Тёмный
No video :(

PD KAMUGISHA AWAFUNDA WANAUME''KILA MMOJA ANYWE MAJI YA KISIMA CHAKE,NYIE NI WATU WAZIMA MNANIELEWA' 

Breez Online Tv
Подписаться 76 тыс.
Просмотров 41 тыс.
50% 1

Mafundisho hayo yalifanyika katika Parokia ya Kijwire Jimbo Katoliki la Bukoba, Siku ya Mt Yosefu mfanyakazi, yaliwakutanisha Wanaume wa Parokia hiyo UWAKA
#BreezOnlineTv​​​​​​​​​​​​​ #PdKamugisha
Breez Online Tv
S.L.P 38655
Dar Es Salaam Tanzania
Phone No: +255 756494796
Barua pepe: izackbreez11@gmail.com
Mitandao Mingine ya Kijamii:
Facebook: breez online Tv
Facebook Link: / breez-online...​
Instagram:Breez Online Tv

Опубликовано:

 

10 май 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 33   
@evodiusfaustine4484
@evodiusfaustine4484 2 года назад
Padri tunashukuru kwa mafundidho mazuri,Mwenyezi Mungu akubariki,
@ReginaKulwa-zp7wp
@ReginaKulwa-zp7wp Месяц назад
Hongera baba, Mungu akubariki.
@pasilisajerono7409
@pasilisajerono7409 3 года назад
OGod strengthen faith of Padre kamugisha to countiue in is mission.
@mankatemba4746
@mankatemba4746 3 года назад
Nabarikiwa Sana na huduma yako baba🙏🙌😘
@petermangia5101
@petermangia5101 Год назад
Amina
@honoratamafala6968
@honoratamafala6968 Год назад
Barikiwa sana Padri.Ila swala la kulinda mwanandoa elezea vizuri ,nasema hivyo kwa sababu tumeona vifo vingi vinavyotokana na kinachoitwa wivu wa mapenzi.ulinzi sio kushika mapanga.Mungu awape wanaume au wanandoa hekima.
@justusndyamukama4808
@justusndyamukama4808 3 года назад
Asante Padre kwa neno.
@jacklinemashenene5976
@jacklinemashenene5976 2 года назад
Barikiwa mtumishi wa Mungu unanivusha kila cku
@armedeuschuwa9014
@armedeuschuwa9014 3 года назад
Ubarikiwe Sana ndugu yangu
@nancychuwa4870
@nancychuwa4870 3 года назад
Mhhh!!!! Wewe hujambo
@philipmassawe7068
@philipmassawe7068 3 года назад
Neema na baraka za mwenyezi Mungu viwe nawe.ilituzidi kupata mafundisho baba
@rusakikamatola7733
@rusakikamatola7733 Год назад
Mungu Akubaliki sanaa
@jellysathanas3741
@jellysathanas3741 2 года назад
Ubarikiwe mnooo
@idrisshamza3311
@idrisshamza3311 3 года назад
Ameen
@josephmutwiri5524
@josephmutwiri5524 3 года назад
Kwa jina la Utatu Mtakatifu Padre Kamugisha utaishi , utaendelea na utaenea .
@leocadiabwire512
@leocadiabwire512 Год назад
Tunabarikiwa sana
@sylvesterjose3286
@sylvesterjose3286 3 года назад
"Eibala libii liita nyinalyo"! Jina baya humwangamiza mwenye jina hilo
@dionisiamaghway453
@dionisiamaghway453 3 года назад
Nahisi kubarikiwa mno na mahubiri yako Baba uzidi kubarikiwa mno kwa kipaji hicho cha pekee
@Ferista-ty4dt
@Ferista-ty4dt Год назад
Tumusifu yesu Kristi baba Asante turipotezana Asante baba mungu akupe miaka 100
@jenipherkyando4822
@jenipherkyando4822 3 года назад
Amina baba
@conradsakaya8712
@conradsakaya8712 3 года назад
Baba ubarikiwe sana
@vincentongoi9106
@vincentongoi9106 3 года назад
Amina 🙏
@conradsakaya8712
@conradsakaya8712 3 года назад
Baba unanibariki kwa mahubiri yako.
@vailethmgula8299
@vailethmgula8299 3 года назад
Waambie baba mwenye masikio na asikie
@demetriajoseph6212
@demetriajoseph6212 3 года назад
Mungu akupe mafunuo zaidi watu tupone na akupe afya njema
@lazaromaganga3359
@lazaromaganga3359 3 года назад
Wapi naweza kupata Audio/DvD zako?
@kaijagenovatus5235
@kaijagenovatus5235 2 года назад
Huyo Kaini wa BkB labda inamaanisha mpini mdogo wa jembe. Omuini/Kaini
@agneshawad4005
@agneshawad4005 2 года назад
Miaka elfu kwako baba .
@trophywilson7211
@trophywilson7211 3 года назад
Yooo
@florakapesa923
@florakapesa923 3 года назад
Wew umemaliza kazi kwao
@jackmasawe3530
@jackmasawe3530 3 года назад
Hongera padre kamgisha
@cyliviambanga196
@cyliviambanga196 3 года назад
Nabarkiwa sana
@theopisterrichard55
@theopisterrichard55 3 года назад
Amina
Далее
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Просмотров 12 млн