Тёмный
No video :(

NYUNDO YA BARUAN MUHUZA: Charles Hilary na miaka 40 ya utangazaji yenye milima na mabonde 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 47 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 64   
@tuntumemedia2046
@tuntumemedia2046 4 года назад
Hongera Sana Baruani kwa kumtwanga kaka Charles Hilali nimefurahi Sana kuyajua maisha yake. Ni mmoja wa watangazaji ninaowapenda Sana.
@hamisidale2704
@hamisidale2704 4 года назад
Hongera nyingi charles, umekuwa kioo cha jamii kwa mda mrefu, kuna kitu umekigusa, kwamba maisha ya nnje yanachosha kwa hilo nakuunga naishi marekani mwaka wa 22, nimechoka mno bado Nina miaka mitatu na nusu ya kustaafu niko hoi, utu uzima nao umechachamaa, hasante kwa kazi yako nzuri iliotukuka kila la kheri na afya njema" Hamisi Dale ulinzi vituo muhim, PSU 1984
@halimamasai2234
@halimamasai2234 4 года назад
Hongera sana nilipo kwa mdogo nilipenda sana sauti yako wakati ukitangaza mpira. Mungu akulinde na akupe maisha marefu inshalaah
@khaidariylijonjo5716
@khaidariylijonjo5716 4 года назад
My legend nakukubali sana siku moja nitakuwa km ww. @charleshilary
@abdullahomar8687
@abdullahomar8687 4 года назад
ahsante saaana Baruan hkka twajifunza mengi mno kupitia nyundo allah akubaarik na ambaarik na Ankal Charles mzee wa macharanga,La muzikaa, gwiji fakhri yetu waZanzibari ,fakhri ya waTanzania na Afrika masharki kwa ujumla ....akitangaza mpra kule Bbc swahili waqti mwngne akisemaa aah huu mpira leo dooroo.......
@jonathanmagoma4724
@jonathanmagoma4724 4 года назад
Daaaaah ndo maana hatupati vitu amazing hongela sana amazing voice 👍
@rosenamilia4140
@rosenamilia4140 4 года назад
Baba mwenye Busara zake, na aliejaaliwa sauti pekee na yenye utulivu, simwingine ila ni CHARLES HILARY. Naamini wapo vijana wengi wanatamani kuwa kama wewe. Mungu akujalie maisha marefu na baraka tele. Mimi mwenyewe ni shabiki wako kwa sauti yako hasa unaposoma taarifa ya habari.
@Dantaata
@Dantaata Год назад
hongera mzee wetu sasa upo ikulu, nazani kila hatua umeitendea haki yake,, tunakupenda sn
@halimamasai2234
@halimamasai2234 4 года назад
We bado kijana huja zek na sauti yako bado imara maashaallah upo vizuri Hillary hongera
@baloonmedics163
@baloonmedics163 4 года назад
Safi sana ,enzi hizo ndio kulikuwa na watangazajj,umenikumbusha watangazaji nguli ,kama Hasani Mkumba,Dominic Chilambo,Salm Mbonde, abdalah Majura,Julius Nyisanga(,Uncle J),Ben Kiko,Navayu Mayoka nk.
@godfreyalex4707
@godfreyalex4707 4 года назад
Namba mbili hapa na gwiji wa utangazaji east and central Africa Charles Hiraly.
@sylvesterjose3286
@sylvesterjose3286 4 года назад
Watangazaji magwiji mashuhuru walioliletea sifa na heshima Taifa hili ni pamoja na Tido Mhando, Charles Hilary na marehemu David Wakati. Nakutakia kila lililo la heri maishani.
@abdullahomar8687
@abdullahomar8687 4 года назад
siku zte ukimsikiliza ankal Charles laazim utacheka ana furahisha saana hyu mtu maa shaa allah
@harounali9057
@harounali9057 4 года назад
Hata mimi mzazi wangu ali niusia Kuhusu siasa hasa Zanzibar vilipo anza tu vyama vingi tu nilipewa wasia huo. Na mpaka leo sina kadi ya chama Chochote kile.
@martinemasanja1633
@martinemasanja1633 4 года назад
Daaa,baruani mhuza "the ballistic" je Loy Mlaliki Maganga aliyeanzisha simulizi ya mahaba Rfa yuko wapi?
@sebastianmavere7620
@sebastianmavere7620 4 года назад
Charles mtangazaji makini sana. Hebu mpeni big match moja tena atangaze tuinjoy.
@sylvesterjose3286
@sylvesterjose3286 4 года назад
Wakati ule ukiwa Msimbazi Quarters Mie nilikuwa Magomeni Mapipa nikishuka Jangwani kila jioni kushuhudia mazoezi ya Yanga ukiwa na kikosi ambacho hakijawahi kutokea Golini Michael Elias na Muhidin Fadhili 2. Athman Kilambo 3. Boy Wickens 4. Hassan Gibbons 5. Omary Kapera 6. Abdalahman Juma 7. Leonard Chitete 8. Sanday Manara 9. Kitwana Manara 10. Gibson Sembuli 11. Maulid Dilunga (Mexico) Chini ya kocha mashuhuri Professor Victor Stanslausicou. Mwenyekiti Mzee Tabu Mangara, mfadhili Shiraz Shariff. Yanga ilitisha na Simba alinywea kwa miaka 5 mfululizao. Hilary umenikumbusha mbali.
@abdullahomar8687
@abdullahomar8687 4 года назад
halaf Baruan nawe twataka kukujua zaid ulipita hapo hapo alipopita yy illa waonaje kipindi kimojawapo yy ndo akupge weye nyundo???km utaafiki bas fanya hvyo tufaidi
@braysonkaduma8289
@braysonkaduma8289 Год назад
Pamoja sana ,kipindi safi
@doshokitogo4120
@doshokitogo4120 4 года назад
Nakumbuka kipindi hicho brother Charles alisema hakuna kupanda basi mpaka msimbazi ni mchaka mchaka
@chedieljunior8545
@chedieljunior8545 4 года назад
We Miss you ulimwengu wa Soka Charles
@husseinnkami7360
@husseinnkami7360 4 года назад
Kumbe msimbaz kweli SIMBA baba lao
@IsraelSaria
@IsraelSaria 4 года назад
Safi sana.......
@frankmsilikali5345
@frankmsilikali5345 3 года назад
Nimevutiwa sana na hii interview
@halimamasai2234
@halimamasai2234 4 года назад
Nimefurahi sana kusikia wewe Simba tupo pamoja. Simba oyeee
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada 3 года назад
sijapenda sana "mimi ndio meneja wake"
@anatorydesdery4654
@anatorydesdery4654 4 года назад
Charles Hilary mtangazaji wa mpira wa miguu BORA kuliko wote duniani (kwa lugha ya kiswahili )
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada 3 года назад
nimshabiki wa simba cos inacheza vizur kumbe simba imeanza kucheza vizur tokea zamani
@ernestmwanalinze2612
@ernestmwanalinze2612 4 года назад
charles Hilal napenda sana utangazaji wako na hasa kipindi cha habari,huwa sitaki kubanduka mpaka habari ziishe.
@paulomeque3527
@paulomeque3527 4 года назад
Sichoki kuisikiliza hii enterview
@stanleymathias7877
@stanleymathias7877 4 года назад
Muhuza ulitakiwa uwe kitengo Cha habari sio michezo
@lukangujistephano3029
@lukangujistephano3029 4 года назад
Ninyi ni miamba wote kwa watangazaji
@venahsithole6463
@venahsithole6463 4 года назад
Uncle Hillary hapo umekosea ulitakiwa uwe Yanga
@baloonmedics163
@baloonmedics163 4 года назад
Ahmed Jongo balaaa.
@borahmlamba5030
@borahmlamba5030 4 года назад
Marehemu Julias nyaisanga
@alimwinyi6017
@alimwinyi6017 4 года назад
Nlikua nafurahishwa na jinsi Charles Hilary alivyokua akitangaza EPL akimtaja mchezaji wa sunderland,Tuncay Sunley akimtaja ilikua yafurahisha sana upande wangu
@victoriousblessedmom4343
@victoriousblessedmom4343 3 года назад
Yaani ujerumani siku hizi hakuna haki za Binadamu, yaani watu wanathamini pesa tuu Yaani watu wa ujerumani ustawi wa jamii wanatapeli watoto wa foreigners parents wanakwenda kuwaweka vituo vya kulelea watoto yatima na serikali inawalipa mapesa mengi wafanyakazi wanaoangalia watoto halafu wazazi wanaambiwa nenda kaenjoy maisha bila watoto Yaani balaa tuu
@mwananchipress3569
@mwananchipress3569 4 года назад
I wish mwendelee tuu aseee yaani
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 4 года назад
Hassan affif anafanya vitu vyake hapa...
@samwelsabuni9246
@samwelsabuni9246 4 года назад
Naomba mue mnatutangazia mechi moja moja tunamiss sauti zenu live uwanjani. Cha kale dhahabu.
@salimmwaroho3400
@salimmwaroho3400 3 года назад
"Mimi nilikuwa bure kabisa kwenye hesabu" Baruan bhana😂😂😂🙌
@victoriousblessedmom4343
@victoriousblessedmom4343 3 года назад
Tusaidieni jamani watoto wetu wanachukuliwa wanapelekwa vituo vya kulelea yatima tusaidieni ujerumani kuna ushetani unafanyika tusaidieni
@abdullahomar8687
@abdullahomar8687 4 года назад
kumbe mzee Suleyman Hegga ameshafariki??allah amrehem nlimfaidi kidoogo ktk kipindi chake cha Ulimwengu wa kiswahili alikuwa gwiji na mwalim wa wengi...
@fahadfaraj1822
@fahadfaraj1822 4 года назад
Kweli na kina prof safari na mwalimu mayoka
@abdullahomar8687
@abdullahomar8687 4 года назад
@@fahadfaraj1822 khaswaaa
@asengafassman1694
@asengafassman1694 4 года назад
Mimi ninakumbuka KIPUSA tu, Chemsha bongo kipindi kileee na Misanya bing
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 года назад
Nakumbuka kipindi unatangaza mpira na jinsi Salum kabunda ninja akiruka madaruga sasa hadi Leo sijui madaruga Ni nini
@clausemsemwa297
@clausemsemwa297 4 года назад
Alienda kutafuta mchumba kanisani....watu wa zamani walikua na akili na hekma Sana .
@mandailunga7068
@mandailunga7068 4 года назад
Leo Baruani haukuwa wewe, nyundo hazikuwa nyundo..
@jumakhalid5554
@jumakhalid5554 2 года назад
ilobakia usilimu uwemwiisilamu tu
@mtengulerashid7868
@mtengulerashid7868 4 года назад
Nakushauli ukaombe ubunge kwenu mahenge naona unaweza naunafaa kuwa mbunge maana kwenu napafaham kule alikotoka baba yako
@hashimmussa1057
@hashimmussa1057 4 года назад
Hahahaha huyu huyu TIDO
@aishaaisha4695
@aishaaisha4695 3 года назад
Hata lafidh yako imenyooka Matamshi yako
@ramadhaniabdi9530
@ramadhaniabdi9530 4 года назад
Mie naikubal sana sauti ya Charles inabaki kua juu
@samwelsabuni9246
@samwelsabuni9246 4 года назад
Naomba mue mnatutangazia mechi moja moja angalau. Wewe Charles na baluan tunamiss sauti zenu uwanjani. Cha kale dhahabu
@robsonevarist5803
@robsonevarist5803 4 года назад
A
@samwelsabuni9246
@samwelsabuni9246 4 года назад
Naomba mue mnatutangazia mechi moja moja live tuna miss sauti zenu uwanjani. Cha kale zahabu
@samwelsabuni9246
@samwelsabuni9246 4 года назад
Naomba mue mnatutangazia mechi moja moja live tumemiss saut zenu. Cha kale dhahabu
@mussandile7418
@mussandile7418 4 года назад
Namba moja pls likes zote
@sylvesterjose3286
@sylvesterjose3286 4 года назад
Baruani kila mazungumzo machache wajinadi umeneja...."mi ni meneja wake"! Sawa nafikiri mara moja ingetosha, maana umeneja wako haikuwa ndani ya mada husika. Au pengine ndio maana ya NYUNDO ya Baruan? Mazungumzo nimeyapenda Sana lakini hili, mmmh!
@josephk90
@josephk90 4 года назад
Anarudia kwa sabb hiki ni kipindi cha tv na siyo youtube. Kuna watazamaji wanachelewa so hapo anatuweka sawa.
@literekuwap4842
@literekuwap4842 4 года назад
Hongera saaana Kaka Charles Hilary. Nilikuwa nakukubali saana ulipokuwa mtangazaji wa mpira. Yaani kulikuwa na wakati nilikuwa nafurahia kukusikia jinsi unavyotangaza mpira kuliko hata mpira wenyewe. Na siku hizi nakufurahia sana unavyosoma taarifa ya habari. Halafu daaa mnavyoendana na Ivona Kamuntu na akitokeaga na Temaluge Kasuga! Daaah Hadi raha.
@bwengoabdallah2556
@bwengoabdallah2556 4 года назад
Hahaa kujumlisha unajua kutoa unajuaa kizidisha unajua hahaa kwaninii uitafute x
@harounali9057
@harounali9057 4 года назад
Ungereza kuna nuka mavi ya mbwa na ujerumani kusafi sana lakini ulaya fanya kazi uki staafu rudi nyumbani ule bata.
Далее
NYUNDO YA BARUAN MUHUZA: AFANDE SELE
54:31
Просмотров 42 тыс.
Девочки, у вас тоже так? 💅🏻✨
00:17
Девочки, у вас тоже так? 💅🏻✨
00:17