Тёмный

PENZI LA KIZIWI💞 Love Story | DONTA TV 

Donta Plus
Подписаться 67 тыс.
Просмотров 90 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

27 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 150   
@user-nz7kl1to2y
@user-nz7kl1to2y Месяц назад
Vicky we mwenyewe umevaa suruali ya kunambi ya kulalia tena eti unajifanya roho mbya chefuuu😢
@Gloriarespiki
@Gloriarespiki Месяц назад
😂😂😂😂
@NaomyJohn-hd4bq
@NaomyJohn-hd4bq 25 дней назад
Watu mnamacho ya kufwatilia nguo😂😂😂
@user-qc9xc3ff3e
@user-qc9xc3ff3e Месяц назад
KAZI nzuri❤ lakini mbona mwachelewesha hiyo ya siku moja kabla ya ndoa yangu jamani nimengoja Hadi karibu kukataa tamaa jamani kaka Kevin vipi nangoja tafadhali from 🇰🇪🇰🇪 6:50
@Phoebenafula
@Phoebenafula Месяц назад
Ndo Nashangaa
@RizikiZiki
@RizikiZiki Месяц назад
Kumekuca 🤣 kwa Donta TV 🎉🎉🎉🎉🎉 he lovenesi unatatarika kama daga ziko kwenye mafuta😂😂😂
@user-qn6qx1gh8m
@user-qn6qx1gh8m Месяц назад
Dada vikotoria ungekuwa wew ungeweza
@AnneNiyonyishu-cq8nm
@AnneNiyonyishu-cq8nm Месяц назад
Hata na love kajaribu kbx
@Jerusalem_Meshack
@Jerusalem_Meshack Месяц назад
Loveness safi sana ukigusa watu wenye mahitaji maalum umegusa jamíi kiujumla Mungu akubariki kwa kumjali kiziwi wetu Brown
@TwariqJamilu-jf4bd
@TwariqJamilu-jf4bd Месяц назад
Jaman we viktoriy sikuiz umekuwa mukal siryapend vik wakweny dadawak nawasasaiv nitofaut san
@Prisciealex
@Prisciealex Месяц назад
Victoria master j apa sasa naomba sana mtoe sehemu ya pili,
@IdahKerubo-oh6ix
@IdahKerubo-oh6ix Месяц назад
Leo nimekua WA kwanza kuwatch
@cralajackson8309
@cralajackson8309 Месяц назад
@joycemuenimutua4506
@joycemuenimutua4506 Месяц назад
Kunambi/brown unaweza sana bro keep it up ❤❤ from 🇰🇪
@tobiaschirwa9364
@tobiaschirwa9364 Месяц назад
Kaz zuri wote washilika lakini mbona sister dayana hatumuoni jamani 😢
@irakozeegide5544
@irakozeegide5544 Месяц назад
Da victoria mbona unaloh ya unyama?sijapenda mi muha kutoka kigoma😢😢😢😮😮😮nitakurowa
@PhilipoSulle-zc6rt
@PhilipoSulle-zc6rt Месяц назад
Jamani loveness. Ni mzuri nimempenda bure viki ulikuwa mzuri xax umekuwa na roho mbaya kevin nakuomba umwoe love mtoto mzuri sana mnaendana naye
@Chance348
@Chance348 Месяц назад
Kazi nzuri sanaa kbs🎉🎉🎉
@ka-maina2000
@ka-maina2000 Месяц назад
Leo wa qwanza.....achilieni likes zenu tafdhali.....wtchng from🇰🇪
@user-xr6xk9lb5c
@user-xr6xk9lb5c Месяц назад
Kazi nzuri, Kenya Watching
@Kaske-bleumartin
@Kaske-bleumartin Месяц назад
Mimi nataka kuongea na wewe aaaahaaa😂😂😂😂😂
@user-yq6vr4jo2t
@user-yq6vr4jo2t Месяц назад
Official sadatte loway Seen it From USA Mmh Loveness Heti Ameongea kibubu Daaah umejuw kunifuraish my 😁😁 Love you💋
@FatmaMama-qq7ye
@FatmaMama-qq7ye 22 дня назад
Victoria sikupendi mim unaroho km shetani ,binadamu hawi ivyoo,utakufa utaviacha,mpumbavu wew
@PhilipoSulle-zc6rt
@PhilipoSulle-zc6rt Месяц назад
Vick wa dada wa kazi na wa xax ni tofauti xana rudi ka awali huoondezei na roho mbaya
@SiwemaPori-ns5zv
@SiwemaPori-ns5zv 10 дней назад
Vick sikupendi unaroho mbaya sana waniuzi hilo jiroho lako mbaya sana
@RehemaStannley
@RehemaStannley 12 дней назад
Love kampenda bubu kiziwi subirien kinachofuata
@JanetRiziki-ut2is
@JanetRiziki-ut2is Месяц назад
Kazi nzuri sana ❤❤❤
@FatmaMama-qq7ye
@FatmaMama-qq7ye 22 дня назад
Loveness Mungu akubariki❤❤❤
@ZainabuNoely
@ZainabuNoely Месяц назад
Wa pili naombeni like🤣
@ENOCKTVSHOPSHOP
@ENOCKTVSHOPSHOP Месяц назад
Kula chuma icho
@user-ti3bt2cl8g
@user-ti3bt2cl8g Месяц назад
saf sana
@user-pp3vo8rw5j
@user-pp3vo8rw5j Месяц назад
❤❤❤❤❤much love from saudi kazi njuri sana nawapenda sana
@user-lz8kb9ds8k
@user-lz8kb9ds8k Месяц назад
Wa 4 jamani😂😂😂😂
@AnnoyedClownfish-gj6zk
@AnnoyedClownfish-gj6zk Месяц назад
vick mbona roho mbaya hivo kunambi sialikua mumeo uyo jamaan❤
@MayengDulu
@MayengDulu Месяц назад
Kiziwi kazi poa sana❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@abdallahseif-ns5ug
@abdallahseif-ns5ug Месяц назад
Vick nakuchukia mpaka kiyama Kwa roho Yako mbaya
@MaryPendo-gy4yr
@MaryPendo-gy4yr Месяц назад
Vicky siku izi Una roho mbaya
@AffectionateDinosaur-pn6pw
@AffectionateDinosaur-pn6pw Месяц назад
Jaman mbona sister dayana hatumuoni
@user-uz7cm5wx2e
@user-uz7cm5wx2e Месяц назад
Jamani izo like ni za nn?
@aishalovesesibe
@aishalovesesibe Месяц назад
Vicki unafa zambi kbs mwanadam hapaswi kuwa kuwa ivo ata huruma😳😭😭😭😭
@user-jj4id8vq2d
@user-jj4id8vq2d Месяц назад
Victoria MUNGU anakuona 😢😢
@MonnaPonda
@MonnaPonda Месяц назад
Yaani nyie mnao omba like mnakera like nikama upendo hauombwi acheni ushamba like like nyie ndio waigizaji fyuuuuuuu
@user-qn5qz5fk6p
@user-qn5qz5fk6p 19 дней назад
Mpo kasi sana jaman
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 Месяц назад
Victoria hayo makope hayajakupendeza
@kimabrahamnghambi3737
@kimabrahamnghambi3737 Месяц назад
Daah dad vicy punguz roho mbay kuw na hurum Ata kdog bax 😂😂🎉🎉❤❤❤❤❤❤
@ENOCKTVSHOPSHOP
@ENOCKTVSHOPSHOP Месяц назад
Wapi like za donta TV sijaziona
@cutezyzaa1499
@cutezyzaa1499 Месяц назад
😂😂😂😂nimecheka apo alipopigw brown sina mbavu 😂😂😂
@AshuraAmisi-ey4mj
@AshuraAmisi-ey4mj Месяц назад
Kwa Nini da Vick umekuwa Na roho mbaya ivi sikutaki tena kbs nilikuwa nakupenda sana da Vick kwa ukarimu wako kumbe una roho mbaya sijapenda kWa kweli 😢😢😢
@NaomyJohn-hd4bq
@NaomyJohn-hd4bq 25 дней назад
Nampend kunambi man kila casti anaitendea haki🎉🎉🎉🎉🎉
@paulinekombe3753
@paulinekombe3753 Месяц назад
Kazi nzuri 🎉🎉🎉
@user-mt8lb9wv5p
@user-mt8lb9wv5p Месяц назад
Huyo dada Vick ana roho mbaya kwel Tena sana daa unamfanyia Ivo binadamu kama weew
@maryamsoud2059
@maryamsoud2059 Месяц назад
Vizuri sana vicky kwa kuomba msamaha
@user-se1qc5mx4o
@user-se1qc5mx4o Месяц назад
Hahahahah kunàmbi umenkosha❤❤❤❤ love you
@MagdalenaBajuta
@MagdalenaBajuta Месяц назад
Mmh vick una roho mbaya wewe
@IdahKerubo-oh6ix
@IdahKerubo-oh6ix Месяц назад
🎉🎉🎉
@sophianyambura-ou9kg
@sophianyambura-ou9kg Месяц назад
Loveness hasira hasara,baadaye ukajuta
@EsterNsemwa
@EsterNsemwa Месяц назад
Vick umekuwa na roho ambayo hustahili kuwa hivyo huendan dada
@user-iy7em7mc7z
@user-iy7em7mc7z Месяц назад
😂😂😂 nimeyipenda ❤
@user-Hillaa77
@user-Hillaa77 Месяц назад
Eeh Vicki cjekuzoea hvo♥️
@nicolenyerere
@nicolenyerere Месяц назад
Kuna mijitu inatamani yenyewe ndio ingekua viziwi 😂
@SakinaHassani-xm7ti
@SakinaHassani-xm7ti Месяц назад
Good 👍 brown umeweza 🤣🤣🤣
@AdelaChristopher-iz1ve
@AdelaChristopher-iz1ve Месяц назад
Robo mbaya vick umeinz lini haufanii kabisa
@user-mi9xs9pg7j
@user-mi9xs9pg7j Месяц назад
Like uzipeleke wapi wewe ,fanya yako ndugu
@user-yt1qw8bm9p
@user-yt1qw8bm9p Месяц назад
😂😂😂😂😂😂 walai wewe🤣🤣🤣🤣🤦
@MonnaPonda
@MonnaPonda Месяц назад
Kabisaaa imeongea point wanakera
@user-sz7ks6dr7n
@user-sz7ks6dr7n Месяц назад
Leo wa 6 like kwangu❤
@MonnaPonda
@MonnaPonda Месяц назад
Ulimpa naniakuwekee 😏😏fyuuuu
@Phoebenafula
@Phoebenafula Месяц назад
Hongera sana brown
@user-qc9xc3ff3e
@user-qc9xc3ff3e Месяц назад
Dada victoria hiyo roho ya shetani hata sii mwanadamu jamanii eeehh huna huruma jamani
@WinifridaKisinga
@WinifridaKisinga Месяц назад
Victoria wahehe hawako hivo, longage mwalamwala muyawe 😭
@olivamushi7985
@olivamushi7985 Месяц назад
Dada vick punguza kuongea unachukua mda mrefu kuongeo mnoo kila move unaongea sanaa😂😂😂😂
@user-ec2cj5om7v
@user-ec2cj5om7v Месяц назад
Mumenifurahisha sana❤❤❤❤
@erastopascal
@erastopascal Месяц назад
Get well soon kunambi😢
@halemamoon1782
@halemamoon1782 28 дней назад
We dada ww acha roho mbaya
@MaryMwamkamkamba
@MaryMwamkamkamba Месяц назад
Nimewai kidogo nipe. Like
@user-rl5zb1jc9k
@user-rl5zb1jc9k Месяц назад
Kazi nzuri sana
@Kaske-bleumartin
@Kaske-bleumartin Месяц назад
Nawaombeni kwa mungu amuzidishie
@Kinyua-ye8kk
@Kinyua-ye8kk Месяц назад
Vick Kwa nn unaroho mbaya kiasi hicho Sio sàwa ulivyofanya ata Kwa mungu
@Kashigwavideomedia
@Kashigwavideomedia Месяц назад
Victoria mbona hufanananiiii kuwa na tabia ya hivyo jamani me nimeanza kuchukia
@AthumanJuma-mz5gd
@AthumanJuma-mz5gd Месяц назад
Ipo bomba sana
@user-ck9pt2ct9c
@user-ck9pt2ct9c 27 дней назад
Kbs nimefurah kbs🎉🎉🎉🎉❤❤
@user-nn3mo1kg4q
@user-nn3mo1kg4q Месяц назад
Ila kuongea na bubu ni kazi jaman😂😂😂
@FEIDEYII
@FEIDEYII Месяц назад
Vicky weni shetani kweli
@TantineZuzu
@TantineZuzu Месяц назад
Good job ❤❤
@RehemaStannley
@RehemaStannley 12 дней назад
Kaaa vick unaloho ngum
@doricemwakasengo1167
@doricemwakasengo1167 Месяц назад
Kazi nzuri ila jaman wana donta dayana yupo wap nimemmic
@PhilipoSulle-zc6rt
@PhilipoSulle-zc6rt Месяц назад
Acha roho mbaya vick
@RizikiMtai
@RizikiMtai Месяц назад
Mhmhm saa Viky mbona hivyo
@Patience-tp7ml
@Patience-tp7ml Месяц назад
Dada Victoria mbna umekua na roho kiasi hicho 😢
@mhdmhng6817
@mhdmhng6817 Месяц назад
Umetisha vick
@KidotiJoshua
@KidotiJoshua Месяц назад
Jaman muogope mungu
@user-zk1sc8fi5p
@user-zk1sc8fi5p Месяц назад
Vic hiyo suruale niyako kweli hiyo siniyahuyo bubu brown jamani ama naona mimi pekeyangu😂😂😂😂😂😂
@BashiluBashilubashilu
@BashiluBashilubashilu Месяц назад
Asa like za nini baada kuisapoti move ❤
@user-mt8lb9wv5p
@user-mt8lb9wv5p Месяц назад
inaonekana huyo Vick ata kwenye maisha ya uhalisia anaroho mbaya sana
@AnneNiyonyishu-cq8nm
@AnneNiyonyishu-cq8nm Месяц назад
Huna habari kbx Vicky ni mtu mzuri sana kiroho❤❤
@fido_comedian
@fido_comedian Месяц назад
We vic mbona vibao vya ukweli🥵🥵🥵🥵
@user-cm3gc6cf7k
@user-cm3gc6cf7k Месяц назад
Vicki Kama ingekuwa ni wewe lavu mdogo yako Angekuwa ivyo ungefanyaje? Jibu swali
@user-se1qc5mx4o
@user-se1qc5mx4o Месяц назад
Vicky nawe kichefuchefu 2
@margretmakungu-qi1gd
@margretmakungu-qi1gd Месяц назад
Viktoria roho chafu kama shetani
@user-sq5ih9si6z
@user-sq5ih9si6z Месяц назад
Vicky napenda uigizaji wako
@CastoSilwimba
@CastoSilwimba Месяц назад
🤣🤣😂😂 ila da vicky
@user-gm6sc8qu7e
@user-gm6sc8qu7e Месяц назад
Whauuii❤❤❤❤
@user-mi1kh7vv1c
@user-mi1kh7vv1c Месяц назад
Very nice ❤❤❤❤❤
@hadiaamiri-ig9xm
@hadiaamiri-ig9xm Месяц назад
Ivyo vibao mbona kama vimemkolea
@user-wm9xn9iy4s
@user-wm9xn9iy4s Месяц назад
😂😂😂😂😂vicky umenifurahisha sana Wadhani ni mchezo kuongea na bubu
@Jerusalem_Meshack
@Jerusalem_Meshack Месяц назад
Ni rahisi sana jamani kuongea na bubu na kiziwi kwa sababu me ni mkalimani wa lugha za alama hiyo lugha raha sana donta mmenifurahisha sàna nitawatafutia mashabiki wengi wadau wa lugha ya alama bomba sana. 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MarthaMartha-tz6rl
@MarthaMartha-tz6rl Месяц назад
Kunambi nmependa iyo movie yaani lovenese akili ziko less
@user-pp3vo8rw5j
@user-pp3vo8rw5j Месяц назад
Yan hadi nimetokwa na machozi😢😢😢😢
@rukiahassan7001
@rukiahassan7001 Месяц назад
Vicky siku hizi Kawa mnyama na series zake za ukatili
@AnnaDaudi-ol9gd
@AnnaDaudi-ol9gd Месяц назад
Jmn namwonea huruma kunambi😭😭
@Kaske-bleumartin
@Kaske-bleumartin Месяц назад
Picha zuri sana from merekani
@user-uq6hn4vf3i
@user-uq6hn4vf3i Месяц назад
Mapenzi tu yamtu
Далее
BABA YANGU KIPOFU Full episode/14/ #love
30:06
Просмотров 18 тыс.
Редакция. News: 124-я неделя
52:01
Просмотров 1,9 млн
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
SNAKE BOY | ep 27 | SEASON TWO
35:03
Просмотров 78 тыс.
PENZI LA JINI 💞 Love Story | DONTA TV
20:28
Просмотров 91 тыс.
Kifuu Cha Moto episode 2_vevo tz
22:06
Просмотров 393
MALAYA MGENI 💞 Love Story | DONTA TV
22:35
Просмотров 221 тыс.
PENZI LA DADA WA KAZI 💞 | Love Story
30:06
Просмотров 4,6 млн
BABA KIJACHO | Sehemu Ya Pili
33:29
Просмотров 149 тыс.
UDUDU NI MWINGI
12:39
Просмотров 83 тыс.
Happy 4th of July 😂
0:12
Просмотров 32 млн
Будни в пекарне. Часть 2
0:59
Просмотров 2,2 млн