Тёмный

Zamaradi Mketema afunguka kwa mara ya kwanza kuhusu ndoa yake, Ruge, Clouds na vingine *Exclusive 

Dizzim Online
Подписаться 768 тыс.
Просмотров 469 тыс.
50% 1

Kwenye Chill na Sky, Zamaradi Mketema anafunguka kwa mara ya kwanza kuhusu ndoa yake, uhusiano wake na baba wa watoto wake wawili, Ruge Mutahaba, alivyojisikia baada ya Adam Mchomvu na Soudy Brown kuiponda ndoa yake na mengine

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 386   
@Rizikiskitchen
@Rizikiskitchen 6 лет назад
Toka Canada ninashukuru kwa swali hilo ndugu mtangazaji kuusu Take One, kwakweli binafsi nimei miss sana. Zamaradi I can't wait to see it again, please and thank you.
@mtotowaspurs
@mtotowaspurs 6 лет назад
You are nice, kind, respectful .....una akili kubwa dada angu, no matharau, heshima na adabu kibao, Stay Blessed ...!
@kinywakithebigboss6791
@kinywakithebigboss6791 6 лет назад
okay ukopoa
@pendomariki6703
@pendomariki6703 6 лет назад
Noel Stewart
@piliomary8596
@piliomary8596 6 лет назад
I can't get Enough to watching you Zamaradi Everywhere... unautofauti mkubwa ,akili nyingi natamani dunia nzima ijue kuna watu watofauti wenye karama kama Zamaradi wewe Dada you are too blessed and special !!!🙌🙌🙏😘
@hidayaramadhani8031
@hidayaramadhani8031 6 лет назад
nakupenda sn dada ang,ww n mwanamke jasir na unajiamin,ww n role model wng,I'm proud of u mummy!
@hidayaramadhani8031
@hidayaramadhani8031 6 лет назад
nilikua nasubiria kw hamu kumckia zamarad baada ya kuolewa,angalau ht shavu linaonekana mama,umenawir mashaallah
@syliakusprimu8058
@syliakusprimu8058 6 лет назад
sky wewe ni zaidi ya presenter. Unauliza maswali ya akili sana, yanayoendana na hali halisi na muda uliopo! uko very talented same like Millard Ayo
@BarakaWaya
@BarakaWaya 6 лет назад
Syliakus P ngeze Yeah huyu Jamaa na Millard ni the best presenters
@zaitunimrisho6222
@zaitunimrisho6222 6 лет назад
Kamaliza vipodozi vyote angalau anaonekana kiasi Fulani hivi
@mamuuwangu8282
@mamuuwangu8282 6 лет назад
Syliakus P ngeze ni ww hpo kwa pp au ni kkko?🤣🤣🤣
@nurdinimndeme2912
@nurdinimndeme2912 4 года назад
@@zaitunimrisho6222 sio kosa lako '
@bensonfrank643
@bensonfrank643 6 лет назад
TWO TALENTS IN MEDIA.. ✊ Wakali wamekutana
@timizanafrikamedia5464
@timizanafrikamedia5464 6 лет назад
I do love sky, he is very mastering in his work
@godfreymalima9502
@godfreymalima9502 6 лет назад
Nakupenda sana wewe dada. You really are insipiring me everyday.
@nunuuali5316
@nunuuali5316 6 лет назад
I realy lv Zamaradi!!! Unajielewa dada kiukweli wewe ni mfano mzuri wa kuigwa natamani kukufaham.
@hadassperez494
@hadassperez494 6 лет назад
She's so inspiring. I love her Account even with her long captions l read them all through. ..Beautiful interview.
@janethlucas3284
@janethlucas3284 6 лет назад
My zama i love this lady to the foolest..asee😍😍😍
@anifatwaha1412
@anifatwaha1412 6 лет назад
Nakupenda sana zamaradi unajitambua Sana mungu akutunze my
@Notepad_TV
@Notepad_TV 6 лет назад
she is Smart!?I salute Zama
@frankfrancis4934
@frankfrancis4934 6 лет назад
good interview perfect questions perfect answers ... thumbs up 👍
@omarally4237
@omarally4237 6 лет назад
This lady is gorgeous, great voice, beautiful and smart! The only Tanzanian star that our daughters could emulate her example! Big up Zamaradi!
@dn.n4983
@dn.n4983 6 лет назад
Mungu hakubariki zama your the hero ukipata nafasi your well come to swiss hongera unafanya kazi nzuri Mungu hakuongoze wewe na FAMILY yako ubarikiwe
@mariammbega9592
@mariammbega9592 6 лет назад
nakupend sana dada zamaradi
@davidnchoji
@davidnchoji 6 лет назад
Beautiful Woman with Brain.. Nakupenda sana Zamaradi.
@balozimchomvu7779
@balozimchomvu7779 6 лет назад
Good woman, very smart kichwani.
@jescamaro6226
@jescamaro6226 6 лет назад
yani katika wanawake nao wakubali wanao ni inspire wewe ni my number one, nakupenda sana zama, ni vitu vingi sana najifunza kutoka kwako, nimekua nikikufuatilia kwa kipindi kirefu sana huwa naenjoy sana najifunza vingi sanaktk maisha yangu .....Lve u uuu zamaradi...💞💞💞💞💞
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 лет назад
Hongera sana my dear Zamaradi, love you mamy, wewe Jasir sana, love you jamani, unani inspire sana.
@mafinamaizez2514
@mafinamaizez2514 6 лет назад
MashaAllah Mungu amekupa uelewa mkubwa sana unautumia ipasavyo
@faridabakari8511
@faridabakari8511 5 лет назад
Interested ZAMA uko vzuri na hongera sana Mungu akuongoze na akulindie family yako 👉🇰🇪😙 love zamaradi
@tausilifestyle795
@tausilifestyle795 6 лет назад
Masha Allah nimejifunza kitu kutoka kwa Zama.
@dayanafelly1488
@dayanafelly1488 6 лет назад
You are the best Zama! Greatly appreciated
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 6 лет назад
Kuolewa munaHaki wala msihite bahati, pia Kuolewa siolazima japo inaongeza Heshima...
@faulatafahmi7733
@faulatafahmi7733 6 лет назад
I love this woman..Maasha'Allah very intelligent..well said about Instagram Zamaradi
@dorisgao7403
@dorisgao7403 6 лет назад
Hongera Dada uko vizuri unakitu kikubwa ndani yako na mungu azidi kuongeza Mara dufu
@fbhj443
@fbhj443 6 лет назад
masha ALLAH
@abdallahhadaika2131
@abdallahhadaika2131 6 лет назад
mashaallah Zama nakupenda sana mwanamke unaejielewa
@judamsaki5609
@judamsaki5609 3 года назад
Great zamarad....I DO GREEE WITH YOU
@ashminaabdullah5626
@ashminaabdullah5626 6 лет назад
Zamaradi muda mwengine huwa nakudharau kwann ulizaa bila ya ndoa ila kwa leo nimezidi kukuelewa uko vizur sana Allah akusimamie ktk ndoa yako
@msukumaone
@msukumaone 6 лет назад
@zamaradi Wewe ni mtu wa kipekee ktk tasinia uliyopo umepevuka kwa kiasi cha hali ya juu sana. Moyo wako na kinywa chako kina FILTER una nidhamu ya maisha unajua mipaka kati ya maisha ya kikazi kitaasisi. Biashara binafsi na maisha binafsi kifamilia. HONGERA SANA
@crianussyliacus1995
@crianussyliacus1995 6 лет назад
Wow!kumbe we ndo sky nimezoe kusikia sauti yako SNS kweli saut yako inashawish kukusikiliza hongera kwa hilo bro.
@sarahchungu3998
@sarahchungu3998 6 лет назад
i like the way u you talk your confident enough
@mamafranjovlog72
@mamafranjovlog72 6 лет назад
Unaakilli sana zama kipindi kizuri sana sky big up
@tumpalembindi1109
@tumpalembindi1109 6 лет назад
I low u Zama,ur strong woman, God bless u.
@Joseph2010201
@Joseph2010201 6 лет назад
"Soo professional interview" ....... Perfect
@vissejohn2535
@vissejohn2535 6 лет назад
zamaradi uko vizuri sana love you somuch
@salehlyombe4385
@salehlyombe4385 6 лет назад
Hongera sana mwenye kuhoji, lakini pia muhojiwaji(Zamaradi) nafikiri kwa kuwa mmesoma chuo kimoja..... Nice interview. Hongera Zama kwa nidhamu ktk mambo yako ya mahusiano.
@mwanaidimsangi3674
@mwanaidimsangi3674 6 лет назад
nampenda sana zamaradi.jamani huyu dada anajitambua
@mwakilongomai4020
@mwakilongomai4020 6 лет назад
Sijawahi kuchoka kusikiliza sauti yko, cjawahi kuchoka kukupenda, lkn kubwa zaidi unanifurahishaga zaidi kwenye matumizi ya R na L, hongera
@pamellahnecheza4799
@pamellahnecheza4799 6 лет назад
Ndio maana nampenda huyu Dada she's always real😍😍
@Lahyzeecrucial
@Lahyzeecrucial 6 лет назад
Napenda sana Sauti Ya Zamaradi....katulia sana yani
@ramadhaniathumanimlenge6641
@ramadhaniathumanimlenge6641 6 лет назад
Alihamndulillah zamaradi nimekuelewa
@brejoan6872
@brejoan6872 5 лет назад
l
@saidhassan3967
@saidhassan3967 6 лет назад
i love zamaradi.......ur the my superwoman
@rashidabeid2763
@rashidabeid2763 6 лет назад
She Seems Happy and No Stress at All Mashalaaah..,.Hata Kunawiri Amenawiri sasa Mashaalah Mashaalaah ! shavu Dodo
@deepconcept2020
@deepconcept2020 6 лет назад
One of the best interviews. Mtangazaji na Mtangazwaji wote mmfefanya vizuri sana.
@forextanzania9814
@forextanzania9814 5 лет назад
Nikimfikiria huyu dada simpatii majibu ni mwanamke jasiri na anajitambua sana ndiyo mana aliamua kumoveon na maisha yake
@imangregory8392
@imangregory8392 6 лет назад
Zama am so proud of you!big up Allah bless you always!
@mnazarayotv5752
@mnazarayotv5752 6 лет назад
I'm big fun wa zamaradi na sky..... Hii interview Ni Kama Vyuma vimegongana i like it
@dorispaullelo9531
@dorispaullelo9531 6 лет назад
Kilimanjaro Tv Online yes
@lovenessaloyce3177
@lovenessaloyce3177 5 лет назад
Godfrey Mushi that's nice
@tembasimba9462
@tembasimba9462 6 лет назад
KUNA WATU WAMEJALIWA KUPATA WAKE WEMA, ALIYEMUOA ZAMARADI HAKIKA AMEPATA MKE MWEMA.
@jumachillo
@jumachillo 6 лет назад
She is too smart
@jumampeli281
@jumampeli281 6 лет назад
Huyu dada yuko vizuri... ...nimempenda sana...
@queenmaa7892
@queenmaa7892 6 лет назад
I love zamaradi so much...mm pia namiss Take one..asnten kwa kumleta zama
@evematinya6027
@evematinya6027 6 лет назад
Mungu akujaalie maisha marefu sana Zama
@yohanamjenjemo2245
@yohanamjenjemo2245 6 лет назад
kichwa chako Zama, kipo vizuri, hongera sana.
@shufaaa.4766
@shufaaa.4766 6 лет назад
kwa kweli zama maneno yako hua yanifundisha sana toa kitabu tutanunua
@luciaroberty6607
@luciaroberty6607 4 года назад
Shufaa A. Jamani nampenda sana huyo mdada,nataman siku moja kuonana nae,au kuwasiriana nae.mwenye no yake anisaidie
@shakirakidundu9414
@shakirakidundu9414 6 лет назад
Mashaa Allah. Umevuka mama wewe ni mwanamke jasiri. Ila rudi sana kwa mola wko jistiri wewe mtoto wa kiislam itapendeza Zaidi
@munirashabanmnubi8650
@munirashabanmnubi8650 6 лет назад
yan mpo vzr,Zama na bro Sky safi saaana!nyie co watu wa kutafta kiki kwa pikipiki,mweh!mpo very smart na mnajielewa mnachofanya aisee!big uuuup...
@carolinedalali7248
@carolinedalali7248 6 лет назад
Munira Shaban Mnubi a
@linahpaul5250
@linahpaul5250 6 лет назад
I really love u!coz najitunza mengi kupitia ww kiukweli unanibariki
@emmaenkwabi9268
@emmaenkwabi9268 6 лет назад
Fredrick bundala,,, nice bro
@ithurttolovesomeone
@ithurttolovesomeone 6 лет назад
Pole sana da #zamaradi na hongera wewe ni mwanamke shuja tofauti na wenziyo wakipintia zoruba kudogo wanaenda mahakamanu na nk ila kaka #simulizinasauti #sky #sns naomba ushauri zamaradi amtafute mwana saikolojia wa mahusiano na familia ampe ushauri coz kuna jambo halija toka kwenye maisha yake na kita muumiza sana
@lilianemmanuel3891
@lilianemmanuel3891 6 лет назад
Zama wewe ni mwanamke unaejielewa Sana your my real model.keep it up
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 6 лет назад
Wooow!! Wa dada wa Tanzania 🇹🇿 wange kua na akili kama yako Zamaradi taifa letu linge songa sana hongera sana Mwenyezi mungu akufanyie wepesi ktk kila jambo lako Ruge ana haki ya kulia hato pata mwanamke kama ww kwa dunia ya leo hawsa ktk Tanzania 🇹🇿 yetu wanawake wengi vichaa 😂😂😂Sorry Ladies tubadilike ✌🏾
@restutadavif4495
@restutadavif4495 6 лет назад
hongera Dada uko vizuri
@maulinakibwana4225
@maulinakibwana4225 6 лет назад
Sisy Zama nakupenda saana,kiukweli huwa najifunza kupitia ww,keep it up!!!
@rosefrank6093
@rosefrank6093 6 лет назад
hongera #endelea kupambana siku moja utakua sehemu nyingine zama
@yacinthakyebwe6720
@yacinthakyebwe6720 6 лет назад
Like it soo much
@alleyramadanyusuph7765
@alleyramadanyusuph7765 6 лет назад
I do like this woman
@tshishimohamed9086
@tshishimohamed9086 6 лет назад
Hongera zamaradi mketema dah kuongea ñi kipaji na kipaji unacho
@jumatenanzo3766
@jumatenanzo3766 6 лет назад
TshishiMohamed
@faridaothman
@faridaothman 6 лет назад
nakupenda zama
@nazmaabdul949
@nazmaabdul949 6 лет назад
Zama hongera afadhal sikuhiz hata umeanza kupendeza
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 лет назад
Nazma Abdul Exactly my dear
@nazmaabdul949
@nazmaabdul949 6 лет назад
+Saumu Hassan umeonaa
@prettyshemsanelly4374
@prettyshemsanelly4374 6 лет назад
kabisa AMEPENDEZA MAWAZO YAMEPUNGUA ALHAMUNDULILLAH
@pulltheskymusicgroup4475
@pulltheskymusicgroup4475 6 лет назад
Nazma Abdul hahaha...hy bhn
@nazmaabdul949
@nazmaabdul949 6 лет назад
+Saint Ndoroma poa
@MariamsLifestyle
@MariamsLifestyle 6 лет назад
Unajielewa sana zama
@joyceraphael3996
@joyceraphael3996 6 лет назад
mungu akuzidishie
@maima1606
@maima1606 6 лет назад
Jmn nakupenda acha tu
@saudataliata5666
@saudataliata5666 6 лет назад
Love ure voice.
@christinacharles7829
@christinacharles7829 6 лет назад
hongera my
@daltonmichira9833
@daltonmichira9833 3 года назад
Zamaradi got brains....2021
@freenewztv9143
@freenewztv9143 6 лет назад
Kwanza wewe Dada unaakili saaana hicho Mungu amekujalia ,napenda saaana unavojibu maswali,yaaani huna pupa,safi saaaana
@faifancie9711
@faifancie9711 6 лет назад
Nimekupenda zama
@sirmwita3351
@sirmwita3351 6 лет назад
Una akiri nyingi sana zama
@husnangapu502
@husnangapu502 6 лет назад
Umenenepa my shavu dodo ndoa tamu sana
@celinelaizir9102
@celinelaizir9102 6 лет назад
huyu Dada ananifurahisha
@kemmypius8619
@kemmypius8619 6 лет назад
Well done move on...... Wanaume wengi Hongera Sana tusitoane nyongooo....good mommy
@habibakhlifa8534
@habibakhlifa8534 6 лет назад
Una point ktk Mazungumzo yako Mashaallah
@nzomukundafatuma5364
@nzomukundafatuma5364 6 лет назад
Love you mama
@adamnasoro7956
@adamnasoro7956 6 лет назад
big up sky.
@venantpoisa7092
@venantpoisa7092 3 года назад
nawapenda Sana Sana dizzim TV ,from voi kenya
@pascalnguruka9984
@pascalnguruka9984 6 лет назад
Zamarad mketema Una confidence ya kutosha aisee.
@marthahamisi9998
@marthahamisi9998 5 лет назад
Penda
@marthahamisi9998
@marthahamisi9998 5 лет назад
Penda
@ashajuma9312
@ashajuma9312 4 года назад
Zamaradi nakupenda sana nimwanamke mwenye akili sana
@subehaahaji1504
@subehaahaji1504 6 лет назад
Amenenepa mashallah
@nyarkamrumbeayoma6886
@nyarkamrumbeayoma6886 6 лет назад
Such a woman!👌
@veronicascottmollel7897
@veronicascottmollel7897 6 лет назад
Niheri mego kavu kukiliko nyumba ya sherehe na maumivu.. Hongera Zama.
@abdulmasoko7241
@abdulmasoko7241 6 лет назад
upo safi Sana zama
@fadhililihinda6491
@fadhililihinda6491 5 лет назад
Matoto ya Kigoma bana, safi sana
@hannahelijah330
@hannahelijah330 6 лет назад
This interview have sense. Keep it up girl.
@andrewkessy9973
@andrewkessy9973 6 лет назад
u look so smart in every thing much love to you sweet voice
@majidfrolian4905
@majidfrolian4905 6 лет назад
I love you zamarady, keep on struggling hard and focus on positives
@julisteven5861
@julisteven5861 6 лет назад
we dada nakupenda sana Mungu akuzidishie
@mariambeautysonghuseni9549
@mariambeautysonghuseni9549 2 года назад
hongera sana you so smarty ila wanaume hawajui mke mzuri niyupi jamani alikupoteza sana
@peternyalugembe3089
@peternyalugembe3089 6 лет назад
saf xaaaan zamarad u inspire me!love u xo much
@leonardlema1915
@leonardlema1915 6 лет назад
Akili kubwa......
Далее
Mkasi | S13E10 with Ruge Extended Version
40:28
Просмотров 535 тыс.