Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:- Facebook : / gospeltvshow Instagram : / chomozanews RU-vid : www.youtube.com... #ChomozaTv#2022
Huyu pastor Ni noma aisee! Nimekuwa nikimfatilia na Leo pia nimwemwona hapa mafundisho Yake yapo katika level nyingine kabisa! Yuko deep kweli kweli na yupo clear haswa! Usipomwelewa Basi umeshindikana! Na hakuna utakayeweza kumwelewa! Ubarikiwe Sana Pastor Tony!
Ongera mchungaji kapola,uwa nakufatilia Sana,watangazaji mrudisheni Tena uyu mchungaji na mpeni nafasi aeleze maandiko maana hiyo ni sauti ya dhahabu Mungu Atawainua Sana Sana KUANZIA Sasa ,barikiwa,
You must have an idea of a case for you to ask accordingly,presenters jitahidini kupitia Aya mambo at roughly ili msigongane,the give yourselves shifts in asking don't collide yourselves.Otherwise you are doing good.
Nilikuwa sijawai kumfuatilia pst tony but Kwa haya magundisho lazima nianze kumfuatilia, then Mimi nataka aje Sasa anitafautishie mbona mwanzo kulikuwa na watu wawili tu ambapo Imani Yao ilikuwa ni Moja na Sasa izi Imani nyingi nyingi zilikujakujaje , na Tena ukweli kuhusu yesu na Mohamed nataka anifafanulie vizuri sana Ili nifahamu chanzo Cha wakristo kumwabifu yesu , na si muhamad na Islam kumwabudu muhamad, becz hizi vitu viwili hunichanganya Hadi nahisi kutogusta yeyote Bali nifuate mungu tu niachane na muhamd au yesu but pia lazima uongozwe na roho mtakatifu kupitia Hawa watu wawili Sasa mkweli ndiyo sijaelewa sijapata funzo la kuniingia ubongo I kama la bili tunda coz infact I was thinking that they eat the sex but u see it's not about sex it's about, they never trusted , obeyed , they ate the original tree by the name knowledge, ooh my God , naona ukweli unless nipate challenge nyingine then I compare but am satisfied by this for know. Amen ubarikiwe pst tony Adam pia nikama Mimi napenda kujuwa Kiini Cha jambo sio juju tu na hiyo watu wengi hawapendi wanasema ni kiherehere, but sidhani ni kiherehere ni God anafanya kazi anataka ujuwe zaidi. Am blessed infact
Utakiwi kumwabudu yesu wala Mohamad,unatakiwa umwabudu aliyekuumba tu uislamu naukristo ni dini za dunia na hizi zimepotosha kweli halisi karibu kabisa halisi la MUNGUBABA tegeta namanga