Тёмный
No video :(

PATRICE LUMUMBA: Shujaa wa Kongo aliyeuawa kikatili, kukatwa vipande na kuyeyushwa kwenye ACID 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 15 тыс.
50% 1

Makala hii inakujuza historia ya Patrice Lumumba na safari nzima ya kisiasa ya Kiongozi huyu mashuhuri na mpigania haki za waafrika nchini Congo. Kaa nasi ili uweze kupata historia ya kina kuhusu kiongozi huyu na sababu za kifo chake cha kinyama zaidi kuwahi tokea katika historia ya siasa ya nchi za Afrika

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 42   
@DanielPetrosa
@DanielPetrosa Месяц назад
Naenjoy vitu vingi kwa kaka Sky Simulizi nzuri Sauti nzuri Makala nzuri Huwa nazirudia sana makala 360 kama ya Bermuda Triangle na Thomas Sankara. Very touch aisee. Sky uishi sana hizi Makala tuendelee kuzipata. Mwambie Baby Sky akuongezee msosi 😅😅
@jasonmesiya7687
@jasonmesiya7687 2 года назад
Lumumba the hero 🇨🇩 Asante
@dutchsafari7562
@dutchsafari7562 2 года назад
Ooooh ....content nzuri Sana hii broh kama ikikupendeza naomba uturudishie maudhui kama yale ya kipindi cha sita sahau humu iwe kwa njia yoyote ya sauti au video broh 🙏
@SWAHILINATION
@SWAHILINATION 2 года назад
Bado tunapambana na ukoloni hata sasa kweli AFRICA inabidi tuungane kulitetea bara letu. SKY nasubiria makala ya babu yetu Nyerere na baba yetu Magufuli RIP
@mbembelatv
@mbembelatv 2 года назад
💙
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 Год назад
Mimi pia
@chamchuuconsult4682
@chamchuuconsult4682 11 месяцев назад
Hawa Wazungu ni makatili sana Mimi Nina wazo mwafrika yoyote atakae onekana ana chembe chembe ya umagharibi auwawe hadharañi apigwe Shoka ya kuchangia Kuni moja tu shingoni tumechoka na vibaraka wa Wazungu
@chamchuuconsult4682
@chamchuuconsult4682 11 месяцев назад
Sisi waafrika tunatakiwa tuwe tayari kwa lolote Wazungu wakiipiga nchi yoyote iliopo African tupigane nao tusiwe wajinga wakaribu safari hii kipiga au kuvifadhili vikundi vya kigaidi vyote ni vya kwao Wala sio waislamu wenye msimamo mkaki ni mipango yao mabeberu
@levienlevismmbenga2415
@levienlevismmbenga2415 2 года назад
Aksant sana kaka skay mungu akusaidiye sanaa kwakusikiya hombi langu
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 2 года назад
Karibu sana
@kutokaughaibuni
@kutokaughaibuni 2 года назад
ur the best bro
@kaizarimalewa490
@kaizarimalewa490 11 месяцев назад
I real appreciate lumumba patrice
@sheilamjune1233
@sheilamjune1233 2 года назад
Oh my God pole sana so sad 😥😥🤔🤔🤔🇰🇪
@christinemangaza6303
@christinemangaza6303 2 года назад
Sky🤗🤗
@joellengoyi1631
@joellengoyi1631 2 года назад
Na wa penda sana SNS 🇨🇩🇫🇮
@africanproudly4004
@africanproudly4004 2 года назад
Na waAfrika wengi wamesahau sadaka zilizotolewa na mashujaa wetu Rest in Power our Hero P. L
@hkmeme5437
@hkmeme5437 2 года назад
Rip magufuli Lumumba wa Tanzania
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 Год назад
Kwakweli na ndio maana damu zao zinatulilia, umasikini haututoki aisee
@hkmeme5437
@hkmeme5437 2 года назад
Next tuletee makala kuuzu Dedan kimathi wa kenya
@mauwapremice7080
@mauwapremice7080 2 года назад
🔥🔥sns🙌🙌
@ndikumanaismail5419
@ndikumanaismail5419 6 месяцев назад
Ndomana Congo kupata Amani sio leo kama wa Congo awaungani pamoja
@mytelecom2019
@mytelecom2019 2 года назад
Sorry imefika mahaala pake , Rest in eternel Peac EPM
@wilondjarama1427
@wilondjarama1427 2 года назад
🙏🙏
@m-blnlabenie3138
@m-blnlabenie3138 2 года назад
😭😭😢😢🙏🙏
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 2 года назад
Dah pamoja #CEOSKY,HUYO NDO ALIKUWA MKOMBOZI WETU WANYONGE... MPAKA SASA DRC NI INCHI TAJIRI SANA ELIMWENGUNI YENYE RAIA MASKINI... SO SAD 😞
@EllyEllyCantiego-ew5np
@EllyEllyCantiego-ew5np Год назад
Kweli
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 года назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
@ndikumanaismail5419
@ndikumanaismail5419 6 месяцев назад
lanaya Lumumba ndoinatafuna wa congomani leo
@dorcaskahwarakaliza8190
@dorcaskahwarakaliza8190 2 года назад
🇨🇩✊🏾💪🏾
@mbembelatv
@mbembelatv 2 года назад
Lumumba ✊🏼
@bizimanaaguero9422
@bizimanaaguero9422 2 года назад
Big up bro unaweza sn n sauti yak iyo
@SuzanaSamson-vc3wu
@SuzanaSamson-vc3wu Месяц назад
Sky napenda kujua wendelezo wa Fito , hari ikoje amekamatwa ama la
@babaluxe8626
@babaluxe8626 2 года назад
Muone Yule mbaya Wake pale pembeni laana mabutu
@joellengoyi1631
@joellengoyi1631 2 года назад
Asante sana SNS na wapenda sana 🇨🇩🇫🇮
@isikesamike
@isikesamike 2 года назад
Wabelgiji alipo Lissu. Kwa story hizi siwezi mpenda mzungu hata kwa chembe ya haladari.
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 2 года назад
The story book 📖 Jamal professor Jamal April.
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 2 года назад
Huku story book imefikaje...nyie ndo masnitch msiotakiwaga
@mbembelatv
@mbembelatv 2 года назад
Hawa ndo wale wale
@juvenusniyomwungere2549
@juvenusniyomwungere2549 6 месяцев назад
Burundi😂
Далее
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
А ВЫ УМЕЕТЕ ПЛАВАТЬ?? #shorts
00:21
Просмотров 1,5 млн
HOW DID SHE DECIDE TO DO THIS?!
00:27
Просмотров 8 млн