Тёмный

MTITI MKALI; MWANANCHI ACHARUKA, "MAKONDA UONDOKE HAPA, UTAKUJA KUTATUA MGOGORO MWINGINE" 

Uhondo TV
Подписаться 605 тыс.
Просмотров 575 тыс.
50% 1

#UhondoTV #Uhondo

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 360   
@HadijaJoseph-d1g
@HadijaJoseph-d1g Месяц назад
Makonda tunakupenda sana mwenyezi mungu akulinde uko vizuri kaka kwa kazi , tatizo vizuri hafidumu
@vicentbunzal7342
@vicentbunzal7342 20 дней назад
Wewe Ni nyumbu kabisa unavyomuombea makonda,huyu makonda ndo tatizo ktk nchi hafai kabisa huyo,hatakiwi hata kuobewa mema Ni wakuombewa mabaya tu huyo
@michaelnjunwa9270
@michaelnjunwa9270 8 месяцев назад
Brother Makonda yupo vizuri... Sijawai kuona effort za namna hii
@errydeo8865
@errydeo8865 7 месяцев назад
hana lolote unafiki tu anatak kujifanya JP;na hii sio kasi yake
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 7 месяцев назад
Mtu utamjuwa kama ni mzuri akianza kazi maana wakati wakuomba kazi lazima awe mwema na hawa wenyesiasa usiwaamini sana wakati huu uwaamini wakishi chaguliwa ukiwaona wakitimiza yale waliokua wanayasema
@allanmtumbuka3100
@allanmtumbuka3100 3 месяца назад
Hv inakuaje wanapewa.leseni ya kuongoza kwaa ongopea wananch.
@jeanmarieirankunda-ww4bn
@jeanmarieirankunda-ww4bn 3 месяца назад
Makonda hatakama Mimi si mtanzania ninakubali kazi yako pia Mungu akujalie mema
@fatumashisha141
@fatumashisha141 2 месяца назад
Amen nampenda
@bosramwank2373
@bosramwank2373 7 месяцев назад
Nakuelewa vizur mh. Makonda
@Aamours
@Aamours 8 месяцев назад
Hii kazi ya Makonda mimi naitafsi kama ni kampeni za kuelekea uchaguzi mkuu 2025.
@EliasTarimo
@EliasTarimo 8 месяцев назад
Upo sahih hakika si uongo ni kwl kbx
@DirectorRich2024
@DirectorRich2024 8 месяцев назад
😂😂😂😂 unajicho kama mm
@stevenemwakasimba-pt8er
@stevenemwakasimba-pt8er 8 месяцев назад
Uko sahihi kabisa
@bahatinassorali5222
@bahatinassorali5222 8 месяцев назад
Umeshtuka kama mimi😅
@mwanakombopopo5117
@mwanakombopopo5117 8 месяцев назад
100%
@faridahalwaily85
@faridahalwaily85 8 месяцев назад
Tumshukuruh Allaah na mama Sameeha kumletaa makonda kuwatatuliyaaa shidaa zenuuu nendeeeni naeee poleee poleee. Walowekwaaa ndio wenyeee shidaaa kuwaendeshaaaa mbio maraiyaaaaa kuweniii na subrah mutatuliweeee shidaa zenuuuu Allaah na nyiyeee kWa ummojaaaaaaa. Wenuuuu.
@danstanmushobozi-bu7ru
@danstanmushobozi-bu7ru 8 месяцев назад
Makonda Hana uwezo kutatua matatizo yaliyosababishwa na serikali yake, huu ni usanii tu.
@jesaminzo
@jesaminzo 8 месяцев назад
​@@danstanmushobozi-bu7ru kweli kabisa, yaani wanataraji bashite awatatulie shida zao, kituko!
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 8 месяцев назад
@@danstanmushobozi-bu7ruAlimaliza USHOGA NA SASA ATAWAMALIZA MAJIZI YOTE 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🥳
@vicentnyanda828
@vicentnyanda828 8 месяцев назад
​@@danstanmushobozi-bu7ru unàjua kuna wajinga hawaelewi kama hapa ni siasa tuuu😂
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 8 месяцев назад
​@@jesaminzokabisaa
@vailethpauloPaulo
@vailethpauloPaulo 7 месяцев назад
Fanya kazi baba mama tunakupnda kwa kumchanguwa huyu mtu ktk maisha yetu na mungu awasimamie kila iitwayo leo na family zenu
@yasinta2342
@yasinta2342 7 месяцев назад
Acheni ujinga wa kuandikika vichwa vya habari vya kitapeli tapeli na kijinga jinga vya kuwavuta watu ili wasome habari ! HAKUNA ALIYESEMA MAKONDA UONDOKE
@AlexanderKibona-os2bt
@AlexanderKibona-os2bt 4 месяца назад
Yan awa wakufutiwa ii kaz
@HeryethAleck
@HeryethAleck 3 месяца назад
Asante umenisanua ngija nipite😅😅
@LovenessKalindu
@LovenessKalindu 2 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤❤​@@HeryethAleck
@YudaKabogo
@YudaKabogo 8 месяцев назад
Makonda upo vzr sana
@KHAMISMOHAMMED-fj4bs
@KHAMISMOHAMMED-fj4bs 2 месяца назад
Hii ya kuandikwa kichwa cha habari tofauti watu wa habari waingilie kati huyu ujinga uishe
@fattymusa4857
@fattymusa4857 8 месяцев назад
Mwandishi, kichwa cha. habari tofauti na maelezo.
@rehmakondo
@rehmakondo 8 месяцев назад
Yani huyu muandishi ovyo kbsa
@Asha-u3b
@Asha-u3b 8 месяцев назад
Mwandishi ni mchonganishi
@elizalutiga6287
@elizalutiga6287 8 месяцев назад
Watu wa wanajibu tu bila kusikiliza
@faisalanuary7033
@faisalanuary7033 8 месяцев назад
​@@Asha-u3bclick bait 😂yani kichwa cha habari ni chambo, lazima unase😅
@flycobensony9680
@flycobensony9680 8 месяцев назад
Anazingua huyu
@LevinantAoko
@LevinantAoko 8 месяцев назад
Makifuli," haaa ,nani atafikia Ile hekima ya hayati Makifuli ?nonono,you are trying but aujamfikia , keep it up and more effort.
@rosemataba3544
@rosemataba3544 8 месяцев назад
kampeni anasafisha njia mama akija asitumie nguvu nying
@shamimushittindi1418
@shamimushittindi1418 7 месяцев назад
Makifuli ni nani
@hilalhamad-h5l
@hilalhamad-h5l 8 месяцев назад
Hii si kazi ya katibu mwenezi kwenye mkutano wa hadhara. Hujasoma sheria bora ukasome uongozi
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 8 месяцев назад
Katumwa huyo unafikiri anaanza tu shauri yako
@mallowmduhu4933
@mallowmduhu4933 8 месяцев назад
Mwenezi ni moja ya majukumu yake, huyo ndiye mtunga sera na msimamizi wa sera hivyo anachokifanya wala hakuna kosa😂😂😂
@frankjohn8706
@frankjohn8706 8 месяцев назад
​@@mallowmduhu4933KWA chama chake sio kwa Taifa na itikadi tofauti ndio maana hata sikukuu ya kuzaliwa ccm haipo ki Taifa kwa watu wote Bali ipo ki ccm tu Wala sio kiserikali japo ccm ndio tawala
@loner_wolf
@loner_wolf 8 месяцев назад
Unafikiria kazi yake ni nini ? Yeye ndio anafuatilia kama iILANI ya chama inafuatwa.....sasa ulifikir nini kazi yake ...?
@Lodrickmwambene
@Lodrickmwambene 8 месяцев назад
Wewe Ndio ulewi kazi yake
@patrickmsuguri
@patrickmsuguri 8 месяцев назад
Hii ndio maana ya kusomea unachokiamini hapo makonda ume qualify kuwa nwenezi kweli kweli ❤
@yudachelango6824
@yudachelango6824 3 месяца назад
Kwani amesomea uenezi?
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 8 месяцев назад
Hii nchi imewashinda
@hafsamnenga1942
@hafsamnenga1942 8 месяцев назад
Ila makonda namuona magufuli kabisa ,p
@achantyyahya4290
@achantyyahya4290 6 месяцев назад
Uhondo Tv Mwe ni mbwaaaaaaaaaaaaa😢 kichwa cha habari sio yaliomo
@UshuziwaSerikali
@UshuziwaSerikali 8 месяцев назад
UJINGA NI HUU HUU, WE MAKONDA NI TAIRA KAMA HUYO BIBI YAKO SAMIA, MNAFIKIRI MTAENDELEA KUWADANGANYA WATANZANIA, TUMEWACHOKA NA USHUZI WENU MNAOUFANYA NA KODI NA MALI ASILI ZA WANANCHI
@PauloMathayo-ql8cl
@PauloMathayo-ql8cl 4 месяца назад
acha zako makonda sio taila atatua kero za waninchi
@AnnaKanje-tw2rz
@AnnaKanje-tw2rz 4 месяца назад
Umechomaaaaa😂😂😂 Ushuzii....punguza ukal wa maneno kdogooo........
@ponsianomwakisunga899
@ponsianomwakisunga899 3 месяца назад
Nenda katombwe uko
@Alimasibahati
@Alimasibahati 3 месяца назад
hii channel inapenda kuandika vichwa vya habari vya uongo sana andika vitu vyaukweli watu wataona kazi yako tu!
@isacktemba551
@isacktemba551 8 месяцев назад
Ivi kweli hii nchi tumekubali bodaboda ndio kazi ya msingi kweli na nchi yenye neema yote hii na utajiri
@AjiaMohamed-rt5pb
@AjiaMohamed-rt5pb 8 месяцев назад
Unataka tufanye nn ss
@NixonGerson
@NixonGerson 8 месяцев назад
Aibu kubwa
@ahmed-shakirmwamba4992
@ahmed-shakirmwamba4992 8 месяцев назад
Tatizo ni kutawaliwa na chama hicho kwa hicho na fikra finyu za Viongozi kama Makonda. Fikra mbadala ni lazima.
@RamadhaniBendera-j1s
@RamadhaniBendera-j1s 8 месяцев назад
inawezekana kipato cha bodaboda wew ukifikii mpka unakufa wew
@simonlukiko2850
@simonlukiko2850 8 месяцев назад
UNAFANYA KAZI GANI. WEWE AMBAYO. NAMZIDI BODA BODA
@RAMADHANIMWERA
@RAMADHANIMWERA 4 месяца назад
Makonda saidia wananchi wewe ni magufuri ulie Baki big up
@itiamekimbui722
@itiamekimbui722 7 месяцев назад
kuna vile sijaelewa huu mzunguko wa makonda kwa gharama za serikali .ukisikia kero za wananchi ndio mbinu ya kutafuta kuura?
@RobyJoachim-y2k
@RobyJoachim-y2k 7 месяцев назад
Mwenezi wa chama hii ni kazi yako kweli!!!
@BJ-qi6rp
@BJ-qi6rp 7 месяцев назад
Siyo kazi yake!
@Msemaukwelitanzania
@Msemaukwelitanzania 3 месяца назад
Ndugu mwandishi ieshimu kazi yako acha kuandika Taito ya uongo katika hii video nimwananchi Gani aliemwambia mweshimiwa makonda atoke nakuonya ifute hii video au badirisha taito cheza na wengine sio mweshimiwa makonda kaka utaitia pilipili hii kazi yako sasaivi
@ukuvukiland2387
@ukuvukiland2387 8 месяцев назад
Hivi haya maigizo yanayofanywa kipindi hichi kabla ya uchaguzi ,yangefanywa kila mwaka mara moja tuu na wangeunda kamati nchi nzima ya kushughulikia kero na madai ya wananchi na wangezishughulikia ingependeza sana.
@Wami-Sababisho
@Wami-Sababisho 8 месяцев назад
Nchi yetu haitaki mtu mwenye maamuzi magumu maana hata aliyepita alikuwa na mambo zaidi ya mazuri lakini mwisho wa siku alionekana ana mambo ya kinyama baadae watu wanaanza kumkumbuka wakati ameshatangulia mbele ya haki. Sisi ni watu wa kulalamika tu hatuna jema
@morjanoman5181
@morjanoman5181 8 месяцев назад
Tukae kimya mana tukisema Sana wanatuona tunaikosoa serikali kumbe hizi hojandio zilitakiwa kilamwishoni MWA. Mwaka wangekua wanatembelea wananchi
@MboweMbowe
@MboweMbowe 7 месяцев назад
Watanzania mnapigwa hakuna mambo ya maana hapo wanapiga kampeni ccm imechoka kuongoza nchi
@morjanoman5181
@morjanoman5181 8 месяцев назад
Kwaza tunakushukulu mamaetu kipezi samia. Kutuletea makonda ushauli kwa viongo ivoizikero za. Muwemnaweka kila mwaka mwezi wa 12. Mnawasikiluza shidazoa sio adi kampeni za uchaguzi samahani kama nimewakera🙏🙏
@ismailisungura3491
@ismailisungura3491 8 месяцев назад
Makonda siyo kazi yake
@johnmkumbwa3310
@johnmkumbwa3310 7 месяцев назад
Kazi ni ya baba ako choko nini acha
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 8 месяцев назад
HAKUNA CHA MAANA ANACHOKIJIBU
@leokamil6284
@leokamil6284 8 месяцев назад
Anawa enjoy wapumbavu ambao anajua wamejaa nchi hii
@rahmambugi2322
@rahmambugi2322 3 месяца назад
Makonda naomba uje kua Rais ccm oyeee💪🏾
@LalasalamaBB
@LalasalamaBB 3 месяца назад
Makonda kongole mungu akulinde bro
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 8 месяцев назад
Ccm kama jumba la kale.jipya wakati wote na kila kizazi litatembelea jengo hilo.
@IreneMalley
@IreneMalley 3 месяца назад
Mkome makonda kiboko yenu Arusha mmezoea uwizi makonda Mungu ampe ulinzi nakufuatilia sana
@jofreysaimoni4964
@jofreysaimoni4964 8 месяцев назад
Hao ulio sema wakakae waelewane. Mm ninamashaka ubabe utafanyika hapo
@Pentecost598
@Pentecost598 4 месяца назад
Hamna hata aibu kujiita uhondo TV. Sasa hapa Pana uhondo au vichwa vya habari vya uongo ?
@fortyyellu9971
@fortyyellu9971 8 месяцев назад
Hii migogoro inatakiwa itatuliwe KISERIKARI na wala sio KICHAMA watanzania tusiwe mazwazwa... yaan mnakaa na kumsikiliza mtu aliyevaa nguo ya chama si UJINGA HUOO..!! Mambo ya chama yanamalizwa kichama ndani ya chama.. Shituken nyinyi.. msipelekwe pelekwe tu
@ElizaZabron
@ElizaZabron 3 месяца назад
Kusema kweri makonda yupo sawa nivizuli sana angekuwa raisi wa jamhili ya muungano wa 🇹🇿
@SostenesMabala-tt8pt
@SostenesMabala-tt8pt 8 месяцев назад
Pumbavuuuu upuuzi tu .
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 8 месяцев назад
Sheria za Tanzania huwa zina mganganyiko...
@lyrics_forum
@lyrics_forum 8 месяцев назад
Tatizo Makonda Una Act kama Rais au Kiongozi Mwenye Ngazi nyuma ya Rais wakati wewe ni Katibu Mwenezi tu.. Wakati Mwingine mihemko yako Angalia isikugharimu, naona kama Unajaribu Kuiga Moyo wa Magufuli unasahau yule alikuwa Rais sio Katibu Mwenezi wa Chama cha Matapeli.
@Lodrickmwambene
@Lodrickmwambene 7 месяцев назад
Nyie ccm wajanja sana kura zipo kwa wananchi Wewe unadhani kaamuwa tu kufanya hivyo nchi ni ya ccm na itaendelea kuwa hivyo vizazi vizazi
@IdrisaAbdallah-pf4mw
@IdrisaAbdallah-pf4mw 7 месяцев назад
Upo sahihi kabisa yn nashangaa sana
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 7 месяцев назад
ni muenezi ana haki zote ndo anashikilia chama na ni wajibu wachama kutatua matatizo ili raisi na serikali waendelee kuwepo,bila ccm Samia atakuwa rais?yuko sawa,sio katibu mwenezi tu,sio cheo kidogo hivyo unavyo dhani,practically ni mkuu sana na hayo ni sawa
@estermathias8354
@estermathias8354 7 месяцев назад
Watu hawajitambui hii kaz sio ya rais mbona atachoka sasa kaz ya mwenez ndio hii kujua shida za wananchi wake ili chama chake kiendelee kukaa madarakan.sasa afanye raisi ki vip mbona hata jpm alikua anasema hiz kaz unatakaje wafanye wasaidiz wangu .nyie nao na chuki zenu kwà makonda hazisaidii ameshakubalika hata mkimchukia haisaidii
@estermathias8354
@estermathias8354 7 месяцев назад
Watu hawajitambui hii kaz sio ya rais mbona atachoka sasa kaz ya mwenez ndio hii kujua shida za wananchi wake ili chama chake kiendelee kukaa madarakan.sasa afanye raisi ki vip mbona hata jpm alikua anasema hiz kaz unatakaje wafanye wasaidiz wangu .nyie nao na chuki zenu kwà makonda hazisaidii ameshakubalika hata mkimchukia haisaidii
@Moosamly
@Moosamly 8 месяцев назад
MAKONDA umevaa CHENI shingoni 🤣😁🤣
@azizially557
@azizially557 8 месяцев назад
Sisi tunataka katiba mpya tume huru ya uchaguzi ndo mjue ccm ni chama Cha maigizo miaka 64 ya uhuru umeme hauna uhakika
@awadhally1052
@awadhally1052 8 месяцев назад
Kwel kabisa wiki mtupu mpaka sasahivi umeme nishida
@exprodigitaltechtv5571
@exprodigitaltechtv5571 8 месяцев назад
boda boda ndo wanaongoza kulalamika kila siku lakin ndo hao hao wepesi kununuliwa na kutumika kisiasa
@abdalamwendi3133
@abdalamwendi3133 8 месяцев назад
Waziri mkuu kama mtendaji mkuu wa shughuli za serikali ana kazi Gani!? Majukumu yake ni yapi!? Na katibu mwenezi CCM ana kazi Gani na majukumu yake ni yapi!? Yani mwenezi wa chama CCM anatoa maagizo Kwa watendaji wa serikali ambapo kimsingi ama kidemocrasia anaowapa maagizo sio kwamba wote ni CCM pamoja na ukweli kwamba watumishi na watendaji wote wanatekeleza ilani ya chama kilichopo madarakani. Kwa Nini mwenezi anatoa magizo ambayo kimsingi yalitakiwa yatolewe na mtendaji mkuu wa shughuli za serikali ambae ni waziri mkuu? Mambo ya ajabu eti katibu mwenezi CCM anajua Kila kitu?? Amemfunika adi Bosi wake Mwenyekiti wa chama CCM na makamo Wake 😂😂.
@YasiniMomboka
@YasiniMomboka 8 месяцев назад
Kwani makonda cheo chake kipo upande gan ccm au selikalini
@CyrilleLopez-qo8rm
@CyrilleLopez-qo8rm 3 месяца назад
Kweli Makonda ni marehemu magufuli minimrundi inanamfatasana
@Dogochao
@Dogochao 8 месяцев назад
Makonda bado uwezo mdogo. Sana. Bora ally happi. Yupo vizuri Mara 100
@Boaz22
@Boaz22 8 месяцев назад
Ally hapi ana skendo ya kufira mashoga, kwani hujamsikia yule shoga dayon aliehojiwa na mange kimambi? Ally hapi hawez kua kiongoz tena, ana skendo mbaya sana
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 8 месяцев назад
​@@Boaz22😢😢😢
@PericyKiko
@PericyKiko 8 месяцев назад
Mtie moyo hata kwakidogo
@salimucvales7495
@salimucvales7495 8 месяцев назад
Makonda oyeeeeeeee CCM oyeeeeee mama Samia oyeeeeeeee
@anjelomsafi7133
@anjelomsafi7133 7 месяцев назад
DAHHHH YANI MTU KAJIELEZEZA MATATIZI YAKE YAKE LAKINI KAPUUZIWA KESI IMEISHA JUU JUU APO ANGEKUWA MAGU KESI INGEISHA MBELE Y WANANCHII😢😢
@shamsuddin4582
@shamsuddin4582 7 месяцев назад
Huyu ni vilee hana power, angekuwa rais ungeona
@sabiilassalaf
@sabiilassalaf 8 месяцев назад
Noma iyoo
@odoieriasmonga6591
@odoieriasmonga6591 8 месяцев назад
Sisisem nchi imewashinda kila konamalalamiko achieni ngazi
@awadhally1052
@awadhally1052 8 месяцев назад
Kwel kabisa
@KulwaSanga-d7q
@KulwaSanga-d7q 8 месяцев назад
Unadhani wataachia kwa hiki ki sms chako ..em be serious mkiambiwa tuandamaneni kudai haki zetu uko zako busy na utafutajiii
@ZenaUsangi
@ZenaUsangi 8 месяцев назад
KWA TAARIFA YAKO UNAEMFIKIRIA KUSHIKA NCHI ZAIDI YA CCM HAJAZALIWA BADO HAWA WENGINE WOTE VYAMA VYOTE NI WAPIGAJI TU HIVYO BORA NA CCM.
@mbarakajummadindamadinda491
@mbarakajummadindamadinda491 8 месяцев назад
Mungu futa liccm
@adamdango
@adamdango 8 месяцев назад
Mbinguni tu ndio hakuna malalamiko. Kazi ya CCM ndio maana unasikia boda boda wanaongelea millioni 400 na millioni 120. Hiyo ndio kazi ya CCM.
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 3 месяца назад
Kwa makonda musilete za ovyo. Huyu mkuu ni mwamba. Hakuna masihara hapa ni kazi tuu
@bagengift3488
@bagengift3488 8 месяцев назад
Kosa kubwa ni kumpa Mchaga au Mmeru MiC 😅
@mosessheella894
@mosessheella894 4 месяца назад
Kesi ya nyani kuipeleka Kwa nyani,
@MajaliwaMabala-g1v
@MajaliwaMabala-g1v 7 месяцев назад
Daa tunakupendaa sana
@WilliamSosiende
@WilliamSosiende 3 месяца назад
Nikweli kabisa
@LomnyakiSanare
@LomnyakiSanare 8 месяцев назад
Huyu ndo anaomba mdahalo kweli?????puu mbaka!!!!!!!!!
@crispinankya3843
@crispinankya3843 8 месяцев назад
Kazi ya Public transport ni serikali.
@stellamsokwa6785
@stellamsokwa6785 7 месяцев назад
Usipoenda na upepo utachelewa kufika... Be flexible kikubwa mambo yaende🚶
@mfebricknkuna7106
@mfebricknkuna7106 8 месяцев назад
Ni aibu kwa n'nchi iliyopata uhuru miaka zaidi 60 na kushindwa kutoa ajira kwa vijana wake. Boda'boda ni kazi hatari sana, na inatuletea vilema vingi siku zijazo.
@othmanjumankwabi4150
@othmanjumankwabi4150 8 месяцев назад
Serikali inatengeneza mazingira bora miundombinu ili tujiajiri.HAKUNA SERIKALI INAYO TOA AJIRA
@othmanjumankwabi4150
@othmanjumankwabi4150 8 месяцев назад
SERIKALI HAIWEZI KUAJIRI KILA KIJANA
@mwlpierre
@mwlpierre 8 месяцев назад
@@othmanjumankwabi4150peekaboo ujinga wako uko mshamba wewe
@ebenezerchurchsupremetv9490
@ebenezerchurchsupremetv9490 8 месяцев назад
Watu wote muajiriwe😅😅😅 Iko nchi gani umewahi kuona hilo 😂😂😂
@gidionkadaraja1403
@gidionkadaraja1403 8 месяцев назад
Tumia akil wew serkal haiwwz ajir watu wote
@songombingo108
@songombingo108 8 месяцев назад
Haya MAIGIZO ni shida sana. Yaani Bashite ndo Leo anatatua matatizo??? 😂😂Nchi ngumu sana hii
@velejilyomhongole1641
@velejilyomhongole1641 8 месяцев назад
Nenda wewe
@ElitulizaMinja
@ElitulizaMinja 3 месяца назад
Makonda mtu wa maana kabisa,,, Kuna watu wanatamani ardhi ipasuke waingie uko
@suleimanzimbwe373
@suleimanzimbwe373 3 месяца назад
Wajifanya Magufuli Makonda kick za hovyo acha kujitia vyeo vikubwa ww sio rahisi wa nchi ..bado sana
@Moosamly
@Moosamly 8 месяцев назад
MAKONDA unaZURURA sana... Unakula BAJETI ZA PESA za WANANCHI
@userwalterreal
@userwalterreal 8 месяцев назад
Of course 😊 ninapenda utatuzi wa kero hizi Sasa mm kinacho nifikirisha kwann Hawa watu uwa wapo tu apo kwambele kwann asiwe Ana chukuwa nawatu kutoka nyuma kabisa
@bahatijoseph8763
@bahatijoseph8763 8 месяцев назад
😂😂😂
@zuanshimchina2278
@zuanshimchina2278 8 месяцев назад
Kwani rais ana kazi gani
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 8 месяцев назад
Makonda Shule hakuna 😂😂😂
@abdallahjuma5475
@abdallahjuma5475 8 месяцев назад
Shule sio uongozi kaka wapo wenye elimu kubwa ila uongozi hawauwezi
@EmanuelSaleh
@EmanuelSaleh 2 месяца назад
Huyu mwandishi inavo onesha happening kazi anayoifanya makonda ashindwe na akafie mbali huko
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 8 месяцев назад
Maigizo.a.k.a Futuhi.
@SuhaylahSuhaylahAdam
@SuhaylahSuhaylahAdam 8 месяцев назад
Hhhhhhh
@WilliamSosiende
@WilliamSosiende 3 месяца назад
ATA ukienda Kenya Mombasa bajaji zinabeba Abirja
@JoseJohanes
@JoseJohanes 7 месяцев назад
Vzr
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 8 месяцев назад
Kodi za rtr na zingine ziondolewa kila mtu awe huru kama ilivyo Uganda kwa mzee mseveni
@mbarakajummadindamadinda491
@mbarakajummadindamadinda491 8 месяцев назад
Mungu futa liccm
@EnockKombolela-f7x
@EnockKombolela-f7x 8 месяцев назад
Huyu makonda ni kiongozi wa wizara gani na nyie wananchi mnamuuliza awasaidie nini
@leokamil6284
@leokamil6284 8 месяцев назад
Wapumbavu hawa na ndio waliwao wanatia aibu kabisa
@zezenuvel7612
@zezenuvel7612 8 месяцев назад
Ati mwamfulani:kwahivyo una mdai mbugu Sisi wanyonge:ahaha simdai namuomba. Lol😢
@feisalmwinyi2429
@feisalmwinyi2429 3 месяца назад
Tusemeni ukweli Mh Makonda Madini anayoo ya kutoshaa alifanya kosa kubwa mno Mh marehem Rais magufuli kuendelea kumuacha kipindi kile chote cz jamaa anamadini adimu ata tukimpa miaka 10 bado ata Roho hajayatumia
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 8 месяцев назад
ASANTE SANA MAMA SAMIA KWAKUMCHAGUA MAKONDA. ANAFAA SANA KUWA KIONGOZI. ALIUNYOOSHA SANA MKOA WA DAR. PALE ALIPOKUWA MKUU MKOA
@AIKABAHATI
@AIKABAHATI 7 месяцев назад
Ni mkuu wa mkoa wa wapi..
@HeriMohamedi-p6g
@HeriMohamedi-p6g 8 месяцев назад
Makonda anacheza na akili za wajinga ambao ni watanganyika hiyo anayoifanya inastahili rais ndio aifanye na maamuzi anayotoa hayafanyiwi kazi kwanza makonda siyo mahakama acheni upumbavu
@punnamalaba4445
@punnamalaba4445 8 месяцев назад
Wivu huo mwache atatue kero za watu kama magufuri, mbona mahakama yako haitembelei wananchi 😂chapa kazi makonda tunakuombea wasikuue wanaokubeza hawa
@myself4128
@myself4128 7 месяцев назад
HII NI KAMPENI YA 2025 KUIPA KIKI CCM SABABU WASHATUONA VILAZA TUNASAHAU MAPEMA....SHIDA ZA WANANCHI HAZISIKILIZWI JUKWAANI NI UPUUZI MTUPU NA KUDHALILISHA WATU
@songeza
@songeza Месяц назад
Jamani ebu msitufanye tuwe wendawazimu mazuri yalipita je kuna baya gani hadi mnamkamata na kufanya tusimuone ebu mpelekeni kwao mwachisheni kazi au mnataka uchaguzi uishe ndio mtangaze,?
@cheedyboy
@cheedyboy 6 месяцев назад
Jamani...viongozi...tendeni...haki...kwa...wananchi...wenu..
@Enerygozbet
@Enerygozbet 8 месяцев назад
Kijana unafaa kuwa mtu muhimu sana kwenye serikali yetu agalau mkuu wa wilaya
@saloomidd1084
@saloomidd1084 8 месяцев назад
Amefafanua kwa uweledi wa hali ya juu
@ruwaichijoseph5946
@ruwaichijoseph5946 8 месяцев назад
Huyu makonda Hana msaada kwenu jitambueni ,anafanya kampeni ya ccm , takeni katiba mpya iongose nchi
@sarahweston2708
@sarahweston2708 7 месяцев назад
Huyu mwananchi alimpania makonda ha ha ha ha,,ataumbuka makonda akiwa rais daaaa
@hssanrubota3891
@hssanrubota3891 8 месяцев назад
Haya maigizo hatuyataki tunataka maendeleo halisi tengenezeni viwanda muwezeshe wakulima pamoja na kutafuta masoko ya uhakika ndio suluhisho la ajira siyo bodaboda siyo kuleta maigizo na mkumbuke kila mnavyozalisha wananchi wasiokua na ajila ndoo mnavyozalisha mnatengeneza bomu litalolipua nchi mjitafakali mapema
@happynesmadege
@happynesmadege 8 месяцев назад
Hii tatizo
@MariamMapunda-e3j
@MariamMapunda-e3j 8 месяцев назад
Sukari kg 5000
@salummohd-wz8mt
@salummohd-wz8mt 3 месяца назад
Makonda tunajua anataka kuchukua fomu ya uraisi Africa viongoz wetu wanafanya wema karibu na uchaguzi
@errydeo8865
@errydeo8865 2 месяца назад
Atachukua je Form ya urais wakati sio mbunge ndani ya CCM?
@Prax1
@Prax1 7 месяцев назад
Makonda ni mwigizaji
@geophureysamsoni5033
@geophureysamsoni5033 5 месяцев назад
Kazi ipo hiiiii
@samuelkuyi6751
@samuelkuyi6751 8 месяцев назад
Watanzania ss ni wajinga sana,Mwenezi atapiga kabobo tu na kusepa,hakuna jipya hapo
@JesseJames-g2w
@JesseJames-g2w 7 месяцев назад
This Is Honorable Magufuli Style Copying and Pasting...
@priscasway3492
@priscasway3492 7 месяцев назад
Jamani wanabambikiza watu bili
@sekelambena6751
@sekelambena6751 7 месяцев назад
Makonda mbona hutatui tatizo la umeme
@LivinTarimo-f6i
@LivinTarimo-f6i 2 месяца назад
Mwache ajichanganye anafikiri uongozi ni kitu kidogo
@ValerioKiputa-be6vt
@ValerioKiputa-be6vt 8 месяцев назад
Mshenzi tu
@meshackyudi9487
@meshackyudi9487 7 месяцев назад
Hivi huyu Makonda ana cheo gani serikalini? Sasa katibu mwenezi wa chama ndo wa kuwaendesha viongozi wa serikali?
@suleimanmbarouk650
@suleimanmbarouk650 4 месяца назад
Huyu bwana ananyota sio poa wasio mkubali ni wasio penda maendeleo,, nawambia hivi mama anakubalika ila akitoka mama tanzania kua raisi basi makonda kw utashi wake na upendo wake kw nchi yake na raiya wake ndio Raisi wetu mama apige10yake makonda atafata mutakuja kuniambia.
@Husseink5
@Husseink5 8 месяцев назад
Ccm wanaakili sana unadhani kwenye uenezi wangemuacha yule mama kuelekea uchaguzi mkuu wangepoteza sana wamemleta makonda asafishe njia kuelekea 2025
@DuniaAlly-oz4ur
@DuniaAlly-oz4ur 3 месяца назад
Mtu mjinga yoyote razima asimuelewe makonda
@bonifacerobert2960
@bonifacerobert2960 8 месяцев назад
Makonda unajipa madaraka isiyo nayo. Shauri yako!
@ramadimbegu7996
@ramadimbegu7996 8 месяцев назад
Madaraka ya urithi
@lotimwansule5017
@lotimwansule5017 8 месяцев назад
Kazi ya wakuu wa Mkoa ninini? Mbona makonda anafanya kazi ya mkuu wa Mkoa?
@Omarjumanne-zm9zh
@Omarjumanne-zm9zh 8 месяцев назад
Hata wenyeviti wa mikoa. na wilaya wengefanya lakini ukiona hivyo wahako kwa ajili ya watu wasaka pesa tu
Далее
V16 из БЕНЗОПИЛ - ПЕРВЫЙ ЗАПУСК
13:57