Тёмный
No video :(

Nilikuwa darasani | Nimerudi na Senkondo kwenye XXL 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 22 тыс.
50% 1

Tarehe 16 mwezi watano ni siku ya kuzaliwa ya Adam Mchomvu na siku ya leo kazindua album yake ya Senkondo lakini pia amerudi kwenye show baada ya kipindi kirefu kuwa masomoni

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 25   
@Babuu200
@Babuu200 Год назад
Adam Mchomvu huyu Jamaa anahitaji Eshima yake kwenye game ya Bongo Fleva na Hata B12 Pia hawa majamaa ni Ma Legend Kwa Hii game ya presenters.
@senkondosaid9322
@senkondosaid9322 Год назад
Naitwa Senkondo Naomben maua yang
@maigajohn5828
@maigajohn5828 Год назад
Adam na B12 na watangazaji wa clouds big up kwenu
@teddykahimba-zt5km
@teddykahimba-zt5km Год назад
Clouds ni kituo bora sana wana wathamin sana wafanyakaziwao na wamefundishw sana upendo watangazaji ni nguzo kubwa sana ktk kazi hongereni sana
@bashirumteka649
@bashirumteka649 Год назад
Mchomvu wewe ni father in show on radio my brother wewe jamaa ni mkali sana wa kuongea kwa mick
@jenanikilipamwambo4527
@jenanikilipamwambo4527 Год назад
Adam ni mtangazaji mzuri ila hawezi kuzuia hasira zake.
@user-hz9tx1mi1h
@user-hz9tx1mi1h 4 месяца назад
Wape mashavu wanaaaa
@chisongastephen7299
@chisongastephen7299 Год назад
Jamaa anaweza sana kwenye utangazaji wake.
@mohamedymkopi5887
@mohamedymkopi5887 Год назад
Adam apewe maua yake mze ukiacha mambo za mitama nakila kitu mashavu alitoa mingi sana pindi icho Mamy yuko tabora huko , hots3 unamkuta bidada Fatma Djfet. kwenye moja na mbili Twangalaa the King of afternoon show daaah mze hii ilikuwa so poa, those days honest industry ilichangamka kuanzia pale until this moment so shout rout to the people station….at all
@R10_Rajab
@R10_Rajab Год назад
Sema wewe Jamaa unapenda sana Sifa pili nahisi sina uhakika unatumia stemu kisha zinakuwa fanya uwe na hasira ambazo huwezi kuzizuwia ,bro wacha hizo tabia be cool brother Watanganyika wengi wanakukubali isiwe ndio kigezo cha kuwaonyesha kuwa wewe ndio Huni la Tanganyika ,,,again and again bro Be cool na haswa unapokuwa na hasira...Samahani brother kama nitakuwa nimekukosea mwanasheria wangu amefariki leo
@geeva99
@geeva99 Год назад
Kijiti kina axis ukimonitor utaijua tu kama unazidisha au vipi, na pombe ndo haifai kabisa, hii ni experience nikiyoipata wakati naishi california, hata mimi sina wakili
@johnycavishe5207
@johnycavishe5207 Год назад
Adamu Kama adamu woof big up Sana 💪
@MichaelMethod-kc5hk
@MichaelMethod-kc5hk Год назад
present mnoma sana Adam
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 Год назад
Anger management
@mateips
@mateips Год назад
Mwambaaa hoyooo Big up brother 🔥🔥🔥
@meshacksamson1008
@meshacksamson1008 Год назад
Mchz anaumwa huyu akii
@innocentdismas9049
@innocentdismas9049 Год назад
Mwamba namuekewa sanaa
@kingmadev
@kingmadev Год назад
Nlimmiss Sana huyu jamaa nikimkosa XXL sijskiagi poa
@mwanapilibaby2647
@mwanapilibaby2647 Год назад
I miss him 😅aki
@maigajohn5828
@maigajohn5828 Год назад
Elimu haina mwisho
@pepchallanga3626
@pepchallanga3626 11 месяцев назад
your girlfriend presenter
@generalchumongafricanboy
@generalchumongafricanboy Год назад
Hivi ni kweli ulimpiga Q-cheef ?
@amanindonde4498
@amanindonde4498 9 месяцев назад
omg
@mrambadiana9678
@mrambadiana9678 Год назад
Adam bonge la mtu hasira ni hadi ukimzngua
@meshacksamson1008
@meshacksamson1008 Год назад
Mchz anaumwa huyu akii
Далее
FREESTYLE ZA KONTAWA KWENYE XXL CLOUDS FM NI UNYAMA
9:04
INTERVIEW SHOW  BABA LEVO  at COCONUT fm ..ZMOTION
7:05