Msuli tembo matokeo sungura anamaanisha unafanya kazi kubwa sana compared to ukubwa wa tembo and matokeo ya kazi uliofanya yanakua ni madogo compared to sungura
Uraibu ni Adui mjanja Sana wa maisha brother ☝️ utegemezi wa hatari na ulazima wa kufanya hata usichotaka na kustahili kufanya rest in soul peace Ngwea