Kama Mungu akisema hapana, hakika hakuna yeyote anayeweza kupingana na hilo. Mungu anaweza kukutoa sehemu ambayo wewe binafsi unaweza kushangaa na kamwe usiamini. Cha kufanya ni kumtegemea Mungu pekee kwani hakika hawezi kukuacha.
Nice my brothar 💪💯👏🔥🎶💪💪💪🤛🤛🤛💪💪💪💪................ 🔥🔥🔥🔥🔥🔥✅✅✅ Mybro,, mungu akulinde siku zaako na Nakukubali 💪💯🙏😍🤝🙏🙏🙏..................................................... Yote mwakwetu from Longido