Тёмный

🔴 

John Ngollo
Подписаться 43 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

#mpina

Опубликовано:

 

1 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 45   
@user-mm6sm9rt9x
@user-mm6sm9rt9x 4 дня назад
Asante kumpigia MPINA makofi Mimi nilishampigia sana makofi baada ya kusikiliza ueledi wake. Uzalendo wake. Na pia kujitoa kwake Kwa taifa hasa Kwa WATANGANYIKA. ILA NASIKITIKA sana kuona WATANGANYIKA HATUMUUNGI MKONO VYA Kutosha.
@nestor384
@nestor384 4 дня назад
Uko vizuri mhe. Mpina spoke the truth
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 День назад
Ni kweli,
@DottoMussa-ro6rw
@DottoMussa-ro6rw День назад
mpina mwamba
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 День назад
Baba upo na akili nyingi sana, pokea 100%
@jacksonmsele1500
@jacksonmsele1500 4 дня назад
Hehe here
@petermogha7025
@petermogha7025 4 дня назад
Mpina nakuomba tulia ukiamia cdm utapitea kama nyalandu usiwasikilize
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 4 дня назад
Kweli kabisa
@victaboy7273
@victaboy7273 4 дня назад
Kwani na huyu ni nani sasa
@FredymaswiMwita-oj6gv
@FredymaswiMwita-oj6gv 4 дня назад
duh duh duh
@davidlyamboko7477
@davidlyamboko7477 2 дня назад
Twendeni polepole ndugu zangu, haya ni mapito tu. Msije kupita mitaani mmeinamisha vichwa, hakuna mjinga Nji hii.
@nabiimgongolwa8728
@nabiimgongolwa8728 4 дня назад
AU NYIE NDO MNANUFAKA KUAGIZA SUKARI?
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 2 дня назад
Aungane na machinga siyo vyama vya upinzani atuhamasishe tuiondowe ccm
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 2 дня назад
Kwa hyo waliomchagua hawana akili?
@enziseme4712
@enziseme4712 3 дня назад
Huyu mzee kaamua kufanya komed ya siasa, eti Dr Tulia hana sifa duuh!!! Kweli nabili na watu wa kwao!!
@user-uh3eg5cj2r
@user-uh3eg5cj2r 3 дня назад
Tulishangaa tulia kulalia nafac kubwa kiasi kile! Lkn your NEVER KNOW!!!
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 3 дня назад
Mpina❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@praygodmawalla7884
@praygodmawalla7884 4 дня назад
Huyu nabii ni shida. Sheria hazijui viziti au anajua sana . Nilichopenda ni kutambua Mpina ni mkweli.
@pancrasluoga4584
@pancrasluoga4584 3 дня назад
Unauliza usenge gani we kiumbe😮
@ZaidSeifSuleiman
@ZaidSeifSuleiman 4 дня назад
Kwa dalili ccm kumuacha 2025 si rahisi lazima wampige panga
@YORAMYETERO
@YORAMYETERO 4 дня назад
Mpina kaza buti na wasikundanganye kuhama baki huko ulipo
@FelicianSimon
@FelicianSimon 4 дня назад
Ataongea ukweli na atabaki kuwa kijani
@monicamwita7865
@monicamwita7865 2 дня назад
Hawampendi hapo alipo2 amewaumnua
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 4 дня назад
Kichwa cha habari kinapotosha
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 4 дня назад
Huyu ametoka wapi tena 😂😂😂
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 4 дня назад
Na athithubutu kwenda Chadema hata kama hataendelea na Ubunge
@DaimonMwapelele
@DaimonMwapelele 2 дня назад
Tulia amepewa uspika wa mabunge dunian il tanzania iwe pango la mashoga wazungu sio wajinga, sasa yanayotokea tsnzania watoto mpaka madhulen wanalawitiwa
@omarkapula588
@omarkapula588 4 дня назад
Mchukueni hata muda huu
@user-ev2xf1tv3w
@user-ev2xf1tv3w 4 дня назад
Mtu mzima unaongea utumbo uo kwahyo unatak nayeye awe mjinga kama waninga wengine et
@monicamwita7865
@monicamwita7865 2 дня назад
Manganese usiyejitambua
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 4 дня назад
Bashe ni waziri kaajiliwa na watanzania. CCM Itaongoza maisha kwasababu wanaongoza wajinga. Wananchi hawajuwi haki zawo. Na serikali inajua. Mpina asikae kimya aende tu mahakani watanzania wengi wanangoja kuona haki inatendeka. Hata kama akikosa haki, kuta kuwa na record ya watoto wetu kujifunza.
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 4 дня назад
Hakuna lolote Chadema. Tanzania haiko huru. Hatuna upinzani, na wanaotuongoza kwa sasa wanatumia ujanja na mabavu kuzuwia watu kuanzisha vyama vipya kwa kuweka mashariti yasiyokuwa na haki. Kama Bashe harachukuliwa hatuwa, Basi watanzania tukate tamaa. Serikali inawaonea watanzania kwa upole wawo. Nchi hii haina amani bali wananchi wamenyimwa haki zawo, wachache walio Iteka nchi wanatuongoza kwa mabavu.
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 3 дня назад
Mpina ndiyo mbunge mazarendo anatetea wananchi,bashe kabadilika kwa Sasa
@FelicianSimon
@FelicianSimon 4 дня назад
Ww mzee nimegundua unashida ya akili kwani magufuri alikuwa chadema mbona alisema ukwe siasa ya Tanzania inatakiwa ikomae watu waishi kwa wanayo amini ww na wengine wengi munaishi kwa mkumbo sio nyinyi kusimama mm binafsi na simama na MH MPINA
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 4 дня назад
Felician wewe ndio akili haziko sawa, yakupasa ukapimwe akili zako. Bado una blanketi usoni mwako .Ujinga umekujaa hadi kwenye 😏😏😏
@hassanmitayo1875
@hassanmitayo1875 4 дня назад
Kwani wabunge wanawake wa Chadema wakijiuzuru kwa kukiheshimu chama chao spika atawalazimisha wabaki?,
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 дня назад
Mbunge kuingia au kutoka Bungeni haihusiani na Spika ni Tume ya Uchaguzi NEC ndio wanaohusika na hilo. Ni ujinga wa watu kumvamia Spika badala ya Tume ya Uchaguzi.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 дня назад
Unaongea ujinga kweli, vigezo vya Spika waliomchagua duniani ni watu wenye akili timamu. Hivi bila kujali hoja ya Mpina kuwa ni nzuri au mbaya kweli hukuona utovu wa nidham aliofanya? Mpina ni Mbunge kwa kipindi cha nne sasa katoka hewani lini kutuelezea ajenda ya mkutano wa Bunge jambo ambalo Watanzania ni haki tunayokoseshwa na Wabunge.
@2003hintay
@2003hintay 4 дня назад
Mpina anausongo wa madaraka baada ya kupigwa chini uwaziri, wewe pia hapo ni muongo
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 4 дня назад
Hayo ni ya kwako yeye hajakwambia hayo unayowaza! Jichunguze afya ya akili!
@FelicianSimon
@FelicianSimon 4 дня назад
​@@usembiphonedar5632umeongea ukweli mtupu
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 4 дня назад
Afya ya akili ni tatizo kwa baadhi ya watanzania badala ya kujadili hoja iliyopo mtu anajadili hisia zake. Sasa huo si uchuro.😂😂😂😂
@phabianshimba6791
@phabianshimba6791 4 дня назад
Ubongo wako upo sawa wewe?
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 4 дня назад
Hawezi kuja Chadema kamwe na asithubutu kugombana ndani ya Ccm ni kitu cha kawaida
Далее
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
Gặp 2 thánh troll | CHANG DORY | ometv
00:42
Просмотров 19 млн