Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akiweka Jiwe la Msingi Shule Ujenzi wa Shule ya Wasichana Mkoa Rukwa kijiji cha Mtindilo Laela na Kuwasalimia Wanafunzi ikiwa ni sehemu ya Ziara yake Mkoani Rukwa leo tarehe 17 Julai, 2024.
26 авг 2024