ww Kama kweli unavosema sio njia lais mbn we unaenda na una ela shingapi naww umenda Kama mkimbizi unakatisha tamaa watu brother na kichaneli chako ichi
Hapana Jacob. Msisitizo wangu ni kwamba kuna ugumu kwa mtu anayetaka kuishi na kufanya kazi Canada. ILA HAIMAAINISHI KWAMBA HILO HALIWEZEKANI. SIKILIZA VIDEO HADI MWISHO.
Wacha kukatisha watu tamaa Watu wanapenda Canada Kwa student visa, conference,visitation kisha wanachekecha! Shida ya Canada ni ubalozi wake wanachelewa kutoa visa ila hakuna taabu.... Pia nawashauri mkienda canda muwe na fani ambazo unaweza pata LMIA na work permit Kwa wepesi...
Umetoa ushauri mzuri kabisa brother Abu. Ila ingefaa ukasikiliza video mpaka mwisho ili usijeona nikatisha watu tamaa kwamba HAIWEZEKANI KABISA KUJA CANADA..