What a beautiful soul. Yaani Nimempenda Hii interview mpaka nimeumwa. I have never seen anyone so pure and genuine like this lady. Shena thank you for sharing this platform. I have no words. Ila nitawatafuta when I’m less emotional. WHAT A BEAUTY 😍😍😍😍😍😍🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
wooww... nimependa sana hii interview lakini mgeni ni zaidi.. i haven't been watching these ODA interviews to the end,but hii nimeimaliza yooote na nimempenda sana mgeni, She is honest, anaeleweka na very direct to the point...👍👍🤝🤝👏👏 thanks to ODA
ohhh nimependa sana mahojiano na blessing, ana uzalendo sana na ni mkweli , namtakia maisha mema sana mi nachukizwa sana na matusi na mizaha ya kejeli. 😂🎉
Hii habari ya kutoa msaada ukiwa mbali nowadays watu wanakulaa tuuu, Yaaani bora umpe mtu kitu mkononi direct kuliko hawa wanaojidai kupokea Pesa za Misaada.
Asante dear. Yaani maisha haya nikusimamia kile ulichokichagua. Watu watajaji, maisha anyone yataleta misukosuko yake ila mwishowe nimtu ndie anajua anachagua kujilipuaje. Mi nilijilipua zangu and am happy 😅😅😅
Ahsante sana Shena kutukutanisha na Blessing. Hongera Blessing kumpata mwenza of your choice. Ulichokuwa unafanya kuwasaidia Kina Mama kwa kuwauzia Products zao, ni jambo jema sana. Kuna wakati niliona kule Marekani, Kina Mama walikuwa wanawasaidia wenzao wa Vietnam kwa kuuza products zao na baadaye wanawatumia pesa. Jaribu kuanzisha tena, utapata wengine waaminifu.
Mungu anisaidie,kitakachonichelewesha ni hizo tattoo 🙌 Na wazungu wengi Wana tattoo aisee,duh! Hata kwenye hizi app nakutana nao wengi Wana tattoo,kwangu ni changamoto
Wala si wazungu wengi dada hao ni waliopinda tu wa kawaida wapo wengi zaidi hata washamba pia wapo tatizo huko mitandaoni ndo wamejaa hao unaokutana nao na km mtandao wa bure ndo lazima uwaone km wote. Poleee
@@brendajulius2995 kumbee,🤣eti waliopinda, ofcoz Kuna ambao hawana ila nao naona ni wachache! Siko mtandao wa Bure! Afrointroduction na international cupid yote ya kulipia,na Ina watu mchanganyiko, nadhani unajua! Ht hivyo nimeona wengi wenye tattoo , Marekani 🙌 Hizi nyingine ndogo ndogo za ulaya sio kihivyo.... Na ndo nazipenda. Sipendi UK , USA,ikitokea poa😅ila sio my 1st prority
Daaaaa ila wabongo jmn hatuna jema 😂😂😂😂 pole Blessing mara nying mtu ukifanya kitu kizr ndo unakuwa topic badala ya kukusupport ili ufanye kitu kizr zaid kwa manufaa ya wengi, Tz tupone jmn