Тёмный

NYERERE ALIMWAMBIA KARUME WAUNGANE 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 4,3 тыс.
50% 1

"Mwingereza alisema hawa watu lazima wapige kura kama wanamtaka Mwarabu au mtu mwingine. Wapatikane watu watano na wapigiwe kura. Kulikuwa na Chama kinaitwa Arab Association wao walikuwa wanataka nafasi ya Sultan waizuie wawe nao na walikuwa wakichochewa bado kuwe na nguvu. Huku kwetu kulikuwa na African Association na Shiraz Association. Ilibidi watu wakawa wazungumze. Mzee Hayati Abeid Karume alikuwa mtu wa 'sports'. Alikuwa anacheza mpira. Alikuwa akienda Dar es Salaam kila Pasaka. Alikutana na akina Bibi Titi Mohammed na Hayati Mwalimu Jk Nyerere walikuwa wakitafuta uhuru. Akakwambia na wao Zanzibar wanaanza harakati za kutafuta Uhuru.
Nyerere alimwambia hao Shiraz ni Waafrika ila walitawanywa ili watawaliwe. Alimwambia waungane ili wawe kitu kimoja. Wakiwa kitu kimoja kama Waafrika watafika mahali fulani. Hakuwa mchoyo alikuwa akitaka maendeleo na kuinua watu" Mama Fatma Karume.

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 7   
@salyali7807
@salyali7807 Год назад
Mashaallah akili zake bado timam
@k4ssecuritygrouplimited618
@k4ssecuritygrouplimited618 Год назад
Mama anajua sana
@aliyahmedahmed590
@aliyahmedahmed590 Год назад
Baadae akamuuwa...
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 Год назад
Ujinga ya hali ya juu sana yaani meuza mamlaka ya dola ya zanzibari mkawa chini ya utawala wa tanganika ikapotea nchi baada ya kupata uhuru kamili kutoka ungereza NA hali sasa mpaka leo wazanzibari hawataki huo muongano ya kuwatawaliwa milele
@muuminsaid-bd6cm
@muuminsaid-bd6cm 7 месяцев назад
Yani ww mama musha kosea munazidi kuficha ukweli ww na wenzako ipo siku mutasema ukweli tamaa za kimaisha mnataka zamana na madara hamuwi wadilifu hio zambi itawatafuna duniani na ahera na hukum za Allah anawasubi kwa zuluma mloifanya na mpqka Leo
@shaqdizo7678
@shaqdizo7678 Год назад
Karume alikuwa anajiona yeye mwarabu , wametengeneza chama ASP..AFRO SHIRAZ PART...SHIRAZ .. MEANING PEOPLE WITH ARAB DESCENT...FOOLISH MAN Zanzibar is a black man country not Arabs
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 Год назад
KARUNE ALIKUWA MUHUNI BUSTARD. HELL WILL BE HIS HOME
Далее
Salama Na Shangazi Ep 28 | FIRST BORN Part 1
41:43
Просмотров 125 тыс.
Fatma Karume: sijali, nitasema tu
0:55
Просмотров 11 тыс.
SIJARUDISHIWA LESENI | FATMA KARUME | KUHUSU FAMILIA
11:47
NDACHA AKUBALI KUSOMA MADRASSA
1:00:22
Просмотров 17 тыс.