Good movie - Huyu mdada amecheza vizur kipengele chake - Huyu malaya mkaka pia amecheza vizur - mjeda bado labda part 2 - washkaji pia wamecheza vizuri Big up sanaaa ❤ Tunaweza Tz Watching from uturuki hapa istanbul( üsküdar )
Kelvin kwa sambusa za nyama jamani 😄😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 napenda sana muv zako ua unanifuraisha sana 😂😂😂 love mingi mingi kutoka kenya ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️👍👍🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Ila mashori wanazingua mtu kashafika ghetto afu unamwelekeza mazingira anakuambua nimekuja kupaona tu,,,!!! Kwangu manzi akiingia kweny 18 zangu ni mwendo wa kibonyeza tu