Тёмный
No video :(

PART II: MTANZANIA LILIAN ALIYEFUNGWA MIAKA 18 INDONESIA "SIDHANI KAMA NITATOKA NIKIWA HAI MIAKA 18" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 148 тыс.
50% 1

PART 1 ------- • LILIAN, MTANZANIA ALIY...

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 832   
@millardayoTZA
@millardayoTZA 4 года назад
KAMA ULIPITWA NA PART 1.... HII HAPA =====>>>> ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-E9VJBUHzbbU.html
@ablashaffy2860
@ablashaffy2860 4 года назад
Vipi part 3 sasa?
@swissvany55
@swissvany55 4 года назад
Kama kuna namna yyte asaidiwe
@evasaimon2101
@evasaimon2101 4 года назад
Pole sana
@neemapili1540
@neemapili1540 4 года назад
part III plz
@sharifaabdallah8684
@sharifaabdallah8684 4 года назад
2nataka party111
@dusilaabuock8060
@dusilaabuock8060 4 года назад
Kila mtu anastaili msamaha , lkn huyu demu boyfriend wake mnaigeria ndo aliyemshawishi, na ndo aliyeuliwa, na aliuliwa airport walikuwa wote,anyway its a long story mtu ukigoole kwenye taarifa za habari indonesia historia yake ipo na uzuri uwa wanachukua na video kwa ushaidi, inabidi tijifunze kwa kupitia story yake,ingawa kuna sehenu anadanganya kinoma,
@salminqr7958
@salminqr7958 4 года назад
Dah kaka milrad ayo mungu akubariki,tumuombe mungu Dada yetu apate uhamisho my
@muniradaudi440
@muniradaudi440 4 года назад
Ss anamuhojii huyo bado andoneshia au vip sielew
@pendothomas7258
@pendothomas7258 4 года назад
Mwenyezi Mungu uliye mwingi wa rehema, ulimtoa mwanao wa pekee Yesu kristo aliyekufa msalabani ili sisi tuwe huru kutoka katika vifungo mbali mbali, ninaomba kwa mamlaka ya jina la Yesu na damu yake yenye nguvu umfungue Lilian kutoka gerezani, umweke huru kabisa. Amen
@joharimbuya8167
@joharimbuya8167 4 года назад
Pole sna mwenywezi mungu atakufanyia wepesi nautatoka Tu chamuhimu muombe mungu pia huwe unapenda kufunga kwa naomba zaid
@evalenjistasamwel4744
@evalenjistasamwel4744 4 года назад
Daaah axe
@anasiamacha2543
@anasiamacha2543 4 года назад
pendo thomas Amina
@joselinejoseph9632
@joselinejoseph9632 4 года назад
Amen 🙏🙏
@bernardmallya2967
@bernardmallya2967 4 года назад
Pendo Thomas.. omba Mungu akukinge wewe na familia yako... Sio kuomba Mungu amsaidie muuza unga... Mungu Kwanza yuko busy na maswala muhim sio ya kipumbavu kama ya kuwasaidia wauza unga mana wanawaharibu sana ndugu zetu wanakuaa mateja
@doctorgames5011
@doctorgames5011 4 года назад
Sina usafi wa nafsi wa kuhukum..Nakupa pole MwenyeZimungu akufanyie wepesi
@paulinamwenisongole8804
@paulinamwenisongole8804 4 года назад
Hakika anastahl pole mungu amfanyie wepesi
@pendohumphrey7588
@pendohumphrey7588 4 года назад
Mungu sikia maombi ya huyu dada umtoe gerezani, maana hakuna aliyekamilika
@ahmadmbuta4138
@ahmadmbuta4138 4 года назад
Pendo uko vizuri kwa koment yako ila nawashangaa watu wanarohoo mbaya kama awana makosa ebu kila anayetoa koment mbaya ajalibu kujichunguza maisha alio pitia sio tunakoment tu ss sote dunian njia yetu 1 tunaelekea ukouko
@rajabumalupu4184
@rajabumalupu4184 4 года назад
Mungu awez kusikia ujinga huo tusimpe uzingo acha mungu atupambanie na hili janga la Corona
@pendohumphrey7588
@pendohumphrey7588 4 года назад
@@rajabumalupu4184 hata ujinga wako pia itakuwa vigumu kuhusikia na itakuwa ni mkubwa zaidi ya huyu ni bado tu haujaingia mitandaoni, pole
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 4 года назад
@@ahmadmbuta4138 Tunaelekea huko huko wapi , njia yetu 1 ipi ?? Njia yetu moja " kifo " ndio tunajua kwamba wote njia yetu ni hiyo tutakufa . Lakini kwenye kubeba madawa NO !!! SIE wengine tunaweza kusema na nafsi zetu , hatuna tamaa, tunaridhika na rizki ndogo tuipatayo , nafsi zetu zimekinai , Turidhike na kipato kidogo cha halali kuliko unahaidiwa dola 5,000 ya hatari nawe unakurupuka , acheni mnawatesa wazazi wenu kwa mawazo hasa mama zenu .
@geequeen1116
@geequeen1116 4 года назад
Kabisa Mungu amsaidie😭😭😭
@bahatituluka7953
@bahatituluka7953 4 года назад
Lily kiukweli roho imeniuma san I wish umuone mama cz akuna mzazi anae taka mwanae apate shida mungu akulinde siku zote za maisha yako mamaang utatoka
@gracegrace4245
@gracegrace4245 4 года назад
Polee sana mungu atakufungulia milango ya gereza utakuwa huru kama walivyoomba Paul na sila milango ya gereza ikafunguka mungu yupo
@zemgotanar5264
@zemgotanar5264 4 года назад
Never give up siwezi kukujaji nakuombea mungu akurinde fenes ra. Kupika na ubwabwa makubwa🇲🇿
@malimaeliudy1516
@malimaeliudy1516 4 года назад
Dah! Nimeuzunika sana uyo dada liliani miaka 18 mingi kweli na iomba selikal imusaidie yeye pamoja na uyo mtanzania mwingine
@audifasmassera1289
@audifasmassera1289 4 года назад
Dah! Kwa kweli tumhuzunikie tu! Nakumbuka mzee alisemaga kabisa kabisa UKIDAKWA NA MADAWA pambana kivyako usiihusishe mwanangu! Tena kama unakumbuka alisemaga pia sheria itumike ya huko ULIKODAKIWA! dah!
@bernardmallya2967
@bernardmallya2967 4 года назад
Malima Niko na Raisi wetu... Serikali gani duniani hapa umeona inawasaidia wauza unga? Iache kusaidia Sekta nyeti ianze tuu kuwasaidia wauza unga... Kila siku sio Tz tuu mpka dunia kote tunaambiwa unga mbaya no either kifo jela au uteja.. Ila mijitu haielewi... Acha avune alichopanda.. $ 5000 imekupotezea dira nzima ya maisha na kwa taarifa yake hakuna Punda aliyefanikiwa n'a hata kama wapo n only 10% wengi wanaishia uteja, kifo au jela kama yeye saivi... $ 5000 = 41 years pole Kwa mama ake na Ndugu zake Ila ndio hivo inauma Ila watazoea
@Binti1801
@Binti1801 Месяц назад
Kabisa, avune alichopanda, tamaa mbaya sana, kila siku tunaambiwa madhara ya madawa alafu we unajiingiza mazima, hawa ndio wanaotuaribia watoto kwa kusambaza madawa​@@bernardmallya2967
@dainesszuber1860
@dainesszuber1860 4 года назад
Duuuh!! Aloo pole sanaa huuu umasikini wetu huuu unatuingizaga kwenye tamaa sanaa mwenyezi Mungu akusaidie sanaaa akuepeshe na kifo kiukweli
@jamesshao538
@jamesshao538 4 года назад
I really i like those pipo with positive comment,mwenyezi Mungu akutie wepesi
@jamesshao538
@jamesshao538 4 года назад
Thanks guys for ur understandin
@alexandrinadomaino9868
@alexandrinadomaino9868 4 года назад
Jaman sema tu ndo hivyo mpaka serikali iandike barua but isingekuwa hivyo ningejitahidi japo kumtoa akafungwe home Tz coz maisha ya uku mhmh.
@lisaildephonce7317
@lisaildephonce7317 4 года назад
Inauma sana 😭😭😭😭Mungu akusamehe, akusimamie na akufungulie milango uweze kupunguziwa adhabu Lilian
@godwinmmari6692
@godwinmmari6692 4 года назад
Daaah so sad😭😭 Hadi machoz yamenitoka... Hakika umetambua makosa yako unastahili kusamehewa... Naamini yajapokua tunajanga Covid 19 Serikali yetu Ni sikivu Sana IMEKUSIKIA LILIAN. I belv In🙏🙏
@collinsmakanta6898
@collinsmakanta6898 4 года назад
gladeness godwin Tumuombee Sana
@godwinmmari6692
@godwinmmari6692 4 года назад
@@collinsmakanta6898 kwel kabisa Kaka yang
@audifasmassera1289
@audifasmassera1289 4 года назад
Kumwombea ndio muhimu! Kama sikosei bwana mkubwa alishasema kabisa ukidakwa na MADAWA mwanangu! pambana mwyw usiihusishe kwa namna yeyote!😢
@bernardmallya2967
@bernardmallya2967 4 года назад
@Gladness Godwin serikali sikivu ? Wangekuwa wanawaachia wa Tz huku wanaokamatwa na madawa huku Tz.... Na Serikali iko busy na mambo muhimu sio ya ujinga huo... Mihadarati ni hatari sio kwamba alikuwa hajui... Biashara hizo faida yake ni vitatu , kifo, jela, uteja... Tamaa mbaya vijana turidhike na kidogo tunachopata ... Madawa sio mazuri hata kidogo Bora nife na kupata Tsh 100 zangu kuliko kuwaumiza watu Kwa uteja... Vuna ulichopanda no shortcut tena ukitoka kamtafute hongera zote n'a ikibid hata ela yule askari aliyekutetea usiuliwe. Mana hata mm ningekuwa raisi au raisi nikiwakamata watu kama nyie ni kuwamaliza tuu mana wavivu kufikiria na mnajiona n wajanja kuliko serikali. Pole Kwa wazaz na Ndugu zako mana wanapata tabu kisa ujinga wako. Na ukitoka utakuwa unakimbizia 41 years pole Dada Bora ungekuwa unadanga Tu.
@godwinmmari6692
@godwinmmari6692 4 года назад
@@bernardmallya2967 duuuuu we Kaka wewe hauna hata chembe ya huruma??!! Hata maaandiko yanasema samehee pale panapohitajika.. mtu kakiri na kaomba msamaha amejuta alichofanya na kunakitu kajifunza Hana Budi kusamehewa.
@joeljames8420
@joeljames8420 4 года назад
Pole sana , Balozi wa huko naye yupo kama jiwe hafai ,mtoto akikosa hasuswi . Watanzania wenye huruma tumchangie Lilian pesa apate wakili mwingine apunguziwe kifungo, au za kujikimu kimaisha humo gerezani daaaaaah huruma bc tu .
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 4 года назад
Hawasaidiwi wanafunzi waliopo nje wanapopata shida sembuse mbeba unga !!!!! kila siku tunausiwa madhara ya biashara hii lakini bado watu hawasikii , Watanzania walioko magerezani nje ya Tanzania ni wengi sana , Nadhani mabalozi hili la kuwatembelea na kuwasaidia wafungwa wanaotoka kwenye nchi zao hawalipi kipaumbele .
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 4 года назад
Kuchangisha pesa kipindi hiki ni ngumu sana , hali ya kipesa kwa watanzania walio wengi ni ngumu sana , Kwaresma , Ramadhani , watoto wako nyumbani likizo ya lazima ya CORONA , wanatakiwa kula asbh , mchana , jioni , kiufupi maisha yamebana sana kipindi hiki ( mtazamo wangu ) Ila nawaombea wengine M- mungu awape uwezo mumchangie Mtanzania mwenzetu .
@josephatmgoboleni8767
@josephatmgoboleni8767 4 года назад
Msaidie ww dem wako kama umefikwa na hilo
@joeljames8420
@joeljames8420 4 года назад
@@josephatmgoboleni8767 josephat au Josephine majibu yako ni km umezoea hiyo hali.
@josephatmgoboleni8767
@josephatmgoboleni8767 4 года назад
@joel James Ivi ww unaona akili zako zinakutosha kweli? Ivi unaona ni sahihi kumchangia mtu muuza madawa ya kulevya ambaye ni chanzo kikubwa cha kuleta umasikini kwa vijana pengine hata kuwaua kabsa na hayo madawa, wakati Kuna wengi wapo mtaani kwako wanahitaji msaada wa kupata pesa ya matibabu, pesa ya kula, Ada, wengine wapo magerezani kwa kubambikiziwa kesi yani Hao hauwaoni kuwapa msaada au kuwaombea msaada had uje umuombee msaada puuzi kama huyo daaah aisee broo try to think twice ila kama ni shemeji ok endelea kuomba msaada wenda utafanikiwa
@farhad4208
@farhad4208 4 года назад
Pole sana mdogo wangu Lilian, mwombe sana mwenyenz Mungu atakufanyia wepesi
@abubakarzuberabubakar3998
@abubakarzuberabubakar3998 4 года назад
Lilian pole sana I know that life lilian mungu atakufanyiya wepesi utatoka tu soon inshallah
@raimajimoto1122
@raimajimoto1122 4 года назад
Dahhhh Allah atakufanyia WEPESI dada angu utatoka😭😭😭
@minzagabriel6150
@minzagabriel6150 4 года назад
Pole Sana Gift mpaka roho imeniume sana nakuombea sanaa.
@mwanalikhamis9875
@mwanalikhamis9875 4 года назад
pole mdogo wangu mungu atakusaidieni naumia mimi
@salimfea
@salimfea 4 года назад
Minza Gabriel unamjua huyo dada
@minzagabriel6150
@minzagabriel6150 4 года назад
@@salimfea ndio mpk familia yake naijua vzr sana
@salimfea
@salimfea 4 года назад
Minza Gabriel daah inaumiza sana Yaan hakuna namna ya kumsaidia?
@minzagabriel6150
@minzagabriel6150 4 года назад
@@salimfea mi niko mkoan na asilimia kubwa ya ndugu zake wako dar na moshi wameshahangaika mpk basi
@neemakirita3314
@neemakirita3314 4 года назад
Pole Sana Lilian story yako imenitoa machozi, Mwenyezi Mungu akusimamie upate wepesi kwenye Jambo lako.
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 4 года назад
Dada hawa wazoefu kabisa mbona wako wwngi wengi sana ...bali macao taiwani ,malysia,indonesia na sasa wako cambodia wanajibana huko na wanabeba hizo kazi...huyu mzoefu
@hadija846
@hadija846 4 года назад
@@othumanlorenzo260 Kabisa
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 4 года назад
Jamani😭😭😭😭😭😭😭😭 nimelia mimi jamani tamaa mbaya jamani me mwewe ninatamaa paka bas ila nilivyo sijiliza simulizi hii ya msichana mwenzetu paka nimelia mmmm tamaa kaambali na mimi mungu atakusaidia utatoka
@anasiamacha2543
@anasiamacha2543 4 года назад
Amina Mi piaa nna tamaaa jamanii
@bernardmallya2967
@bernardmallya2967 4 года назад
Dotnata na Anisia punguzeni tamaa. Ishindeni nafsi... Hakika nawaambieni wabeba unga , Mapunda hakuna aliyefanikiwa akaenjoy ela yake. Yan hawazid hata 10% . Wengi wanaishia jela, uteja au kifo... Bora hata mdange nawaambieni. Unga sio mzuri hata kidgo na ukikamatwa kila mtu anakublock... Yan hiyo biashara n kama unajitoa kafara Yan. Asa ya nn kuishi bila Amani? Fugeni hata kuku , uzeni hata chips au mihogo ,chapati au hata vitumbua mtaani. Kaeni mbali na unga
@anasiamacha2543
@anasiamacha2543 4 года назад
bernard mallya Nmekuelewaa sanaa Kakaanguu
@elizabethmabula101
@elizabethmabula101 4 года назад
Acheni tamaa. Mimi nimekaa Asia . Ndugu zangu tamaa acheni.bora udanfe kuliko unga. Jail za huku unaweza kudungwa sindano ya sumu ufiye huko. Bado huyu dada kifo ya kunyongwa inamsubiri.. Kila mwak.wananyonga
@bernardmallya2967
@bernardmallya2967 4 года назад
Elizabeth Mabula, safi sana dada angu. Wanawake kama wewe ndio wa kuoa, hawa wenye tamaa tamaa siku zote mavitu mabaya huwakumba. Lily anajifariji atatoka, anajifariji raisi atamuamisha gereza. Yan huyo akitoka bas akaokoke mana kama wenzake wawili waliuliwa machoni mwake yan hata yey kifo kinamuhusu sema watamuwa kisomi. Pole kwa familia yake
@aishajuma8792
@aishajuma8792 4 года назад
Subhuhallah mungu akufanyie wepesi
@milkaauma6312
@milkaauma6312 3 года назад
Pole dada tufanyeni kazi sina usemi pole sana
@princessmaasai4252
@princessmaasai4252 4 года назад
Daaaah,,,, dada pole sana mungu yupo atakusimamia utatoka tu
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 4 года назад
Pole Sana may God see you through hao ma Oga Nigerians sio wazuri +254 🇰🇪
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 4 года назад
It's very sad kwakweli wazazi wakae na watoto wao kuwaeleza kuhusu maisha... Mungu atakusaidia rais wetu atasikia sauti yako na itarudi nyumbani lilian
@dannycosmas7714
@dannycosmas7714 4 года назад
Wapo wengi sana huko wadada wetu hawa watanzania ndio buhashara zao na wengine wamerudi salama
@geofreyjames6088
@geofreyjames6088 4 года назад
Polee nmejifunza k2 apo mungu atakusaidia hope dat rais wetu kaskia kilio chako polee polee san😥😥
@ibrahimrukundo3064
@ibrahimrukundo3064 4 года назад
ALLAH abadili hukumu hiyooo ili uachiwe haraka ila tujifunze kwahiloooo.
@mwanalikhamis9875
@mwanalikhamis9875 4 года назад
numia jamani mwenzetu
@salmawage7259
@salmawage7259 4 года назад
Pole sana sana mitihani mungu atakusaidia utatoka utarudi nyumbani salama
@swaumusadiki8381
@swaumusadiki8381 4 года назад
😭😭😭😭😭nimelia jmn daah mungu atafanya njia inshallah upo kwenye maombi yetu😭
@rajabumalupu4184
@rajabumalupu4184 4 года назад
Kilichokuliza NI kipi
@bernardmallya2967
@bernardmallya2967 4 года назад
Rajabu Malupu, namshangaa hata mm.. unalia kisa nn ? Unaanzaje mimuombea muuza unga? Yan nikipitaga mwananyamala, au hata temeke nikiwaona mateja wanavyoteseka na arosto huwa natamani niwe raisi niwauwe kila muuza unga... Hakuna punda aliyefanikiwa kama wapo basi n only 10% wengi n uteja, kifo, au jela kama Lily... Vuna ulichopanda
@bernardmallya2967
@bernardmallya2967 4 года назад
Uache kujiombea mwenyew akubariki au kuwaombea wazaz wako unamuombea eti muuza unga .. Saumu nahisi unachanganikiwa...
@pendodamian9554
@pendodamian9554 4 года назад
Pole sana dada daaa mungu atakusaidia tatizo litaisha amna lisilo na mwisho mungu ni mtetezi wa wanyonge so ni mapito tu
@aliboss2736
@aliboss2736 4 года назад
Wanaigeria cwapendi sana wanatumia sana dda zetu na ishu mbovu
@mozaummy327
@mozaummy327 4 года назад
Allah atakusaidia ndugu yangu yote mitihani tu iyo utatoka kwa uwezo wa mungu
@suleymansaid9301
@suleymansaid9301 4 года назад
Allah ndo mpangaji rais wetu ni mwngi wa huruma atakusaidia tu yote mitihani ya dunia ndg yng mungu wetu atakufanyia njia
@mozasaid3869
@mozasaid3869 4 года назад
Duh! Mtihani! Njia rahisi ya mafanikio mtihani!! Masikini binti! Pole sana,
@collinsmakanta6898
@collinsmakanta6898 4 года назад
Pole Sana Mwana Mama Imeniuma Aisee
@DALALIMTOTOMPANDAKATAVI9169
@DALALIMTOTOMPANDAKATAVI9169 4 года назад
daaaah jamani inauma daaaah ila nampa pole Sana huyo binti kwa kilicho mkuta huko aliko
@doreemoshi8707
@doreemoshi8707 4 года назад
Daaaaah nimelia sanaaaaa aiseeeee pole Lili wangu mungu wangu akutie nguvu ili nijaribu tuuu na naimani utalishinda tunakuombeea mungu akupe Imani zaidi ujasiri na nguvu ya ushindi,mungu Ni mwema
@rajabumalupu4184
@rajabumalupu4184 4 года назад
Kilichokuliza NI kipi dada
@mrpromise4823
@mrpromise4823 4 года назад
Pole Sana mungu akufanyie wepesi.
@sumayahfathi9413
@sumayahfathi9413 4 года назад
Pole mamy Utakuwa umejifunza mengi, Allah anasamehe usichoke kumuomba Mungu, Allah Anamiujiza yake unaweza ukatoka kabla yahiyo miaka 18, Jamani hawa watoto wetu tukae nao chini hakuna Life ya short Dunian mamy, nakuelewa mamy usilie futa machozi Mungu anaweza mililie Mungu tu kama anaweza kumuokoa nabii yusuph hashindwi nanyinyi , poleni Sanaa,
@bonarpatehassan1282
@bonarpatehassan1282 4 года назад
Its heart touching......pole sana
@justami2625
@justami2625 4 года назад
Pole sana Mdada Mungu akufanyie wepesi utoke na mama ako pia namuombea uzima InshaAllah ampe uzima Akusamehe ili upate huruma ya Mungu utoke
@malaikahansen
@malaikahansen 4 года назад
Asante sana Lilian, hii itawasaidia vijana wengi sana. Mungu akubariki sana, nakuombea, MUNGU akupiganie. Mimi ni mtanzania naishi ulaya, mara ya kwanza nilikua nasoma Uganda kuna mtu ambae nilikua namheshimu sana, alitaka kunipekeka Germany kutembea innocently hata sikujua mimi kilichonishtua tu alikuja na passport ya Uganda na nilitakiwa niache passport yangu ya Tz. Sikujua chochote zaidi ya kusema siwezi kusafiria passport bandia. Basi baadae ndio nikasikia alikua anatumia watu kwa biashara hizo haramu. Mara ya pili huku ulaya nimefika kuna vijana watanzania walikua wametangulia huku, wao waliniambia wazi kabisa niende nchi ya jirani na ndege ya asubuhi nirudi na ya jioni, na pesa ambayo wangenilipa ilikua inatosha kununua gari niliyokua nimepanga kurudi nayo TZ. Nilikataa kwa sababu ya imani yangu na kumfikiria mama yangu but otherwise ni rahisi sana kutapeliwa na kuingia mkenge.
@samirakiango957
@samirakiango957 Год назад
Wangekuingiza mkenge aseee khaa pole dear
@malaikahansen
@malaikahansen Год назад
@@samirakiango957 Yaani ni MMUNGU tu wala sio ujanja wangu. Asante sana
@mariammbughi2702
@mariammbughi2702 4 года назад
Wali na supu ya ukwaju aisee pole dear mungu akufanyie wepesi
@daimavlog
@daimavlog 3 года назад
Wadogo zangu tulieni na ridhikeni na kidogo mlichonacho. Hayo madawa yalikuwa yanaenda kuua watoto wa watu, tafuteni kwa jasho kazi halali wadogo zangu. Mungu niwaajabu sana atakuinua siku moja. Endeleeni kusali na kuamini Mungu anatosha. Asante kujitoa kuelimisha wengine.
@sashaaishajamani1979
@sashaaishajamani1979 4 года назад
Duu pole sana mungu yuko pamoja na wewe now nina wafanyakazi wenzangu wa huko huwa ni wabinafsi so l can't trust hata mmoja najitenga all the time so mabint jifunzeni maisha ya mkato yana cost sana
@zainabzantar5440
@zainabzantar5440 4 года назад
Kashajutiaa na kuomba msamaha jaman serekal ingiiliee katii... So sad...😭😭😭
@audifasmassera1289
@audifasmassera1289 4 года назад
Huzuni si kidogo! Naamini Mungu atamsamehe! Ila kama unakumbuka mzee alisemaga kabisa kabisa UKIDAKWA NA MADAWA mwanangu upambane tu kivyako usiihusishe! Tena unakumbuka alisemaga pia sheria itumike ya huko ULIKODAKIWA! Samahani nimekumbushia tu naona wengi tumelisahau hilo!
@brinadallo2652
@brinadallo2652 4 года назад
Wali na fenesi duh
@mackynicky5832
@mackynicky5832 4 года назад
Ee Mungu wasaidie watoto wetu, pole sana Lilian Mungu atakusaidia utatoka, haya ni mapito ya dunia
@ndabarinzesamuel9333
@ndabarinzesamuel9333 4 года назад
Wa malesia hawana huruma dada ni kukuombea dua ila kutoka huko ni kugumu, hao watu ni wauaji wakikukamata na madawa ya kulevya ni mpaka kuuwa tu, Mungu akujalie dada.
@AishaJuma-wd8xd
@AishaJuma-wd8xd Месяц назад
Pole sana dd
@solomonmpuluma282
@solomonmpuluma282 4 года назад
Huyo wakili Mungu atamhukumu kwa haki. Wewe mwachie Mungu tu mama yangu mpendwa. Jipe moyo utashinda. Ipo siku moja.
@bahatituluka7953
@bahatituluka7953 4 года назад
Pole lily akuna tofaut ya maisha kikubwa mwenyez mung akufanyie wapesi inshaallh
@deborarasuli6974
@deborarasuli6974 4 года назад
Pole sana mdogo wangu hujui mungu anakusudi gan na wewe pia hilo nifundisho kwa wengine ambao wanataka kufanya biashara ya madawa ya kulevya
@alqaasim_a_tz2412
@alqaasim_a_tz2412 4 года назад
Kabla Hamjapata matatizo Mnasahauriwa sana Mnakataa Ushauri wetu mnaona kama Tunawaonea Nongwa Mkishaa patwa Matatizo Mnadai Kutoa Ushauri wa Kiutu, But Mola wetu ni mwema Maadam Umejutia mimi naomba Watanzania tungelitazama hili mwenzetu Aweze kuokoka na Huu mtihani Arudi Nyumbani Lakini nasisitiza ushauri wa Awali muwe Muna ufuata kabla ya kupatwa majanga
@deboramrema2861
@deboramrema2861 4 года назад
Mwenyezi Mungu akulinde akusamehe akujalie uweze kutoka ukiwa hai
@ruthmdamo7661
@ruthmdamo7661 4 года назад
Dah! Maisha haya pole sana mamy mwenyezi mungu atakuepusha na . mabalaaa
@lidyarobert8544
@lidyarobert8544 4 года назад
Mungu akufanyie wepesi mpendwa Nimekupenda kwasababu hukutakaa kubaki na hii story peke yako m naamini utapata msaadaa
@mariamkadija7764
@mariamkadija7764 4 года назад
Ngoja nibaki Oman kwakweli napata pesa yangu halali natumia Nguvu zangu 💪 alihamdulilh namshukuru Mungu 🙏 sas hiyo Miaka 18 Siyo mchezo ukiwa kifungoni siku 1nikama miaka 💯 Mungu 🤲 nusuru vizazi vyetu Pole Sana lakini
@shuutahfif2929
@shuutahfif2929 4 года назад
Wallah na Mungu atufanyie wepec ktka kupambana kwetu huk Oman
@salimzaidi9203
@salimzaidi9203 4 года назад
Kabisa my acha tupambane na pesa zetu za halali mungu atusaidie wafanyakaz wote oman
@zenadaudzena2849
@zenadaudzena2849 4 года назад
Kwa kweli acha tubaki huku ni bora kabisa
@hassanmugire1497
@hassanmugire1497 4 года назад
Mariam Kadija oman mnaliwa na waarabu rudi nyumbn
@sweetchowdhury1155
@sweetchowdhury1155 4 года назад
@@hassanmugire1497 hayo ni mawazo yako tu ukweli tunaujua tuliokuwa huku
@florrakimemeta4850
@florrakimemeta4850 4 года назад
Daaah pole sana, Millard ayo msaidie aweze kurudi huku
@ashaally6662
@ashaally6662 4 года назад
Mungu akufanyie wepesi na ukikosea ukajuwa makosa ukimwomba msamaha anakusamehee kazana kuswali na kumwomba mungu utatoka hata kuhamishiwa gerza la nyumbani ya mungu ni mengi Allah akufanyie wepesi inshaallah
@givenudandale2946
@givenudandale2946 4 года назад
Dada Pole sana kwa masahibu yaliyokupata. Kumbuka hakuna jaribu linalokupata alafu lisiwe ndan ya uwezo wako( Hilo nalo utashinda) Jutia kosa Omba msamaha kwa Mungu Hakika hakuna linaloshindikana chini ya jua.
@juliaayieta2578
@juliaayieta2578 4 года назад
Pole sana dada.......Mungu akupe nguvu na akuwezeshe uwachwe uhuru hivi karibuni 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@SaidaAhmed-b1q
@SaidaAhmed-b1q Месяц назад
Allah akufanyie wepesi..ila Vijana tuachen tamaa
@hamisijumanne4137
@hamisijumanne4137 Год назад
Pole sana
@negrowaminoty7756
@negrowaminoty7756 4 года назад
Daah pole sana
@abdallahmohamad6991
@abdallahmohamad6991 4 года назад
Allha atafanya wepec wake ameen yarrabil alameen... Dada yetu urudi Tanzania na uweze kuonana na Familia yako.. Dua zetu zpo nyuma yako sister
@ireneelias3851
@ireneelias3851 4 года назад
Dah! Pole sana lilian mungu awapiganie rais asikie kilio chenu
@rahyrahy4984
@rahyrahy4984 4 года назад
Pole sana lilia aiseee,,, ,,,allah atakufanyia wepesi inshallah
@aminabakary7938
@aminabakary7938 4 года назад
Mungu akufanyie wepes mpenz' uzuri umexhajua kosa lako na umejifunza kutokan na makosa, nakuombea kwa mungu utoke salama mpnz
@juliustarimo1257
@juliustarimo1257 4 года назад
Lloh... Kutafuta huku kuna changamoto nyingi sana. Pole sana dada
@beatricechristian9257
@beatricechristian9257 4 года назад
Duuuuuh! Pole sana 🙏🙏🙏
@marthamsangi3725
@marthamsangi3725 4 года назад
Mwenyezi Mungu atasikia kilio chako my dear
@jokhaali9187
@jokhaali9187 4 года назад
Nimejiskia nalia tu mn kwa umri alonao nikapiga hesabu miaka 17 haki Kama ni Mimi au mwanangu ndio naona umri wake u meishia jela bila ya mafanikio yyt mungu tuangalie sisi na wtt wetu tuokoe kwenye hizi shida za umaskini na tamaa tutapoteza vijana wetu nguvu kazi 😭😭😭
@theblessedone7526
@theblessedone7526 4 года назад
Maskini hadi michozi dada atia huruma kweli. Mungu akusamehe dada
@k2channel94
@k2channel94 4 года назад
Dah pole Sana Dada yang Never give up my Beloved sester
@leahtlukindo564
@leahtlukindo564 4 года назад
pole sana lilian Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi
@leahtlukindo564
@leahtlukindo564 4 года назад
pole sana Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi
@hassanyussuph4407
@hassanyussuph4407 4 года назад
Pole sana dada swala la nchi yako kukusaidia sijuwi tuombe mungu hizo nchi kuna wakati huwa zina toa msamaha labda mungu atafanya miujiza yake pole maisha ni safari ktk hutokea ajali ndo kama hivi imeniuma kabisa tena huyo mwanasheria ndo kanitia hasira sana
@juniorcantona4040
@juniorcantona4040 4 года назад
Usijali Lilian Kessy. Pole Mungu Atakufanyia wepesi katika kipindi hicho kigumu ulichokutana nacho.
@hamadharerimana8187
@hamadharerimana8187 4 года назад
ALLAH akuweke wepesi utoke inshallah
@bilalfaki5199
@bilalfaki5199 4 года назад
Daaah inauma sanaaaaa polee sana dadaangu
@nkuba_tz258
@nkuba_tz258 4 года назад
Daah inauma...... sikia tu ila yasikukute, pole dada
@jackyluns8224
@jackyluns8224 4 года назад
Kaka Millard Mungu akupe amani ya roho akuongoze kwa kazi yako tunakuombea kaka utafute na part3
@gililwise
@gililwise 4 года назад
Pole sana mwanangu .hayo ni mapito tu.hao watu wanaotumia watoto kufanya uhalifu Mungu atawahukumu.
@nancyfamilysharesmoments7634
@nancyfamilysharesmoments7634 4 года назад
Kabisa
@patrickmyala9501
@patrickmyala9501 4 года назад
Millard yupo gereza gani uyo dada I need to see her bro
@franklyfaustine3880
@franklyfaustine3880 4 года назад
Mcheki dm milad ndo rahis kumpata hasa instagram
@silverrichard2975
@silverrichard2975 4 года назад
Swagg nation Inc tv wewe upo huko indonesia
@patrickmyala9501
@patrickmyala9501 4 года назад
Nimejaribu kumchek millard sijampata dm hajibu kaka
@patrickmyala9501
@patrickmyala9501 4 года назад
Silver Richard nipo uku jakarta indonesia so ni bora nimuone mtanzania mwenzangu
@silverrichard2975
@silverrichard2975 4 года назад
safi sana mcheki ikibid msaidie kumpata huyu mwanasheria aliemtapeli
@rukiamwakinyo5324
@rukiamwakinyo5324 4 года назад
Duh mtihan huu tamaa mbele umaut nyuma duh pole sana aise
@jescajohn9610
@jescajohn9610 4 года назад
Pole sana dad
@kenybenjiz7850
@kenybenjiz7850 4 года назад
Hivi huuyu Lilian anamjua mzee magu na serikali hii kwenye kupambana na madawa Yeye anatafuta huruma
@rose_Winchester86
@rose_Winchester86 4 года назад
Yani dah
@ElimikaTz
@ElimikaTz 4 года назад
inasikitisha sana. i hope vijana wengine tutajifunza kupitia janga hili la lilian na mungu amsaidie apate msaada anaohitaji.
@jackyluns8224
@jackyluns8224 4 года назад
Nimeumia sana nimejifunza kaka millard ni kher mtu anicheke nauza Ata ubuyu ilimradi mungu ipo siku nitatoka kimaisha kwa kujituma kwangu
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 года назад
Subhannallah, mtihani kwakweli, pole sana Dada.
@azizahamed4037
@azizahamed4037 4 года назад
Mkamilifu ni Mungu peke yake!! umekosea na naamini umejifunza...Namuomba Mungu akufanyie wepec na amsaidie mamaako pia!! Natumai serikali yetu itawasaidia kwa njia moja au nyengine..
@pendopendo7427
@pendopendo7427 4 года назад
Pole san mdog wangu mungu atakutoa apo ulipo maan umetambua kosa lako na umeomba msahama na Mungu atakutoa apo ulipo wew mwasheria Mungu anakuona Mungu atakulipa kwa ulichofanya
@Jfhandmade
@Jfhandmade Месяц назад
Mm ndo nasikia leo sijui alitoka😢😢😢😢2024
@frankafrica3973
@frankafrica3973 4 года назад
Daaah Lilian Pole Sana nimejisikia Vibaya sana Juu yako mungu Akutie Nguvu
@esterfred3980
@esterfred3980 4 года назад
Maisha haya jaman na utaftaji wetuu huu mungu atakujalia utatoka
@user-ij2bf8of8h
@user-ij2bf8of8h 4 года назад
Pole sana mwenyezi mungu akutangulie kwa kila ngumu unaopitia na akujalie moyo wa subra
@loshilulukumay7203
@loshilulukumay7203 4 года назад
Aisee Bila shaka Imeniuma sana tena zaidi ya kuniuma Kweli Huyo Dada amenigusa kwakweli Mungu amsaidie Atoke jamani na balozi wetu jamani mjaribu kuwatetea watanzania hawa mnawawakilisha huko.Daaaaaaaaa
@kemyphilip4000
@kemyphilip4000 4 года назад
Duu vijana tusipende maisha ya mkato tufanye kazi zilizo halali. Pole sana dada angu nitakusaidia kwa chochote nilicho nacho inshallah u will be alright🙏🏾
@amanimandari6812
@amanimandari6812 4 года назад
Pole sana dada Mungu atakusaidia endelea kumwomba
@salisali3738
@salisali3738 3 года назад
Pole sana maisha haya uwiiiiiii tune vaecha mengi
@arnoldschwaristen7916
@arnoldschwaristen7916 4 года назад
So Sad wallahy Daaaah nimejisikia vibaya sana Sema kwa Nchi yetu Tanzania wangeangalia jinsi gani ya kumsaidia Ili ikiwezekana afungwe hata kifungo cha nyumbani Dah Wamsaidie tu 😭😭😭😭😭😭😭
@zedymicheal9407
@zedymicheal9407 6 месяцев назад
Pole sana Mungu atakusumamia
Далее
How to get Spongebob El Primo FOR FREE!
01:36
Просмотров 13 млн
IJUE MAHAKAMA YA KWENDA KUTOKANA NA AINA YA TATIZO.
9:53
WATANZANIA ACHENI ROHO MBAYA - WAZIRI SILAA
21:54
Просмотров 14 тыс.