Uyo ndie shetani ajali we mtoto au ndo damu inayo jiunga kua mtoto tumboni yy kote anapita kualibu..kawatumia wachawi wamtese uyu kijana mpaka anafikia ukubwa lkn bado anapitia mateso tena kwa ndugu zke mwenyewe..bibi yke ndie alie fungua milango hii ya mateso..Yesu atuokoe
Maskini kumbe yule kaka alifanya mbinu ya kukurudisha kijanja, ama kweli duniani humu mmejaa uovu mtupu, unaambiwa usimuamini hata ndugu, na mama mdogo nae pia ndio walewale. Pole sana ila Mungu atakusimamia sana.
Yaani nimekumbuka hii mwisho wa dunia hata mm nililala nikijua ndo mwisho nikashitushwa na madebe ndipo kila mtu furaha ilirudi tuaingia barabarani Zabron unastory ndefu na nzuri
😭😭😭😭 inatia huruma sana yahani anahandisia kwa hisia sana jamani mungu Ndo mlizi wa mtu hebu fikiria maisha yote alio pitia Tusiwe tunafanyiana vibaya kwenye familia mtu akiwa bado nimtoto kila unacho mfanyia anakuaga anajua nakuhifazi Yahani tuwetunajitaidi kuhonesha upendo
Arusha majengo mgodini daaa umetisha kaka😀ndio mahala napo ishi mimi kwa sasa pamejengwa sana ila kokoto bado watu wanatafuta rizki kuna wamama wakaka😂
Kuhusu mwisho wa dunia 2000 nakumbuka bibi na mama nawaona wamekumbatiana ilipofika saa sita usiku wanasubiri dakika zitimie. Utoto raha sana halafu me nazunguka tu ndani
Siku aliye jikuta amelala makabulini ndo siku wamemchukua nyota na kivuli jamani ukienda kwa mganga akikukwambia nikufanyie dawa makabulini usikubari anakuchua nyota yaani huyu anaendeshwa tu SubhanAllah Allah atupe mwisho mwema