Тёмный
No video :(

PART 1: AGIZO LA MAGUFULI KWA MFANYABIASHARA MWENYE MGOGORO NA TRA LIMEFIKIA HAPA... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 79 тыс.
50% 1

PART 1: AGIZO LA MAGUFULI KWA MFANYABIASHARA MWENYE MGOGORO NA TRA LIMEFIKIA HAPA...
GLOBAL TV imefunga safari mpaka eneo la biashara la Kariakoo na kufika dukani kwa mfanyabiashara maarufu eneo hilo anayetambulika zaidi kwa jina la RAMADHAN HAMISSI NTUNZWE, au Babu Rama, ambaye mwaka 2016 aliingia katika mgogoro na mamlaka ya mapato nchini (TRA) ambao ulishatolewa maamuzi na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kwa mara ya kwanza na baadae Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli nae akaingilia kati na kutoa maamuzi ya mwisho kuwa alipwe fidia, lakini agizo hilo Ramadhani amedai halijatelekezwa hadi leo....
UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE
( +255 784 888982)
( +255 676 229628)
Email: globaltvbest@gmail.com
abbymrisho@gmail.com
HABARI MPYA DAILY: bit.ly/habarimpya
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania
Subscribe bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 191   
@selemanlucas5015
@selemanlucas5015 4 года назад
Pole sana baba yangu Upo imara tu na misukosuko yote hii uko na mungu wako mzee naamini Mzee wangu Magufuli atakusaidia
@khamisrashidy1079
@khamisrashidy1079 4 года назад
Tunao subil anko magu azungumizie swala hili ama waziri twende pamoja hap
@ayubunsajigwa3935
@ayubunsajigwa3935 4 года назад
Hapo haingilii mtu nyie mtabaki kumsifia tu
@emanuelmremi9729
@emanuelmremi9729 4 года назад
Nimeumizwa sana na jinsi huyu mzee wanamvyotaka kumdhulumu mali yake. Lakin pia kuna kitu nimekipenda kwake, anajua kujielezea, kupambania haki yake, kutunza kumbukumbu, ana ujasiri sana. Kwa kifupi ni mtu mmoja smart mno. Japo anaonekana elimu yake ni ndogo tu lakn anatuzidi wasomi wengi.
@wanderaothumani4919
@wanderaothumani4919 4 года назад
Yaani huyu mzee hata akisimama ma professor wanakaa asee kwa kweli ni genius japo la saba tu hajawahi sahau kitu du 😪👌
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 года назад
Safi Sana Global you deserve it! Bado Ayo kuliangaza mpaka kieleweke. Tunataka kujua mwisho wake
@shubebunyesi542
@shubebunyesi542 4 года назад
Ayo kitambo tu kesha liweka hewani
@gracemima5234
@gracemima5234 4 года назад
Mmefanya vizuri sana kuwaumbuwa hawa wafanya kazi wa TRA wanaifethehesha serikali. Mtindo Huu bado unaendelea hawajaacha. Wako bado wanakula rushwa. Hata watuhumiwa waliokuwa wameambiwa walipe fine serikalini, kuna rushwa wanatowa ili wapunguziwe fine. Tanzania ilikuwa imeoza kwa rushwa, na watu wamekataa kubadilika.
@mamumiyaskitchenvlogs5858
@mamumiyaskitchenvlogs5858 4 года назад
This guy is a Genius,anatetea haki yake with full confidence and documents his words dont change,hes straight forwad.I hope he recovers all his loss,Anapambana sana.MUNGU AMSIMAMIE.
@crevisiansimony2520
@crevisiansimony2520 4 года назад
Una haki ya kusaidiwa maana ni komandoo usiye na silaha ,,mm kwa changamoto hzo ningeshakufa au kupalalaizi ila unajieleza kama umepoteza laki moja mungu azidi kukupa nguvu
@Cherriechina
@Cherriechina 4 года назад
This man ni chuma🙌🤗, yani he’s such a genius
@mwanahawamushi566
@mwanahawamushi566 4 года назад
Kwa kweli Mimi mwenyewe mpaka Leo mzigo wangu ulipotelea TRA,nilikosa msaada mpaka Leo nilizungushwa mpaka nikachoka,na mwenzangu alifarik baada ya kufatilia mzigo wake bila jibu,
@tanzania2559
@tanzania2559 4 года назад
Mwanahawa Mushi Dah pole sana sana ndugu yangu
@davidtallomichael1254
@davidtallomichael1254 4 года назад
Raisi wa wanyonge jaribu kufuatilia hii tra Ni wauaji kabisa
@RamadhanAli
@RamadhanAli 4 года назад
Duh!!! Pole saana, Allah atakusimamia kuipata haki yako ya halali amini utaipata tu, usisahau kumuomba Allah akunyoooshe mambo yako.
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 года назад
Nadhani usikate tamaa fuatilia Mali zao
@simonsmithajax
@simonsmithajax 4 года назад
Pole sana
@gracemima5234
@gracemima5234 4 года назад
Hawa watu wa TRA ndiyo wanairudisha Tanzania nyuma na kuipa jina baya serikali.
@halimaabdi936
@halimaabdi936 Год назад
Pole sans kska yanguu ...Mungu yupoo na malipo ni duniani..na istoshe uko vxr sanaa ktk ujasiri
@willsons.harushimana5613
@willsons.harushimana5613 4 года назад
Ila kwa anyesema kuwa ety serikali iko sawa basi hyo hajapoteza,, jaman tuamuke Leo dunia kama kijiji hvyo tusisite kuwa wawaz
@lavianaalbert9038
@lavianaalbert9038 4 года назад
Inauma sana jamani!!!!!!
@fatemaligalawa4151
@fatemaligalawa4151 4 года назад
Mpaka leo bado wanamzungusha
@willsons.harushimana5613
@willsons.harushimana5613 4 года назад
@@fatemaligalawa4151 hel
@dastunluswaga5182
@dastunluswaga5182 4 года назад
Shukuru sana prezidaa magu amekuona na akaguswa na shida yako ila ingekuwa zaman we ungepewa kesi ya Uraia yaan ungeombwa cheti cha kuzaliwa cha Bibi yako...
@jumajoseph9353
@jumajoseph9353 2 года назад
Hàaaàaaa hàaaàaaa hàaaàaaa
@nayopamlimbatv1382
@nayopamlimbatv1382 4 года назад
Pole mzee wangu pole sana adi machozi yametoka inaumiza jamani
@mawaidhayetu7723
@mawaidhayetu7723 4 года назад
Hii story ina uma mnoooo alicho fanyiwa huyu mfanyabiashara kina sikitisha mnooo
@simonsmithajax
@simonsmithajax 4 года назад
Haki itendeke hapa
@angelmollel6255
@angelmollel6255 4 года назад
Pole sana baba dah ? Inauma sana
@joanjoan1080
@joanjoan1080 4 года назад
Yan inauma mpaka inaogopesha?
@joanjoan1080
@joanjoan1080 4 года назад
Ilitakiwa aseme ukweli pale alipokua akizuiwa kutoa ushenzi wao kwa vyombo ya habar
@joanjoan1080
@joanjoan1080 4 года назад
Yan nimeumia hadi hasira
@selemanindege9933
@selemanindege9933 4 года назад
Yaani hii story inaliza na inaumiza moyo kama nimefanyiwa mimi😭😭😭kwann lakini TRA??? Mngu anawaona
@issayusuph3050
@issayusuph3050 4 года назад
Dhambi husda nijambo bbaya sana sanaaaa... Daah yaan mpk nataman kupasuka kwa hasira
@jasmineshechambo3401
@jasmineshechambo3401 4 года назад
😭😭
@gastordominic410
@gastordominic410 4 года назад
Magu safisha TRA kabisaaa
@allyjumaally8353
@allyjumaally8353 4 года назад
tra kiukweli siyo watu wazuri kwa wafanya biashara Wana penda xana kuwa subua wafanya biashara adi tuna kata tamaa
@ponsiankahesi3458
@ponsiankahesi3458 4 года назад
Story nzurii na mzee una kumbukumbu nzurii mungu atakusaidia
@darkplatnum9006
@darkplatnum9006 4 года назад
Inawezekan hawa viongoz wa juu wanajua nini kinafanyika tra wanazuga tu ndio michezo yao watu wanazulumiwa kila kukicha yaaan kama hiz sekta zitafanyik vilivo kuna madud ya hatal
@josephmgeni208
@josephmgeni208 4 года назад
Sio vizuri mfanya biashara sii adui unakaa na mzigo miaka mitatu aise!
@receptionzanbluu3656
@receptionzanbluu3656 4 года назад
Hapa kazi tu TRA mnamuangusha mzee turudi kwa mabeberu kwaaibu zetu, natamani kuhana nchi hii ni aibu kwa taifa huru, kama tupo utumwani, daaaah inauma
@Mamatonny2065
@Mamatonny2065 4 года назад
Mhhh! Huo uzembe wa TRA bado unaendelea?.naomba Mheshimiwa Rais atumbue huo uozo wa TRA!. Fukuza matapeli wanaondesha wanyonge kama gari bovu!.
@catherineyonamtewa8986
@catherineyonamtewa8986 4 года назад
Pole sana baba na changamoto unazizipitia😭
@suleimanrwaikondo6149
@suleimanrwaikondo6149 4 года назад
Catherine yona Mtewa pole kaka
@catherineyonamtewa8986
@catherineyonamtewa8986 4 года назад
@@suleimanrwaikondo6149 mpe pole huyo baba mie cyo Kaka🤔
@abujamalaalghammawiy7470
@abujamalaalghammawiy7470 4 года назад
Mwenyezimungu atakulipia, dhulma haipotei
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 4 года назад
walikuzumguka hao kaka ilaaa Allah yupo atalipa
@dickensimlwafu3106
@dickensimlwafu3106 4 года назад
very intelligent man,haki yake ataipata, afanye interview na ayo TV pia
@kingkendrickk
@kingkendrickk 4 года назад
Dah! Pole Sana Kaka, utashinda Tu, evidence zote unazo
@yohananjoekipada4737
@yohananjoekipada4737 11 месяцев назад
Da Mungu akulinde
@kibundapesamadimba6352
@kibundapesamadimba6352 5 месяцев назад
Pole Sana huuu unyama mkubwa.
@khalfansharji9790
@khalfansharji9790 4 года назад
Baada ya kuangalia nimejiuliza sana kuhusu tra lkn shaka kubwa ni juhudi za serikali ya muheshimiwa rais magufuli kuwaalika wawekezaji wa nje ambao ndio wenye mitaji mikubwa je wanapoona watanzania wenyewe wanadhulumiwa na ndugu zao tra.Sasa wanapojiuliza itakuwaje wao wakija kuwekeza katika hali hii kichefuchefu cha hili hakiwezi kuwaisha na lazima waogope sana tz.
@mariamothman7404
@mariamothman7404 4 года назад
Love u Rais magufuli Mungu yunawe cku zote
@irenerobert5800
@irenerobert5800 4 года назад
Huyu baba hapindishi maneno yani alichokisema kwa millady ayo ndio hicho hicho anachokisema huku global ila mwenyezi Mungu atawahukumu wote walioshiriki katika unyama huu
@gastordominic410
@gastordominic410 4 года назад
Mzee upo vzr sana....ktk kutunza kumbu2
@angelboy100tz
@angelboy100tz 4 года назад
Pole Sana Allah atasaidia Insha'Allah
@rajabothman3596
@rajabothman3596 3 года назад
Duh allah akufanyie wepesi
@AbdulMajid-kj5bi
@AbdulMajid-kj5bi 4 года назад
Kwahili jamani inabidi tuichukue ile video to share others group mpaka mh Rais aione kwakweli mtanzania mwenzetu kafanyiwa unyama wa hali ya juu na Kama polis waliousika walishafukuzwa iweje hao TRA kwani wao ni Nani?
@salmaismail686
@salmaismail686 4 года назад
Pole sana Baba yangu haki ya mtu haipotei na Allah atakulipia hapa hapa duniani
@hamisyasinwapi9122
@hamisyasinwapi9122 4 года назад
Magufuli haujawahi kuniangusha hata siku moja haswa kwa washenzi km hawa wa TRA.nasubiria kuona yale ninayotarajia kila siku kutoka kwako👍✨✨✨ 🎉😊👏😁👏😃🎉 Congratulations!
@user-og4ox5jb4v
@user-og4ox5jb4v Месяц назад
Ameshajiua RP
@gracemima5234
@gracemima5234 4 года назад
Wanafunga bila ya court order, Hawa watu walikuwa wamezowea kuchukuwa sheria mikononi mwao. Kuwatisha wafanya biashara. Sio Watanzania wengi wanaweza kupigana na hawa wavunja sheria, wengi watatowa rushwa na kuepukana na huu ujinga. Tanzania itaendeleaje kwa usumbuvu wa wafanya biashara bila ya sheria.
@gm7045
@gm7045 4 года назад
Poleni brother,Magufuri. Government inasaidia utapona hao wizi, TRA inatakiwa itumburiwe na Raisi pia🤔
@doubleymkuu4267
@doubleymkuu4267 4 года назад
Nikafanya nini?? 🤣🤣🤣🙏🙏Ndugu yake braza k huyu
@johannesmaloda8209
@johannesmaloda8209 4 года назад
serikali ipo mfukoni na wizara ya biashara na viwanda hasa TRA ni km genge la wanyang'anyi tu....Magufuli ci umng'oe mkurugenzi uyo
@abdulkadirali927
@abdulkadirali927 4 года назад
Dah mtihani kweli pole sana kaka yani inatia huruma mpaka nashindwa kuongea
@zakyahya4645
@zakyahya4645 4 года назад
Pole sana baba
@mamafadila7806
@mamafadila7806 4 года назад
Pia polee sana baba...Mungu akupe nguvu
@fedrickmwikwabe279
@fedrickmwikwabe279 4 года назад
Rais magufuli na waziri mkuu nyie ndo viongozi Wa watanzania wanyonge huyu mwenzetu mnamsaidiaje ?
@adammiyegela227
@adammiyegela227 4 года назад
Mungu akuteteee kwa pito hilo piaaa tunaomba muheshimiwa makufuru amsaidiee huyu mnyonge na wote walio poteza haki ya huyu baba wabebe mzigo wao
@madaiincubationcenter4947
@madaiincubationcenter4947 4 года назад
Aise isingekua serikali ya awamu ya tano huyu ndio alikua ameshapotea ila shukrani kwa kuwa na viongozi wazalendo Mh Rais JPM na WAziri Mkuu Kassim Majaliwa, ingekua awamu ya nne sijui kama asingekua ameshakufa huyu mzee pole Mungu anakusaidia utakaa sawa pole kwa msiba wa dada yako na pia pole kwa mkeo kuwa kichaa kwa mshituko
@johnsnip1563
@johnsnip1563 4 года назад
Daa inaumiza sana
@saitotisaitoti6734
@saitotisaitoti6734 4 года назад
Yani kama uchawi unafanyaga kazi ningeloga wote waliohusika
@godfreylyimo4177
@godfreylyimo4177 4 года назад
Yono inarecord mbaya sn!
@meena-ol6fo
@meena-ol6fo 4 года назад
Hii ni aibu kubwa sana kwa hii serikali
@godfreylyimo4177
@godfreylyimo4177 4 года назад
Commissioner wa TRA ameanza vibaya sn.. Inakuwaje kwa miezi 9 hawajatimiza maagizo ya Rais yalitolewa mbele ya wanahabari!!! Huyu akae nje
@tumainikyando8803
@tumainikyando8803 4 года назад
Inaonekana uwezo wake mdogo sana ! yaani mh Raisi anatoa maagizo muda mrefu mno umepita bila kutekelezwa , HAFAI
@MrKhatibu
@MrKhatibu 4 года назад
Jamaa anakumbukumbu nzuri kweli yaani IQ yake ipo sawa na mh Rais Magufuli
@japhettuju1722
@japhettuju1722 3 года назад
Rais tumbua TRA wanatusumbua Sana,
@isihakazombokooo1647
@isihakazombokooo1647 4 года назад
Kiukweli Tra ni wezi pia wamezarau kauli ya amiri jeshi mkuu.bro mtafute waziri mkuu.utampata tu.wanabebana mnoo
@kenybenjiz7850
@kenybenjiz7850 4 года назад
Nchi hii imejaa dhuluma
@jamesmgata1373
@jamesmgata1373 4 года назад
Hii ndyo nchi yetu
@goodgirlgood6747
@goodgirlgood6747 4 года назад
Ingekuwa vizuri TAKUKURU pia wahusishwe
@godfreylyimo4177
@godfreylyimo4177 4 года назад
Jitihada kubwa za JPM na namna anavyowashughulikia wala rushwa bado Watz hawaogopi? Unaweza kuona Mfanyabiashara alikuwa na maisha gani kabla ya awamu ya tano
@ireneassey3685
@ireneassey3685 4 года назад
Baba mungu kakup hekima yani mimi tungegawana majengo
@priscusaugust4557
@priscusaugust4557 4 года назад
This is too bad hakika mungu atakupigania maana wewe utakuwa mfano kwa wengine hasa wale wenye tabia ya kudhulumu watu
@samwelshilungu4370
@samwelshilungu4370 6 месяцев назад
Listening in 2024
@deusisindwa616
@deusisindwa616 4 года назад
😭😭😭😭😭😭😭mpaka nmebubujikwa na namachozi.
@receptionzanbluu3656
@receptionzanbluu3656 4 года назад
Mamayangu mpaka lini? kilasiku tunapiga vita rushwa, rushwa hii ushahidi huu hapa ila mtu bado anaitwa afsa wa tra, takukuru ipo, inafanya nn? si ivunjwe Tu??
@ndeletwaswai3530
@ndeletwaswai3530 4 года назад
We ni mwanaume wa wanaume ni zaidi ya mwanajeshi mungu akutangulie jamani urudishiwe jasho lako jamani.
@mtangombayaya7000
@mtangombayaya7000 4 года назад
Inasikitisha sana mungu hakika hatakupungukia kamwe.
@jafarimsaghaa95
@jafarimsaghaa95 4 года назад
Mzee Ana akili nyingi Sana huyu, ila inaumiza Sana moyo, pole Sana mzee.
@robertempire9542
@robertempire9542 4 года назад
Duuh pole sana ok wote waliokunyanyasa wafe na corona
@dr_godfrey
@dr_godfrey 4 года назад
Wachu unapitia wakati mgumu ni vizuri wazee wetu kigoma wahusike pole sana
@msigwaonestv9353
@msigwaonestv9353 4 года назад
Haya Bwana mmeua, mmefanya watu mwehu, 821m. Zinawadai Nahisi ni siku za mwizi 40
@joelgeorge9985
@joelgeorge9985 4 года назад
Aanzie tena kwa mheshimiwa Paul Makonda ni mtu wa watu sana, hapendi watu wake wa Dar wanyanyaswe
@bulugubujashi6378
@bulugubujashi6378 4 года назад
Hapo ili tupone kwenye nchi nikufukuza viongozi waliokuwepo wa TRA na Yono ote,nakuwaamuru walipe fidia ya huyu mzee.
@saitotisaitoti6734
@saitotisaitoti6734 4 года назад
Hee mpaka leo hujalipwa? Nenda ofisi ya wazir mkuu ukamkumbushe
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 года назад
Hawataki aonane nae ndio maana kaenda vyombo vya habari
@devisdomician9469
@devisdomician9469 4 года назад
pole baba Mungu yupo
@adammiyegela227
@adammiyegela227 4 года назад
Muheshimiwa makufuri hatuna imani na TRA tunaomba ingiliaaa kati
@andumwatonoka2889
@andumwatonoka2889 4 года назад
Anko magufuli unayaskia hayo madudu TRA
@willsons.harushimana5613
@willsons.harushimana5613 4 года назад
Kwan mwanzo wazir arifanya kaz gan au in mwenzake na mkuu wa mkoa alifanya kaz gan au mwenzake,,, tatzo serikali yetu maneno tembo nguvu kisoda
@mwanadamtz1298
@mwanadamtz1298 4 года назад
Brother k unanipa raha upo makini
@joelgeorge9985
@joelgeorge9985 4 года назад
Kamishna hamna kituuu, siku zote ulikuwa wapi kusolve mpaka Waziri Mkuu aingilie kati, boss wako anakufanyia kazi yako... Baba yetu ingilia kati
@phabianstephano8279
@phabianstephano8279 4 года назад
TRA wanaviburi sana
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 4 года назад
Duuh maskini 😭😭😭😭
@shehozamedia8543
@shehozamedia8543 4 года назад
magufuli anavyotumbuaga yupo sahihi wapo watu ambao wanakwamisha na kuua mipango ya wengine
@abdallahmuttaq7306
@abdallahmuttaq7306 4 года назад
Yaaahpo ndio napiga picha mzee magu akija kuondoka madarakani watu wataonewa sana tena bila kuwa na mtetezi hivi sasa yupo tu na anapambana nao lkni bdo na wao ni wabishi bado
@tafmediaafrica6202
@tafmediaafrica6202 4 года назад
Dah! jamani MUNGU tusaidie.
@mamafadila7806
@mamafadila7806 4 года назад
TrR wanazingua sana
@nipolive..2745
@nipolive..2745 4 года назад
Magufuli hii story inasikitisha msaidieni huyu mlipa kodi
@gastordominic410
@gastordominic410 4 года назад
TRA jamani kwa hivyo.....
@annamashiri3921
@annamashiri3921 4 года назад
Jamani watu ham ogopi mungu mtu amtafuta pesa kwashida peyake inanza kumtesa. nimeji kuta nalia. yubaba ameteseka sana
@edwigalaswai7921
@edwigalaswai7921 4 года назад
Dah pole San baba
@kulwashiyogo6241
@kulwashiyogo6241 4 года назад
kwanini tra wanashindwa kutekereza maagizo ya mh raisi
@ayubunsajigwa3935
@ayubunsajigwa3935 4 года назад
Hii ndiyo awamu ya tano , watu wakiambiwa tunataka katiba mpya mnapinga sasa kilichobaki ni dhuruma tu
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 года назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
@hadijabashasha3337
@hadijabashasha3337 4 года назад
Maskiniiiiiiiiiiiiii ....eeeeee!!!!!Mola msimamie mja wako
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 4 года назад
Hii kesi ina muda mrefu jamani kaaaah.
@joshuakibale1371
@joshuakibale1371 4 года назад
Sasa Kama Hawa viongozi waTRA wameamliwa Na rais na waziri mkuu mkuu kuwa huyo bwana alipwe, lakini hao bwana wa TRA wamekaidi, Sasa tutakimbilia wapi???
Далее
😱ЖИВОЙ Чехол на Айфон🤪
00:38
Просмотров 273 тыс.
La Tierra Robó El Anillo De Saturno #planetballs
00:14
😱ЖИВОЙ Чехол на Айфон🤪
00:38
Просмотров 273 тыс.