Тёмный

GOROFA YA ROOMS 4 SIKILIZA BAJETI HAPA ATA WEWE UNAWEZA KUSIMAMISHA GOROFA UKIACHA UWOGA 

Sanuka Media
Подписаться 44 тыс.
Просмотров 84 тыс.
50% 1

#gorofalamwijaku

Опубликовано:

 

6 янв 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 100   
@ce-08
@ce-08 5 месяцев назад
Bro Mungu akupe umri mrefu umenifanya nianze kujiamin kumbe naweza jenga nyumba ya maana hata kama sio ghorofa🤝
@fastonerugotwa3026
@fastonerugotwa3026 5 месяцев назад
Habari yako Mkuu , Kumbuka Mirunda, Mbao 2*2, 4*4, 1*8, six na Marine board. Board moja 48*60= Wawekee watu kila ki2, Then sijasikia habari ya ring, grill, maji kwenye ujenzi na kumwagilia slab for 14 to 21 days , na basi kama ni 140*140 au 120*120 kitako cha maana. All in all mambo mengine umeyaweka vizuri. Binafsi niliongeza na pagola ya kupumzikia juu yaani sehemu ya floor ya pili ndo ikagusa 380.
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 6 месяцев назад
Ulijuwaje jaman nilikuwa nataka raman ya kagolofa simplo kama hili zur ❤
@user-dz9xg9ll1n
@user-dz9xg9ll1n 6 месяцев назад
Great job
@jimmysantana3987
@jimmysantana3987 5 месяцев назад
Umetishaaaaaa ndugu yng good insipiration
@SalimhchialaAtilio-qj5cs
@SalimhchialaAtilio-qj5cs 6 месяцев назад
Thanks brother 🥰
@aploscoder4358
@aploscoder4358 5 месяцев назад
wow wow wow UMETISHA MAN, TANGU NIMETUMIA VIDEO LEO NDO NMEKUTANA NA CHANEL YA BONGO YENYE VITU VYA MSING NA FONDESHENI
@samwelisamsoni6402
@samwelisamsoni6402 5 месяцев назад
Asante kaka nmejifunza kitu Mungu akubariki saba
@eliyagervas8680
@eliyagervas8680 6 месяцев назад
Thanks man
@jobuumwambelo2341
@jobuumwambelo2341 5 месяцев назад
Mwambaa Mungu akuwekee kwa kadili apendavyooo 🤝🤝🤝🤝
@user-xn8jh1yw1h
@user-xn8jh1yw1h 5 месяцев назад
Tutajenga. Ahsante kwa ushauri.
@babupiza641
@babupiza641 6 месяцев назад
Nimekuelewa sana mzee
@yusuphHatibu-jy6kv
@yusuphHatibu-jy6kv Месяц назад
Broo Allah akujalie sana mana unatupa ufaham na kujiamni kua tunaweza kufanya vitu vikubwa. Shukran sana
@athumannambombe4334
@athumannambombe4334 6 месяцев назад
NONDO KWA HIYO IDADI HAIFIKII HIYO GHARAMA HIYO ILIYOKADIRIWA KWA SABABU UTAAGIZA KWA TONE AMBAYO INAKUWA NA NONDO ZISIZOPUNGUA 90 NA HATA CEMENT UNAWEZA KUAGIZA KWA TONE 30 AMBAYO UNAPATA MIFUKO 600.
@shabanikitula645
@shabanikitula645 6 месяцев назад
Bado iko juu sana
@phantyrhymes9536
@phantyrhymes9536 5 месяцев назад
Very good explanations...umetumia bei halisia ya 2024,,, Nondo Tsh.23,000/= Cement 18,000/= Mchanga Lori 100k kwenda juu, Nondo 280K. Uko sahihi mkuu.
@user-is9oc6ul8h
@user-is9oc6ul8h 4 месяца назад
Uko njema bro
@mkwejonathan361
@mkwejonathan361 6 месяцев назад
Uko vzr, ntakucheki tukae tuyajenge brother
@zaiboris9696
@zaiboris9696 6 месяцев назад
Nice
@sheikhalumbalambala2655
@sheikhalumbalambala2655 5 месяцев назад
Safi sana
@peternyambui7492
@peternyambui7492 5 месяцев назад
Safi sana❤❤❤❤
@AalyahNassor
@AalyahNassor 6 месяцев назад
🎉🎉🎉
@chrizostomchristian1884
@chrizostomchristian1884 5 месяцев назад
Ntakupa Kaz mwanza na bukoba uwe on line muda wote
@bexy.
@bexy. 6 месяцев назад
Umetisha kaka sina kitu ila natamani nyumba kana hii walau hata baba yangu alalie tu
@jonasafumwisye6357
@jonasafumwisye6357 5 месяцев назад
Mwamba nimekukubali nitakutafuta maana akina meinjaku wanatutisha sana
@osoromageta3381
@osoromageta3381 6 месяцев назад
Nakukubali sana upo vzr
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 6 месяцев назад
Namba zake si iso juu jaman ya mwisho 56
@ChipakaJama-bi2jg
@ChipakaJama-bi2jg 6 месяцев назад
Et b moja hv yuele kichaa anazan wote ni wendawazimu kama yeye b moja kigorofa kimebana kama vile chiz sana yule
@julianaharrison4356
@julianaharrison4356 6 месяцев назад
Ole gorofa ya Mwijaku ni nzuri ila kiwanja kidogo sana haina hata garden ya maana
@cuthbertmkemwa4903
@cuthbertmkemwa4903 5 месяцев назад
hahaha, kaka mbona kama umemmind? kazidisha pale
@jovinmancomedytz
@jovinmancomedytz 5 месяцев назад
Nakubari
@elipidhugotesha1909
@elipidhugotesha1909 5 месяцев назад
saf sana
@tonnyford5782
@tonnyford5782 5 месяцев назад
Sawa bosi ngoja niandae nondo tofar na mchanga nataman sana hii kitu,nikiwa na 200m naanza ujenz❤
@idrisadalluc4498
@idrisadalluc4498 5 месяцев назад
Mwijaku choko
@starfordalex4139
@starfordalex4139 5 месяцев назад
Uko sahihi
@IsayaSamweli-pm4dd
@IsayaSamweli-pm4dd 5 месяцев назад
Safi sans no yako mkuu.
@shomarisangari-rt6le
@shomarisangari-rt6le 5 месяцев назад
Ahsate sana
@stephenmwampondele7893
@stephenmwampondele7893 5 месяцев назад
Saf nimekuelewa
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 6 месяцев назад
Ile ghorofa nimeaingalia weeeh kisha nikaenda kwa nyumba ya msechu nikaoangalia weeh kisha nikaangalia ya Aristote jibu likaja wale walojenga za chini wametumiq gharama kubwa kuliko yy
@adkajisi4536
@adkajisi4536 5 месяцев назад
Nalo Neno
@user-my6vn6mp6g
@user-my6vn6mp6g 6 месяцев назад
Mwamba we mkweli sana
@ericmwakingili6746
@ericmwakingili6746 Месяц назад
KAZI NZR KAKA NTAKUTAFUTA
@luckymsomba4818
@luckymsomba4818 5 месяцев назад
mwijaku anatuona watanzania n mabwege
@kevinmary7129
@kevinmary7129 5 месяцев назад
200M to 250M gorofa za billion 1.5M ni hotel za kitalii ghorofa 12 had 17 kwenda juu
@dottosweetbert8879
@dottosweetbert8879 5 месяцев назад
Sasa Mr House decorations, je watu wanaojenga maeneo magumu kama Mwanza (ardhi ni mawe tupu), gharama hazipungui hapo?
@joskimmaro1556
@joskimmaro1556 2 месяца назад
Hiv hiz hydraform block ni salama kwa ujenzi especial kwa mazigira yetu?
@christinainnocent3240
@christinainnocent3240 4 месяца назад
Unaweza kufika billion kulingana na nakshi ulimwende utaoweka na vitu vya thamani nk kama majakuzi swimming pool bustani ya sehemu ya kuchoma nyama na kufanya sherehe , ndani sehemu ya bar parking garage ya magari basement madirisha makubwa marefu ya za ajabu ajabu nk
@user-wy3jv4ri7x
@user-wy3jv4ri7x 5 месяцев назад
Zanzibar unaweza kuja kujenga
@KyandoSpareparts
@KyandoSpareparts 5 месяцев назад
Mm ata mil 100 haifiki nkiandaa ramani yangu kwenye cad
@user-pw4dx9hr1l
@user-pw4dx9hr1l 5 месяцев назад
Nimekukubali bro ntakucheki napapata malamba mawili
@samtelah7578
@samtelah7578 5 месяцев назад
Umeelezea vzur sana
@hallin9561
@hallin9561 6 месяцев назад
Lile Ghorofa la marehem Mengi kule machame ni million 800 na ni ghorofa la maana sio poa vioo tupu limepanda hewani, Sasa uyu mpuuzi mwijaku anatuongezea namba kwa ghorofa gan pale Billion 1.3
@adkajisi4536
@adkajisi4536 5 месяцев назад
Ile ya machame M800?
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 6 месяцев назад
Hilo golifa juu lina sehem ya kupunzikia kama kwa mwijaku
@collinndabi1914
@collinndabi1914 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@SallmaXg
@SallmaXg 5 месяцев назад
😂😂😂😂
@yohaneskomba9559
@yohaneskomba9559 5 месяцев назад
Nitumie namba yako brother
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 6 месяцев назад
Na hiyo ya nje ni swiming pul au
@pendowilbert8808
@pendowilbert8808 5 месяцев назад
Tatizo ukipigiwa simu una majibu ya kukatisha tamaa,unatuvunja moyo💔
@allanabdallah9124
@allanabdallah9124 5 месяцев назад
Wapuuzi walinitisha nikajenga ya kawaida na nimeshatumia 110M. Halafu unakuja leo kusema 😠 9:30
@ginimbifamily3995
@ginimbifamily3995 5 месяцев назад
Umeshatumia 110M ..Kwan aujamaliza? Kuna watu wanatafuta Kazi kiaina..watu wanachukulia kujenga gorofa ni makalio 😂😂😂
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 6 месяцев назад
Nataka kama hilo
@kimandafukitefu2999
@kimandafukitefu2999 3 месяца назад
Ina square ngapi hiyo nyumba kabla ya budget yako?
@user-cu9mj3xj8x
@user-cu9mj3xj8x Месяц назад
mwijaku? daah
@fridakipingu
@fridakipingu 5 месяцев назад
Ni nzuri asee ukiwa na milioni 150 usha maliza na usafi
@adkajisi4536
@adkajisi4536 5 месяцев назад
M150 bora ujenge nyumba ya chini kali
@SallmaXg
@SallmaXg 5 месяцев назад
​@@adkajisi4536kwani kwa hiyo 150M ukijenga nyumba ya chini itakuwa ya rooms gapi
@sarahkimambo5324
@sarahkimambo5324 5 месяцев назад
😂
@Mrpromotiongroup
@Mrpromotiongroup 4 месяца назад
Apo bado ni bei ya kiufundi 😅😅 nikijenga kwa kusimamia mwenyewe bila mafundi kuiba cement na nondo nanunua mwenyewe tsh 20000/= gorofa la vyumba 4 na kila kimojaa choo ndanj na jiko ni Tsh 200M
@user-nb1lv9xw6m
@user-nb1lv9xw6m 6 месяцев назад
Big up uko sawa nitumie namba yako ya simu
@selemanmaganga-le4zg
@selemanmaganga-le4zg 5 месяцев назад
Namba mbona kazitaja pia hata kwenye hii kazionesha pia namba zake, rudia kuiangalia video hadi mwisho
@alaamarisaviel2979
@alaamarisaviel2979 5 месяцев назад
Sasa wewe ndio umenipa motoooooo wa kuendelea kujenga gorofaaaaa
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 5 месяцев назад
Huyu Mwenjaku Maarufu Majisifu Maarufu Mtu Anajifu Amsifia Mpaka Mkewe Hakuna Mwanake Mazuri Kama Mkewangu...???????
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 6 месяцев назад
Room 4 kwa maana chini vyumba viwil na juu viwil
@adkajisi4536
@adkajisi4536 5 месяцев назад
Mimi pia sijaelewa.
@barakatingisa505
@barakatingisa505 5 месяцев назад
Hapana, ni ghorofa yenye vyumba 4 vya kulala.
@WorldExploration381
@WorldExploration381 6 месяцев назад
Bado mirunda na marine za kubebea zege,,,!
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 6 месяцев назад
😂😂😂😂 Kigoma Moja hiyo njoo niko Mwanga kwa Mchaga
@selemanmaganga-le4zg
@selemanmaganga-le4zg 5 месяцев назад
Ujamsikiliza au bajeti ya kwanza kujenga Bola la gorofa alipata milioni 70 kasoro kidogo Ila ikasema we weka bajeti ya milioni 100 kwa Boma kwasababu ya vitu vidogo vidogo kama hivyo ambavyo akuolozesha!.
@WorldExploration381
@WorldExploration381 5 месяцев назад
@@selemanmaganga-le4zg hivyo sio vitu vidogo kwenye ghorofa,,!
@shabanialfani5394
@shabanialfani5394 5 месяцев назад
Wacha tujenge zetu za Million 5 tu huko tutaziona hata Barabarani
@AishaSaid-yx3jl
@AishaSaid-yx3jl 6 месяцев назад
Fundi bado upo juu kibajeti kwani tofari za chini TU elfu sita kwenye nondo upo vizur ila tofar upo juu kwisha kwa bajet hii nakubali kuwa mwijaku ikawa sawa maana hii sukwe thalasini milioni sitini je Ile yenye sukwea karibu mia mbili piga vizur hesabu zako naona kama hiyo ya fundi wako ndiyo galama za hiyo nyumba tupo pamoja wacheni tuendelee kutuliza nyumba za chini
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 6 месяцев назад
Kiwanja cha robo heka iyo raman inatosha sema kanafas katabaki
@tunkuh661
@tunkuh661 6 месяцев назад
Robo acre sio ndogo ina m² 1012 so bado una nafasi ya bustani n.k
@oscarmwamlima93
@oscarmwamlima93 6 месяцев назад
Hujasema vipimo vya nyumba ina sqm ngapi
@hallin9561
@hallin9561 6 месяцев назад
ndio maana ameleta bajeti ya million 60 ila weka 40 pembeni. sikiliza kinachoongelewa kwanza
@selemanmaganga-le4zg
@selemanmaganga-le4zg 5 месяцев назад
​@@hallin9561Ndugu yangu hawa watu sijui wanasikilizaga wapi mtu Katoa Maelezo mazuri yaliyojitosheleza lakini mijitu inaanza kulaumu, kweli hakuna kazi Ngumu kama uwalimu.
@Cruxtrend
@Cruxtrend 5 месяцев назад
Mimi nlijenga kama Hilo na Ksh 10m, sidhani inaezafika Tsh 1.5 b
@sarabura8933
@sarabura8933 6 месяцев назад
Sasa hapo mbona hakuna afazari duh
@adkajisi4536
@adkajisi4536 5 месяцев назад
Kimsingi ghorofa la maana uwe Na m500 au zaidi. Hizi zngne tutaziba nyufa sanaa.
@jovitjonas8664
@jovitjonas8664 5 месяцев назад
Hapo hakuna mbao, maji, bati,mbao za renta, milunda . Wewe ni muhongo haujawai Jenga nyumba ya kawaida boma si chini ya m 20,
@selemanmaganga-le4zg
@selemanmaganga-le4zg 5 месяцев назад
Hivi we umesikiliza vizuri video au ulikuwa na mambo mawilimawili, bajeti yake ya kujenga hilo boma bila kupaua alifika milioni 70 kasoro kidogo ila akasema inabidi uandae bajeti ya milioni 100 kwa ajili ya Boma tu ilikufidia vitu vidogo vidogo ambavyo ajaviolozesha kama hivyo ulivyoviolozesha na kuna vitu vingi kwenye ujenzi vidogovidogo ambavyo hata wewe ukuviolozesha ndio kategea hiyo M40 inayobakia kwenye 100
@selemanmaganga-le4zg
@selemanmaganga-le4zg 5 месяцев назад
We umeweka 20 mwenzako kaweka m 40 kwa ajili ya hivyo vitu vidogovidogo,
@florencemlay9333
@florencemlay9333 3 месяца назад
Please tupostie ramani ya Jaqueline Walper jamani
@ReuKakulima
@ReuKakulima 20 дней назад
Xamahan bro nawez kupata raman yake maan natak kujua ndan ikoje
@josiahkulwa5318
@josiahkulwa5318 5 месяцев назад
Great job
@mohamedismail2662
@mohamedismail2662 5 месяцев назад
safi sana
Далее
Каха и суп
00:39
Просмотров 1,2 млн
Ujenzi  Wa Apartments wa Gharama Nafuu
2:51
Просмотров 12 тыс.
BANGALORE LA VYUMBA 7 LINAUZWA TSHS BIL 1.4, SALASALA
9:11