😂😂😂😂 chelewa lk ufike wahenga husema na pia wakarudi hapo wakasema haraka haraka Haina baraka nadhani mutanipa hata kadogo tu nusu ya silesi moja nitashikuru mumecheza ndipo mamukubali Donta tv family much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤
Tangu nimeanza kutizama donta tv leo nimeenjoy hongera loveness na donta tv kijumla mnitangazie makaratasi za kupanda mti uko upande wa mbagara tz 🙏🙏🙏🙏 kutoka 🇰🇪
Yani huyu brown na roho mbaya kila series ata akiact series ya roho nzur hapendezi juu tabia yake na sura yake vinafanana Kila mahali kuwa ubaya ubaya ndio mana ukarogwa na James amba 😂😂😂
Acheni wivu kila mtu blown m,baya mala analoho mbaya mwezenu yake yanamuendea kunjueni nafsi izoo acheni wivu mkaka wa watu kawakosea nini ye anaigiza mumemuona au uharisia wake😏😏😏😏😏