Тёмный

Producer Bob Manecky achezea povu kisa kusema hawezi kufanya kazi na Diamond sababu ni mjuaji sana 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 15 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

30 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 67   
@geoufo2858
@geoufo2858 3 месяца назад
Maana yake awez fanya kaz na watu wenye akili nyingi 😅
@MNHAMAOFICIAL
@MNHAMAOFICIAL 2 месяца назад
Kabisa
@ramayonline2281
@ramayonline2281 3 месяца назад
Diamond Platnumz ni kama maji 😂😂😂😂😂 kwenye tasni ya sanaa Tanzania huezi toboa bila kumzungumzia😅😅😅😅😅
@Khalidniya380
@Khalidniya380 3 месяца назад
Nilikua nataka nipost hii post ila nimeipata kwako sasa sijui niendelee au?
@VexMaizoOfficial
@VexMaizoOfficial 3 месяца назад
🧭🤳​@@Khalidniya380 endelea Bro
@allahisone6386
@allahisone6386 3 месяца назад
​ ENDELEA
@ramayonline2281
@ramayonline2281 3 месяца назад
@@Khalidniya380 😂😂😂😂 endelea blood
@ramayonline2281
@ramayonline2281 3 месяца назад
@@allahisone6386 🤣🤣🤣🤣
@vicentmapunda3146
@vicentmapunda3146 3 месяца назад
We unaambiwa weka hiki... unatak uweke chako unachokitak
@eleven-in5qw
@eleven-in5qw 3 месяца назад
😊😊😊😊😊😊 nimecheka saaana yaani diamond aache kufanya kazi na zombie umwambie cha kufanya
@VexMaizoOfficial
@VexMaizoOfficial 3 месяца назад
🧭🤳 ni vizuri mtu kalipia lazima achaguwe apendacho na alizike kwa alicho chaguwa😂😂😂😂we para tu. From Msumbiji Mozambiki 🇲🇿 PEMBA CariaCo ❤️❤️🧿
@SamsonFundi.J
@SamsonFundi.J 3 месяца назад
Umeongea vizuri mzee, From Nampula Mz
@abrizyog1021
@abrizyog1021 3 месяца назад
Kamwambie mwalimu wa mwanao aanzie topic ya 5 ndio arudi ya pili mipaka ya nafasi ndio heshima na kupata kitu kizuri
@OlgaChirezi-qt1pg
@OlgaChirezi-qt1pg 3 месяца назад
Lazma povu zitolewe sasa kazi yangu ita kubalika kivipi wakati natiaa sound ni mimi utopolo tu acheni
@magrethmagonza186
@magrethmagonza186 3 месяца назад
Alipotea huyo anataka kurudi mjini na hamna wa kukurudisha zaidi ya Diamond. Hamuwezi kukaa bila kumsema huyu kijana mchapakazi Diamond please mumpumzishe hamuoni hata aibu wala vibaya ndio maana mungu anamsaidia sababu yeye hana muda na mtu.
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 3 месяца назад
Tatizo apo mafahar wawili walikutana ndomana walishindwana apo inabidi umsikilize anavyotaka BCS anajua anachotaka hataki kupelekwa kama huna uvumilivu huwez ndio kuwa nae..kwamana iyo daimond anapenda uwe chini yake ukitoa mapembe tu Chali chini
@RamaHRIzmaelov
@RamaHRIzmaelov 3 месяца назад
Ukitaka mafanikio usiache watu wafanye kwa ajili yako(WATAKUANGUSHA MARA NYINGI),,FANYA MWENYEWE....!!
@soundmale
@soundmale 3 месяца назад
Hata mm nikiwa msanii lazima nimuelekeze producer hapo pika turiruliru🎉🎉hauwezi kujikubali mwenyewe2 bila mawazo ya wengine.😂
@aliyumuhammed6054
@aliyumuhammed6054 3 месяца назад
Kwa bahati mbaya yeye ndo anamhitaji Diamond ila Diamond amuitaji 😀
@godsson5954
@godsson5954 3 месяца назад
lazima akuambie maana anataka hits ww producer unataka kumrekodia kama kiba nyimbo zilizopooza kama kwaya
@NgaizaKimbeNgaizakimbe
@NgaizaKimbeNgaizakimbe 3 месяца назад
😁😁😁🙏
@Official-bataboy
@Official-bataboy 3 месяца назад
Hawa tbt nao wanamakasiriko na diamond kweli 😅😅😅
@NgaizaKimbeNgaizakimbe
@NgaizaKimbeNgaizakimbe 3 месяца назад
Na Ndio Maana Anafanikiwa..Sasa Kama Hutaki Kufanya Nae Kaz Kaa Pemben ..Na Kina Cyril😂😂😂
@ramazanitr8541
@ramazanitr8541 3 месяца назад
Bob aweke mbupu chini, hana lolote, yeye na ufundi wake alifikisha wapi mziki wetu, njo maana diamond awajibugi 😏😏😏
@YusufTenge
@YusufTenge 3 месяца назад
Anatafuta kiki huyu mbwa
@lexq-sm6lq
@lexq-sm6lq 3 месяца назад
Yupo makini na kazi yake ndio maana kawa mkubwa na bilionea..
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 3 месяца назад
uyo kaongea ukweli ndomana mnamshambulia....ila kimoyo moyo mnajua...ukifanya kazi na dai ujue wewe ni mshiriki tu mambo hupangwa na yeye...so mbaya ila msikatae ukweli
@NgaizaKimbeNgaizakimbe
@NgaizaKimbeNgaizakimbe 3 месяца назад
😳😳Na Ndio Maana Anafanikiwa As Mbona Kina Zombie Wanafanya Nae😂😂
@linnusaloyce6559
@linnusaloyce6559 3 месяца назад
Mtu mwenyewe sauti tu nzuri kuliko ya mke wangu unaelewa nini sasa kwake akatafute cha kufanya asitafute kuingia mjini kupitia simba na hatuna muda wakuskiza biti zakizamani askize bitu ya zombi
@vicentmapunda3146
@vicentmapunda3146 3 месяца назад
Sasa we una unatak ufnye unachotak wewe
@jut1161
@jut1161 3 месяца назад
Najiuliza kwani nyimbo yanani. Mwenye nyimbo si ajue biti yake imekaaje kaaje au
@NgaizaKimbeNgaizakimbe
@NgaizaKimbeNgaizakimbe 3 месяца назад
@@jut1161 Anafos Kurud Mjin Huyu😁😁😁
@CholoMwamba
@CholoMwamba 3 месяца назад
Uyofala tu maneke ajulikani ndy nani kwani na mondi hanaaja ya kufanya kz na ww paka
@peninashungu6633
@peninashungu6633 3 месяца назад
Ndo maana yupo bora kwakuwa alikuwa anachagua kilicho bora ndo maana saiz wa kimataifa, angekufatisha ww saiz angekuwa anauza matango kama ww
@jakayajuma9867
@jakayajuma9867 3 месяца назад
Ana kichaa uyooo
@dreampachaofficial
@dreampachaofficial 3 месяца назад
Kwani si anakulipa na anataka kazi yake iwe safiii wee unamsikiza chako n nn ww bweya
@NgaizaKimbeNgaizakimbe
@NgaizaKimbeNgaizakimbe 3 месяца назад
Mbona P Funky Alikuwa Anatimua Wasanii Enz Zake..Pale Bamaga..Wasimuharibie "Brand" Umakin Wa Mond Aikuanza Leo Mtu Makin Kaz Makini🚶🚶🚶
@hamisibakari342
@hamisibakari342 3 месяца назад
Me nimemuelewa MANEKE SAAANA,Sasa kama wewe unajua kuproduz si ujipigie mwenyewe.
@DavidJohn-g7z
@DavidJohn-g7z 3 месяца назад
Ni sawa kwann yeye amekuambia anafikiria kufanya kazi na ww jitafute kaka mdomo sio chapaa mshambaa
@linnerphilip4260
@linnerphilip4260 3 месяца назад
Hapo alipo anataman sanaa sanaa kufanya hivyo😂😂 anajifarij tu
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 3 месяца назад
Alishafanya nae 3 kaz😂😂
@NgaizaKimbeNgaizakimbe
@NgaizaKimbeNgaizakimbe 3 месяца назад
😁😁😁
@nichoojr.6747
@nichoojr.6747 3 месяца назад
Mbona kaongea Vizuri Tu tena kamsifia Mond
@hamisibakari342
@hamisibakari342 3 месяца назад
Minazani kilamtu angebaki kwenye ujuziwake msanii angeimba na producer angefanya yake
@NgaizaKimbeNgaizakimbe
@NgaizaKimbeNgaizakimbe 3 месяца назад
Hata AkikuharibiaMbona PFunk Alikuwa Anatimua Wasanii Enzi Zake? Wasimuharibie Brand..🚶🚶
@richkaja3317
@richkaja3317 3 месяца назад
Acha upumbavu huna lolote maneck
@MamboSuper
@MamboSuper 3 месяца назад
mbona munajuzima data aceni music muzuri uwongeye sky homornize n vany boy ndo wana music wanawujuwa music Sasa week yote iliyo Isha ilikuwa mwambino Sasa tunasubiri mu post show ya ureno ya mwambino tuweni wa kweli bado mwambino aceni kumupa sifa zamudomo Sasa mbona hamuja post tunayitaji mu post show nilijuwa hamuwezi ku post duu 😅
@sautikaliitz934
@sautikaliitz934 3 месяца назад
Ukiona hawajaposti wana subilia chupi ya mama Yako 😊😅😅
@Tanafa-j9q
@Tanafa-j9q 3 месяца назад
Tangu lin masikini akawa na akili 😂😂😂
@gb-one6435
@gb-one6435 3 месяца назад
😂
@faucynkrctian6607
@faucynkrctian6607 3 месяца назад
Anaongea kweli ningumu kufanya kazi na msanii kama huyo Nika vile mtu kwenda kwa mamantilie alafu wewe ndio utake kupika badala ya mamantilie Ua unapanda basi alafu unachagulia gia namba gani dereva kuendesha
@NgaizaKimbeNgaizakimbe
@NgaizaKimbeNgaizakimbe 3 месяца назад
😂😂Unateseka Ukiwa Mtaa Gani?😂😂😂😂
@svt3
@svt3 3 месяца назад
Kwani haujuwi unayo haki yakuambia dereva wa daladala apunguze mwendo? Unayo haki ya kuambia dereva wa daladala afuate sheria za barabarani ikiwa ana zi vunja ?
@faucynkrctian6607
@faucynkrctian6607 3 месяца назад
@@svt3 Sijasema dereva ana vunja sheria za barabarani pia ana haki ya kukwambia usipande gari lake kama haufati matakwa yake Point nikwamba kila mtu anayo haki ya kusema na kufanya anacho ona kwake ni sahihi bila kuvunja sheria za nchi wala kumuumiza mtu Na ndicho alicho kifanya uyo producer Sasa kama wewe unafanya kazi na mtu na haupendezwi na kitu anacho kifanya alafu unakaa kimya basi ujue una jisaliti na kujidhilumu nafsi yako.
@othmanibnabdullah
@othmanibnabdullah 3 месяца назад
Tatizo sisi wabongo tuna ushabiki uliyopitiliza sana yaaan yaweza kuwa Bob anaongea ukweli kuhusu Diamond ila sasa hao mashabiki watavyomzonga aliyemsema vibaya Diamond huu ulimbukeni sijui utaisha lini? Kama mtu anazingua inabidi achanwe tuu ila masuala ya kuziba makosa yake hii ijakawa sawa yaaan mara nyingi sana kama kuna habari zinazohusihana na Diamond kama ni mbaya utaona mashabiki watavyoenda kumtetea ili hali kweli kile kitu yeye amefanya lakini kutokana na nguvu ya mashabiki zake basi anaonekana hana hatia
@Khalidniya380
@Khalidniya380 3 месяца назад
Huyo ujuaji ndio umemfanya Diamond akatoboa
@imanimhagama4647
@imanimhagama4647 3 месяца назад
Kumbe naww matako tu
@alkhudhertarek976
@alkhudhertarek976 3 месяца назад
😂😂😂huna ubongo ww
@faucynkrctian6607
@faucynkrctian6607 3 месяца назад
Mashabiki wengi wa Diamond n washamba na walimbukeni wako kama manyumbu wanafuata mkumbo Bob maneke anaelezea alicho experience alipokuwa akifanya kazi na daimond na kwamba hawezi fanyanae tena kazi Nikitu ambacho wasanii na maproducer wengine wanaogopa kuongea juu ya mondi
@othmanibnabdullah
@othmanibnabdullah 3 месяца назад
@@faucynkrctian6607 Bora ulivyonielewa
@DamoG257
@DamoG257 3 месяца назад
Ntucikw nabishash🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-C1N5hEoKDF0.htmlsi=5GuaYLHJcdqZt03g
Далее
#kikakim
00:10
Просмотров 8 млн
# Rural Funny Life Wang Ge
00:18
Просмотров 750 тыс.
#kikakim
00:10
Просмотров 8 млн