Тёмный

Njia Nne Za Kutengeneza Pesa (Cash Flow Quadrant) 

Joel Nanauka
Подписаться 293 тыс.
Просмотров 59 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

23 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 143   
@abelmwakalinga2305
@abelmwakalinga2305 5 лет назад
Asante sana Coacher, Mimi nipo upande wa kushoto bado, ndani ya miaka mitano hadi kumi, nitakua upande wa kulia..
@heroes1932
@heroes1932 6 лет назад
Asante kaka kwa elimu utupatiayo mungu akubariki sana
@eliamalaki9861
@eliamalaki9861 5 лет назад
Asante sana video hizi zinanifanya bora kila cku
@gracenyanza432
@gracenyanza432 6 лет назад
asante kaka huu mwaka najiajili nimechoka kuajiliwa mm sio mtumwa wa pesa asant kaka barikiwa san umenifumbua kbs
@aaaavvvv4261
@aaaavvvv4261 5 лет назад
Wao nmengia darasani sasa najifunza tu zaidi
@salomekombo6166
@salomekombo6166 5 лет назад
Aisee tnx broo kwa kunipa mwanga mana nipo upande wa kushoto lkn ndoto yng kubwa niwe invstor asnte kwa somo hil mana nimeingiza kitu
@jacklinemutua416
@jacklinemutua416 6 лет назад
Inshaallah kwa uwezo wa Allah na juhudi zangu nitajiajiri
@sebastianmsuya
@sebastianmsuya 6 лет назад
Asante sana Joel, niko kushoto ila piga uwa galagaza ndani ya miaka 3 nitakuwa nimetulia kulia
@angumbwikemwalupogo8500
@angumbwikemwalupogo8500 6 лет назад
Ahsante brother nimepata kitu, kwa kuwa Mfumo Wa maisha unataka makundi yote 4 ya exist ili maisha yapate mtengamano ni jambo jema kufanya maamuzi ya kuwa employed na Investor. Ama self employed Ku adverse to business owner
@chidzykijiji8777
@chidzykijiji8777 6 лет назад
napenda sana kuwe muwekezaji wa hisa hasa katika mitandao
@abuuharuna4278
@abuuharuna4278 6 лет назад
poa sana joeli
@godfreykatunzi9680
@godfreykatunzi9680 6 лет назад
Nimejiajirii
@mbatilombatilo5526
@mbatilombatilo5526 6 лет назад
Pia nimekisoma kitabu kinacho elezea hii kitu, it is one among the best books for me...
@salminasalim5630
@salminasalim5630 6 лет назад
Shukran sana, yaani mimi nilikuwa na experience emortional pain, kupitia mambo mengi ya maumivu niliyo yapitia lakini kupitia somo nililoangalia kwenye yu tube nimejifunza mengi and i have to over come my emotional pain accordingly.
@chiticollemans
@chiticollemans 5 лет назад
you are the best
@heben3618
@heben3618 4 года назад
Somo zuri sana
@bintkiondo6882
@bintkiondo6882 6 лет назад
dah!!! asnt kaka unagusa mioyo yetuuuu
@hilalychona9973
@hilalychona9973 6 лет назад
Ila kwa sasa nipo kushoto ila naamini m/mungu nikuwa inshaallah
@salomefrancis4307
@salomefrancis4307 6 лет назад
nashkr kwa somo hili.,,binafsi saiz nipo katka kundi la pili.,,lakn baada ya muda nataka niwe kwenye kund la tatu(business owner). napenda San.
@davidandrew4320
@davidandrew4320 6 лет назад
Asnte sana Kaka Nanauka binafsi Naingiza kipato changu Kwa kuajiriwa..natamani baada ya ktk miaka 10 niingize kipato kupitia Biashara..#mfanya Biashara mkubwa sana...#my mentor
@joelnanauka
@joelnanauka 6 лет назад
David Andrew safi sana,umeshachagua aina ya biashara ya kufanya
@deevoice5381
@deevoice5381 6 лет назад
great>>>>100%
@29WavesTV
@29WavesTV 5 лет назад
Nipo katika upande wa kwanza nimeajirwa na nimeajiri watu kwenyu shughuli zangu .Ndani ya miaka mitano natarajia kujikuta katika upande wa piliI BELIEVE IT'S POSSIBLE!
@sodahjohn1513
@sodahjohn1513 6 лет назад
Nilisoma hizo aina za kutengeneza pesa kwenye kitabu cha rich Dady poor dady cha Robert sikuelewa vzr sasa nimepaelewa vzr
@swabuldinabdul4763
@swabuldinabdul4763 4 года назад
Mimi ni BUSINESS OWNER ninamiliki mfumo nilioanza peke yangu Lakini sasa hivi mfumo una Watu zaidi ya 1000 na ndani ya nchi 10 Duniani namshukuru mungu Kama unahitaji Ushauri Njoo nik Ushauri Learn from successful people or from people who have or know what you don’t know or don’t have
@swabuldinabdul4763
@swabuldinabdul4763 4 года назад
Kama unahitaji msaada wa Ushauri ni buree check on WhatsApp or call +255758112230
@hilalychona9973
@hilalychona9973 6 лет назад
Nashukuru sana bro kuna kitu nakiona sasa ktk maisha yangu nafatilia sana page yako
@frankkristofa5676
@frankkristofa5676 5 лет назад
Thangs friend this is the good and perfect ideas
@deusmjinja5883
@deusmjinja5883 6 лет назад
Noted
@farajahrogath2506
@farajahrogath2506 6 лет назад
saivi sipo popote ila napenda kutumia hela kuta futa hela nyingine
@shaloboy3861
@shaloboy3861 6 лет назад
Saa hii ni muajiriwa after 10yrs mungu akinijalia uhai naitaji kua investor
@josephdavid7410
@josephdavid7410 6 лет назад
Asante j.mimi naitwa musa shabahn npo Mwanza hua nakufuatiria sna mafundisho yko na Mungu akubariki sna naomb kujua hiri rifuatalo unakuta mtu anapesa kidogo iwe raki tano &milion moj hapendi kuajilia je huyu mtu atumie njia gani iri atoke kwa maan ukiangaria hiyo pesa nindogo sna kufanya biashala? naomba unisaidie
@joelnanauka
@joelnanauka 6 лет назад
Joseph David hakuna pesa ndogo katika kuanza biashara.Unachotakiwa ni kutafuta kitu sahihi,angalia Ile video niliyoeleza jinsi ya kupata wazo la kufanya biashara
@khalidunited5978
@khalidunited5978 6 лет назад
Joseph David r
@meckiemillz7348
@meckiemillz7348 6 лет назад
im self employed ila njia rahisi na nzuri kabisa ninayo iona ya kuhamia upande wa kulia (huko kwa mamilionea) ni kujihusisha na Network Marketing
@mobilesolution2413
@mobilesolution2413 6 лет назад
safi sana kaka joel elimu kama hyo na sio kumshawishi boss..! mimi npo kundi la kwanza
@alfredkyalo2739
@alfredkyalo2739 6 лет назад
Thanks sana JOEL kwa kunifafanulia cash flow, coz nimeisoma kwa kiyosaki book bt I didn't understand it deep thanks bro
@rugembejoel4620
@rugembejoel4620 6 лет назад
Nko upande wa kushoto but baada ya miaka kadhaa nyakua upande wa kulia napenda sana kijiajili
@sulejureij3799
@sulejureij3799 6 лет назад
Thanks bro, muajiriwa ila soon navuka boda inshallah. Umenifungua akili sana bro, thumb up
@alexmanoti8374
@alexmanoti8374 Год назад
Namiliki biashara
@neemawilson8531
@neemawilson8531 6 лет назад
in five years time nitakuwa business owner n in next five years nitakuwa investor.kwa sasa napata kipato changu kwa kuajiriwa na as business owner but wa kiwango cha chini
@amarsohal2929
@amarsohal2929 6 лет назад
Kwa sasa nipo kushoto ila nataka by december niwe kulia na nazidi kukufatilia teacher tena ningependa kutoa asante teacher JOEL ARTHUR NANAUKA.
@felisterfrank9087
@felisterfrank9087 6 лет назад
Asantee
@kainibachungege3430
@kainibachungege3430 2 года назад
Brother Nanaukaa Tunafarijika Sana na Mafundusho Yako. Mi ningependa niwe kwenye kundi la uwekezaji.
@حسينهعبيد
@حسينهعبيد 6 лет назад
somo zuri
@justinmmbando5386
@justinmmbando5386 6 лет назад
Nameajiriwa pia namiliki biashara
@joelnanauka
@joelnanauka 6 лет назад
Justine Mmbando naamini una mpango mzuri wa kufanikisha hilo
@johnchibanhila1850
@johnchibanhila1850 5 лет назад
Point
@mwadumahemmanuel148
@mwadumahemmanuel148 5 лет назад
Nipo kundi namba 1 nimeajiriwa, Na baada ya miaka mitano nataka kujiajiri Na kuwekeza yaaan kutumia hela kuleta hela ushauri please
@renatuskahindi8683
@renatuskahindi8683 6 лет назад
mimi ndio kwanza naingia katika upande wa kushoto na nilikuwa nahitaji niweze kufanikiwa kuitengeneza kesho yangu
@forgivemoja2216
@forgivemoja2216 6 лет назад
Nimependelea sana jinsi unavyoelimisha jamii. Naomba kujua ni jinsi gani ya kuwekeza kwa hati fungani, na au kuwekeza kwa hisa?
@johnngongi4810
@johnngongi4810 6 лет назад
Nipo upo upande wa Kushoto!!
@drkimwaga9583
@drkimwaga9583 6 лет назад
kwakwel ni mtu ambye nina doto nyingi ktk maish yang na had saiv nipo upand wa kushot lakn nahc miaka mitan ni ming san nitaingy upand wa kuliya kwa kujituma kwang .naomb tu utakapo ona ujumbe huu nijibu kuna kitabu na kihitaji kutoka kwako baba yang .Have a nice day ,night .
@ussikhamisussi4882
@ussikhamisussi4882 6 лет назад
Ahsante sana kwa elimu, kwa sasa nipo ktk upande wa kuajiriwa baada ya miaka 10 mbele najiona mbali sana.
@joelnanauka
@joelnanauka 6 лет назад
ussikhamis ussi safi sanaa
@joelnanauka
@joelnanauka 6 лет назад
ussikhamis ussi hongera kwa kujiona mbali
@ussikhamisussi4882
@ussikhamisussi4882 6 лет назад
Joel Nanauka; ahsante sana.
@aminathoya4265
@aminathoya4265 6 лет назад
Sasa hivi nimeajiriwa na inshaAllah nataka baada ya miaka mitatu nimiliki biashara..
@francismangula2715
@francismangula2715 6 лет назад
barikiwa mkuu..lakini sauti leo haijawa poa sana inaskika kwa mbali kiasi.
@livingstonmoshi4319
@livingstonmoshi4319 6 лет назад
Ninamiliki biashara Zang mwenyewe nategemea miaka 3 Mbele niwe mwekezaji nnajifunza sna kwako kk
@beatricejoseph2769
@beatricejoseph2769 6 лет назад
for now i am in a left side since nimeajiriwa tuu miezi 5 iliyopita, but i hope when things goes better historia itabadilika
@homenews-q5o
@homenews-q5o 6 лет назад
Upande wa kuchoto.
@landscapephotographer8385
@landscapephotographer8385 6 лет назад
Nipo upande wa muajiriwa
@eliudimwigi8368
@eliudimwigi8368 6 лет назад
Kaka Joel Mwanafunzi wako Eliudi Nipo upande wa Kushoto S (SELF EMPLOYED) Baada ya Miaka Mitano na Kuendelea Malengo yangu Thabiti Nitakuwa Upande wa Kulia But Nimevutiwa Sana ktk Upande wa B (BUSINESS OWNER) hapa nimepapenda sana. MUNGU AKUBARIKI SIKU ZOTE ZA MAISHA YAKO HAKIKA UNATUFUNDISHA MAMBO MAZURI SANA.
@andreamlwafu3844
@andreamlwafu3844 5 лет назад
Mimi nipo upande wa kushoto japo sina furaha na sehemu nilipo ,natamani sana nikipata kucha wa kunisaidia ili niwe upande wa kulia ambao naamini utanirejeshea furaha yangu ambayo ndio asili yangu.
@noreenrowland6063
@noreenrowland6063 5 лет назад
Nimeajiriwa na mshaara mdogo mno nimeaza kujiekeza next year nijiajir
@bonfacemasharia5843
@bonfacemasharia5843 5 лет назад
Am Boniface from Kenya,am employed, and I love cars a lot and reggae music,am caught in between these two why?: 1)how can I start to be a musician? 11) is it right to do mechanics,since I love cars? Please Mr Nanauka,I need your help
@bwiganeafwene1039
@bwiganeafwene1039 6 лет назад
Nimeajiriwa after five year nataka nifungue hospital yangu
@bitemwita6809
@bitemwita6809 5 лет назад
sipo upande wowote ila nahitaji kuown business na kuwa mwekezaji lakini nipo kwenye mipango ya mwisho ya kujiajiri kwa sasa ili niweze kuanza
@rafaelmwanyila33
@rafaelmwanyila33 5 лет назад
kaka mimi naingiza pesa kwa njia ya kuajiriwa,baasa ya miaka kumi napenda niwe investor kaka,hasa kumiliki taasisi yangu ya elimu.
@azizamasoud394
@azizamasoud394 6 лет назад
Am investor
@ronsonyleonard9435
@ronsonyleonard9435 6 лет назад
Nipo upande wa kushoto baba
@anandungulu8256
@anandungulu8256 6 лет назад
Mimi nimeajiliwa lakini ndoto yangu kubwa napenda sana kujiajili na lengo LA kujiajili ili niweze kusaidia yatima na wale wenye uitaji.
@googlemapservices1400
@googlemapservices1400 6 лет назад
Asnt kw elim
@yusufurashidi4141
@yusufurashidi4141 6 лет назад
Kaka mimi niko moçambique nawezaje kupata kitabu?
@chinatanzaniabusiness1262
@chinatanzaniabusiness1262 6 лет назад
I really like u bro
@DRICK-vn3oj
@DRICK-vn3oj 6 лет назад
video zako hazina zauti ongeza sauti
@jacksonmwanyika5697
@jacksonmwanyika5697 6 лет назад
Joel Mara nyingi wewe na luvanda Mara nyingi huwa mnaishia morogoro huku chuo kikuu tunakuhitaji
@erickmsallenge3724
@erickmsallenge3724 6 лет назад
Somo zuri.....Mimi nipo upande wa kushoto self employee ila najitahidi kuwekeza ktk biashara tofauti ili niweze kuwa upande wa kulia
@joelnanauka
@joelnanauka 6 лет назад
erick Msallenge safi sana,Pambana naamini utafanikiwa
@erickmsallenge3724
@erickmsallenge3724 6 лет назад
Asante sana mkuu...ubarikiwe sana
@elizabethemanuel2122
@elizabethemanuel2122 Год назад
Emproyed bt 10 year I want to be bussine and ivestor
@latifapapaa5100
@latifapapaa5100 6 лет назад
Sasa mm niko upande ya kusoto baadae ya maika mwili nataka niende upande ya kulia inshallah
@PASSWORD-026
@PASSWORD-026 3 года назад
Wewe ni fala
@princessamina5035
@princessamina5035 3 года назад
Nimejiajiri ila natamani kukua zaidi kibiashara
@AbdulWahid-hp8qr
@AbdulWahid-hp8qr 6 лет назад
Mm nimeajiriw lakini tataka nijiajiri mwenyewe lakini nafikiria kuw nitaweza kujiajiri mm mwenyew
@imantv544
@imantv544 6 лет назад
Brother mi nipo njia ya pili na ningependa baada ya miaka mitano niwe njia ya nne
@hadijarashid38
@hadijarashid38 6 лет назад
Kwa sasa ni mwajiliwa na natamani na matumaini kuja kua muwekezaji
@ElizAbeth-un6he
@ElizAbeth-un6he 6 лет назад
nipo upende wa kushoto nawaza kufika mbali biashara
@meckdetorvic6221
@meckdetorvic6221 6 лет назад
Mi nipo upande wa kushoto (Employed )
@eliasisaya9273
@eliasisaya9273 6 лет назад
Kwa sasa nimejiajiri lakini nimeweka maleko ya kumiliki biashara siku zijazo
@cossy8503
@cossy8503 3 года назад
Kaka tungependa utufundishe kuhusu hisa na hati fungani
@manonipaul7056
@manonipaul7056 6 лет назад
Mm nipo group LA kwanza self employment
@luccabosslugendo9722
@luccabosslugendo9722 6 лет назад
dah nipo upande wa1 naahukuru nimejtbua mapema
@joelnanauka
@joelnanauka 6 лет назад
Lucca Boss hongera kwa kujitambua mapema
@WAKRISTOKANISALAMUNGU
@WAKRISTOKANISALAMUNGU 4 года назад
Mimi nina biashara ndogo ndogo, ila nategemea baada ya mika miwili niwe na duka la nafaka kubwa kuanzia milooni 5, unanisaidiaje?
@dr.amos..ngailomd
@dr.amos..ngailomd 2 года назад
Employee next 10 years I will shift tobe investors
@beatriceherbert4673
@beatriceherbert4673 6 лет назад
WhatsApp' unatumia namba ipi kaka
@salya8884
@salya8884 5 лет назад
Joel nko na fanya kazi ya nyumba Oman but Nimenunua shamba Sasa nko na mpango ya kununua bus so ni saidie na mawaida kwa vile na sarary ni 23 thousands ni fanye nn ni make hiyo wazo langu pls nisaidie have nice day
@parmdizzo8062
@parmdizzo8062 3 года назад
Samahani broo nilikuawa naomba unisaidie namba yako ya sim please
@denisrenatus4935
@denisrenatus4935 6 лет назад
Asante mwalimu nilisha wahi kuuliza swali kwenye clip zilizo pita Je kufanya biashara nacho ni kipaji?? nahitaj maelozo japo kidogo
@joelnanauka
@joelnanauka 6 лет назад
Denis James hapana,ila unaweza kutumia kipaji chako kufanyia biashara ama ukakigeuza kikawa biashara
@stephanothebig6940
@stephanothebig6940 6 лет назад
Kweli kufanya biashara ni kipaji kabisaaaaaa, kama huna kipaji cha biashara huwezi ukaziona fulsa za kibiashara na utaendesha biashara yako katika wakati mgumu sana tofauti na mwenye kipaji cha biashara, yeye hatumii nguvu nyingi saaaaaana lakini mambo yanasonga mbele. tofauti na mtu asiekuwa na kipaji.
@salvatoryntandu1814
@salvatoryntandu1814 6 лет назад
Denis James elimu yako na commitment
@mancharedaniel4751
@mancharedaniel4751 5 лет назад
kwa sasa mimi in mwajiliwa, ingawa juhudi na bidii niliyonayo in kutaka kuwa sehemu ambayo naipenda na nitaingiza pesa nitakavyo,, napenda pesa iingize pesa I mean INVESTOR
@mandyfitnesstv6738
@mandyfitnesstv6738 6 лет назад
Nimeajiriwa Lakini nimeanza juhudi za kuwa mwekezaji
@godfreymalima9502
@godfreymalima9502 6 лет назад
Joel huwa unasoma hizi comments? Nijibu tafadhali
@novatusfabian4109
@novatusfabian4109 6 лет назад
niko upande wa kushoto ila miaka mitano mbele natumaini nitakuwa upande wa Julia na tayari nimeanza kuweka miundo mbinu
@marthajeremiah
@marthajeremiah 6 лет назад
business owner now,then investor
@thereal_mtangojr2634
@thereal_mtangojr2634 6 лет назад
all employed is poor😂😂
@benjaminlawrence1564
@benjaminlawrence1564 6 лет назад
saiv nmejiajir but afta seven years nataka niwe mfanyabiashara mkubwa wa materia za kujifunzia mashulen
@peterjaphet5048
@peterjaphet5048 3 года назад
Bro fundisha pa kuanzia maana hiyo tayari ni hatua ambazo watu wengi yamkini ata hawana
@mariamogelasanayohana7442
@mariamogelasanayohana7442 3 года назад
kwasas nimeajiriwa lakini kwamika ijayo napeda kuwa mufanya bishara
@elibarikishukya-lf3sk
@elibarikishukya-lf3sk 6 месяцев назад
Kundi lq kwanza
@michaelkessy5740
@michaelkessy5740 6 лет назад
Umenipa mwanga sana na Mimi ni mtu mwenye ndoto kubwa na huwa nayofikiria inakuwa ni sawa na video zako nyingi nakuwa niko sasa na wewe bila kujua najikuta nawaza Kama unavyotupa masomo.... Nimefanya biashara miaka 4 na mwenzangu tunashilikiana biashara nakujikuta malengo ambayo niliojiwekea kichwani kwangu ayatimii....tukabaatika kununua bus na duka la Jumla....nakuona niache kufanya biashara ya kushirikiana na kila mtu awe peke yake..... Nimeshapanga ktk mipango yangu kichwani na kuonyesha njia after 30 year niwe na miliki Trioni moja ya kitanzania or one billion dollars. Nimegundua nilikiwa nakosea ktk formula yako 80/20 rules nilikuwa nikipanga mambo kumi nafanya yote na matokeo yanakuwa 20 percent....sasa nitabadilika na kufanya machache ili nipate asilimia kubwa......
@robertabely5794
@robertabely5794 5 лет назад
michael kessy hongera sana ww uko katk nafas kubwa san, nawaza kujiajili sana napambana lakn wapi, naona sijalenga point husika Nahtaji msaada wako mkuu 0756233379
Далее
EPUKA  HAYA KWENYE  ENEO LA KAZI - JOEL NANAUKA
10:44
Просмотров 59 тыс.
EPUKA VITU HIVI VINAVYOPOTEZA MWELEKEO - JOEL NANAUKA
9:31
Why is it different from what I thought?
00:15
Просмотров 1,5 млн
That was too fast! 😲
01:00
Просмотров 3,4 млн
Fastest Build⚡ | Doge Gaming
00:27
Просмотров 625 тыс.
Njia Nne (4) Za Kukuza Biashara Yako - Joel Nanauka
9:07
RICH DAD'S CASHFLOW QUADRANT (BY ROBERT KIYOSAKI)
10:01
Mambo 5  Ya Kufanya Kila Siku Kama Unataka Kufanikiwa
21:53
LIFE WISDOM: VITU VINAVYOFANYA UNG'AE - JOEL NANAUKA
17:12
Njia 4 Za Kuongeza Thamani Yako Ili Ulipwe Zaidi
22:28
Siri 4 Za Kuvutia Watu Muhimu Kwenye Maisha Yako.
9:48
How To 10X Your Memory & Learning [New speech]
29:09
Просмотров 1,5 млн
Why is it different from what I thought?
00:15
Просмотров 1,5 млн