Тёмный

TAZAMA GHARAMA ZA MAISHA KWA MWEZI MMOJA TU HAPA CANADA! 

Rgs Tv
Подписаться 3,6 тыс.
Просмотров 4,5 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

9 мар 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 35   
@masukegotta2904
@masukegotta2904 9 месяцев назад
We sema hata million 100 wahuni tunakuja tuu...
@LinahRwambali
@LinahRwambali 9 месяцев назад
😂kanywe soda ntalipa
@G.majani
@G.majani 6 месяцев назад
😂😂😂😂
@denisdeu
@denisdeu Год назад
Kazii nzuri bro 💪🇹🇿
@DaudScience
@DaudScience 27 дней назад
Mimi naomba unijuilishe mshahara wa mafundi sofa kwa saa au mafundi kochi kiasi gani kwa saa
@blacksingapore
@blacksingapore 10 месяцев назад
Oyaa jamaa unawavunja wenzio moyo, mi nipo New York ila silipi hivo kama unavowaambia watu
@FrankTvi
@FrankTvi 9 месяцев назад
Nipe namba zako kaka
@saeaaa8571
@saeaaa8571 9 месяцев назад
Naomba namba yako kaka angu please
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 6 месяцев назад
Niko Alberta hapa , uzuri siku hizi unaweza angalia gharama hata kwenye Google tu ila asilimia kubwa yuko sahihi, matumizi mengine hutegemea mana Toronto kutokana na gharama za maisha watu huchangia nyumba moja hata watu 5 Sasa unadhani Bill itakujaje? Ila ukiwa mwenyewe gas ya kupikia , electricity inaweza ikawa chini kidogo
@Formula_Tz
@Formula_Tz Год назад
Hongera kwa kutujuza kaka
@JrNsummy-xk8xe
@JrNsummy-xk8xe Год назад
Endelea kutuchanua zaidi usiishie kny gharama za kusongesha maisha. Endelea mbele hadi Kodi za Serikali zinarenji kiasi gani.
@raphaelmtui
@raphaelmtui Год назад
Sawa, nitafanya hivyo Jr.
@raphaelmtui
@raphaelmtui Год назад
Tayari nimeshaeleza Jr. ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-zZRqrfcEDGM.html
@Mohammed-pp3pd
@Mohammed-pp3pd 9 месяцев назад
Kwahyo mnaishije na hata mkapitiliza kupata zaidi ya dollar elf10 au 12,muongo huwez kuwa na kodi kma hiyo
@isabelsilva9046
@isabelsilva9046 Год назад
Very good
@allyshomari7417
@allyshomari7417 9 месяцев назад
Dogo usikate tamaa hayo matumizi tu.tena Yale ya lazima!! KikubwA WW ni kuchapa kazi hakuna kudeka!! Kazi ni nyingi Sana!! Ni ww tu umejipangaje!! Garama hazikwepeki. Never give up!!
@joycenose2356
@joycenose2356 9 месяцев назад
Tutatafuta nyumba za kijijini 😂
@husseinmwanjela8644
@husseinmwanjela8644 6 месяцев назад
Kama ivyo rud haraka nyumbani
@shaphiasabani5760
@shaphiasabani5760 Год назад
Muongo uyo bhna hanakatisha watu tamaaa tu
@bellalygeomecky1145
@bellalygeomecky1145 Год назад
Kupo kimyaaaaaaaa
@leecode6135
@leecode6135 Год назад
Maisha ya North America ndio huwa hivyo hkuna mishe mishe kma Bongo kkkkk
@jaquelinetandu2462
@jaquelinetandu2462 Год назад
Wayahudi ni israélites si ndio
@raphaelmtui
@raphaelmtui Год назад
Wayahudi ni Waisraeli Jacque. Ila ujue tu kwamba, Wayahudi ni Waisraeli wanaotoka kwenye kabila la Yuda ambao kwa sasa ndio walio wengi kutokana na kile tunaita the ten lost tribes. Ni stori ndefu kidogo.
@rashidsalumu8129
@rashidsalumu8129 Год назад
Bro naweza pata mawasiliano yako
@raphaelmtui
@raphaelmtui Год назад
Ipo juu hapo kwenye info za hii channel
@saeaaa8571
@saeaaa8571 9 месяцев назад
​@@raphaelmtuimbona naitafut siion jmn
@gabrielzakaria2810
@gabrielzakaria2810 10 месяцев назад
Bro umepotelea wpi ?
@bawla90
@bawla90 10 месяцев назад
Yasani kwa mwezi mmoja tuu😂???
@raphaelmtui
@raphaelmtui 10 месяцев назад
Meezi mmoja pekee!! Ila pia kazi zina kipato kikubwa. Shida ni kama uwe huna kazi
@bawla90
@bawla90 10 месяцев назад
@@raphaelmtui ahsante sana nina hamu na kufika huko ila sio msimu wa baridi
@mohamedialliy1974
@mohamedialliy1974 Год назад
Truck driver wanalipaje
@raphaelmtui
@raphaelmtui Год назад
Hiyo ni kazi yenye mapato makubwa fresh lakini hakuna 'magumashi' ya pembeni.
@user-ym4ig9zy2i
@user-ym4ig9zy2i 5 месяцев назад
Acha uongo wew,umeme inalipwa na mwenye nyumba,internet dollar 45,yan mibongo mna roho mbaya
@shaphiasabani5760
@shaphiasabani5760 Год назад
Muongo uyo bhna hanakatisha watu tamaaa tu
@mrlongrichlongrichagent1929
@mrlongrichlongrichagent1929 9 месяцев назад
Sawa tupe ukweli sasa
Далее
Телеграмм-Колян Карелия
00:14
Просмотров 214 тыс.
На чем играют ПРО | Standoff 2
07:25
Просмотров 137 тыс.
TAZAMA MAAJABU YA UFUGAJI WA KUKU
14:53
Просмотров 2,4 тыс.
A day in a life of truck driver in Canada
26:37
Просмотров 566 тыс.