Тёмный

PART 1: DADA WA RUGE MUTAHABA AELEZEA NAMNA ALIVYOHISI KIFO CHA RUGE 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 226 тыс.
50% 1

Dada wa Ruge Mutaba ameelzea namna alivyohisi kifo cha kaka yake wakati wakiwa hospital nchini Africa Kusini.

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 119   
@neemasalum950
@neemasalum950 5 лет назад
R. I. P RUGE and kibonde Allah awatie nguvu ktk kipind hichi kigumu... Dah nimeumia jmn kifo hakizoeleki wallah
@rahjah5882
@rahjah5882 5 лет назад
Poleni sana , the way I know him yaani nimelia sana peke yangu 🇯🇵🇹🇿
@aloycemasele7236
@aloycemasele7236 5 лет назад
Kizungu kama chote! Asante baba Ruge na mama Ruge! Mungu awabariki , nawatakia pole sana, no way yeye mbele sisi nyuma
@edinamutakyawa6872
@edinamutakyawa6872 5 лет назад
mazishi ya Ruge
@jepkorirzipporah3777
@jepkorirzipporah3777 5 лет назад
Poleni sana.Koku yupo vizuri sana.tatizo ni ,wengine tunalack exposure , yaani exposure kitu muhimu sana.basi tujitahidi watoto wetu watoke juu sisi hatukuwezaa
@hosearwechungura5391
@hosearwechungura5391 5 лет назад
Kaka Hasan umefanya kazi kubwa na Babie Kabaye, Mungu awabariki sana!
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 5 лет назад
Daaaa huyu koku anafanana na marehemu Ruge sana halafu yaani na huyu zamaradi utafikiri kazaliwa ktk hii familia na yeye anafanana sana.Poleni sana wanafamilia Mungu awatie nguvu R.I.P Ruge
@asmasaira4209
@asmasaira4209 5 лет назад
Kumbe na wewe umeliona hilo yani zamaradi amefanana sana na hii familia
@vj8313
@vj8313 5 лет назад
umelia Sana dada macho yamevimba Sana😢, Pole mno, Mungu awatie nguvu
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA 5 лет назад
Poleni sana Familia. Mungu awatie nguvu
@faulatafahmi7733
@faulatafahmi7733 5 лет назад
Poleni sana wafiwa...tuko pamoja...niko Canada lkn nilikua nafuatilia vitu vya Ruge karibu vyote
@jeromegodbless9349
@jeromegodbless9349 5 лет назад
Mwenyez Mungu amlaze mahali pema peponi 🙏
@benfrancis8288
@benfrancis8288 5 лет назад
Polen clouds kwa msiba wa boss RUGE , pia poleni sana kwaajali mlopata Mungu awatie nguvu kwa kipindi hiki kigumu vilevile awatibu kwa wepesi wote waliokuwemo kwenye gari
@alexchungu8823
@alexchungu8823 5 лет назад
Huyu Dada ni akili Kubwa alafu she is very calculated women... R. I. P ruge
@beatricekamengekamenge5543
@beatricekamengekamenge5543 5 лет назад
Umeonaee yup ok
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 5 лет назад
Hii familiya ya wasomi wote
@alexchungu8823
@alexchungu8823 5 лет назад
Yeah she has contents on her brain
@juliaphillip7207
@juliaphillip7207 5 лет назад
Alex Chungu you right
@albertoarcangel5859
@albertoarcangel5859 5 лет назад
Pole Sanaa dada
@hamedal-shruiqi2123
@hamedal-shruiqi2123 5 лет назад
Poleni xna ndungu mungu atawapa subra
@douceurgracia4359
@douceurgracia4359 5 лет назад
Dada ruge kafanana na zamaradi ex wifi wake.ata ruge alifanana na zam itafikiria Dada mdogo wao
@gggjjahhhh9419
@gggjjahhhh9419 5 лет назад
Umeonaaaaah yaaani wamefanana balaaaa
@athmanbello380
@athmanbello380 5 лет назад
Yeah ,sanaaa
@madamhero4952
@madamhero4952 5 лет назад
😂😂😂😂😂 ukweli kabisa
@lilianjerome4192
@lilianjerome4192 5 лет назад
Douceur Gracia true
@athmanbello380
@athmanbello380 5 лет назад
O
@raymondkanyama6387
@raymondkanyama6387 5 лет назад
kokuuuu...wahaya mnapenda shule jmn
@naimakweyamba5340
@naimakweyamba5340 5 лет назад
Atari sanaaa Wahaya tuko vizuri
@johnmwashihava8826
@johnmwashihava8826 5 лет назад
raymond kanyam
@zaynabkalombi1579
@zaynabkalombi1579 5 лет назад
FAMILIA hii wako vizuri jamani ni kumtumainia Mungu tu kwa kila jambo interview yako kikubwa na mamake went gud
@aminamrisho9825
@aminamrisho9825 5 лет назад
Wahaya wasomi jemen mungu awatie ngv ktk kipind iki kigumu"""ruge hatosaulika
@teddykassinde4608
@teddykassinde4608 5 лет назад
Wahaya wasomi hawana pesa , wachaga hawajasoma pesa kibao yani ni elimu vs pesa
@emyshaibu8089
@emyshaibu8089 5 лет назад
na wahehe je?
@joycebrown47
@joycebrown47 5 лет назад
Ukweli wahaya wengi ni wasomi alafu wanapenda kujenga either inje ya inchi hama the capital city dar. Ila bukoba hawajengi wanataka kubakiza utamaduni wao. Wachaga uwa ujenga kijijini kwao, siyo mjini tuu na niwafanyabiashara pia.
@saumukaisi3996
@saumukaisi3996 5 лет назад
Jamani Koku Dada yangu hongera sn ulimpenda sn kk yako Ruge nenda kk tutaonana tu sicku na sisi tukinyakuliwa 💔💔
@sharonlelia1726
@sharonlelia1726 5 лет назад
May God strengthen you
@rehemamlaponi8932
@rehemamlaponi8932 5 лет назад
Poleni sana familia ya ruge na kibonde wapumzike kwa amani wapendwa wetu
@peacerumanyika2073
@peacerumanyika2073 5 лет назад
Pole sana dada jamani
@barnabastanford3500
@barnabastanford3500 5 лет назад
Poleni sana pumnzika kwa amani bosi ruge hakika amezima kama mshumaa ametangulia nasisi tutafuata nenda jembe nenda kaka nenda swaiba nenda mtu wa watu hakika pengo lako halitazibika
@teddykassinde4608
@teddykassinde4608 5 лет назад
Kumbe alianzia india mie nkawaza km figo si wangempeleka india nadala ya SA?
@nawechitemu2431
@nawechitemu2431 5 лет назад
Poleni sana kwa msiba...
@nawechitemu2431
@nawechitemu2431 5 лет назад
Bt dada Koku you look like zamaradi
@maryflorenceinvestment7532
@maryflorenceinvestment7532 4 года назад
Nan kasikia tulikuw tunaomba n mwaponsa ?? Kumbe jamaa alikuwepo ila kashidwa kutetea uhai? Gong like hap 2020/2/26
@faulatafahmi7733
@faulatafahmi7733 5 лет назад
Halafu amefariki on my birthday maskini Jasiri muongoza njia...will never forget
@azizahmkally2022
@azizahmkally2022 5 лет назад
Poleni sana familia
@justineulimule6530
@justineulimule6530 5 лет назад
Pole Koku
@jamilamgasa9021
@jamilamgasa9021 5 лет назад
poleni sana jamani Kwakweli inauma amemaliza safari yake
@zumratkajonje6365
@zumratkajonje6365 5 лет назад
poleni sana
@tamaraemmah6553
@tamaraemmah6553 5 лет назад
Poleni Sana wanafamilia MOLA awatie nguvu
@angelntandu4648
@angelntandu4648 5 лет назад
Poleni sana dada.jembe limeyeyuka
@magrethkimei7220
@magrethkimei7220 5 лет назад
Polen sana dada
@TheSalma1999
@TheSalma1999 5 лет назад
Awww jamani Ruge go and Rest baba ni more pain
@derickjoas8030
@derickjoas8030 5 лет назад
Wahaya! 🙌🙌
@aibonkinya2817
@aibonkinya2817 5 лет назад
Poleni sana
@DaveHumphrey2514
@DaveHumphrey2514 5 лет назад
FIRST OF ALL, EXCELLENT CONTENT. Grab your snack everyone, great great 11 minutes. BETTER THAN HOT TOPICS. Ahsante koku
@shanimwakipesile3341
@shanimwakipesile3341 5 лет назад
alf wamefanana Sana
@khloesings2174
@khloesings2174 5 лет назад
Pole haki
@chrystiankagasheckjr.5287
@chrystiankagasheckjr.5287 5 лет назад
Koku anafanana na zamaradi
@braniceadisa6366
@braniceadisa6366 5 лет назад
Koku just look like ruge if she was aman could be copyrity for him
@josephinekimaro761
@josephinekimaro761 5 лет назад
very true
@salmaothman153
@salmaothman153 5 лет назад
Poleni 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 5 лет назад
Polen wafiwa wote pamoja kwa wakati huumgum R.l.P rugu
@raxhidymono9258
@raxhidymono9258 5 лет назад
Familia ya luge wote wasomi baba mama watoto wote laha kwakweli na poleni sana na kwa msiba wa mpendwa wenu
@johanithakokubanza9973
@johanithakokubanza9973 5 лет назад
Poleni Dada koku
@janesway3680
@janesway3680 5 лет назад
haw watu wana akili wanafaa hata kupewa ukuu wa mkoa wa d
@emmanuelmziray1073
@emmanuelmziray1073 5 лет назад
Roho wa Mungu aendelee kuwafariji
@richardlambert6644
@richardlambert6644 5 лет назад
Mungu awalinde
@user-dg1vi5in3b
@user-dg1vi5in3b 9 месяцев назад
Kifo kipo ilahakizoeleki inauma sana
@levinabyamungu8453
@levinabyamungu8453 5 лет назад
Pole Sana,hivi Dr yeyote naomba kuuliza kwanini hawakuweza kumpa Figo ya mtu mwingine? Hili kuokoa uhai wake?
@sumnamak3825
@sumnamak3825 5 лет назад
Mimi si Dr. Ila tuliuguza family member mwenye tatizo la figo. Hali mgonjwa inabidi iwe haiyumbi, pili anahitaji figo kutoka donor itakayo "match". Kama mtu yu hai basi operation mbili hufanyika. Kisha mwenye figo mbaya, inabidi apewe dawa za kutumia ilimwili wake usiukatae figo aliyopewa. Sometimes inatokea pia inaweza kuwa ya mtu aliye donate figo ikiwa atakuwa amepata umauti. Mgonjwa wetu alilapata hiyo figo mpya lakini alikuwa na complications. Miezi michache tu baada ya kupata figo alifariki. Kuuguza mgonjwa wa figo ni kazi sana. Acheni tu. Nawapa akina Koku poleni.
@racheldauson9471
@racheldauson9471 5 лет назад
Wangetangaza tungejitolea
@MtuSafi
@MtuSafi 5 лет назад
kunywakunywa dawa nako sio kuzuri kuna Fanya figo inashindwa kuchuja chemical.... kingine ukiwa na ukimwi harafu Mara nyingi kufel figo kawaida maaana dawa unakunywa dawa kila siku na figo inashindwa kufanya kazi yake.kubaki salama ni bahati tuu mpk Neema ikushukie kwakweli.
@racheldauson9471
@racheldauson9471 5 лет назад
Mammaaa kwaio nandy akapime yasije kumkuta
@aksantedeborah7913
@aksantedeborah7913 5 лет назад
Ndo mana kifo kibaya kina kuja bila mtu kutarajia I hate you kifo,kama hivi ange celebrate his birthday on 15 of February Aise 😭😢😢😢 kifo unaroho mbaya kabisa ,jaribu kujiuwa kwanza mwenyewe shii
@manyaramrema6531
@manyaramrema6531 5 лет назад
Ilikuwa birthday ya mtoto wake, yy amezaliwa tarehe 01/05
@aloycemasele7236
@aloycemasele7236 5 лет назад
Oooooh! Maumivu ya moyo, kama nakuona.
@Gratefulheart3188
@Gratefulheart3188 5 лет назад
Yesu atakuja kukikomesha kifo siku Moja na tutaishi kwa furaha milele na milele
@nicewatson6264
@nicewatson6264 5 лет назад
Everything he know God ....God bless🙏🙏
@joycejohn7754
@joycejohn7754 5 лет назад
Kazaliwa 1may
@rahmaathman721
@rahmaathman721 5 лет назад
Polen jaman
@manyaramrema6531
@manyaramrema6531 5 лет назад
Mhaya asiweke kakingereza ni taabu, poleni
@fadirakajungu760
@fadirakajungu760 5 лет назад
Ukisikia shomile ndo uyo
@pataniaasheri982
@pataniaasheri982 5 лет назад
Wameishi nje sana hawa... Usishangae
@karthala6676
@karthala6676 5 лет назад
They are educated people. Ruge was born in America. Siyo English ya kuombeya nchuvi.
@emyshaibu8089
@emyshaibu8089 5 лет назад
mh
@alfarsiali2779
@alfarsiali2779 5 лет назад
Dah mpk macho yamekuvimba jamn dada pole saana
@kefawales8187
@kefawales8187 5 лет назад
Hii familia ya Mutahaba lugha mbaya kwao ni kuku aisee wote shule ipo kichwani
@peterishengoma6808
@peterishengoma6808 5 лет назад
wahaya wako ivyo kielimu
@angelababson4822
@angelababson4822 5 лет назад
Am even surprised ni watanzania hawa kweli,, plus yule kijana wake pia kiswahili so mambo yake
@happyjovinary7712
@happyjovinary7712 5 лет назад
R.I.p kaka ruge ukweli kifo hakizoeleki kifo cha ruge kimeniachia majonz mazito
@jepkorirzipporah3777
@jepkorirzipporah3777 5 лет назад
Halafu mkionanga watu walio na hela zao wakipeleka watoto wao wasome nje ,matokeo yao ya baadaye ndo watoto wanakuja kuongea ivi...
@aminamgaya7511
@aminamgaya7511 5 лет назад
Inauma sana kwa kweli poleni familia ya ruge
@mwanajakalatv8656
@mwanajakalatv8656 5 дней назад
Baba Yao Hajaibiwa.
@nshomamayungu2326
@nshomamayungu2326 5 лет назад
Pole sana familia ya ruge mutahaba.
@jandaboytztz6314
@jandaboytztz6314 5 лет назад
Apumuzike kwa amani Boss Ruge mutahaba😭😭😭😭😭😭😭😭
@Superman--un9xz
@Superman--un9xz 5 лет назад
poleni sanaaa mungu hawape nguvu
@jandaboytztz6314
@jandaboytztz6314 5 лет назад
@@Superman--un9xz asantesana
@grolianamalah7083
@grolianamalah7083 5 лет назад
mpola mno Dada koku mungu awatie nguvu kipindi hiki rip Ruge
@dafrosamsonge2007
@dafrosamsonge2007 2 года назад
RIP Ruge
@subirajuma6383
@subirajuma6383 5 лет назад
Huyu Dada ana fanana na zamaradi mketema
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 5 лет назад
Kun machoko yapo rug alikufa mwez wa kumi mxiuu yalaaniwe 😏😏😏
@kwzjkwz3532
@kwzjkwz3532 5 лет назад
Faidha Myovela ukiwafata watz walah unakufa kwa hasira
@kwzjkwz3532
@kwzjkwz3532 5 лет назад
Faidha Myovela wabongo tena hadi nondo yule wakujiteka
@lilianmwasi4050
@lilianmwasi4050 5 лет назад
anafanana naruge pamoja na mtoto wazamaradi shubi
@jandaboytztz6314
@jandaboytztz6314 5 лет назад
Natazama
@mikaevaristposho9637
@mikaevaristposho9637 5 лет назад
Janda Boytz Tz
@badmanno.1650
@badmanno.1650 5 лет назад
Koku wa maneno ya kuambiwa au..
@MtuSafi
@MtuSafi 5 лет назад
w4k1- 70wn weee nawe lile zuzu🤓
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 5 лет назад
Mbona Wanahabari Mnakwepa Swali kuhusu chanzo cha Ugonjwa Wake? Niwaulize, Kubadilisha Figo ni Kitu Kirahisi sana, Je Kwanini Hawakumbadilishia Figo? especially Alipoenda India? Nini Kilipelekea Figo zake Kufail?
@sumnamak3825
@sumnamak3825 5 лет назад
Wewe unaandika tu. Inawezekana wana sababu zao kunyamaza kama ilivyo family nyingi. Kiukweli hatuna haki yeyote ile kudai kujua. Mambo mengine tuwaachie wakiwa tayari watasema tu. Kwa sasa tupo wengi tunaliwazia. Some things are best left alone, kumbuka simple kwako ni ngumu kwa wengine. Tuwe na huruma for the family.
@selemanlukinga2974
@selemanlukinga2974 4 года назад
Sio rahisi kihivyo kupata related kidney coz sio kila MTU anaweza kudonate figo na ika match na wewe
@khadijanjama9016
@khadijanjama9016 5 лет назад
Poleni sana
@hamedal-shruiqi2123
@hamedal-shruiqi2123 5 лет назад
Poleni xna ndungu mungu atawapa subra
@belinafinias9611
@belinafinias9611 5 лет назад
Pole Koku
@mfubwakilua5380
@mfubwakilua5380 5 лет назад
Poleni sana
Далее
Батя всех бургеров на 7000 ккал!
00:55
Семья с двойным дном. Рассказ
2:45:06
NANDY AMLILIA RUGE/ ALIZA WATU ASHINDWA KUIMBA
4:42
Просмотров 1,2 млн
"Ruge Mutahaba ni mali ya Watanzania." Mbaki Mutahaba
24:13
Askofu Gwajima alivyotembelea Clouds Media Group leo
20:09
Батя всех бургеров на 7000 ккал!
00:55