Тёмный
No video :(

PART 2 |MENGINE MAPYA YA SELEMAN MFUNGWA |NI UONGO MTUPU |KUCHEZEA MIOYO YA WANAWAKE 

Maximum Tv Online
Подписаться 450 тыс.
Просмотров 35 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 470   
@bettyngala8518
@bettyngala8518 2 года назад
Hi Zahir, I don't like negativity, but this man is a grown up, he is perfectly normal, so let him go hustle like other men. He is not a baby let him find his own wife on his own.
@Ann-vr7ti
@Ann-vr7ti 2 года назад
Kabisa, na ameshasaidika ana uanzilishi, boraw aendelee mwenyewe,Kaka Zahir wachana na huyu sule tuendelee kusupport wagonjwa na watu wasio jiweza,jamaa mzima, sio tahira nasio mgojwa.
@helenekisesa2786
@helenekisesa2786 2 года назад
That's true
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 2 года назад
EXACTLY
@wildatmsellem7531
@wildatmsellem7531 2 года назад
I support this he should let him live his life
@yunyun799
@yunyun799 2 года назад
Kweli👏👏👏👏
@listerlujiso6009
@listerlujiso6009 2 года назад
🤣🤣🤣🤣kaka zahir bhana unavyocheka unanifanya nicheke coz hapo unamzum tu uongo wake
@deborahrehema5819
@deborahrehema5819 2 года назад
😅😅😂😂😂🤣🤣🤣
@listerlujiso6009
@listerlujiso6009 2 года назад
@@deborahrehema5819 😂😂😂yaani nimecheka htr
@minakhamiskhamisi6193
@minakhamiskhamisi6193 2 года назад
Yani nimecheka hatari zahir anavo mtizam walhi nimechek 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@listerlujiso6009
@listerlujiso6009 2 года назад
@@minakhamiskhamisi6193 🤣🤣🤣🤣yaani anasahau aliemfanya awe star,Leo anamuongopea live
@zaychocolate1835
@zaychocolate1835 2 года назад
Umeona eee me namuangalia zahir tu anavyom'bedua😄😄😄😄
@happykajeli5453
@happykajeli5453 2 года назад
Seleman alibadilika alipopata pesa mwanzo alijionyesha mwema (1) alisafiri bila kukushirikisha (2) alifanya matumizi ya pesa bila mpangilio (3)alitaka kuwa na mke bila kujipanga kimaisha kimaisha kwanza maisha yake alikuwa jela sasa uraiani ni vitu 2 tofauti msamehe na muache aendelee na maisha yake
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 2 года назад
Zahir achana naye huyo mzee mzima asikusumbue
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 2 года назад
😭😭😭😭tumerudi uku kwenye inaveer yk jmn Allah akufanyie wepesi kaka yetu suleimani dah
@swaumuramadhani7889
@swaumuramadhani7889 2 года назад
😅😅😅😅 Kaka zahir unavyo mchora 😂😂😂mwenyewe anajimaliza tu 🤣🤣🤣
@azizayassin3623
@azizayassin3623 2 года назад
Yni anamkata machoooo yni wewe😄😃😃😀😀
@catherinekatuu423
@catherinekatuu423 2 года назад
Suleiman weka imani yako kwa Mungu pekee kwani utafanikiwa kabisa na Mungu atakufungulia milango za baraka🌞🙏🇰🇪.
@hazasalimhazasalim2914
@hazasalimhazasalim2914 2 года назад
huyu ni kaka yake hawa😂😂😂😂😂👐👐👐👐👐zahir😚
@khalfanjuma7678
@khalfanjuma7678 2 года назад
Hahaaaaaaaa
@zamzamhassan4159
@zamzamhassan4159 2 года назад
😀😀😂😂🤪🤪🤪🤣🤣anajimaliza tu maneno kibao Zahri anamchoraa nakumuitikia
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 2 года назад
Siku 40 za mkora zimefika! Kitambo nilisema seleman ni mkora, ana hasira na anataka kuwatawala wanawake
@roseuwambe893
@roseuwambe893 2 года назад
Sasa ana tawalaje?wakati haja pesa😅😅🤣🤣🤣🤣
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 2 года назад
@@roseuwambe893, sis, sikiza voice notes zake
@stellah3844
@stellah3844 2 года назад
⚽ Anapiga danadana, kaupiga mwingi lakini hajafunga goli.
@lailajeremia1259
@lailajeremia1259 2 года назад
Wanaume wa kigoma asilinua kubwa ndowaluvyo wanapenda maisha ya kumtawala mwanamke na kila kitu chake na umwinyi.
@atcakalinga4684
@atcakalinga4684 2 года назад
Mmmmh muongoo huyu kaenda kuoa huko
@irenesimon471
@irenesimon471 2 года назад
Poleee Kaka zahirii Yani apooo umechoka mwilii na rohoo kusikiliza uongooo kaziii😍😍😍
@naimansk6571
@naimansk6571 2 года назад
Ahahahaaa kweli kabisa ,ya zahir kachoka hana budi tuu,mbona pole yke sana
@rukayyaijumaa4519
@rukayyaijumaa4519 2 года назад
pole sana kaka zahir kwachanga moto unazo pitiya mungu akujaliye firidawusi pamoja namutume Muhammad
@Googoosh1433
@Googoosh1433 2 года назад
Amen yarab
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 2 года назад
Amiin Amiin Yaarabi
@hussainsajin9915
@hussainsajin9915 2 года назад
@@Googoosh1433 kak zahr tembelea watot y tima uwasaidie achana nao watu wazima watakualibia jina lako
@wardahmoubaarak9489
@wardahmoubaarak9489 2 года назад
Allahuma amiin
@wardahmoubaarak9489
@wardahmoubaarak9489 2 года назад
Allahuma amiin
@narlt229
@narlt229 2 года назад
Hadi kukataa kuwa kaoa ndiyo kanishangaza zaidi! Zahir una mitihani na hawa watu baadhi ila Mungu atakulipia usife moyo Dada naye aliharakisha sana kuolewa. Pole kwake pia
@credo7837
@credo7837 2 года назад
Unaoa husemi unaambiwa unakataa 🤣
@aminasuleiman6402
@aminasuleiman6402 2 года назад
Alikua na kiherehere na yy bila kuchunguza!!!🙄🙄🙄
@credo7837
@credo7837 2 года назад
@@aminasuleiman6402 Achunguze marangapi
@hadiadaoman1981
@hadiadaoman1981 2 года назад
Kwanza polen sana wadada wa Oman wanKuwa wanatafuta wanaume mitandaon mume wa kweli anakuja kwa mipango ya Allah then hii hali ya kufunga ndoa mpo mbal mbali tujifunze kila siku wadada wanatapeliwa kwa kufunga ndoa ya mbali hiu si sawa wananume now dayz wanapenda mseleleko ni mmoja wapo huyu Suleman ila inaumiza sana unamtake care mume kwa kila kitu leo anakuja kumtaja mwanamke mwingine seriously mhm nipo Oman ila pesa yangu watakula familia yangu sio mwanaume tusiwe rahis kias hich wanawake kaz Oman ni ngumu na pesa ina ugumu sana so mnaotumiwa pesa from Oman tumien vizur
@vanessarobyn4584
@vanessarobyn4584 2 года назад
@@hadiadaoman1981 Super women mwezangu Bora ntumie kununua vitu na cyo mwanaume kweli kazi za huku ni ngumu jamani da!
@drrelaxation6911
@drrelaxation6911 2 года назад
Part 2. Duh! Aibu naona miye.
@ameryharoun7223
@ameryharoun7223 2 года назад
Huyoo jambaz
@mwajomaessa7513
@mwajomaessa7513 2 года назад
Pole san zahir usikate tamaa yakuwasaidia watu wengine binadam ndivetulive
@mwanahamis5487
@mwanahamis5487 2 года назад
Halafu selemani Ni Msenge kabisa.. Hajui humu watu wengi walomsaidia Ni wazazimbar
@Desiree872
@Desiree872 2 года назад
Si wenzetu wanatuona wazanzibar wajinga
@roseuwambe893
@roseuwambe893 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@khalfanjuma7678
@khalfanjuma7678 2 года назад
Sasa cjui kaja kufanyaje uku c angekaaa uko ambako maisha ni rahis eeh😡😡😡
@lylieouko9569
@lylieouko9569 2 года назад
From the moment he went to meet his daughter behind zahirs back,hapo ndipo nilimuona mjanja na msiri.He gives you what he wants you to see or hear.But mwisho wa siku ni life!
@ashaabdalla924
@ashaabdalla924 2 года назад
Na weye hatujakupenda uishi znz yetu kwa utapeli huo
@Hellennafula48
@Hellennafula48 2 года назад
Mlevi ni mlevi mwanamke mtarajiwa ujuwe ni mlevi woooiiiyiii mlevi no and big no
@kabintmpase1544
@kabintmpase1544 2 года назад
Pole sana kaka Zahri Allah akuzidishie na akuepushe na mabalaa
@Randm-
@Randm- 2 года назад
J
@kalthumually417
@kalthumually417 6 месяцев назад
Inaumiza zahri mungu akupe subra
@zuhurasaidy4838
@zuhurasaidy4838 2 года назад
Achana nae huyo mpumbafu
@mbwanakhamis9634
@mbwanakhamis9634 2 года назад
Tazama jinsi maongezi yke n maelezo yke yko n walakini.... (???)
@saudamuddy2893
@saudamuddy2893 2 года назад
Lete part 3 kaka zahir
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 2 года назад
Polesana kaka Zahir amakweli ndomana Sheikh alisema mtu hataumbebe vip mwishowasiku atakuja kukunyeya hukohuko mgongoni 💃💃💃
@heyumi2340
@heyumi2340 2 года назад
🤣🤣🤣🤸🤸
@jumanatv417
@jumanatv417 2 года назад
Kumbe alianza hivi halafu kilichofata ni huzuni kwakweli... Kaka selemani usichezee wanawake fanya kazi zako mchague unayempenda Kwa dhati muoe muishi Kwa Amani na upendo pesa zinaishagaaa... 🙏
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 2 года назад
😀😀😀😀
@farajagordon4724
@farajagordon4724 2 года назад
Kaka zahili akihisi anadanganywa atakuongea anahis shida
@maureenmashayo7401
@maureenmashayo7401 2 года назад
Kweli duniani Sio kwetu pumzika Kwa amani brother
@fadhilakhamis9363
@fadhilakhamis9363 2 года назад
Zanzibar hajapapenda kakaa mwezi.je angepapenda tuachie znz yetu .
@credo7837
@credo7837 2 года назад
Hadi kawa na movie daah hajafanya vizur
@qwqw1665
@qwqw1665 2 года назад
Zahir polesana kwachanga moto lakini mungu yupo nanyi wengine sio waaminifu huyuna mama fadina hawani sawa pia na hawa hote sawa
@fatmamamlo7882
@fatmamamlo7882 2 года назад
R.i.p selemani jaman😑😑😑
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 2 года назад
Yani kama yupo hai maskini😥
@fettyharoun1333
@fettyharoun1333 2 года назад
Seleman kaniuzi sana wallah
@rahimaan6481
@rahimaan6481 2 года назад
Zahir bhna,🤣🤣ana mchota,ana mdadavua 🤣🤣kama sio yy 😂😂
@naimansk6571
@naimansk6571 2 года назад
Yan huyu kaka ni muongo mpka anaboa,pole kaka zahir kwa kazi ngumu
@latifajafari3375
@latifajafari3375 2 года назад
Mmh awa akina seleman awa ni shida tupu, all in all zahir msamehe tu Allah yupo pamoja nawe na utakuta swawabu zako inshaallah
@queenhuu2852
@queenhuu2852 2 года назад
Kwakweli selemani hawana akili sawa nahisi wote seleman
@lkshmykomar5472
@lkshmykomar5472 2 года назад
M / Mungu mlinde ZAHR naumpe subra kwayote anayo pitya naumuhfadh nashar za klaaina kwan ntegemeo la wengi nifaraja kwetu 🙏💖
@mwanaidmajani856
@mwanaidmajani856 2 года назад
Eee uyu jamn hivi unachangiwa pesa unaenda kutalii ..af anajielezea hata hajishtukii ka zahir kuna wagonjwa ebu dili nao huyu mteme tuu
@aishaibrahim5607
@aishaibrahim5607 2 года назад
Jmn nitakuwa silali leo🤣ninavypenda umbea ila asubui kz zawaarabu zisonge🙌🙌
@leylahbillah4876
@leylahbillah4876 2 года назад
😂😂😂😂😂waarabu wanakusubir shaur yko ahahaha
@saidhamad533
@saidhamad533 2 года назад
@@leylahbillah4876 😁😁
@asiaphilmon2233
@asiaphilmon2233 2 года назад
Dada Aisha nimekusoma wambea tuko wengi ila kaz tuna songesha
@nyamburanyaega1990
@nyamburanyaega1990 2 года назад
Hahaha😀😀😀😀😀
@baysuraoman7910
@baysuraoman7910 2 года назад
Uyu kaka ndomana mm nachangia kwa wagonjwa tu
@queenhuu2852
@queenhuu2852 2 года назад
Amenichekesha etii chakula Cha Zanzibar kimejaa viungo🤣🤣🤣😂😂😂😆😆😁
@wardahmoubaarak9489
@wardahmoubaarak9489 2 года назад
😁😁😁😁kaka zahiri ilo jicho pole sana udugu wetu sisi tunakuombea tu Allah akulinde na shar zoote
@hadijambaraka804
@hadijambaraka804 2 года назад
Kila kitu unashauriwa wewe mungu apendi uwongo wewe hata akiongea unaniona tu ni muongo
@leylahleylah4599
@leylahleylah4599 2 года назад
Ila kaka Zahir mungu atakulipa...haya mambo yanahitaji subra huyu jamaa siyo kabisa mwache tu apambane na hali yake....anajifanya mjanja
@fatmamansour676
@fatmamansour676 2 года назад
Ndo watu wanaendelea kutumia pesa ila anatumia ovyo hajihangaishi
@missmoona4497
@missmoona4497 2 года назад
Huyu mtu hatar sana, anaonekana mbabaifu, hata huyo mchumba wake anae msema ajipange kupigwa matukio🙌🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@missmoona4497
@missmoona4497 2 года назад
Na ninavyomuona huyu kuua kwake jambo dogo tu
@sharinv8864
@sharinv8864 2 года назад
Kaka zahir anamuenjoy tu anavyio ongea cos anajuwa anaongea uongo 🙄🙄🙄
@heyumi2340
@heyumi2340 2 года назад
haswa
@aishaibrahim5607
@aishaibrahim5607 2 года назад
Ila kka zahry hii habar umechngnya hii ndoingekuwa yakwanz alafu ileyamajibishano ingekuwa yapili
@zeddydaqueensy4612
@zeddydaqueensy4612 2 года назад
Huyu hafai kusaidiwa jamani hizi pesa zinatoka mbali mtu akisaidiwa yuwafura kichwa ati amenunua TV safi xana😂😂😂😂heri tusaidie wagojwa tu hawa wengine matapeli😂😂😂😂😂
@maryamsaleh2537
@maryamsaleh2537 2 года назад
Huyu suleiman hafai zahir achana nae sasa hivi afanye kazi hakuna tena kumchangia sasa muacheni ajitafutie mwenyewe anatia hasira sana
@ashuraomary8859
@ashuraomary8859 2 года назад
Huy.achan.nae
@hadijakikusa8964
@hadijakikusa8964 2 года назад
Zahir huyo anaonekana tapeli achana nae maneno mengi anataka kulelewa.
@mariamgodfrey53
@mariamgodfrey53 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 zahir kiboko hilo jicho angekuwa anakuona cheki anavyojishaua shaua tapeli mkubwa
@onesmoswai9465
@onesmoswai9465 2 года назад
Huyu mswahili sana yani tenda wema nenda zako kaka zahir usikatishwe tamaa na mtu mmoja mungu atakulipa
@tuma6557
@tuma6557 2 года назад
Seleman mnafiki mkubwa umeniuzi 😏😏😏
@winfridakaaya2758
@winfridakaaya2758 2 года назад
Mhh wadada wa gulf mpo vizuri
@aisharashid8035
@aisharashid8035 2 года назад
Kvp
@winfridakaaya2758
@winfridakaaya2758 2 года назад
Kumuamini m2
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 года назад
Mtihani
@iammedik3924
@iammedik3924 2 года назад
Ongera dogo Zahir
@gdggghh2052
@gdggghh2052 2 года назад
Yaaa uyuu musengee saidii nimemucukiyaa natamanii nii mudaii peeesaa nilizooo muumpaa hajielewii kaabiisaaa
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 2 года назад
Ila hii ndio ilikuwa inatakiwa iwe ndio part one sio part 2
@mesajuma4843
@mesajuma4843 2 года назад
Mimi amenvuruga kishenz yan, Amezawa na huongo mwngi paka bas
@aishamaganga5304
@aishamaganga5304 2 года назад
Halafu sereman muongeaj sana😱 mume kama huyu, anaonekana anagubu mkorof.
@elmasroj9712
@elmasroj9712 2 года назад
Huyu ni mkorofi na akili haiko sawa huyu
@jacksonhonest987
@jacksonhonest987 2 года назад
Pole sana Zahir najua unapitia mengi magumu lakin usichoke kuwasaidia wasiojiweza
@tausilazaro2477
@tausilazaro2477 2 года назад
Me wakwanza leo
@sharinv8864
@sharinv8864 2 года назад
Part 2 thats good.kaka zahir jiepushe na Huyu jamaa ni mkora kapata pesa za bure kazichezea tu.then pole kaka zahir kwa changamoto mungu yupo nawe.na wanawake pia wawe na akili hata huyo shanny aliye tanjwa akija kuconiwa asije kutulilia hapa.cos huyu dada wakati walikuwa wanafunga ndoa hakutuwelezea sasa kashaa wachwa ndipo anakuja hapa awe na amani.
@Zaburi-
@Zaburi- 2 года назад
Mungu/MUNGU nasio mungu
@sweetie6934
@sweetie6934 2 года назад
Suleiman ana muhaho wa maisha ya uraiani
@abdulmustafa2148
@abdulmustafa2148 2 года назад
Huyu ni yule mwanaume shoka hahaha 😂
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 года назад
@@abdulmustafa2148 😀😀😀😀
@lubatikoseme6613
@lubatikoseme6613 2 года назад
Mpeleke polisi huyo ni tapeli kama matapeli wengine.. kakubuhu husimchukulie poa atakuharibia kazi
@fatmamansour676
@fatmamansour676 2 года назад
Kaja znz kutalii kupiga mapicha tu
@maimonamaimona1177
@maimonamaimona1177 2 года назад
eti anasema amuombo mungu wakati kashamuhukumu pesaza utaperi chombo akitadumu nayeye maisha yatakuja kumpiga
@mariamramadhani3860
@mariamramadhani3860 2 года назад
Ila zahir anamchoraaa
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 2 года назад
😂😂😂😂😂😂Nacheka kama mazuri, Pole zahir kwa changamoto unazokutana nazo
@w4058
@w4058 2 года назад
Mbona kichwa cha habari tafauti na maelezo
@nyothamajuto3127
@nyothamajuto3127 2 года назад
@@w4058 kuna part 2 ndo kasema yote
@rubenprince8990
@rubenprince8990 2 года назад
Huyo jamaa nimesikia akinywa gongo zake eti anapenda sukari ya zuchu
@sweetluc2660
@sweetluc2660 2 года назад
Kaka Zahir kaza yako inachangamoto Sana ila enderea kusonga mbere Mungu yupo pamoja nawe enderea kutenda wema Mungu ndio atakulipa siyo wanadamu ninwasaulifu Sana
@sweetluc2660
@sweetluc2660 2 года назад
@@w4058 hata Mi Nimesikiliza naona tofauti kabisa
@mosimusa4123
@mosimusa4123 2 года назад
zahri wee kiboko nmekupenda bule
@agriparose3942
@agriparose3942 2 года назад
Zahir kwa kuchora🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙄🤔
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 2 года назад
🤣🤣🤣🤣nacheka kama mazuri huyu baba hapana aseee
@ummymzee5159
@ummymzee5159 2 года назад
Siku Za Mwizi Arubani40 Seleman Katiwa Mbaroni Na Kaka Zahir Dah Fadhila Mfadhili Mbuzi Binaadamu Ana Maudhi👌 Suleman Kalewa Kwa Mapesa Yetu Dah Khatari Na Nusu Muogo Muongoze Kaka Zahir🤣😂😅
@ramlaali4130
@ramlaali4130 2 года назад
Kaka zahir mjanja kweli duuu nifundishee😂😂😂
@eshialabonita7736
@eshialabonita7736 2 года назад
😂😂😂 alikua anamchora
@felistersmejumaa5188
@felistersmejumaa5188 2 года назад
Kumbe series bado iko mbona pambe tu twende kazi 👌👌
@Official83640
@Official83640 2 года назад
Dah Zahir umejua kuniua mbavu unauliza maswali huku unaitikia mmhh yaani umejua kumtega huyu jamaa dah
@amockkalinga1520
@amockkalinga1520 2 года назад
Pole Sana na majukum mazito kaka zahiri
@annastevensteven9515
@annastevensteven9515 2 года назад
Mhuuuuu huwo kaka zahir mwache apamban na maisha.yake
@tiffaommy846
@tiffaommy846 2 года назад
Wangejua hizo pesa tunapata kwa ugumu.... 🙌
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 2 года назад
Itakuwa ww2 wengine awajar😂😂
@rogojr712
@rogojr712 2 года назад
Assalam alaikum
@heyumi2340
@heyumi2340 2 года назад
@@rahimaaaaa5682 🤸🤸🤸hawajali😂😂😂😂
@credo7837
@credo7837 2 года назад
Ndio mtulie nanyiny
@tiffaommy846
@tiffaommy846 2 года назад
@@rahimaaaaa5682😂😂
@leylahbillah4876
@leylahbillah4876 2 года назад
Nyoosha mikono juu watoto wa Haitham wote😂😂😂😂😂😂😂😂
@khadijaabdullah6328
@khadijaabdullah6328 2 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂
@hajeralqaidi2115
@hajeralqaidi2115 2 года назад
@@khadijaabdullah6328 hulali🏃🏃🏃🏃
@khadijaabdullah6328
@khadijaabdullah6328 2 года назад
@@hajeralqaidi2115 😂😂😂😂😂😂najiangalizia kituko cha huyu mkulungwa
@mammam4701
@mammam4701 2 года назад
👊🤗
@mammam4701
@mammam4701 2 года назад
Woyoooooooooooo 🔥
@bimkubwaothman3726
@bimkubwaothman3726 2 года назад
Kaumbuka kaka uyuu hhhhhhhaa
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 года назад
Maneno mengi sana kaka aisee wenzako tulitubu bongo na wanawake wa ovyo wewe unapata mwanamke poa unaleta sanaa,
@rehemamichael9534
@rehemamichael9534 2 года назад
Nyie uyu anapenda ela mda wote kila anacho kizungumza ela sjui nni ela 😂
@user-jz8sj5us1h
@user-jz8sj5us1h 2 года назад
Party 2 iyooo 🤣🤣🤣🤣😋
@jamilasalimvilog6752
@jamilasalimvilog6752 2 года назад
Wazee walisema hakuna urefu usiokuwa na incha ujanja wako umefika mwisho
@mkibandulo1231
@mkibandulo1231 2 года назад
I'm oman
@shamzone388
@shamzone388 2 года назад
Zahir na maximum tz pongezi kubwa kwa kazi mnayoifanya malipo kwa mungu mtayakuta Lakin hawa watu wa namna hii wanatuharibia team yetu ...lakini maximun stronge team hatutoyumba hata siku 1.tutasonga mbele kazi I endeleee
@azizahassan939
@azizahassan939 2 года назад
Uyo achananae
@saidirajabu7863
@saidirajabu7863 2 года назад
Mhhhh jamani mlikua mnamsifia na mnataka awaoe Leo mna mpondaa haah
@evachuwa116
@evachuwa116 2 года назад
Sasa umechangiwa mtaji unaenda kutaliiii Wewe ni hatari lakini salama
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 2 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@samiraabdimahamed4449
@samiraabdimahamed4449 2 года назад
Kwanza huyu arudishwe jela kwa uharibu wa mazingira, anawezaje kwenda kukata nitti😢😢😢😢😢😠😩😩😠
@credo7837
@credo7837 2 года назад
Mmmh
@princesschii4090
@princesschii4090 2 года назад
Umenichekesha wewe
@agathathobias8690
@agathathobias8690 2 года назад
😃😃😃
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 года назад
Bass haya
@naa4841
@naa4841 2 года назад
yani hawa wazanzibar hawatujui vizuri sisi watanganyika waongo sana bora muolewe na wazanzibar wezenu hawa ma brother wa huku tuna waelewa sisi wenyewe
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 года назад
Ni kweli watanganyika ni waongo sana afadhali wazibari
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 года назад
Mm nipemba safi baba mama ndiyo hiyo kabla ni mshirazi
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 года назад
Hapo anapingeya huyo sele zanzibar mm nakujuwa nakaa sana mienzi 3 au mwili narudi oman ndiyo hivyo
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 года назад
Selemain usinywe biya wewe au mlevi naona macho yako hivyo umepata majanga mengi sahivi tubiya tena swali usifanywe ushenzi wewe binadaam siyo mnyama
@neemageoffrey3586
@neemageoffrey3586 2 года назад
😂🤣😂Bora umewaambia kabisa, wabongo ni Noma sana
@ashachai6853
@ashachai6853 2 года назад
😂🤣🤣wanawake tuweni makini kutafuta wanaume mtandaoni mutaliwa pesa zenu na wanaume km kina selemani.mjanja huyu
@moeali7244
@moeali7244 2 года назад
Kabisaaa
@salmakashindi4629
@salmakashindi4629 2 года назад
Wanaume mitandaoni wengi matatpeli saana, unasainfdiwa alafu uwongo mwingi, macho yake unasema kabisa, kaka zahiri big up Mashallah
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
Ohoooo kmb bd ila hii ndo ilitakiwa iwe nmb moja
@minakhamiskhamisi6193
@minakhamiskhamisi6193 2 года назад
Zahir jamn 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣natamn ujib nichek walhi yani unavo mtizam jmn duuu
@bintsalimalbimany287
@bintsalimalbimany287 2 года назад
Jmn nataka mrejesho wa yu le munira kafikiaje😭pls ham yang nataman nipate notification ya video ya munira pls
@moonam1063
@moonam1063 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuna kuongopa kwingine inafikia sehem unajistukia🤣🤣apo keshaona kaumbuka pole kaka Zahir Kwa changamoto unazopitia Hira uyu Selemani kaka achana nae kunawanaoitaji msaada wagonjwa yy anataka pesa afanye matanuzi apo yupo mtungi pwii 🤣🤣
@hawababuu4350
@hawababuu4350 2 года назад
😂😂😂Nimecheka Kama mazuri Astafrullah
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 2 года назад
Mwenye kumtaka sele awe mumewe eeeh.... anajizamisha pahala.pabaya..kila siku atagombana na mumewe kwa sababu ya wanawake wa nje na namuhakikishia hataona raha ya ndoa abadan wanawake amkeni..tafuteni wanaume wa maana hapo ndo mtaelew kwa nini shangazi alimtia jela huyu kiumbe.mjanja balaaa ..zahir mwache aendelee na maisha yake huyo mtu mzima.
@remiomar7154
@remiomar7154 2 года назад
Kitambi kimepotea gafla n amelose weight sana
@glorymutalemwa296
@glorymutalemwa296 2 года назад
Apimwe afya
@hamidakondo4579
@hamidakondo4579 2 года назад
Nasie hatukupendi ss maisha ni rahisi wenyew twaona ww ushazowea kiza cha jela Utaweza zenji hao wasanii wote wanakuja zenji kula Bata et ww hujakupenda tatizo hujatembea ulifikishwa hapo sokoni tu na michenzani
@marianhaha9012
@marianhaha9012 2 года назад
Weee ufai kabisaaaaa uongo tapeli mkubwa
@Rose-ue2ho
@Rose-ue2ho 2 года назад
Na bora usipapendi znz hawataki watu kama ww🤪eti supu bila ya viongo, we bwana unataka watu wale supu naharufu mbaya lazima viongo🤛
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 2 года назад
Wanawake nao tumezid kama ushaamua upambane kwanza mwanaume wanini mm namwaka5 oman lkn sijawai kutafuta ndoa zaewani au ndio......🙄🙄🙄🙄🙄🙄
@rujainzuber7414
@rujainzuber7414 2 года назад
😂😂😂😂 usifanye masiala ww na ku______&ila selemani kaupiga mwingi
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 2 года назад
@@rujainzuber7414 Au sio😄
Далее
The Fan’s Fang Skin🔥 | Brawl Stars Sneak Peek
00:16