Тёмный

Penzi la Wolper na Young Killer hoi | Ameeleza walivyoanza mpaka kuachana 

EastAfricaTV
Подписаться 1,1 млн
Просмотров 31 тыс.
50% 1

Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Развлечения

Опубликовано:

 

1 май 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 58   
@enobaboy1161
@enobaboy1161 4 года назад
huwa nashangaa sana wanapo kufananisha na watoto wa juzi ewe ni mkari zaidi ya wao. young killer mwanza mwanza
@katabimazingo1767
@katabimazingo1767 4 года назад
Moja ya marapa boraaa kabisa killer@msodoki haswaaaaaaa
@tedymwandara5480
@tedymwandara5480 4 года назад
Afu mtangazaji unamdharau Young killer jinsi unavyomchukulia hiyo interview.Huyu kijana ni moto
@zachaamasta3298
@zachaamasta3298 4 года назад
#anampinzani noom
@salimthedon
@salimthedon 4 года назад
TedY Mwandara 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@flinchclassic1726
@flinchclassic1726 4 года назад
Aliye relax ni peter msechu tu hatuwezi shirikisha wana wakati vita ni yetu dadadeki killer
@yeyothegreat8277
@yeyothegreat8277 4 года назад
Siku nyingine usiongelee Kabila"ni msukuma" so what?...acha ubishooo mshamba we Tbway
@abisaimuhanji3687
@abisaimuhanji3687 4 года назад
Hiphop style pekee isiyobana pua katika uimbaji safi sana Young killer
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 4 года назад
Kifuatacho n kupambana tu na rushwa😂😂 mamae killer...
@sassboy9360
@sassboy9360 4 года назад
Mpaka unaambiwa uchane sana ujue watu wanapenda michano yko sio mambo yko so shikilia kwenye demand ya shabiki zako
@zeyounhabibty6868
@zeyounhabibty6868 4 года назад
Tbway 360 unahoji au unabifu nae?! Ayo maneno sio poa
@ibrahimukibacha737
@ibrahimukibacha737 4 года назад
Young killer nakukubali sana
@Daniel_Nchoroge
@Daniel_Nchoroge 4 года назад
Naomba kumjua mama mtoto wa Young killer
@salimthedon
@salimthedon 4 года назад
Danny C Nchoroge Mbona🤣🤣🤣
@africanboyamani8640
@africanboyamani8640 4 года назад
Sam misago wapi
@abdallahiddy6704
@abdallahiddy6704 4 года назад
Woooza ,,,mkali goga like ilituende sawa
@laurentmenge644
@laurentmenge644 4 года назад
You're very good man👍👍👍👍👍👍
@homan_nkwama
@homan_nkwama 4 года назад
Cool
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 4 года назад
Rapa anaefanya hip hop isikilizike..bonge la star..
@bobdeomayunga7576
@bobdeomayunga7576 4 года назад
Nakubal mxodok unajua!!
@joelmasweke5044
@joelmasweke5044 4 года назад
Hahaaaa unaebda nakanzu Ber au mwizi kakufia mahakaman
@mohammedaliabdallah5508
@mohammedaliabdallah5508 4 года назад
Hamujui kuhoji kabisaa😕
@mabulakaniga8965
@mabulakaniga8965 4 года назад
mbona video zenu hazina quality nikwamba hamuoni au Hamna cha kufanya video mbovu Sana jalibun kufanya malekebisho
@reubenkissinga5802
@reubenkissinga5802 4 года назад
Na ww jitahidi kurekebisha kiswahili chako,,,jalibu na malekebisho ndio kiswahili cha wapi??kwenye biblia wanasema kabla hujatoa kibanzi kwenye jicho la mwenzako anza kwanza kutoa kibanzi kwenye jicho lako
@godenboy5817
@godenboy5817 4 года назад
Msodoki acha bana we ndo young king wa dunia nzimaaaaaaaaaaaa
@Yardie.
@Yardie. 4 года назад
Killer🔥🐝
@alycom2593
@alycom2593 4 года назад
Hatar sana
@geraldsimwanza3685
@geraldsimwanza3685 4 года назад
Mfalme wa hip hop bongo xio kama hao mayoung wengine bhan halaf uwage una muuliz maxwali ya maana bhana Huyo ndiye anayabeba hip hop
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 4 года назад
Creativity sana msodoki
@mwiguluzabron1414
@mwiguluzabron1414 4 года назад
Msodokii killing
@SIMULIZIZONE
@SIMULIZIZONE 4 года назад
Kama unapenda simulizi za kihistoria Karibu kwenye channel yetu
@malcomadam8399
@malcomadam8399 4 года назад
team zilikuponza
@gracesanga7171
@gracesanga7171 4 года назад
Sawa
@enontemusic4682
@enontemusic4682 4 года назад
g
@jumajay1784
@jumajay1784 4 года назад
Mbona by the way inazungumzwa sana badilisheni kingereza kingine
@rickfares8511
@rickfares8511 4 года назад
Fire
@bashirusalehenandoro3128
@bashirusalehenandoro3128 4 года назад
Msodok the son mpe bit na maik alafu kaa kushoto
@janatahmad7048
@janatahmad7048 4 года назад
young killer kakonda jamani anabakia kwa kizo lasta tuu jamani😁😁😁
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 4 года назад
Ataacha vipi kukonda wakat anaparamia mimama iliyomzidi umri? Wanawake rika lake wapo kibao.Acha akonde abakie macho tu!
@judithchristabella310
@judithchristabella310 4 года назад
nakupenda Sana young killer 😘😘😘😘😘
@beatricejoseph3583
@beatricejoseph3583 4 года назад
Afu uyo d bway m simpend anaswag z kukela cn yn
@joelmasweke5044
@joelmasweke5044 4 года назад
We jamaaa fire juu ya jiwe
@zachaamasta3298
@zachaamasta3298 4 года назад
#jamaa atali uyo
@sadiaabed6687
@sadiaabed6687 4 года назад
Yang killer una miaka mingapi
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 4 года назад
*Hii Shoo Tbway haikufai*
@beatricejoseph3583
@beatricejoseph3583 4 года назад
Umeon ee
@bulamaganga361
@bulamaganga361 4 года назад
bhanae killer anajua
@ndikumanaabdul1397
@ndikumanaabdul1397 4 года назад
Demu gani we mshamba tu
@salim02tv24
@salim02tv24 4 года назад
Rap killer ..
@kibeyoonline7443
@kibeyoonline7443 4 года назад
shuhudia mwenyewe huu upuhuzi wa tiktok bofya hiyo link ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-go5nKQAYfyU.html
@godenboy5817
@godenboy5817 4 года назад
Msodokiiiiiiii
@harmonizeeetz6461
@harmonizeeetz6461 4 года назад
TANASHA AMCHANA DIAMONDPLATINUMZ KISA JUMALOKOLE BOFYA HAPA KUONA bongokicks.blogspot.com/2020/05/tanasha-amtolea-povu-juma-lokole-kisa.html
@kihilabwkanigi5933
@kihilabwkanigi5933 4 года назад
Ww harmonize acha kujipendekeza hufikia kiwango cha Dangote
@kihilabwkanigi5933
@kihilabwkanigi5933 4 года назад
Ww harmonize acha kujipendekeza hufikia kiwango cha Dangote
@kihilabwkanigi5933
@kihilabwkanigi5933 4 года назад
Hujawa msaniii mkubwa ww harmonize, wakushindana na Diamond pambana na size yako kwa diamond amekuzidi umri,pesa,na mziki pamoja nakuiwakilisha tz kimataifa ww baki kuipamba serikali tu labda.
@jovintosssi3287
@jovintosssi3287 4 года назад
@@kihilabwkanigi5933 so yy hyo ni mtu tu anatumia jina la harmonize
Далее
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
Просмотров 46 млн
How to win a argument
9:28
Просмотров 381 тыс.
Заячий Стон - Рот пятничный
0:55
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
0:29
How Many Balloons Does It Take To Fly?
0:18
Просмотров 154 млн