Huwa naipenda lakin nikisikiza nalia wakat nyimbo inatoka nilikuwa single nikawa namkumbuka niliachana nae mana nilimpenda akanites nakunipiga ilikuwa ngum kusahau but maisha yakaenda nayo furaha sasa nimeolewa na alhamdulilah
Taarab ya Zanzibar inaimbwa kwa heshima na hata wanao cheza au kuingia uwanjani huwa na heshima. Huyo mama kukata viuno kwenye clip sio mila na utamaduni wa taarab zanzibar. Hiyo ni mipasho ya "BONGO", Profe MK anajaribu kutumbuiza lakini wana muharibia kuingiza upuuzi huu.