Тёмный

PART 1; MTAZANIA MSOMI ZAIDI/HILI NDILO KABURI LANGU/NIMEIMBA NA MKE WA KIKWETE 

Dar24 Media
Подписаться 732 тыс.
Просмотров 101 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 145   
@salymkitumbika8644
@salymkitumbika8644 Год назад
Daah mzee anashukrani sana kwa waliomshika MKONO mbali na Madigrii yote hasahau mtu na kama amefariki anamuombea alale mahalapema Peponi hivyo NDIVYO watu hubarikiwa Mungu aendelee kuntunza huyu mzee MWENYE moyo safi
@patsonmophat9456
@patsonmophat9456 Год назад
?❤£
@summanelson5523
@summanelson5523 Год назад
Mzee yuko vizuri sana!!! Kanunua eneo kubwa sana la kuishi!!!! Big up mzee!!!! Oooh!!! Mdogo wake Da Tully!!!
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 Год назад
Hongera sana Prof hujasahau lugha yetu!! Maana Hapa Tz Watu waliobahatika kusoma mpka degree moja tu wakiongea Kiswahili huwa wanajifanyaga wanesahau lugha yao ya Taifa iliyowakuza.
@KelvinMtavangu-ow8yo
@KelvinMtavangu-ow8yo Год назад
Hongera sana Prof. Ingawa mara nyingi wasomi hutengeneza gape kubwa sana ya mahusiano na ndugu zake. Vinginevyo huyu Mgonile ni mfano wa kuigwa. Ombi: Serikali imutumie kama wenzetu kule Ulaya. Mungu akubariki babu Mafwenga.
@mzadomwongozo3671
@mzadomwongozo3671 Год назад
Mwandishi upo vizuri sanaa, umeendesha interview kisomi haichoshi. Umepata new follower mkuu Heko kwa Profesor the tax guru
@salaita2829
@salaita2829 Год назад
Pumzika kwa amani prof
@wilsonkaseha2034
@wilsonkaseha2034 Год назад
Hata zungumza yake tu inasadifu yaliyomo kichwani na moyoni. Pongezi kwa viuno vya babaye na tumbo la mamaye lililomleta duniani. Hazina njema.
@princesschii4090
@princesschii4090 Год назад
Hongera Prof uko na maarifa mob......inspired
@AIMANAURONU
@AIMANAURONU Год назад
Kweli kila kitu chini ya jua kinawezekana big up Professor 😂
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 Год назад
Duh... eenheeee! huyu ni mwamba! Admin asante sana kumleta huyu multisectoral!
@alinuwilamwamlima9797
@alinuwilamwamlima9797 Год назад
Hongera Mpoki mate wangu Sangu sec kweli alikuwa naFujo
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Год назад
MSOMI MNYAKYUSA. UBARIKIWE SANAA.
@mizingayaudongo1097
@mizingayaudongo1097 Год назад
Excellent !!❤
@hildegardchafwila5076
@hildegardchafwila5076 Год назад
Safi Sana.
@reginameitavan4032
@reginameitavan4032 Год назад
Prof hongera sana,Ila ulivyotaja tu jina la Gwamaka umenichefua sana .Gwamaka ni mnyonyaji wa wanyonge sana ila Mungu yupo
@gregoryadriano724
@gregoryadriano724 Год назад
Tupe ufafanuzi unyonyaji wake nini
@sheckycobb5240
@sheckycobb5240 Год назад
Alikunyonya damu?
@masetomuhafiwa4546
@masetomuhafiwa4546 Год назад
😄😄😄😄
@andrewisaac171
@andrewisaac171 Год назад
Kisa amefungia bar kupiga kelele.? Yeye anafuata sheria tu ambazo amezikuta hapo NEMC
@gemamwakyusa6100
@gemamwakyusa6100 Год назад
Heshima kwako Prof
@jumaalmasjuma1700
@jumaalmasjuma1700 Год назад
Mungu akulaze mahala pema uliongea haya miezi minne nawe Sasa umekuwa Marehem sijui NAMI nimekomenti miaka au miezi mingapi NAMI nitakuwa marehemu
@DoriceSawaki-vg4sb
@DoriceSawaki-vg4sb Год назад
Daaaah,,, story ya Mzee imeni inspire sana kusoma.
@MikidadiBalama
@MikidadiBalama Год назад
Pole familia Ya prof
@EliaMsongwe
@EliaMsongwe Год назад
Heshima kwake
@robertabel6984
@robertabel6984 Год назад
R.I.P prof handlaley.
@dynamicmwakibinga4371
@dynamicmwakibinga4371 Год назад
Ahsante fijo mzee!!!!
@maryjoseph6973
@maryjoseph6973 Год назад
Mimi imependa uamuzi wako na usomi wako wakujenga kaburi Yako mapema mungu akubari sana amina
@nemecymsanya4952
@nemecymsanya4952 Год назад
Na kubaliana Prof
@juliusmagoti5650
@juliusmagoti5650 Год назад
Daaa, mzee hakua mtu wa kukata tamaa katika malengo yake. Ana uwezo mkubwa sana wa kumbukumbu kuhusu hatua zote alizozipitia. CV yake yote iko kichwani RIP Prof.
@theonestruganisa9886
@theonestruganisa9886 Год назад
Vizuri Sana Prof tunapashwa kukutumia kuzalisha wasomi wengine, uzee nchi unaiachia nini? Basi type ushauri jinsi biashara kariakoo iweje, inaumiza viongozi wetu wapendwa
@eliasaloyce3180
@eliasaloyce3180 Год назад
👏👏👏👏 ndaga Baba 😊
@jacksonjasson8823
@jacksonjasson8823 Год назад
Safi sana
@salimlossindilo8712
@salimlossindilo8712 Год назад
Daaah, mwamba alipambanaaa😔😔😔
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Год назад
stanslaus nakufatilia sana unaeleweka nini unafanya unampa.mtu.nafasi kujieleza namaswali ya umuhimu
@misambo7539
@misambo7539 Год назад
R. I. P Professor 😢😢😢
@pendomwaipaja6067
@pendomwaipaja6067 Год назад
Pumzika Kwa Amani Mzee wetu😭😭
@athumanfuko199
@athumanfuko199 Год назад
kwani amekufa
@happybalama3591
@happybalama3591 Год назад
Dah hadi raha jamaniii but kwann asiwe waziri
@personpeter2221
@personpeter2221 Год назад
Hajakiz vgezo waziri lazma awe mbunge
@husseinmwanjela8644
@husseinmwanjela8644 Год назад
Congratulations father kwa mapambano
@SasaMediaOnline
@SasaMediaOnline Год назад
nyie ambae mna degree moja mkihojiwa mnajiona mmesoma kingereza kingi angalia mwamba huyu hapa
@jumakisailo8496
@jumakisailo8496 Год назад
😅😅😅😅❤
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Год назад
Kweli bhana maringo mengi kadigrii kamoja
@drisayaambulatoryvetclinic1514
ada alikuwa anakulipia nani kote huko mzee prof.
@libetztanzania-kiswahilina2845
Apumzike kwa amani
@AgueroHustler
@AgueroHustler Год назад
❤❤
@AgripinaJosephMushi-hw2xw
@AgripinaJosephMushi-hw2xw Год назад
Watu Kama hawa serikali haitawataka maana atafanya kitu
@slimpeewee1426
@slimpeewee1426 Год назад
Prof anavyoongea kama vile anasoma sehemuu hiv yani vitu anavitoa step kwa step...
@vedastusngaiza5960
@vedastusngaiza5960 Год назад
I profesa lakini sio bright maana alifeli Sana
@celestinshayo7295
@celestinshayo7295 Год назад
Mtu anayefeli sana lakini hakati tamaa mpaka anafaulu ujue huyo ndiye bright sasa anakuja kuwa mtaalamu mkubwa!
@wastaragijoslove8933
@wastaragijoslove8933 Год назад
Safi sa
@asueddy1465
@asueddy1465 Год назад
Ila ndugu zangu wanyakyusa wana kaupekee flani hivi
@amenyemwansile6919
@amenyemwansile6919 Год назад
Wana vipaji vya pekee
@robertmwakingili4255
@robertmwakingili4255 Год назад
Hayo maghorofa kuna siku utayaacha lakini elimu uliyonayo utaenda nayo kwa Mungu wako.
@princesinko4073
@princesinko4073 Год назад
Huyu mzee yupo vizuri sana, lakini mbona naona kama anaishi mwenyewe bila familia?
@ismailchibonda5005
@ismailchibonda5005 Год назад
Wako ulaya.
@MwalumogoMsigwa
@MwalumogoMsigwa Год назад
(This particular time)
@Waberoya
@Waberoya Год назад
RIP uncle, I will miss you
@gloriamasaka7635
@gloriamasaka7635 Год назад
jambo la ajabu kwenye hii interview sikusikia kama huyu Mwalimu ameoa na watoto wake wanafanya nini, am curious to know
@twaliblilungulu7582
@twaliblilungulu7582 Год назад
Mafwenga nilikuwa fundi wake kwa mda mrefu hasa hapo nyumbani kwake namfahamu mno na ni kweli alihamia hapo nyumba haina mlango hata mmoja lakini wahuni kwake hawasogei da
@danimark3300
@danimark3300 Год назад
Wanaogopa nini hasa Mkuu
@henryyuda2989
@henryyuda2989 Год назад
Aiseeee kwel mwambaaas
@CharlesBaltmore
@CharlesBaltmore Год назад
💪💪💪
@emmanuelmtundi3754
@emmanuelmtundi3754 Год назад
Hawa watu walikua sio Wala rushwa mpaka unamsikia mtu aliefanya kazi adi TRA anasema mshahara ulikua hautoshi akaamua kufanya kazi za ziada huyu mtu hakua mla rushwa. Hawa wazee wanakumbukumbu sana yaan Kila alichokutana nacho anakumbuka. Hii inamaanisha watu wa zaman kidogo hawakua na mambo mengi tofauti na Sasa kwenye utandawazi vichwa vinajaa mambo yasiyo na msingi.
@sylvestrengwelu2012
@sylvestrengwelu2012 Год назад
Hongera sana Pro.Mungu AKUTUNZE
@festokemibala5832
@festokemibala5832 Год назад
RIP Prof. Mwafwenga tutkumiss sana. Huyu jamaa tulikuwa naye IFM miaka hiyo ya 1992-95 akisoma kozi ya Taxation nasi tukiwa Accountancy. Alikuwa hapendi dhuruma kiasi Viongozi wasiyo wajibika walimuona ni mkorofi. Mungu ailaze roho ya Marehemu mahala pema peponi, Amin
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Год назад
Hongera Kwa degree hizo, Ila mchango wa degree hizo katika maendeleo ya nchi yetu ni upi?
@petersume2780
@petersume2780 Год назад
Unataka mchango upi na ametumikia serikalini?
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Год назад
@@petersume2780 hahahaha,,,, najua umeelewa nilichomaanisha Ila inawezekana ukawa ndio wale wapenzi wa elimu ya makaratasi
@petersume2780
@petersume2780 Год назад
@@jumakapilima7295 fanya research kwanza
@azizihfarijala5307
@azizihfarijala5307 Год назад
watanzania wasomi tunao wengi kwa sasa tunahitaji wabunifu na wagunduzi tumechoka na watu wakukalili
@serafinamalecela4728
@serafinamalecela4728 Год назад
Kalili na wewe kama kazi rahisi😂
@saidyussuf2291
@saidyussuf2291 Год назад
@@serafinamalecela4728 hhhhhh
@aidanhamis7913
@aidanhamis7913 Год назад
R. I. P Prof
@mwakyusa7609
@mwakyusa7609 Год назад
Mzee ana jua majina mengi sana
@ivankivinge2987
@ivankivinge2987 Год назад
RIP Prof Mafwenga
@abdalahsuleiman8989
@abdalahsuleiman8989 Год назад
Profesa nakupongeza sanaa lakini nakushauri usome Quran tukufu sanaa pamoja siyo muislamu utapata digrii kubwa sanaa mimi kama mwalimu ntaanza kukufunza kiarabu
@hobokelageorge1207
@hobokelageorge1207 Год назад
Wewe mwenyewe kiarabu hujui
@madetetv6576
@madetetv6576 Год назад
Kiarabu kitamsaidia nn sasa?
@josephthomas9472
@josephthomas9472 Год назад
mwendelezo mbona hakuna ? weken mwendelezo tufatilie ili tujifunze mengi kutoka kwake maana anaonekana nikioo cha jamii
@bjsilver1264
@bjsilver1264 Год назад
😮
@josephndilwa2445
@josephndilwa2445 Год назад
nasikia ameshafariki. r.i.p
@severinaseverinanyoni707
@severinaseverinanyoni707 Год назад
Ongera baba wa la saba 😅 ata siwez ongea chochote ila nakupenda vile ulivyo na kumbukumbu ya kuwashukulu.wote waliokusaidia ongela sana baba
@lucianoshija1292
@lucianoshija1292 Год назад
Hata mimi namtamani japo mimi ni Mwalimu
@ludanishirima5102
@ludanishirima5102 Год назад
maprofessa nchi hii ni wakina mengi wakina Azam wakina mohamed hawa wengine majina tu
@hawakiza6067
@hawakiza6067 Год назад
Ha ha ha ha ha ha ha
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 Год назад
😂😂 ni mtazamo mzuri. Wanasema money power & respect! Hao uliowataja kua wana pesa ni kwa sababu walikuta wasomi kama huyu mzee wanaumiza vichwa kutengeneza sera, na kuboresha mazingira ya biashara ili hao uliowataja waweze kushiriki shughuli za uchumi ili serikali ipate kodi nayo iboreshe shughuli za kijamii na miundombinu. Kwa pamoja ndio Taifa linajengwa ikiwa kunakuwapo na specialisations. Wote hatuwezi kua traders na merchants, wote hatuwezi kua wasomi kama huyu mzee. Bustani haiwezi kua na ua moja, haitovutia!
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 Год назад
Hao uliowataja ni matajiri na hana elimu kubwa ki hivyo waliosomasana hawawagi. matajiri kihiiivyo
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 Год назад
@@zawadichalale4047 ila Mohamed Dewji "Mo" ana elimu kubwa ( sio dr or professor) lakini ni msomi mkubwa
@amenyemwansile6919
@amenyemwansile6919 Год назад
Wachaga roho mbaya nadhani angekuwa wa kaskazini ungemuunga mkono tuu wachaga mnaubaguzi nyie?
@lwitikomaclean1407
@lwitikomaclean1407 Год назад
Mcuba huyo mzee wetu
@aswileisaya7200
@aswileisaya7200 Год назад
Afungue one person coy Ltd maana pekeake ni taasisi kubwa
@nikymatela7013
@nikymatela7013 Год назад
Class mate wako wakowapii gademit n mwendo wa wakurugenzi na ma CE
@saidkhamisi9592
@saidkhamisi9592 Год назад
Ellimu ya nchi hii ni butu kabisaaa
@DoriceSawaki-vg4sb
@DoriceSawaki-vg4sb Год назад
Kumbe mke wake Tundu lisu ni msomi mkubwaaaa
@obijoha2877
@obijoha2877 Год назад
Khaaa
@benjaminnyimbo9032
@benjaminnyimbo9032 Год назад
Sasa wote ma degree
@salymkitumbika8644
@salymkitumbika8644 Год назад
Pumzika pema Mzee we2
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Год назад
Wewe ni msomi gani mkuu unaejenga kaburi na matofali kaburi Bora linajengwa na matendo mema ,lisha mayatima,WAJANE,MASKINI nk,vinginevyo unachezea pesa mzee wetu.
@josephndimi6135
@josephndimi6135 Год назад
Ikumbukwe huyu Ni mtoto was mwisho kwaoo🤣🤣
@JoyceHaule-v7t
@JoyceHaule-v7t Год назад
Rip
@danieldavid4733
@danieldavid4733 Год назад
Hazina ya taifa
@DeoKimbe-gt4op
@DeoKimbe-gt4op Год назад
Amengundua Ninia kwa taifa?mh msukuma katoa ajila kwa vijana kanunua mabasi mlipakodi mnzuri
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 Год назад
Ila huyu katumia elimu yake na jitihada zake katika kushauri, kuandaa sera mbali mbali za uchumi n.k. vingi alivyofanya ni vitu visivyoonekana au kushikika " non tangible " . Binafsi naweza sema hakuwa bilionea, ila mchangonwake kama ungekua na copyright angekula pesa yeye na kikazi chake chote. Huyu alikua mtumishi wa serikali.
@celestinshayo7295
@celestinshayo7295 Год назад
Usiseme Msukuma kafanya hivi ama vile tuambie wewe umefanikisha nini katika dunia hii. Je unayo hata hiyo degree moja?
@husseinyusuph5458
@husseinyusuph5458 Год назад
Duuh!
@MrJackpull
@MrJackpull Год назад
Hakuna sauti
@abelkilumbu9205
@abelkilumbu9205 Год назад
✍✍
@milley7185
@milley7185 Год назад
anamuach8q mtu degree azitumie au anaxikwa nazoo
@eugeniayaheze932
@eugeniayaheze932 Год назад
😅
@tupokengwala2027
@tupokengwala2027 Год назад
Ndaga dogo
@japhetlungu8636
@japhetlungu8636 Год назад
Safi professor
@vincentmushi1247
@vincentmushi1247 Год назад
Hongera zake kwa degree na masters... ingawa amesoma sana na maelezo yake lkn sijajifunza chochote na sijaelewa maana ya hizo degree zote ...nimepoteza mb zangu tuu,afadhali ningeangalia mashamsham..😅nina mashaka nyingine amenunua ili aonekane kuwa ni msomi...hahahaaaaa
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 Год назад
Ni content adimu sana. Ndio maana unastruggle ku connect. Nikusaidie tu kwamba katika maisha usibweteke na kile ulichokishika sasa, pambaka kupata changamoto kubwa zaidi katika kujijengea kitu unachokitamani. Sasa ifanye katika kutafuta chochote kile, iwe pesa, elimu, umaarufu, uongozi kisiasa etc
@vincentmushi1247
@vincentmushi1247 Год назад
@@jojigeorige1056 akili nyingi uondoa maharifa
@amenyemwansile6919
@amenyemwansile6919 Год назад
Wachaga wwngi wanakasumba kujiona wao ni bora zaidi wakati serkalini ndiyo wanaongoza kwa kuwa na vyeti feki
@vincentmushi1247
@vincentmushi1247 Год назад
@@amenyemwansile6919 hilo povu kaka kafulie nguo za huyo mzee..hahahaaaaa
@asueddy1465
@asueddy1465 Год назад
Akili ndogo haiwezi kuelewa
@bongomastory791
@bongomastory791 Год назад
Hao ndio ukija kumuuliza atakuambia hana mke wala mtoto muda wote amamalizia kusoma
@Chemba67
@Chemba67 Год назад
Ni kweli tupo wengi tulioathirika na kukaa darasani muda mrefu .......leo hiii tunajuta
@sheckycobb5240
@sheckycobb5240 Год назад
@@Chemba67 khaaa si uoe ata saiv🤣
@Chemba67
@Chemba67 Год назад
@@sheckycobb5240 Ni ngumu mno kumpata utakae mwelewa ,,🤣🤣🤣🤣
@Chemba67
@Chemba67 Год назад
Ndio hivyo............ni ngumu mno kumpata utakae mwelewa 🤣🤣
@shindanoshija8919
@shindanoshija8919 Год назад
@israelkisserei524
@israelkisserei524 Год назад
NILITEGEMEA KUSIKIA KUWA AMEGUNDUA MAGARI YAENDAYO KASI KWA KUTUMIA MIONZI YA MWEZI... KUMBE NI KABURI TU... AMA KWELI ELIMU YETU BADO NI SHIDA.
@ramadhanidilunga1926
@ramadhanidilunga1926 Год назад
'
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Год назад
😁
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 Год назад
Watu kama hawa wamefanya makubwa sana behind the scene! Huwezi elewa
@israelkisserei524
@israelkisserei524 Год назад
SAFARI YETU KWA MAENDELEO BADO NI NDEFU SANA, KWA KUWA TUMEZOEA KUKUZA VITU VIDOGO VIDOGO NA KUPONGEZANA KWA VITU VISIVYOKUWA NA FAIDA.
@aloycekarlum3702
@aloycekarlum3702 Год назад
Agundue gari yy alisomea uhandisi. Mbona maelezo yake mm yamenijenga. Ndugu tuwe na kiasi.
Далее
HA-HA-HA-HA 👫 #countryhumans
00:15
Просмотров 3,1 млн
Living life on the edge 😳 #wrc
00:17
Просмотров 4,8 млн
I Built a SECRET Lamborghini Dealership!
33:02
Просмотров 9 млн
Salama Na SUGU Ep 50 | UJIO WA UMRI PART 1
32:38
Просмотров 110 тыс.
HA-HA-HA-HA 👫 #countryhumans
00:15
Просмотров 3,1 млн