Тёмный

NEEMA WA 20% NUSU AMWAGE MACHOZI MIAKA 18 HAJAONANA NA 20% / ASIMULIA WALIVYOKUTANA NA KUPOTEZANA 

Manara TV
Подписаться 291 тыс.
Просмотров 28 тыс.
50% 1

NEEMA WA 20% NUSU AMWAGE MACHOZI MIAKA 18 HAJAONANA NA 20% / ASIMULIA WALIVYOKUTANA NA KUPOTEZANA
#diamondplatnumz #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

13 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 38   
@NiyonsabaJofred
@NiyonsabaJofred День назад
Sofia jua Kali umenikumbusha mbali kazi mulioifanya na twenty inafundisha sana harafu sauti yako haijabadilika nimeku miss sana
@NiyonsabaJofred
@NiyonsabaJofred День назад
Sauti yako haijabadilika kabisa mulifanya vizuri sana na twenty kazi za kudumu miaka yote namupenda sana twenty❤
@aucyausi8269
@aucyausi8269 2 дня назад
Kiukweli sister big up,Kwa kumheshimu na kumkumbuka aliekutoa 20 perfect.wengi wakishapata jina2 usahau waliowafikisha hapo
@fatmamohammed8346
@fatmamohammed8346 День назад
Dada vipi wigi linakutesa mnavaliaga nn wakati yanawasumbuwa,,,,,,alafu unakataaa uhaua nawakati unamisifa teleeee ,,,ila wasaniii kitu kimoja unaweza ukawa na fansi wenginlkn kwenye mahojiano unajikuta unapunguza watu kutokana na majibu
@gracepatric4371
@gracepatric4371 7 часов назад
sipendi mnavyofanya ivyo manywele yenu hayoo pumbavu kama hukutaka yakushikeshike si ungeyafunga yote mfyuuuu
@LovenessDaud
@LovenessDaud День назад
Mie siwezi kulichukia kabila langu japo wanasemaga wasukuma ni washamba Mimi ni msukuma najivunia kabila langu
@HosaAli-o2v
@HosaAli-o2v 19 часов назад
Namukumbuka sana 2o
@SaudatMavela
@SaudatMavela 8 часов назад
Asnt kakutukuza watanga kama na ww tanga like
@MagrethAdam
@MagrethAdam День назад
Jmn me Leo ndo nimekua maana me nilijua Ile ni true story ya 20% kumbe ni Neema wewe ngoja nirud kuitazama
@MkaiAthumani-k8y
@MkaiAthumani-k8y День назад
Kweli muaya Mana anavojieifiya
@Regina-p6r
@Regina-p6r 5 часов назад
Kumbe neema ni Sofia wajua kali
@eliusgration4150
@eliusgration4150 День назад
Kama ulitaki Kabila lako Kwann ujitabulishe hilo kabila. Ushamba huo na ujue kabila lengewe alikupendi😂
@JanetAhmad-v3h
@JanetAhmad-v3h День назад
huo si sophia
@israeluronu9958
@israeluronu9958 3 часа назад
Muhaya!!!! Kumbe na wahaya wa hivi wapo!!!!😂😂😂 wahaya walivyo na Nyashi hivyo ww ni wawapi,,,,,
@antonicn9497
@antonicn9497 5 часов назад
Hutaki kuwa muhaya bado unatamani kuwa mtanga SI mlemle. Ni mshenyento tu
@Herivoice-tzn8d
@Herivoice-tzn8d День назад
Usi katae kata lenu
@protamwenyegzaketv7408
@protamwenyegzaketv7408 День назад
Sasa hako ka nywele si ukakate kanakusumbua
@hariethsamwel8948
@hariethsamwel8948 15 часов назад
😂😂😂
@SharifaRashid-tg9kx
@SharifaRashid-tg9kx 2 дня назад
Izo nywele vip maana upo nazo buse
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 День назад
Rangi tunaona
@AminaBakari-q7v
@AminaBakari-q7v День назад
Unakataa kabila lako ila ni humo humo
@BarakaGabriel-f1b
@BarakaGabriel-f1b День назад
Unakataa kabila lako wakati unamajivuno namisifa nakujishebedua kama wahaya hata ukatae kabila lako vipi ukifa tutakupeleka kagera wewe
@vincentkatabalo286
@vincentkatabalo286 6 часов назад
Unachukia kabila lako? Nimekutoa kasoro
@amournassorsaid7694
@amournassorsaid7694 22 часа назад
Yupo nakapanya karibu na tunduru mkoa wa ruvuma
@MustafaMgeni-c9m
@MustafaMgeni-c9m 2 дня назад
Kweli ni muhaya maana unapenda sana kujisifia, misifa tribe 😂
@mshosha_tv
@mshosha_tv 2 дня назад
Mahaba niue
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 2 дня назад
Mtafute si yupo hapo tabata alikutambulisha saana
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 2 дня назад
Nywele zinamtesa kweli
@lovirinaa
@lovirinaa 2 дня назад
Ile age unasema haukumbuki even an 10y old can remember what they did at that age
@TundaEmanuel-ns8kj
@TundaEmanuel-ns8kj 23 часа назад
MUHAYA GAN HUYU HANA SHEPU LABDA MUHAYA WA NJE YA NDOA 😅😅
@antonicn9497
@antonicn9497 5 часов назад
Hahahahaha umeona heee
@ANTHONSIYANTEMI
@ANTHONSIYANTEMI День назад
We ni mhaya mbona unajisifia sana
@ThebawseFantasy
@ThebawseFantasy День назад
Sisi wa tanga hatupendi kabila letu 😁😁
@julieernest2786
@julieernest2786 2 дня назад
Acha ushamba wewe, unakataa kabila lako??? Mjinga sanaa weweee
@FaidhaKihiyo
@FaidhaKihiyo 4 часа назад
Tangaaa😂😂😂
@daudzabron5514
@daudzabron5514 2 дня назад
Mwanamke huyu amekaa kimahaba mahaba tyu🥰💗
@drisakamwakitalima1937
@drisakamwakitalima1937 2 дня назад
😂😂😂
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 День назад
*HUWEZI KUKATAA KABILA LAKO HUO NI UJINGA*
Далее
Это было очень близко...
00:10
Просмотров 441 тыс.
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Просмотров 16 млн
ТИПИЧНОЕ ПОВЕДЕНИЕ МАМЫ
00:21
Просмотров 718 тыс.
NILIFIKA KILELENI NIKAPIGA KELELE/ NAPENDA NDIZI SANA
2:59
MAGIC RING | FULL MOVIE |
1:13:45
Просмотров 646 тыс.
Mkasi - S02E01 with Dida Wa G
26:13
Просмотров 372 тыс.