 10 месяцев назад
Pole sana dada,ila ningekuwa mimi atakama nimezaa nae chamoto angekiona awezi kunipiga kizembe alafu yupo mchi yetu,ningemkun'guta uyo mbaka akenda kwao kilazima,uyo mtanzania tu anipigi kizembe ijekuwa yeye😢
@weveeernest9911
@weveeernest9911 10 месяцев назад
😂😂😂
@mwanjinzara8009
@mwanjinzara8009 10 месяцев назад
Shena kwa umoja wetu tumchangie huyo dada na watu waliopo mgodini waangalie jinsi ya kumpatia ajira huyo dada
@user-iz9ci4rs3d
@user-iz9ci4rs3d 11 месяцев назад
Pole sana 😢😢😢
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 11 месяцев назад
Jamani kweli upo nchini kwako unanyanyasika na mgeni???upo serious kweli?????hapana
@EsterMkini-es7zh
@EsterMkini-es7zh 11 месяцев назад
Mh mzungu ashakua natabia za kiswahiliii, hamnaga mzungu wa hvo akikuchoka anasema tena kwa neno Moja tu,
@magrethpeter6049
@magrethpeter6049 11 месяцев назад
Kabisa. No no ana mambo ya kiswaili
@user-ht7if3li8r
@user-ht7if3li8r 10 месяцев назад
Hivi kweli unapigwa kwenu,je ungekuwa kwao si ungeuwawa wewe?Acha kutudanganya we unapenda kuteseka.
@suzanetilito8194
@suzanetilito8194 11 месяцев назад
Ninachojua jinsi unavyojiweka na kujithamini ndio utakapota thamani yako lkn huyo mwanaume pengine kashajua mwanamke aliyenae ni wa aina gani na ndio mana ana mtreat hivyo na utakaaje kwenye ndoa miaka yote hiyo unachakazwa na bado unaendelea nae ukiuliza nini mzungu mzungu wa nyoko.....kwanini asiachane na huyo mpuuzi mfyuuu nimepata hasira utadhani ni ndugu yangu
@user-qo8eu1br6f
@user-qo8eu1br6f 11 месяцев назад
😎🙄😂😂😂 Uwiii eti mzungu wa Nyooko nimecheka jamaniii km mazuri kuna mdogo wangu anapenda kusema kauli hii daah
@Jessy-f9w
@Jessy-f9w 11 месяцев назад
Nimecheka hako kamsemoo nilikuwa ni ka huku usukumani,kwakweli huyo mzungu ni mzungu wa nyoko
@mwanjinzara8009
@mwanjinzara8009 10 месяцев назад
Dada huyu kaathirika kisaikolojia kabisa tumsaidie
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 10 месяцев назад
Nenda kwenye mahombi Dada mungu akutangulie
@trizereve3386
@trizereve3386 9 месяцев назад
It's never too late dada Bado uko mrembo jipange huyo asha rogwa huko
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 11 месяцев назад
Simkiona wazungu ndio mwaona mmepata rudi kwenu nyumbani ni nyumbani
@NeemaAbdon
@NeemaAbdon 10 месяцев назад
Ww siyo binadamu
@Elizabeth-777-r3p
@Elizabeth-777-r3p 10 месяцев назад
😂
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 10 месяцев назад
@@NeemaAbdon mimi ndio bali mimi ni mtu
@efrahfarahahmed8960
@efrahfarahahmed8960 10 месяцев назад
Anamtesa akiwa Tz akiwa ulaya je itakuwaje siatamtesa sana
@maggieboneventura4244
@maggieboneventura4244 11 месяцев назад
Labda huyo mwanaume ni kichaa Ila hawajakiweka wazi
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 11 месяцев назад
Khaaswaaaa. Chizi
@edithaeugeni9695
@edithaeugeni9695 11 месяцев назад
Wajina kitakacho kutowa kwa hyo baba ni ukimwi tu alafu jamani sijuwiii nikwanini watu wana endekeza sana ndowa utasema sijiskii nini bana
@mwanjinzara8009
@mwanjinzara8009 10 месяцев назад
Mungu akimsaidia uje utupe mlejesho tujue maendeleo yake
@zainab8251
@zainab8251 11 месяцев назад
Pole sana
@rogathengowo1099
@rogathengowo1099 9 месяцев назад
Huyu pia sio mtanzania
@leilaassey1726
@leilaassey1726 11 месяцев назад
Atoe nambaaa jamani yesuu wangu 😢
@ruuhbakary
@ruuhbakary 11 месяцев назад
Dada ulikutana na mzungu kichaaaa
@hildajoel5
@hildajoel5 11 месяцев назад
Huyo mzungu kiboko kabisa anajua hadi kigogo na kwenda kulala juu😂 kha dada Editha hebu achana na hicho kizee chenye stress hayo mambo ya kuvumilia utakuja kufa siku moja uache watoto. Let him go for good 😕
@JacklineOtieno-tc7gf
@JacklineOtieno-tc7gf 10 месяцев назад
Pole Sanaa dada home ni home
@NeemaAbdon
@NeemaAbdon 10 месяцев назад
Jack nimeisha poa my dear
@shamsakiobia6421
@shamsakiobia6421 11 месяцев назад
Huyu sio muhaya mwanamke wa kihaya akimuweka mzungu kwenye kiganja chake aponyoki ht kidogo, akiponyoka ameshamjengea magorofa, usicheze na mwanamke wa kihaya anaishi na mzungu kwa faida na sio hasara
@zainabkazige7388
@zainabkazige7388 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂
@helinahenry2363
@helinahenry2363 11 месяцев назад
😂😂😂tumefikiwaaa Wahaya 🎉, Hadi huruma.
@Zuu673
@Zuu673 6 месяцев назад
Nahisi sio mtanzania na yy😂
@winnieakarro5398
@winnieakarro5398 11 месяцев назад
Pole sana Editha
@scolastarner1392
@scolastarner1392 3 месяца назад
Jamani sina wivu ila sitamani kuwa na mzunguu halafu niteseke.lakini dada wewe umesoma nini kilokutuma uteseke.
@deboranicoraus4866
@deboranicoraus4866 11 месяцев назад
Afunge huo mlango sijui dirisha haonekn vzr
@maryannaedward7764
@maryannaedward7764 3 месяца назад
Tafuta deliverance
Далее
MANYANYASO YA WANAUME  NA UGUMU WA MAISHA YA ULAYA
29:56
ВОДЯНОЙ ПИСТОЛЕТ ЗА 1$ VS 10$ VS 100$!
19:09
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Просмотров 836 тыс.
Pick a Color, I'll Buy 🟪🟨
00:38
Просмотров 23 млн
Maisha ya ugaibuni sehemu ya 1  kingo
55:52
Просмотров 7 тыс.
EBM Scholars LOVE STORY | TULIKUTANA MTANDAONI
1:50:24
Просмотров 12 тыс.
ВОДЯНОЙ ПИСТОЛЕТ ЗА 1$ VS 10$ VS 100$!
19:09