Тёмный
No video :(

PART 1: JAMES MBATIA, NILIKUA NATUMIKA NA MAGUFULI?/SERIKALI IMEFANYA NJAMA KUNING'OA NCCR 

Dar24 Media
Подписаться 728 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 23   
@mcpetitkisinini681
@mcpetitkisinini681 2 месяца назад
Interview kali sana
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 2 месяца назад
Hongera sana Mbatia endelea kusimamia kupigania Tanganyika.
@m.s.nyerere476
@m.s.nyerere476 2 месяца назад
Huyu mzee ana uwezo mkubwa! Much love to him!!
@Commentsplus
@Commentsplus 2 месяца назад
Wamevaa sout za kufanana ujue
@luhasamaligo7907
@luhasamaligo7907 2 месяца назад
Mtu mmoja makini sana Joseph Francis Mbatia
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 2 месяца назад
Majanga zaidi bwana mbatia ni machinga ccm iliyo mwagwa barabarani hao ndio wataleta vyama wakishika panga hawataludi nyumba asante
@habyhabib7538
@habyhabib7538 2 месяца назад
Unajua unapoiangalia tanzania ,unaiona tanzania,tunahitaji wanasiasa makini ambao wanaokua na uchungu juu ya utaifa wetu wa tanzania,ni moja wapo ya tunu na mentor wa wanasiasa wengne ambao wako sehem fulani,tunachotaman wananchi nikuona taifa linafika wapi, Kwa kumaliza hakuna binadam mkamilifu,tamat kabisa kabisa tunahtaj tanzania salama,tusiache kutoa elimu sahihi ya utafakar juuu ya uzalendo
@saturinimushi4746
@saturinimushi4746 2 месяца назад
Kama Siyo Migogoro ya Ndani Kupitia Wanasiasa Mamluki Vyama Vya Upinzani Tanzania Vingekuwa na Nguvu sana Kwa Sababu ya Hazina Ya Viongozi Wasomi Wenye Akili sana. Shida kubwa ni Usaliti. What? Goes Around Comes Around. Wewe Na Yule Mch. Aliyekuwa Mw.Kiti Wa Kanda ya Nyasa Uwezo Mnao. Tatizo kubwa ni kutanguliza Maslai Binafsi na Maslai ya Wachache kwa Baadhi ya Viongozi wa Vyama Vya Siasa.
@charlessolomon5928
@charlessolomon5928 2 месяца назад
mbatia nampenda saana ila goli alilopo halifungiki
@tobiaspaul9203
@tobiaspaul9203 2 месяца назад
Roly mode wangu
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 2 месяца назад
Sasa yeye aliemtoa Mbatia amenya nini ? Yeye huyo yuko kwa ajili ya CCM that is all
@yugemasanza1008
@yugemasanza1008 2 месяца назад
Kwa kweli wewe ni zaidi ya Lissu na akina Mbowe
@ezekielkiduge8730
@ezekielkiduge8730 2 месяца назад
Wewe ni chawa kama chawa wengine ni nani asiyekujua!!!!!!
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 2 месяца назад
Hamuna haki Tanzania labda makonda au silaa wawe maraisi ndio haki itapatikana
@medinaser9712
@medinaser9712 2 месяца назад
Muheshimiwa mbatia ni hazina ya taifa .....kwanini asiende atc wazalendo ...kwa siasa zake panamfaa sana kwa anaendana na siasa zake za kistarabu
@luhasamaligo7907
@luhasamaligo7907 2 месяца назад
Yoooh
@loningoletayo8453
@loningoletayo8453 2 месяца назад
Nilikuwa nakukubqli sana ukiotoa ufafanuzi juu ya majanga ya kiaifa
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 2 месяца назад
Yuniform kijani kabisa
@romanamassawe814
@romanamassawe814 2 месяца назад
NCCR mageuzi ilianzishwawaka 1992 na sio 1993
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 2 месяца назад
Tanzania hamuna upinzani wote ni chawa wa chama chamapinduzi mustuni hawawezi
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 2 месяца назад
Ili Walpole vizuli
@Swahili360
@Swahili360 2 месяца назад
Into 👍🏾🔥🔥🔥🔥🫡
@michaelaloyce2072
@michaelaloyce2072 2 месяца назад
Stupid interview
Далее
МЕГА МЕЛКОВЫЙ СЕКРЕТ
00:46
Просмотров 199 тыс.