Тёмный

Rada Mpya ya Urusi inayotembea na Kuchukua taarifa Umbali wa Km 150 kutoka katika Ngome ya Adui. 

SAUT DIGITAL
Подписаться 10 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

#SAUTDIGITAL l #HABARI l #RadioSAUTFm l #sautdigitalupdates l #ukrainerussiaconflict

Спорт

Опубликовано:

 

7 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 24   
@fadhilisecha4268
@fadhilisecha4268 11 дней назад
uraaaaaaaa❤❤❤❤
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 14 дней назад
❤❤❤❤❤
@rashidichuri1149
@rashidichuri1149 14 дней назад
hivi huyu anayesena urusi inapigwa naukrain naona hajielewi.vita yaukrain imeisha zamani.hivi nivita vya urusi nato tambueni hilo
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm 14 дней назад
Dhubutu nato baba lao
@ibrahimabdullah1887
@ibrahimabdullah1887 15 дней назад
🎉
@josepheriah5977
@josepheriah5977 13 дней назад
Ishalipuliwa iyo
@Mumewangu
@Mumewangu 15 дней назад
Jamani urusi ni hatari sana. Manake umejificha kumbe chuma anakuagizia huko huko
@hamishatibu699
@hamishatibu699 13 дней назад
Mwenzetu wapo mbili xna hii radar inafanya kazi ya ulinzi kwa kutoa taalifa ya mashambulizi ya Adi ktk vikosi vyake,uwezo wa kubaini tukio niumbali wa klm,150 manake vikosi vya Urusi vitakua salama Musa wote kwa mashambulizi ya kushtukiza
@abuukajembe-to6sd
@abuukajembe-to6sd 15 дней назад
Uuuuraaaaa
@PatrickKagiraneza-ok8cw
@PatrickKagiraneza-ok8cw 15 дней назад
Safi sana.
@kyalokamina6497
@kyalokamina6497 5 дней назад
Urusi inchi yenye nguvu zaidi ulimwengu
@josepheriah5977
@josepheriah5977 13 дней назад
Ukraine akiiona kiama
@josepheriah5977
@josepheriah5977 13 дней назад
Tuta ilpua
@JumaNjiku-df1fd
@JumaNjiku-df1fd 10 дней назад
Utailipua wewe na Nani?! Hii sio timu ya mpira eti wewe ni shabiki unajiweka kwenye utendaji kabisa. NATO wamepeleka silaha wakaziita game changer yaani funga kazi lakini mwishowr wamezirudisha kwa sababu Warusi wanazimaliza. Wewe inaonekana hujui hata unachosema. Hii sio match ya Yanga na Dodoma jiji.
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm 14 дней назад
Anapigana na ukleeni ili apigane na nato mwambie aipige marekani aone moto
@MirajiMbolile
@MirajiMbolile 13 дней назад
Wewe ni kichwa chako kimeangalia nyuma , hivi huoni kama mpaka sasa marekani yuko vitani na urusi ? Au wewe unataka apigane vipi ?
@rashidmaty7824
@rashidmaty7824 13 дней назад
Kichwa chake ni kibovu mnoo
@user-ty9yg8fg9g
@user-ty9yg8fg9g 12 дней назад
Pengine huyo ni mtoto wa darasa la nne amechukuwa simu ya dada yake na kuandika comment Hajui kama hii vita urusi anapigana na nato pamoja na kiranja marekani ukreni ni kama uwanja wa Mpira Hivi hata haya mamisaada yote bado husomi picha kwamba urusi anapigana na na nani???
@yosefamlumbe7044
@yosefamlumbe7044 14 дней назад
alikuwa wapi toka mwanzo uongo mwingi vita imekushinda Kila siku unabondwa niaibu kujiita Taifa kubwa halafu unapigwa na taifa dogo Kama ukreini SASA us utaiwezea wapi
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 14 дней назад
Marekani mashoga Ukraine mashoga ww shoga choko ww 🖕
@clementsabuni75
@clementsabuni75 14 дней назад
Wewe fala kweli kama angekuwa ni Ukraine mwenyewe anapigana na urusi ungekuta vita vimeisha siku nyingi lkn taifa moja linapigana na mataifa 30 wapi na wapi kuweni na akili nyie mashabiki wa mashoga.
@clementsabuni75
@clementsabuni75 14 дней назад
Nato wanapigana na urusi wakitumia jina la Ukraine ili tuu kuidhalilisha urusi ionekane si lolote na nyie mashabiki machoko msiokuwa na ufahamu mnapumbazwa akili na hawa wafiraji.
@fadhilisecha4268
@fadhilisecha4268 11 дней назад
una akiliq fupi sana. yani mpaka leo akili yako inaamini kuwa urusi anapigana na Ukraine tu? Innalillah wainna lilah Rajiuun
@jullostephen9090
@jullostephen9090 День назад
Uko sure ulipata chanjo ya polio kwa hii akili yenye uko nayo
Далее
Back to the Moon - Part 2 | VOANews
55:34
Просмотров 4,3 тыс.
Maradona
0:31
Просмотров 8 млн
Yamal & Williams 😍
0:26
Просмотров 11 млн
Yamal & Williams 😍
0:26
Просмотров 11 млн
100% Smooth Passes 🤯
0:35
Просмотров 1,3 млн