Тёмный

THE CLASSIC AY PT 2 :KISA CHA MACHONI KAMA WATU/NILIWAKILKISHA HII LEO /TUNZO BONGO ZINA MAKOSA HAYA 

KuviFacts
Подписаться 11 тыс.
Просмотров 13 тыс.
50% 1

Sehemu ya pili ya maongezi yetu na AY kupitia The Classic ambako umu anaongelea mengi kuhusu baadhi ya nyimbo zake classic kama Machoni kama watu na,Hii leo na nyenginezo

Опубликовано:

 

26 янв 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 24   
@malickkasuga4805
@malickkasuga4805 5 месяцев назад
Hizi interviews za wakongwe ni darasa kubwa sanaaa nawafatilia sana
@RamadhanJuma-k7h
@RamadhanJuma-k7h 20 дней назад
Nakubal a.y were na fid q na watakia maixha marefu
@hameesnassoro7158
@hameesnassoro7158 5 месяцев назад
Sema Bro.Jabir Bin Saleh nimefuatilia interviews zako nyingi sn sn kwa namna unavyo muhoji muhusika na kila muhusika ana namna yke ya kufanyiwa interview lkn kwny hii interview na AY au Masta nimegundua kuwa ili umchimbe Masta zaid lazime uwe ndani ya hyo story ili ukiielezea hata km haijakamilika au ina mapungufu basi AY anakupa muendelezo full 😂😂😂 Bro You are so slick 🙌🙌🙌 hiki kipind km kingekuwa STATE bro dah ungekuwa na mipesa mingi sn bro
@KuviFacts
@KuviFacts 5 месяцев назад
Shukran sana kaka,Yes wageni hutofautiana kwa hiyo inabidi na wewe ubadilike kulingana na mazingira,Asante kwa kutazama kaka
@robartifabiani
@robartifabiani 5 месяцев назад
Demu wakibongo muulize kama anaboy// atajibu Sina aliekua nae ayupo kaenda mtoni hii //kitu fashion au mchanga machoni au professional fix aka boshen//ay uliua sana hapa.
@buruanisaidi2411
@buruanisaidi2411 5 месяцев назад
Au ni Babu Kubwa
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 5 месяцев назад
Wasanii sahv hata huyo namba 1 wenu hajui kufanya interview Salute sana kwa wasanii wa zamani
@geofreybarama4000
@geofreybarama4000 5 месяцев назад
Msanii wangu bora wa kipindi chote uyu jamaa ni azina kubwa sana kwenye tasnia ya music na Taifa..
@mugadimon3563
@mugadimon3563 5 месяцев назад
Sure huyu mwamba hazina
@abdulmasoud1921
@abdulmasoud1921 5 месяцев назад
Napenda Sana life staili ya king AY . AF na FID Q jamaa nawafwatilia mnoooo
@mtambogeof5648
@mtambogeof5648 5 месяцев назад
Em atokee mwananzengo, afafanue hii code ya mheshimiwa kwenye wimbo wa binadam ,maana naona kama kuna kitu hapo😂😂😂
@charlesdaniel6212
@charlesdaniel6212 5 месяцев назад
Kifupi hawa jamaa ni kama Klopp na Pep yaan kuna mmoja apo akiingia tu mfumo wa mwenzake bas atachezea tu so Pep ni nani au Klopp ni nani mtajua ninyi😅🔥
@namelessnameless4868
@namelessnameless4868 5 месяцев назад
The way mnavyozungumza nyimbo ya Hii leo ni as if Gk did nothing kwenye hiyo nyimbo which is not fair at all 😢
@gilbertfuria5817
@gilbertfuria5817 5 месяцев назад
Kwenye Hii Leo GK ndo aliua ,
@fadhilifantastic5032
@fadhilifantastic5032 5 месяцев назад
Ay kasema nonono mara 214 mpaka kipindi kinaisha! 😅😅
@manrectorz
@manrectorz 5 месяцев назад
Ukiongea ukweli katika ngoma ya HII LEO, GK aliua sana ndio maana vijana wengi tulikuwa tumemeza verse yake
@Mc_Gwajee
@Mc_Gwajee 5 месяцев назад
Kubwaaaaa
@innocentmushi1550
@innocentmushi1550 5 месяцев назад
🔥
@user-qk8cf2xi4f
@user-qk8cf2xi4f 5 месяцев назад
Camera 📸 video zinazingua samtimes inatoa ukungu samtimes good.seting ya camera video ziwe vizuri vipindi vinavyoendelea
@whitestarstudio3939
@whitestarstudio3939 5 месяцев назад
MASTER
@babag7138
@babag7138 5 месяцев назад
Dah Hisia Zangu nimenunua buku na mia mbilii hatarii sana
@christopherjames3684
@christopherjames3684 5 месяцев назад
GK wap
@hameesnassoro7158
@hameesnassoro7158 5 месяцев назад
Sema Bro.Jabir Bin Saleh nimefuatilia interviews zako nyingi sn sn kwa namna unavyo muhoji muhusika na kila muhusika ana namna yke ya kufanyiwa interview lkn kwny hii interview na AY au Masta nimegundua kuwa ili umchimbe Masta zaid lazime uwe ndani ya hyo story ili ukiielezea hata km haijakamilika au ina mapungufu basi AY anakupa muendelezo full 😂😂😂 Bro You are so slick 🙌🙌🙌 hiki kipind km kingekuwa STATE bro dah ungekuwa na mipesa mingi sn bro
@dikamboy9513
@dikamboy9513 5 месяцев назад
🔥
Далее
DIZASTA VINA MBUZI (UCHAMBUZI)
10:09
Просмотров 761
Sitaki kua tajiri, nataka kufanikiwa
55:54
Просмотров 59 тыс.