Тёмный

OLE SENDEKA ALIA BUNGENI KISA WAMASAI WA NGORONGORO KUHAMISHWA ASEMA"WAACHENI WAHAME KWA IHALI YAO" 

John Ngollo
Подписаться 43 тыс.
Просмотров 13 тыс.
50% 1

#mbowe #lissu

Спорт

Опубликовано:

 

24 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 27   
@AdamKaponda
@AdamKaponda 8 дней назад
Spika.wa wabunge mchongo kama mwigulu ni daktari basi udaktari haunahadhi
@roberttarimo4956
@roberttarimo4956 8 дней назад
Huyu anaogopa baada ya CHADEMA kuanzisha hiyo maada, anangata na kupuliza. Kwa nini asingesema hayo toka zamani.
@calvinsande5116
@calvinsande5116 8 дней назад
Mbunge ni mmoja tu nae ni mpina hao wengine ni machawa tu
@bonifacemkanga6302
@bonifacemkanga6302 7 дней назад
Hahaaaa ila Mpina bana alidanganya walimpa data za uongo wakamchoma
@kagombaEnok
@kagombaEnok 5 дней назад
Mpina ndiye mbunge tu
@AdamKaponda
@AdamKaponda 8 дней назад
Mbuge ni mmojatu nae ni mpina wote hao ni genge la ccm
@HenryCastuli-jz3cx
@HenryCastuli-jz3cx 8 дней назад
Ukosawa machawa hao
@user-gy5gu1mn4x
@user-gy5gu1mn4x 8 дней назад
Kweli kabisa mwapie ✌️❤️🇹🇿
@user-vy8nx5ug5s
@user-vy8nx5ug5s 8 дней назад
Sendeka ubarikiwe shujaa wetu
@mosesoloshiro8216
@mosesoloshiro8216 2 дня назад
Amen 🙏🙏🙏
@AllyMandunda-tj9jc
@AllyMandunda-tj9jc 9 дней назад
Sendeka kwa maneno Yako hayo 2025 uwe MBUNGE wajamhuri kupitia CHADEMA 2:17 2:22
@humphreymkony8915
@humphreymkony8915 7 дней назад
Ole Sendaka umekumbuka shuka kumeshakucha. Pole sana
@user-jk2ct9um1f
@user-jk2ct9um1f 8 дней назад
Sendeka unaenda lini Handeni
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 7 дней назад
Mnasifu sifu tu Secondary School ya Mikocheni ukiona hata baada ya kupewa pesa za UVIKO na ahadi nyingi na sifa zenu huzo hii shule ukiona unatoa machozi hata hao mnaita wakolon hawakuwa na shule kama hii. Tangu imeanza zaidi ya miaka 5 walivyo simamisha mirunda ya kuwezesha wajenzi hiyo mirunda inaanza kuoza na kuanguka. Lakini sifa kede kede. Hizi lilikuwa wazo la waziri mkuu marehemu Edward Lwasa
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 7 дней назад
Kweli kabisa sasa hatuna mbunge katika bunge wamebakia machawa tu hata hawaoni aibu kusimama na kuongea uchawa wao.
@usafiaps318
@usafiaps318 9 дней назад
Hamuoni Aibu Wabunge Kuongelea Yaleyale Mwaka Hadi Mwaka?????? Aibu Kwa Wasomi Kama Njie.
@sindabahabwoyaanacret660
@sindabahabwoyaanacret660 9 дней назад
Kwanini awasiongelee wakati tatizo halijaisha,mbona suala la maji,umeme na barabara linajadiliwa tangu uhuru
@nestoryvunja7509
@nestoryvunja7509 8 дней назад
❤❤❤❤❤. Tunaomba maabara za shule ya sekondari Loiborsiret uzipambanie please. Shule haina maabara ya physics na biology. Please we trust you, work on it.
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 8 дней назад
Fisiemu baaado mpak mutheme
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 8 дней назад
Wamasai wanateseka wewe unasifia
@bonifacemkanga6302
@bonifacemkanga6302 7 дней назад
Analilia idadi ya ngo'mbe alionao ngorongoro au wamasai
@davidmalogo7100
@davidmalogo7100 8 дней назад
Mazao yepi watakayo safitisha wakati maeneo Yao yanategwa mapoli tengefu Yani yatakuwa chini ya mamlaka nyingine Sasa iyo lami watajengewa nani
@endwardntandu3736
@endwardntandu3736 8 дней назад
Mwigulu utatuingiza kwenye mambo magumu sanabmtani
@hassanbilali5576
@hassanbilali5576 6 дней назад
BB
@00P288
@00P288 9 дней назад
TZ inahitaji chama cha vijana
@MayalakusekwaNkwabi
@MayalakusekwaNkwabi 9 дней назад
Tatizo Bunge limejaa CCM !
@AdamKaponda
@AdamKaponda 8 дней назад
Mwongo wewe kaziyako ni uchawatu huna hofu ya mungu ,nani kaiweka serikali ya ccm,ongea na walio waweka
Далее
Давидыч против Тамаева 3 ЧАСТЬ
00:56
Осторожно селеба идет 😂
00:16
Просмотров 245 тыс.
Ronaldo Respect Moments 😍
0:20
Просмотров 11 млн