Hii ni Porposal ya nyumba ya vyumba vitatu yenye muonekano wa kisasa . Ramani yake imehakikisha kila chumba kina nafasi na mwanga wa kutosha ili kuifanya ivutie kwnye kila chumba utakachokaa. ina hitaji kiwanja chenye squre mita walau 600 . Wasilian nasi kwa taarifa zaidi
27 авг 2024