Yaani mungu nisamehe yaani nikole ulivyo Kwa Instagram na uku RU-vid mtu mwingine mbona uku umeoneka sura imezeeka na umekuwa mweusi ila kule umependeza jmn mastaa punguzeni kutuchanga jmn na Rangi zenu 😂😂😂😂
Naomba fatileni watu wa kuongeza viungo wapeni miaka 5 tu.hapa kaongeza mdomo kaharibu sura,yaani kawa kama mama mtu mzima wadada Mungu kawaletea huu mtihani ili awakomeshe .matiti ,midomo na makario vyote mmeongeza
Ni ngumu kupata mwanaume handsome pia awe na pesa .mahandsome saana huwa hawana pesa .mimi ninae bonge la handsome half Mauritanie half Senegalese but hana hata kitu mpaka colgate ni mimi namnunulia hmm sema tu jamani Watanzania wenzangu nimekufa nimeoza bado kuzikwa tu .sijui kama ntarudi tena nyumbani mtanisamehe .