Тёмный

NJIA KUU TATU ZA KUMSIKIA ROHO MTAKATIFU 

SIRI ZA BIBLIA
Подписаться 100 тыс.
Просмотров 183 тыс.
50% 1

2 Wakorintho 13:14
Neema ya Bwana Yesu Kristo, na upendo wa Mungu, na ushirika wa Roho Mtakatifu ukae nanyi nyote. Amen.
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
linktr.ee/sirizabiblia
Instagram Account
/ siri_za_biblia
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

Опубликовано:

 

7 июл 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 545   
@ChristopherAndrea-rh6yw
@ChristopherAndrea-rh6yw 4 часа назад
Roho mtakatifu uniongoze siku zote za uhai wangu
@ElikaMsenga
@ElikaMsenga 3 дня назад
Mungu nomba nisaidie niwezekumsikiliza roho mtakatifu
@user-ez6cy4pj8z
@user-ez6cy4pj8z День назад
Nampenda Yesu natamani kujazwa na roho mtakatifu. Mtumishi ubarikiwe ..Amen
@NaomiBahat-bz6ri
@NaomiBahat-bz6ri 27 дней назад
Mungu naomba inisaidie niweze kumsikia loho mtakatifu
@user-vr1xc1hy6e
@user-vr1xc1hy6e 9 дней назад
🙏
@lucyzacharia5420
@lucyzacharia5420 2 дня назад
Mungu naomba unisaidie nimsikie roho mtakatifu
@nadiatanzania
@nadiatanzania 3 дня назад
Asante roho mtakatfu kwa kukaa na mm 🙏
@ElirehemaMunuo
@ElirehemaMunuo 22 часа назад
Laminate barikiwa mtumishi
@magrethjohn4929
@magrethjohn4929 11 месяцев назад
Kwel kuna faida ya kumsikiliza Roho Mtakatifu tena huwa anazungumza kwa sauti ya upole sana. Mungu ni mwema kila wakati 🙏🙏🙏
@EdwardPeter-bh3vd
@EdwardPeter-bh3vd 10 месяцев назад
Amen kweli Rm anazungumza lakini tumeshindwa kutofautisha aina ya sauti
@SalumDigale
@SalumDigale 10 месяцев назад
Mungu akubaliki sana na uzidi kutufikishia elimu hii juu ya roho mtakatifu
@SalumDigale
@SalumDigale 10 месяцев назад
Ameni
@AudreyNininahazwe-uu3wc
@AudreyNininahazwe-uu3wc 10 месяцев назад
Asante Sana mungu awabaliki sana🙏🙏
@user-ed5ir9nl6z
@user-ed5ir9nl6z 7 месяцев назад
Thank u paster God bless
@ElikaMsenga
@ElikaMsenga 3 дня назад
Mtumishi wa mungu barikiwa sana, Mungu naomba unisaidie niweze kumsikia soho mtakatifu
@mariammpina8103
@mariammpina8103 3 дня назад
Asante sana sana kwa mafundisho haya yamenifungua ufahamu wangu wa kuijua Elihu ya neno la MUNGU.Ubarikiwe sana Mtumishi wa MUNGU.
@user-sb9le2er2c
@user-sb9le2er2c 6 дней назад
Naomba roho mtakatifu kwangu
@BettyMwangemi
@BettyMwangemi 5 дней назад
Nisaidie sana kujua roho
@PaulDeogratius
@PaulDeogratius 6 дней назад
Asante mtumishi wamungu kwamafundisho hayo mazuri ambayo ya menibariki yamenipangu juu ya maisha yangu na mungu akubariki
@FrankJamesy
@FrankJamesy 22 дня назад
Eeeeh.....Roho Mt.naomba unisaidie niweze kusikia sauti yako maishani mwangu
@user-cz1lo7im4p
@user-cz1lo7im4p 2 месяца назад
Amin Mungu nakuomba unipe roho mtakatifu aniongoze kwenye maishayangu
@violetnelly4685
@violetnelly4685 6 дней назад
Hallelujah Hallelujah Hallelujah ya kwangu haya
@marygorethmmbando6872
@marygorethmmbando6872 5 дней назад
Ubarikiwe sanaa Mtumishi... AMINA🙏
@maimukanabora8751
@maimukanabora8751 8 дней назад
Barikiwa mtumishi
@janemwita2056
@janemwita2056 День назад
Mungu akubariki sana Pastor
@victormjema4374
@victormjema4374 14 дней назад
😢😢😢 roho mtatifu rafiki mwema🙏🙏
@joycekyando4768
@joycekyando4768 8 дней назад
Nimepokea in Jesus name.
@MarieMakiwa
@MarieMakiwa 3 дня назад
Mungu akubariki sana
@joyceshirima207
@joyceshirima207 14 дней назад
Asant sana namkaribisha roho mtakatifu ndan yangu
@jacklineelias3091
@jacklineelias3091 13 дней назад
Mungu naomba roho mtakatifu anitembelee kila wakati
@MussashilindeLichard
@MussashilindeLichard 14 дней назад
Ee mungu mwenyez nipe wepes naujasir wa kuomba emen
@sophietashily4521
@sophietashily4521 11 месяцев назад
Amen🙏🙏 huo ushuhuda umenipa hope ju nimekua nikiomba sana Mungu anijalie fethaa za kununua vitu za kanisa nina imani Mungu atajibu🙏🙏🙏 Mungu akubariki sana
@annegunga3738
@annegunga3738 3 дня назад
Roho mtakatifu nisaidie niweze kukusikia mara uongeapo NAMI Ili nisitende yasiyompendeza YESU KRISTO
@Berndeta
@Berndeta 24 дня назад
Ameen 🙏🙏🙏 balikiwa Sana mtumishi wa MUNGU
@SantaKatana-te9db
@SantaKatana-te9db 9 дней назад
Asante baba🙏🙏
@esthermwikali5403
@esthermwikali5403 9 месяцев назад
Naitaji Roo mtakatifu katika maisha yangu yote
@user-vg1lc5ie5e
@user-vg1lc5ie5e 10 месяцев назад
Amen 🙏 nitafanya aje ndio nikuwe na moyo wa kuomba juu nikitaka kuomba maneno yaniisha
@user-kh3se5gi4m
@user-kh3se5gi4m 9 месяцев назад
Hata mm nilikuwa na hiyo shinda lakini mungu ni mwenye huruma akikuona unatia juhudi anakuwezesha. Mm niliendelea hivyo kidogokidogo na nikawa naomba mara kwa mara na kusoma bibilia mungu atakuinua
@jonasmanirakizanzinga7882
@jonasmanirakizanzinga7882 Месяц назад
Soma biblia utaomba mpaka utakuwa unaona muda hautoshi maana tukiomba tunamkumbusha Mungu ahadi zake alizozisema kupitia neno lake.
@Brainy585
@Brainy585 18 дней назад
Mungu mwenyezi naomba unisaidie kumsikiliza roho mtakatifu ndani ya maisha yangu
@milkagaula8289
@milkagaula8289 22 дня назад
SHALOM, BARIKIWA SANA MTUMISHI WA MUNGU
@user-ry5by4wh7p
@user-ry5by4wh7p 4 месяца назад
Holy spirit I know I don't deserve to walk with you due to my uncommitment but please right know ive decided to be yours please be with me
@peninabensonpen870
@peninabensonpen870 10 месяцев назад
Ameen Ameen naomba roho wa MUNGU aniongoze katika maisha yangu Amen
@NaomiAlly-xv2vx
@NaomiAlly-xv2vx 23 дня назад
MUNGU naomba unisaidie nimsikie roho mtakatifu akisema na mim
@NamuwayaShirat-ej3xk
@NamuwayaShirat-ej3xk 2 месяца назад
Hee mungu naomba utusamehe kwa kudhalahu neno lako🙏🙏
@MamaTee-bm2en
@MamaTee-bm2en Месяц назад
Aloooo Kuna kitu nimepokea Ameen nmekua mpya
@alicenmoraa1455
@alicenmoraa1455 14 дней назад
Naomba ewe Mungu uingie ndani yangu unifunze niweze kumsikiliza roho mtakatifu Ningeomba nipate marafki walio katika ushirika na Yesu
@furahamwasila5687
@furahamwasila5687 12 дней назад
Nitumie namba zako
@dorothyronald2445
@dorothyronald2445 27 дней назад
Assnte Yesu kwa neno lako,asante kwa mtumishi wako.nipe neema ya kumsikiliza Roho Mtakatifu
@flobad.mhubiri
@flobad.mhubiri 15 дней назад
MUNGU anipe neema yaku musikiya
@fridakipingu
@fridakipingu 11 месяцев назад
Mwaka 2016 alinisemesha kuhusu eneo la biashara na mtu atakaye nipa eneo Mungu akubariki mtumishi Iko faida kubwa sana
@Nehemiah.1
@Nehemiah.1 11 месяцев назад
AMEN MTUMISHI. KWELI KABISA ROHO MTAKATIFU ANAZUNGUMZA NA ANAFANYA KAZI SANA, MIMI NINAYAISHI AYO KABISA. MUNGU AKUBARI NA AKUPE ZAIDI UJUZI NA UFUNUO.
@Didaskamili
@Didaskamili 3 дня назад
Amina
@MwitaRose
@MwitaRose 12 дней назад
Roho mtakatifu naomba uingie ndani yangu ee Mungu naomba nijalie kuisikia sauti ya roho mtakatifu🙏
@costakabamba8108
@costakabamba8108 10 месяцев назад
Ubalikiwe mtumishi
@angelitapaulo
@angelitapaulo 10 месяцев назад
Amen naamini hivyo itakuwa roho wa MUNGU niongezee nashukuru nimeipata kitu
@AsheriMajengo
@AsheriMajengo 21 день назад
Amen mtumish Mungu akubariki sana
@SubilagaKabango-bu8tu
@SubilagaKabango-bu8tu 10 месяцев назад
Nj kweli kabisa mtumishi wa Mungu kupitia Bwana wetu Yesu Kristo wa Nazareth! Hakika tunaongozwa na Roho mtakatifu ukimtiu na kumfuata!
@happylomnyaki-rk1tk
@happylomnyaki-rk1tk 21 день назад
Amina mtumishi Mungu akubarik sana❤
@user-mt1lj2dj9h
@user-mt1lj2dj9h 11 месяцев назад
Roho mtakatifu komboa watoto wangu
@YovinaSanga-pb7yq
@YovinaSanga-pb7yq 6 дней назад
AMEN
@user-hy5hw9bd7t
@user-hy5hw9bd7t 22 дня назад
Ameen nimebarikiwa sana kwa hya mafundiaho mm.ata huletewa nyimbo uaingizini nikaimba tu vizuri but nikiamka asubuhi nimesahau
@AsheriMajengo
@AsheriMajengo 21 день назад
Mungu naomba niwe na Roho mtakatifu maisha yangu awe kiongozi
@lulupeter-xf9gs
@lulupeter-xf9gs 3 месяца назад
Roho mtakatifu ananitia nguvu mpya kila siku amen 🙏🧎.
@user-gn9is3sm4u
@user-gn9is3sm4u 11 месяцев назад
Asante pasta nimekuelewa sana naamini kuanzia Sasa nitamruhusu roho mtakatifu afanye KAZI ndani yangu.
@furahamwasila5687
@furahamwasila5687 12 дней назад
Barikiwa
@user-wm6py7ho2u
@user-wm6py7ho2u 10 месяцев назад
Namuitaji Sana roho mtakatifu maishani mwangu 🙏
@pauloropian2367
@pauloropian2367 10 дней назад
Amen
@OresteMpunga-py6vn
@OresteMpunga-py6vn 20 дней назад
Antônio Samuel kutoka Moçambique asate kwa jia ya kujua roho takatifu
@eunicekerubo7263
@eunicekerubo7263 9 дней назад
Upalikiwe mtumishi kwa mafusho nimepalikiwa Sana
@user-tu1pn1zu5i
@user-tu1pn1zu5i 15 дней назад
Asante kwa mafundishe
@suzanne9517
@suzanne9517 10 месяцев назад
Mungu naomba roho wa mtakatifu aningoze ktk maishani mwangu
@nyafurugoma2749
@nyafurugoma2749 10 месяцев назад
asante kwa kunipa maarifa juu ya Roho mtakatifu hakika nimepata jambo jipya Mungu akubariki
@esthermwathi4972
@esthermwathi4972 10 месяцев назад
Amen...Naomba roho mtakatifu aniongoze katika maisha yangu
@lucyngwale4365
@lucyngwale4365 18 дней назад
Barikiwa sana pastor nakuelewa sana Mungu naomba unisaidie nikusikie zaidi
@rehemam-cc1cy
@rehemam-cc1cy Месяц назад
Asante sana 🙏🙏
@lilywei2967
@lilywei2967 11 месяцев назад
AMEN naamini nitapokea roho mtakatifu
@morrismusili5171
@morrismusili5171 5 дней назад
Akuna njia ingine ila njia ya Musalaba shikeni pindo la Yesuuuu ndio njia ya kweri na uzima
@aminamwambete7496
@aminamwambete7496 6 дней назад
Blessed
@user-dt7hp1mm1f
@user-dt7hp1mm1f 2 месяца назад
Kaka ubarikiwe sana, ninapokeya nashukuru
@user-dt7hp1mm1f
@user-dt7hp1mm1f 2 месяца назад
Roho wa mungu aniongoze anirudishe mbele zake
@RHODAMHILYUNGU
@RHODAMHILYUNGU 5 дней назад
Naitwa Leah samweli nataka mungu anifundishe kuomba nimjue roho mtakatifu
@byusaajumapili6750
@byusaajumapili6750 11 месяцев назад
Ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu
@EllyLupagalo
@EllyLupagalo День назад
Ameeeeen
@user-sn2bw3fk2f
@user-sn2bw3fk2f 5 месяцев назад
Amen❤
@SilvestaKimario-vb9kf
@SilvestaKimario-vb9kf Месяц назад
Amina ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
@user-jh5ic1kk1h
@user-jh5ic1kk1h 12 дней назад
Amina ubalikiwe kwa mafundisho mtumsh mungu anisaidie kumsikiliza roho mtakatifu
@furahamwasila5687
@furahamwasila5687 12 дней назад
Eeh Mungu namuhitaji roho wako mtakatifu akae ndani yangu
@SamuelElijah-nz3lm
@SamuelElijah-nz3lm 3 дня назад
Good
@fridakipingu
@fridakipingu 11 месяцев назад
Amen amen ninashudia kwa kuongozwa na roho mtakatifu mnoo
@user-xx9wg8el4y
@user-xx9wg8el4y 8 месяцев назад
Somo zuri mno barikiwa mtumishi wa MUNGU
@neemamoses5600
@neemamoses5600 Месяц назад
Ameen 🙏🙏 barikiwa sana
@teresiaemmanuelmswamwajuma2464
@teresiaemmanuelmswamwajuma2464 6 дней назад
O God, I pray that the holy spirit will rule my life.
@rizikiochai7581
@rizikiochai7581 11 месяцев назад
Amen.Ni kweli pastor mm hulalamika Sana Kua Mungu hanijibu,Asante mtumishi Kwa Sasa napokea mwelekeo
@leoniapaulo7752
@leoniapaulo7752 11 месяцев назад
Asante kwa somo mtumishi barikiwa sana.
@agnessaidi2084
@agnessaidi2084 11 месяцев назад
AMINA mtumishi wa MUNGU BARIKIWA SANA
@RhodaPaul-lw5pq
@RhodaPaul-lw5pq Месяц назад
Mbona nilichelewa kujua km unamafundusho mazur hivi 💪💪💪❤️❤️❤️❤️
@perisriziki1592
@perisriziki1592 11 месяцев назад
Amen, Asante sana mtumishi wa mungu kwa kutupa ufahamu huu haki unatusaidia sana mungu akubariki sana 🙏
@farajinyaindi6467
@farajinyaindi6467 11 месяцев назад
AMEN I TRUST IN YOU JESUS CHRIST
@user-xk1vu6jd4l
@user-xk1vu6jd4l 2 месяца назад
Asante mungu wangu,naomba roho mtakatifu aniongoze katika anga ya maombi 🙏
@TeresaNyatuka-vc4kb
@TeresaNyatuka-vc4kb День назад
Postor nizaidie mm niliokoka na nikarudi nyuma naomba uniombee nirudi katika safari ya wokovu naomba roho mtakatifu roho wa maombi juu Niko na shida mingi asanti
@gladnessshola2718
@gladnessshola2718 20 часов назад
Kumbuka ni wapi ulipoanguka ukatubu, ukayafanye matendo yako ya Kwanza yani ukaende sawasawa na vile ulivokuwa ukienenda wkt umeokoka, kwaiyo omba toba kwa kumaanisha, soma neno la Mungu, kuwa mtu wa maombi, jitenge na mazingira yanayokufanya urudi nyuma ktk wokovu
@gladnessshola2718
@gladnessshola2718 20 часов назад
Lakini pia usitembee kwenye wokovu bila roho mtakatifu, omba sana roho mtakatifu aje kwenye maisha yako akuongoze, wana wa Mungu wanaongozwa na roho mtakatifu, yeye ni mwalimu, anatufundisha, anatutenga mbali na uovu, anaachilia kiu ya kupenda mambo ya Mungu, Yani yeye ndo dereva wa maisha yetu ya wokovu
@EsterbernardoVumo-kn2xv
@EsterbernardoVumo-kn2xv 3 месяца назад
Amén Amen Amen Ni Muhimu Sana Kuwa Na Roho Mtakafu Kwa Kuwa Roho Mtakatifu Ndio Mwongozo Wetu.
@user-ft3ku5bm3h
@user-ft3ku5bm3h 2 месяца назад
Asante mtumishi wa Mungu, kwanzia Leo nitaanza kumsikiliza roho wa Mungu
@rebeccabrown5135
@rebeccabrown5135 11 месяцев назад
Amen asanti Mungu kwa roho mtakatifu
@user-sn8sj6rl9n
@user-sn8sj6rl9n 10 месяцев назад
Mungu ni mwaminifu naamini atafanya ,naomba Roho Mtakatifu uniongoze katika maombi yangu
@user-ii9mu4ys2n
@user-ii9mu4ys2n 9 месяцев назад
Naomba Mungu aniongoze Ili niweze kumtambuwa
@anithaponsianmugiz6492
@anithaponsianmugiz6492 7 месяцев назад
Amina Na mpaka hapa kukusikiliza ni roho mtakatfu ameniongoza Ubarikiwe sana🙏🙏🙏
@pacificshuli5415
@pacificshuli5415 8 месяцев назад
Amina saana Mtumishe wa Mungu ❤❤
@Alphonsinedjoaly
@Alphonsinedjoaly Месяц назад
Amen, nasiii roho mtakatifu anijiye kwa anjili ya uongozi Bora kwenye maisha yangu
@SeleSeleman-js2fs
@SeleSeleman-js2fs Месяц назад
Asante barikiwa
Далее
ZIJUE ISHARA ZA ROHO MTAKATIFU KATIKA NDOTO
20:54
Просмотров 845 тыс.
Stray Kids "ATE" Trailer
02:42
Просмотров 1,9 млн
SAUTI YA ROHO MTAKATIFU NDANI YAKO
15:14
Просмотров 19 тыс.
NDOTO 12 NA MAANA ZAKE KIBIBLIA- Sehemu ya PILI
13:07
Просмотров 253 тыс.
KANUNI ZA KUOMBA USIKU WA MANANE // HATARI YA USIKU
12:35