Тёмный

Salama Na Shangazi Ep 28 | FIRST BORN Part 1 

YahStoneTown
Подписаться 395 тыс.
Просмотров 124 тыс.
50% 1

#YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahStoneTownSubs
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
Audiomack Link bit.ly/YahStoneTownAudioMack
‪RU-vid Link bit.ly/RU-vidSalamaNa
Fatma Abeid Amani Karume ni mtoto wa kwanza wa rais wa sita wa Zanzibar na pia ni mjukuu wa rais wa kwanza wa Zanzibar na kiongozi wa mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 na pia ni mwanasheria hodari, na siku za hivi karibuni amekua mstari wa mbeeele kupaza sauti kwenye masuala ya kisiasa hapa nyumbani Tanzania na ni kitu ambacho kimempa umaarufu mwingi kwa wananchi na kupachikwa jina la Shangazi, yeye ndo SHANGAZI wa Taifa.
Kuzungumza naye imekua kama mtihani kiasi maana yeye ni wakili na sote tunafahamu jinsi ambavyo mawakili wanavyojua kuongea kwahiyo ilibidi nitulize nywele kweli kweli ili tuweze kwenda sawa, mwanzo ulikua mgumu lakini tuliweza kutuwamisha maji baada ya muda kiasi na natumai utapata majibu ya maswali ulokua unajiuliza. Pia ilikua emotional kwa kiasi flani maana habari ya ofisi yake kupigwa bomu mwaka 2017 na kupigwa risasi kwa aliyekua rais wa chama cha wanasheria Tanganyika na mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu siku kumi tu baada ya tukio la ofisi kutokea Dar es Salaam lilimfanya awe emotional. Na kama utakua unakumbuka vizuri Shangazi ndo aliyefuata kuwa rais wa TLS baada ya hapo.
Zaidi mi nilitaka kufahamu haswa nia na madhumuni ya kupambana kwake na kutonyamaza kwake kwenye masuala yote ya uongozi na serikali. Na kama pengine na yeye ana ndoto za siku moja kuwa kiongozi, au pengine leo simu ikiita akapewa cheo, je atakichukua? Na nini anataka, nini angependa kibadilike? Huwa anapokea simu toka nyumbani na kuambiwa pengine apunguze kelele kidogo? Au yuko huru tu kuongea? Na mambo ya familia? Na je kuhusu Babu yake na enzi za ASP? Anazikumbuka hizo enzi? Na kuhusu shule je? Alisoma wapi? Alikua smart alipokua mtoto? Anamkumbuka Babu yake? Lini mara ya kwanza alijua kama yeye ni “special”? Na kuhusu mapenzi je? Mara yake ya kwanza kumpenda mtu? Alikua nani? Alikutana na mumewe akiwa na miaka mpingapi? Na kwao je wako wa ngapi? Na yeye ni wa ngapi? Shule ipi alienda?
Kuna suala la yeye kuzuiliwa kufanya kazi pia, licence yake imezuiliwa hapa, pia nilitaka kujua sasa anashije? Na kama ana watoto? Yeye ni mama wa aina gani? Akiacha kuwa Twitter huwa anafanya nini? Kuna mambo anayopenda kuyafanya ambayo sisi hatuyajui? Na kama kuna uwezekano wa yeye kujikita kwenye siasa? Maongezi yalikua marefu na machachari rafiki, na matumaini yangu utapata majibu ya maswali ulokua unajiuliza juu yake… Tafadhali enjoy.
Love,
Salama.
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown

Развлечения

Опубликовано:

 

8 авг 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 560   
@stavystunnah
@stavystunnah 4 года назад
SHANGAZI ANA MADINI YA KUTOSHA SANA NA ANAJUA NINI ANACHOKIONGEA 🙌🏾🙌🏾
@UgandanAllstarTales
@UgandanAllstarTales 4 года назад
uwa napenda sana wageni wanao tufanya tufikirie mambo kwa kina zaidi. this was one big Gem of a conversation. makofi KWA TEAM
@clausemsemwa297
@clausemsemwa297 3 года назад
Sio interview na mitu mijinga...this is interview
@clausemsemwa297
@clausemsemwa297 4 года назад
Can we have 10000 interviews from this REAL proffecional.......
@anethnelson9307
@anethnelson9307 3 года назад
Shangazi kasoma Ulaya kumbe, ila kuna watoto wametoka kwenye familia nzuri na bado hawafanyi vizuri darasani, big up shangazi, hard work pays no matter where you’re from
@lusajojohn6654
@lusajojohn6654 4 года назад
Kwa kweli leo umekata kiu yangu, tunaitaji mashangazi wengi wenye upeo kama kwa afya ya Nchi yetu. I really love you shangazi.
@charlesatanas3270
@charlesatanas3270 4 года назад
nimependa majibu yake ya kua anatokea maisha mazuri..kupata shahada haimaanishi unatokea maisha mazuri
@ujudiabdull9442
@ujudiabdull9442 4 года назад
Salama nimecheka sanaaaaa uliposema" unajua sijamaliza swali langu "yaani mambo ni motooooo.........
@BeatusKLeon
@BeatusKLeon 3 года назад
Salama is an excellent interview. She is objective and focused
@slayingtee6044
@slayingtee6044 4 года назад
Salama leo umekoma Shangazi anamajibu kama yote..😂😂😂 She's very confident and smart
@mammyquetkiba9672
@mammyquetkiba9672 3 года назад
I rewatched the conversation is so smart enough tough of coz sijawai mskiliza shangazi na i used kumskia tu but i got something special in my mind kutoka kwa SHANGAZI she's very smart ntairudia mda wote
@officialvassa9023
@officialvassa9023 4 года назад
Leo tumerudi darasani, Asante Sana swali moja kwa maswali saba jibu moja kwa majibu saba pia na nyongeza ya maelezo.. Inatuponya uelewa wetu Asante SHANGAZI!!
@safinabarungura3774
@safinabarungura3774 4 года назад
Hahahahaaaa. Nimeipenda hiyo debate. She seems humble masikiini hataki kujiona bora even if salama didn't mean to irritate her🤗
@swahiliwithZita
@swahiliwithZita 4 года назад
I rewatched the conversation. Kwakweli, it takes a second to do something nice to someone but that person atakumbuka milele e.g Salama kumnunulia karanga shangazi. Wema hauozi.
@thehealthierkidneyfoundati2689
@thehealthierkidneyfoundati2689 3 года назад
Interview safi sana, sasa wale wasanii ambao hatuwaelew tuwaweke pembeni kwa muda..
@cleopatrasalha2964
@cleopatrasalha2964 3 года назад
Jamani hii ndo maana ya interview hivi ni mimi tu ndo nimeelewa interview 😩this is beautiful very interesting she is just so comfortable on God and it’s so sweet jamani take me with you bibi
@cliffrichard7uu789
@cliffrichard7uu789 3 года назад
Hapo salama shangazi sio mtu wa mchezo mchezo. Huyu nimwanasheria namaranyingi wanasheria ni hatari sana kwa maneno hutamuweza. Ila nimependa sana hii interview. Hua shangazi namkubali sana
@asterialucas4680
@asterialucas4680 4 года назад
Pole my darling ...... Yaan Shangazi Fatma I enjoyed this interview like never before 💪🏽 so bold so focused and intelligence.
@dianamichael73
@dianamichael73 4 года назад
Nampenda shangazi sana ananipa hamasa ya uanamke nliokuwa nautamani nikiwa mdogo niwe nao
@hafidhhemed1514
@hafidhhemed1514 4 года назад
u can still be.. dont give up ur dream
@princemujuni9803
@princemujuni9803 3 года назад
Shangazi much respect aisee asante kwa wakalimani pia kwa kutupatia subtitle interview hii imekua bora kwa upande wangu too much sense.
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 3 года назад
Ujue nimechukua muda kusikiliza hii interview kila ni kiiruka inakuja tena kumbe kuna cha kujifunza ndani yake, ila Shangazi ana asira sana
@rachelbahahazo6362
@rachelbahahazo6362 3 года назад
Kanahasira Kama mbogo hahaha
@lukullikiwamba6494
@lukullikiwamba6494 3 года назад
Wafrika wengi wanaogopa sana wanawake walio elimika na hilo ndo kosa la shangazi Fatuma, amezungza vitu muhimu sana shida watanzani wengi bado awana elimu
@giftprudence
@giftprudence 4 года назад
One thing naona shangazi needs to recognize and accept that she is privelleged, it is what it is. But am glad she is using her privelleges for good. I love shangazi💖💖🤗🤗
@africanlife2331
@africanlife2331 2 года назад
Alafu ana short temper sana
@getrudegladstone1881
@getrudegladstone1881 4 года назад
We need more people like her....amenifundisha mengi sana sio siasa tu
@safinabarungura3774
@safinabarungura3774 4 года назад
Hii interview utashangaa inafutwa. Ngoja waione😂🤗. Nice one
@swahiliwithZita
@swahiliwithZita 4 года назад
Nimeelewa vizuri mno the whole tume huru vibe maana nilikuwa sielewi elewi naskia tu. Yani Shangazi kaelezea vizuri sana. Fatma ni mwalimu mzuri pia. I loved the whole interview! will rewatch!
@thabeamiage5376
@thabeamiage5376 3 года назад
Fact
@thabeamiage5376
@thabeamiage5376 3 года назад
Fact
@promramson80
@promramson80 4 года назад
Best interview. ..Maria Sarungi must be the next, please
@hahmadhabibu2076
@hahmadhabibu2076 4 года назад
"Sio kiapo my darling "😊😊 I love love loveeeeee her.....ananikosha sana..pia ni smart and tough
@shikikitabunda1177
@shikikitabunda1177 4 года назад
Leo nimejua kuwa kiapo siyo issue katika haki
@hahmadhabibu2076
@hahmadhabibu2076 4 года назад
@@shikikitabunda1177 kweli kabisa alafu wanatumiya vitabu vyamungu ama kweli siyasa inasiri kubwa sana
@lucky_ferrie
@lucky_ferrie 3 года назад
My best interview, I love how she elaborates her answers in a way that is so easy to understand and how she makes you pay attention to what she is saying.. Really captivating and perfect!
@rahmasaidi6708
@rahmasaidi6708 3 года назад
Work of advocates ...
@blessed-ke6fv
@blessed-ke6fv 3 года назад
You made your point salama concerning maisha mazuri,ila shangazi kama anafokea hivi...vingine havipingiki ni ukweli...shangazi appreciate that you did or you still have privileges compare to most of Tanzanian since you came from noble family ,but you dont afraid to jeopardise that for the sake of other people to whom you don't even know.FOR THAT YOU BECOME A TRUE HIRO...Most of us tusige kua na hata robo ya uthubu ulionao..mungu akuongoze zaidi.
@gepronydesign7146
@gepronydesign7146 3 года назад
Hello Salama Mambo, Mimi sio mfuatiliaji sana wa channel yako lakini mara kwa mara nikipata kamuda naingia kucheki. Sasa kaushauri tu ndugu yangu. Hivi umewahi kufikiria kufanya mahojiano haya ukiwa na watazamaji kwenye kaukumbi hivi mfano watu 50 . Hii itakuwa wazo nzuri pengine litaongeza pato kidogo pia. Sababu baadhi ya watu wangependa kuwa live kwenye haya mahojiano. Hili ni wazo tu. Asante
@alistairelias536
@alistairelias536 3 года назад
Good idea 👍🏾
@kingabditto9027
@kingabditto9027 4 года назад
This is ma best interview ever
@feiz3180
@feiz3180 3 года назад
Salama, asante kumhoji shangazi. Nzuri sana. Nimefurahi kwa masuala na yeye kajitahidi katika kukujibu. Hongereni.
@adamuayubu7885
@adamuayubu7885 4 года назад
Ni kweli kuwa familia yako hajifanya upate ilichokuwa nacho,lakini kuna ukweli kuwa familia yako imefanya ufike ulipofika japo juhudi binafsi ni kitu cha msingi.Ungekuwa kama mimi usingeenda kusoma UK ukiwa na miaka 11.
@siegfrieddavid6816
@siegfrieddavid6816 3 года назад
Kinachojalisha niutetezi wake kwa walio chini na wanao nyonywa,lawama zingine za wewe kuwa hapo ulipo au kutosoma ulaya ni juu yako na familia yako
@rahmasaidi6708
@rahmasaidi6708 3 года назад
Riziki hutoa mungu
@kapendalubowa534
@kapendalubowa534 3 года назад
Ndo Maana amekwambia Hakuna mwanadamu anayechagua azaliwe wapi.
@adildewji
@adildewji 4 года назад
Tanzania’s powerful ladies..very impressed.
@fridanyoni2867
@fridanyoni2867 2 года назад
Shangazi anatema cheche
@ramadhaniabdi9530
@ramadhaniabdi9530 4 года назад
Fatma Anazungumza vzr sana Hadi raha✌
@thomasnguku9240
@thomasnguku9240 4 года назад
Bonge moja la interview
@TheMandela21
@TheMandela21 4 года назад
Salama you did well ....for asking her about her father and her background. She is a privileged child of a former President (although she fiercely denies it!!!!) - she was at her highest emotional note during the interview -and Salama seemed shocked and intimidated at that point!! . She tried to deny you an opportunity to ask your question. She also seemed to have been really intimidated, angry and furious and out of scope by Salama's persistence on asking the same question - this became evident when she started talking about all the best schools she went to...all her achievements and everything. Thank you for keeping on asking your question on the fact that she is a Karume and the fact that it raises eyebrows when she is furious and a continous critic of the system that raised her , protected and created the foundations of most of what she is today.....
@lazaromtui1355
@lazaromtui1355 4 года назад
She didn’t denied. Katoa facts za kutosha kwamba na yeye anafanyiwa mbanga.
@swahiliwithZita
@swahiliwithZita 4 года назад
I think it gets in her nerves alot of ppl using her priviledge status to define her instead of seeing her as her and her achievements. Later on, she did make it clear that she hates to be compared. I'm glad she showed her true colors.
@TheMandela21
@TheMandela21 4 года назад
@@frankissaya2578 kindly edit or re-write I did not get your point clearly
@maverickcreativesolutions8285
@maverickcreativesolutions8285 4 года назад
You still don't make sense. what point are you trying to justify?
@macktubwazir2110
@macktubwazir2110 4 года назад
She denied by a reason saying that sometimes its not about the reputation of your family that could keep you at higher position but your achievements as well can manifest even if its not going to be as easier as peoples coming from wealthy and well known upbringings.
@maricefarrar4126
@maricefarrar4126 4 года назад
Shangazi, you're a great woman .I love that. Mungu akitujalia, ningependa tukutane.
@zulfahussein6356
@zulfahussein6356 4 года назад
"Change is innevitable its a matter of time" kasema shangazi best interview inatufanya tujue some staffs
@deniskalangari9226
@deniskalangari9226 3 года назад
True meaning of Iron Lady ✊
@violetlongo5087
@violetlongo5087 4 года назад
Love youuuuu shangazii....unamadini sana
@calistusnyeupe9491
@calistusnyeupe9491 3 года назад
This interview is dope , salama unatisha sana. i like you.
@almassylivester4691
@almassylivester4691 4 года назад
kwa tume huru hiyo upo sawa ila kwa sasa MAGUFULI KWANZA, akimaliza ,ndo tujadiliane maana sidhani kama kuna mwananchi asiye taka maendeleo, na magufuli ameonyesha nia ya kutuongoza kwenda huko. LAITI MGEJUA WANANCHI TUNATAKA MAENDELEO HATUTAKI SIASA ZA KUTUGAWA UNGEWASHAURI WASHIRIKA WAKO (UKAWA) WAJE NA HOJA SIO SIASA ZA VURUGU. love you
@hawamtambwa402
@hawamtambwa402 4 года назад
Mungu akubariki
@wedream7506
@wedream7506 4 года назад
Kiongozi Kama anafanya Kaz atapita na kwenye tune huru pia it's not about ukawa time huru no kilio Cha watu wote sio tyu ukawa
@mbonabuchabucha9657
@mbonabuchabucha9657 3 года назад
Salama uko vizur!!! Una maswali yenye maana sana!! Shangazi pia nimependa anavyojibu❤❤
@clarabayo1166
@clarabayo1166 3 года назад
I admire Fatma. I love how Salama carried her self in this interview. Much respect to both ladies.
@mulangobaraza3706
@mulangobaraza3706 Год назад
One of my favourite of your interviews this far, Salama. Following from Nairobi, Kenya. Kazi nzuri unayofanya hapo na wenzako. Heko!
@wedream7506
@wedream7506 4 года назад
Such an enlightening interview can we have you on a monthly basis shangazi
@naimamwambe8083
@naimamwambe8083 4 года назад
Shangazi nakuombea umri mrefu na afya najivunia kuwa na kiongozi kama wewe zanzibar Kuna madini Mashaa Allah,
@zedon2047
@zedon2047 4 года назад
Shanganzi ana foka sana tatizo... ila its a very great interview! Big Up Salama
@farhathassan7178
@farhathassan7178 4 года назад
dada salama leo umejuta kumwita shangazi, hana ujinga hata kdg hahahahah
@fahadfaraj1822
@fahadfaraj1822 3 года назад
Mkali ka pilipili
@haroubfuad7638
@haroubfuad7638 4 года назад
I love to see such people having the same accent as me....i feel less weird
@RioIpo
@RioIpo 4 года назад
Wazenji wenzetu hawa hahaha
@ikupaenock8114
@ikupaenock8114 4 года назад
This taste different I love it ...keep it up Salama
@Scorpion08726
@Scorpion08726 4 года назад
I appreciate the way Salama anamuachia mtu ajieleze vzur zaidi👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
@josephstephen2047
@josephstephen2047 4 года назад
Fatma yuko very defensive hampi nafasi ya kuuliza maswali
@kijokombao5345
@kijokombao5345 4 года назад
Salama leo face to face na mahakama sasa😀😀
@vanessastafford5120
@vanessastafford5120 4 года назад
Asante sana Salama, Kwa Hii interview
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 6 месяцев назад
Dada Fatma, heshima yako. Ni mtu mmoja mwenye hekima, busara, nidhamu sahihi, mstaarabu sana mwenye upeo beyond. Na experience uliyonayo, elimu na umeishi na kusoma nchi mbalimbali, pia umepitia changamoto nyingi kimaisha, zimekufanya uwe shujaa wengi wataisikia tu, na wengi hawatakufahamu wataona I ni privilege tu. Naamini wengi waliozaliwa Tanzania, kusoma Tanzania hawana mwamko wa hali ya juu na haw ajitambue. Wanapokea na kuitumia maelekezo tu na Hawajielewi kwani wa nadhani mambo ndivyo yanavyokuwa. Na wachache waliotembea kidogo tu, they have not earn what you have earned, Ndo maana wana kuwa machawa ili wapewe maslahi bure bila elimu zao kukidhi. Na wa nafikiria no Sawa kabisa. Nakupenda bure for being , honest, bold and strong bila kupepesa macho. That’s so rare to find. Hiki kılındı ni cha muhimu sana hongera zake sana dada pia kwa kuwa muwazi na kurala kujua ukweli wa mambo na kuuliza maswali aliyoyauliza. Kuna wa awake wengi nchini kama nyinyi ingawa wengi ni waoga na hawajiamini. I salute all woman who stands up to fight, educate and resilient. Pongezi kWa wanawake. Katiba mpya na tune huru ni sasa. Liberation to Tanzania. Ahsante dada Salma.
@aaronswai3092
@aaronswai3092 3 года назад
Nimempenda bure Fatma Karume. She is very brilliant. Mungu akubariki sana Fatma.
@ProphetsweetbertHoly
@ProphetsweetbertHoly 4 года назад
Nilichogundua Shangazi anapaniki Sana lakini maswali ya Salama NI Yale tuliyonayo huku mtaani maana Salama amesimama Kama #Mjumbe anatuwakilisha wananchi na mjumbe hauwawi ila kwa Shangazi Mjumbe anauliwa .#DontPanicShangazi #WeweNiTofautinasisi na haiwezi kubadilika kwakutokujua baba yako na Babu yako WAlikuwa maraisi wangapi.
@zainabkazige7388
@zainabkazige7388 4 года назад
Kabisa yani nakuunga mkono!
@ProphetsweetbertHoly
@ProphetsweetbertHoly 4 года назад
@@zainabkazige7388 Asante Zai maana ndio uhalisia kinamuuma nini.
@alexanderthegreat4439
@alexanderthegreat4439 4 года назад
Poor man thinking
@magangajames4644
@magangajames4644 4 года назад
Hiyo ndo ongea yake siku zote.ila ww upo kishabiki zaidi uwezi mwelewa inaitaji akili KUBWA umwelewe(BIG THINKING)weka ushabiki pembeni sikiliza madini hayo.
@zainabkazige7388
@zainabkazige7388 4 года назад
@@magangajames4644 mie nampenda sana na sina ushabiki yote aloongea ni point tupu... ila kama yeye alivyoumia kuambiwa yupo tofauti na sisi hapo ndo na mimi nilikuwa naelezea maoni yangu kuwa ni kweli tupo tofauti... She knows many things na anajitambua... ila kwenye ukweli utabaki kuwa ukweli tu! Hauwezi ukafananisha mtu alosoma shule nzuri na aliyesoma shule za bora elimu ndugu yangu
@matildabyanda7854
@matildabyanda7854 3 года назад
Jamani Shangazi anamchanganya Salama akitaja ivyo vyuo.😅😂😂😂, jamani kusoma Tu Sussex university na vyuo vingine tayari umepata quality ya elimu tofauti na wengine.😂😂😂., Salama kawezwa leo...
@joharindaro3075
@joharindaro3075 3 года назад
😅😅😅😅😅😅😅😅 mamaae
@cleopatrasalha2964
@cleopatrasalha2964 3 года назад
People should interview her more we learning i would listen to her all the time we need explore like these kule ig Ahsante salama
@TheMandela21
@TheMandela21 4 года назад
I mean just expressing what I noted nothing personal about her she is an accomplished woman in her field
@alexanderthegreat4439
@alexanderthegreat4439 4 года назад
Very poor observation
@voodothurday
@voodothurday 4 года назад
@@alexanderthegreat4439 😂😂 indeed alex, where was she when her father was on power?
@josephstephen2047
@josephstephen2047 4 года назад
@@voodothurday Chuo
@jimkellyngige981
@jimkellyngige981 4 года назад
Salama leo amepatikana...🤣🤣🤣🤣...pole my darling!!
@winfridamwigilwa2107
@winfridamwigilwa2107 4 года назад
Hahahaha. Kwa kweli
@bensonkaile9606
@bensonkaile9606 4 года назад
LUDICROUS, mtu mzima kuulizwa obvious questions alafu ana catch feelings!
@latriciah01augustino67
@latriciah01augustino67 4 года назад
@@bensonkaile9606 Shangazi wa taifa huyooo😀😀😀😀😀😀😀
@pilimwanza8117
@pilimwanza8117 4 года назад
you obviously did not see the interview well. hapa alopatikana ni huyo Shangazi yenu
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 3 года назад
hakuna swala la nani kapatikana hapo ni uchambuzi wa hoja tu
@adolphmarimbo7731
@adolphmarimbo7731 Год назад
Shangazi nampenda Sana Angekuwa lecture ,tungefaidi Yuko very bright
@khasuab2067
@khasuab2067 3 года назад
I met her in 2009 at chavda hotel in stone town when I was in my field attachment . She is so smart , beautiful with brain, I loved her eyeliners the way she make it I took an example from her. I loved her body language 😍❤️ ❤️❤️. @ salama thanks for bringing her.
@eischerschwederm7876
@eischerschwederm7876 3 года назад
My opinion, she isn't bright..Manipulator, yes
@joshmangi
@joshmangi 4 года назад
Best Interview Ever.
@tanzaniatouristsattraction1622
@tanzaniatouristsattraction1622 4 года назад
Kiingereza nadhani anaeleweka vizuri kuliko Kiswahili
@ibrahimwenceslaus7942
@ibrahimwenceslaus7942 4 года назад
We ni ndugu yang Nini emb check me on my email ibyusibyus@gmail.com
@shikikitabunda1177
@shikikitabunda1177 4 года назад
Wenye wivu watasema anajisikia kumbe anapata taabu Sana kuongea kiswahili
@Suleimansalum
@Suleimansalum 4 года назад
amkuwa nje kiswahili amejifunzia ukubwani saivi ndio anaelekeza vizuri zamani alikuwa anaongea ovyo zaidi
@abuusufian6506
@abuusufian6506 4 года назад
Shangaz Kama Shangazi akeee ♥️♥️♥️♥️
@narcosmaoze9486
@narcosmaoze9486 4 года назад
Best ever interview 👏👏
@semanamitv898
@semanamitv898 3 года назад
I most like it... Shangazi your among of trueth pples... Congrats both, amazing Interview😎👍
@adriafurahamatemu6080
@adriafurahamatemu6080 3 года назад
OMG, nimekua nikiipita hii show everyday but i can say it is the best show. You ladies are magnificent.
@emmanueljmwaisabula9346
@emmanueljmwaisabula9346 4 года назад
Best Episode Ever 😍
@kindysuleiman5935
@kindysuleiman5935 4 года назад
Thank you salama enjoying your prog
@commissionermadoyvlogs1926
@commissionermadoyvlogs1926 3 года назад
Keep it Up Dada Salama jabir..Ur bro from 254🇰🇪
@salummhina4857
@salummhina4857 3 года назад
Salama naomba soma hii !mara zote nimekua fan wako sana.Ila leo umefanya nikupende na nizidi kukuheshimu kwa kua unasimamia kile unacho kiamini.Shangazi sio rahisi ku mu interview!!Anajikinga sana kuulizwa asiyoyapenda lakini umekua very firm and strong kuuliza kile ulichopanga kuuliza bila kujali muulizwaji anapinga kiasi gani!! Big up Salama
@sameersabran5351
@sameersabran5351 2 года назад
Such a interesting Interview from Fatma karume she is a big inspiration to the whole world . as well her goal is to maintaining justice should be balancing to equality and rightly 🙌
@willekippe2062
@willekippe2062 3 года назад
Now this,,this us how u nail an interview...this is my number 1 interview in TZ ...HONGERENI
@demondburgess7514
@demondburgess7514 2 года назад
Asante sana for the Kiswahili subtitles, Ninajifunza kualewa lugha ya Kiswahili... It helps a lot. 💯
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 3 года назад
Utadhani huo ndo ukweri. Kwakua nchi kuiongoza sio kama familia yako....ukiwa nje ya uwanja huona makosa ya wachezaji lakini ingia ucheze utajuta
@reenlis7665
@reenlis7665 3 года назад
I liked the way she hits up the question. Please can you invite millard ayo
@tumakassim6286
@tumakassim6286 4 года назад
Salama leo unaonekana kama unaogopa ogopa,lakini usijali we mjumbe tuu unatuwakilisha
@metiliole7189
@metiliole7189 3 года назад
Salama umepigwa za uso! Duh shangazi majibu yak sio mchezo mchezo
@hopebruno2987
@hopebruno2987 3 года назад
huyu shangazi anae akili sana na anajua jieleza yaaan naham interview iendeleee kumbukumbu zake na feelings ziko real .................................
@elisanteephrahim7444
@elisanteephrahim7444 3 года назад
Shangazi is so smart!a brain to embrace and a book to read! Salama you’re Great!
@hafidhkhalid930
@hafidhkhalid930 4 года назад
Kwa lugha nyepesi kuhusu tume tuseme hivi kesi ya nyani kumshtakia ngedere
@leokamil6284
@leokamil6284 3 года назад
Ndio haswa hivyo
@slayingtee6044
@slayingtee6044 3 года назад
😂😂😂😂😂
@mwalimumage2450
@mwalimumage2450 4 года назад
Salama 1998 ulikua form 3 Acha kutufokea aisee😂😂😂
@mbwanadavid4371
@mbwanadavid4371 3 года назад
Nmependa hizo subtitles maana wagen wako wanamwagika kiswanglish kinoma , na interviews zingine pia uweke hizo subtitles ni faida kwetu sisi darasa la saba
@yusuphsaid8920
@yusuphsaid8920 3 года назад
A voice of a leadership!!! Respect it cause there is a responcebility for those who have a privilege to amplify the voice of those who might not Shangaz jus say
@selemantambulegeni3225
@selemantambulegeni3225 4 года назад
Dah dada yangu Salama leo, hahaha umekuwa mdogo ghafla, anyways tupo darasani leo.
@steavmcper7322
@steavmcper7322 4 года назад
Asante shangazi leo salama umekutana na biscuit 🍪 ya chumma
@hadijalukas5959
@hadijalukas5959 3 года назад
😁😁😁😁😁🙌🙌🙌🙌🙌
@mshekuu17
@mshekuu17 3 года назад
kumtambulisha Fatma kama “mtoto wa Karume” kwenye description is so wrong. She has her own achievements that supersede her biological affiliations.
@francetimos5906
@francetimos5906 3 года назад
Really mama teacher me I mean when I say teacher me because I did know about TUME HURU and I enjoy this interview Thanks SALAMA and mama
@AbduRahman-os2vx
@AbduRahman-os2vx 4 года назад
Kwenye tume huru nimempata vilivyo coz raisi ndio anawateuwa hao wasimamizi.
@ibrahimkibira9943
@ibrahimkibira9943 3 года назад
I really love her since day one nice interview ever I love the show kip it up Darling and remember this the change's is good
@dicksonjustin7160
@dicksonjustin7160 3 года назад
Shangazi unamadini mengi san big to you
@dulahayaam8727
@dulahayaam8727 4 года назад
Salama naona unafanyiwa interview
@swahilikitchen5353
@swahilikitchen5353 4 года назад
Much love Salama na shangazi ❤️❤️❤️
@josephgregory2162
@josephgregory2162 3 года назад
Ukisoma mbele bana unakuwa aware sana
@ibrahimdabo7163
@ibrahimdabo7163 3 года назад
Hawawezi kufanya uchaguzi huru hata kidogo wanajuwa wakiweka uchaguzi huru ccm kwisha habari yake sana tu
@muhammadnassor2252
@muhammadnassor2252 4 года назад
Ingependeza Salama kipindi chako unaowaalika ktk kipindi wawe wanatumia kiswahili ili kudumisha lugha yetu Haya mambo ya kuchanganya lugha ni utumwa
@salimalghannami3059
@salimalghannami3059 Год назад
she is absolutely correct 🙏 she looking for a peaceful change and next generation will rember her💐
@robertoiso2713
@robertoiso2713 3 года назад
Smart interview...... 💯
@tasnimmaalim8532
@tasnimmaalim8532 4 года назад
Nice statement Salama you deserve the best
Далее
Salama Na Shangazi Ep 28 | FIRST BORN Part 2
39:13
Просмотров 65 тыс.
Salama Na KAJALA Ep 35 | JERAHA LA MOYO Part 2
19:16
Просмотров 149 тыс.
Stray Kids "Chk Chk Boom" M/V
03:26
Просмотров 31 млн
Salama Na Gigy Money Ep 12 | ZILE KHADITHI Part 1
25:27
Shilole alivyokuwa Muhudumu wa Hoteli na kumtongoza Ray
19:43
How Many Balloons Does It Take To Fly?
0:18
Просмотров 156 млн
Всегда проверяйте зеркала
0:19