Тёмный
No video :(

"Namtimua leo leo" Rais SAMIA achukizwa na jambo hili, Papo Hapo AMTUMBUA DC, amuagiza haya kwa RC 

Habari Digital
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 372 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 авг 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 674   
@godlovemsuya8477
@godlovemsuya8477 2 дня назад
Nakushukuru sana Mama Samia kuyasema hayo ya kero zetu, hakia ya Mungu viongozi waliopo chini niwa nafiki,nikusifia tu, haiwezekani chini ya mbingu kila kitu hakiwezekani kufikia 💯 done. Kuna matatizo chungu nzima huku chini, wananchi hatujui ni kiongozi gani aahihi wakumpa hizi kero zetu. Yani kama ulivyosema kuna system zakuwakandamiza au kuwaibia wananchi kodi zao. Kuna vilio vingi ambavyo inatakiwa kujiandaa kupambana navyo.Ni vita Kubwa nakuambia Mheshimiwa Rais.Hawa wanaokusifia tuuuuuu wana lao jambo.Kweli yapo mazuri uliyofanya, unastahili kusifiwa ingawa sio wewe mwenyewe ulifanya.
@user-ug8gg6fg5f
@user-ug8gg6fg5f 11 месяцев назад
Mama unakosea unawabembeleza wezi. Unakosea Sana mama
@mkude
@mkude 11 месяцев назад
Nani kakuambia anawambembeleza,akiwakamata anawatimua
@simonhalfani-bh9ur
@simonhalfani-bh9ur 11 месяцев назад
Anawabembeleza sana aiseee,hawa watamsumbua sana,serikalini siyo sehemu ya kubembeleza
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 11 месяцев назад
Hawabembelezi huyu Rais yuko diplomacy. Anajuwa nini anacho kizungumza. Tusimhukumu tunavyo taka sisi.
@Worldunite
@Worldunite 11 месяцев назад
Dawa ni kuwatumbua na sio kuwakanya aisee
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 11 месяцев назад
​@@awatifalghanim1106diplomatic kwa nchi hizi za Africa will get u dead. Mnafikia diplomatic baada ya kuwa na utaratibu imara
@mohamedmohamud9691
@mohamedmohamud9691 12 дней назад
I salute you Madam President. You deserve utmost respect because you are one of the most charismatic leaders of Africa.
@josephudoba5563
@josephudoba5563 11 месяцев назад
Asante raisi ila wewe ni mpole sana tunataka tukuamini ila kitu kimoja tu mama uwe makini na watumishi wako pengine unapoona mabango ya kukupongeza achana nayo pengine unapopongezwa mamluki wametumwa pengine jambo hilohilo unalopongezwa kulifanya linakua halijafanyika wanakupongeza Ili kukuziba macho hivyo nakushauri uachane na pongezi pokea na malalamiko kama unavyopokea pongezi utajua pabovu
@robsonlotyloy5678
@robsonlotyloy5678 11 месяцев назад
Kwa hili,do' sikupingi mama. Gonga nyundo. ❤
@neemakingdom4816
@neemakingdom4816 11 месяцев назад
HAWA HARIMASHAURI NI WAIZI SANA SISI WANAICHI TUNABANWA KULIPA UTITIRI WA KODI NI SHIDA MAMA
@victorjames3730
@victorjames3730 11 месяцев назад
Kero ingine ni bandari zetu sikiliza hizo kelele pia?
@SuwediYusufu
@SuwediYusufu 11 месяцев назад
Upole na tanzania vitu viwili tofauti
@salimkhamis3638
@salimkhamis3638 11 месяцев назад
Mama hii ni system ambayo CCM waliitengeneza. Ni sawa na kofi la kujipiga hamtakiwi kulia
@peterbangari4273
@peterbangari4273 11 месяцев назад
Samia rais wetu sisi Wana nchi tunzidi kukugundua kuwa huna Nia njema na nchi hii kwa maneno yako haya Yani tatizo unaliona halafu eti unataka lipoti niyanini kama huwezi kuchukuwa maamuzi ya hao wezi unatudanganya kwa kutulagai mbona huchukuwi hatua kwa hao wezi?
@FredyLazaro-us5mu
@FredyLazaro-us5mu 4 дня назад
😅😅😅😅😅
@gorgorabokor7509
@gorgorabokor7509 11 месяцев назад
Mashallah ,mama sifa zote za kiongozi Bora unazo ,kuwapa nasaha ,kuwaadabisha, ,kufatilia,na kutoa maamuzi sahihi , mashallah nakuombea dua njema ,afya njema ,ibada endelevu ,umri mrefu wenyewe ibada na mwisho mwema.
@gabrielmwikanu1160
@gabrielmwikanu1160 11 месяцев назад
Wanakudharau Mama kwa sababu unawalea. Matukio ya wizi wa fedha huchukui hatua mfano ripoti ya CAG inayowahusu hata Mahakama mbona kimya ? Ripoti ulikabidhiwa ya hayo madudu, Watu wanakosa imani na wewe kwa sababu huchukui hatua kwa wakati na wananchi wakajulishwa. Ndo maana watu wanasema hii ndo Tanzania yetu kiunyonge, rohoni tunaumia.
@JayjayNgare
@JayjayNgare 11 месяцев назад
Mama yy atumbua ma DC na rc daily lkn mawaziri wezi walao mabilion utamskia akiongelea we ss akil kichwan wetu😢
@mkude
@mkude 11 месяцев назад
Tutajie Kwa ushahidi waziri gani sasa aliekula mabilioni
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr Месяц назад
Uwoo wizi unamashirikiano ya taasisi nyingi
@user-nw1io4cz5u
@user-nw1io4cz5u Месяц назад
Ukitajiwa majina unataka kuchukua hatua gan??​@@mkude
@monicamwita7865
@monicamwita7865 2 дня назад
Kweli kabisa. Mawaziri baadhi yao ni tatizo
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 11 месяцев назад
Mama mm mwanao nakupenda sn lkn namna unavyo ongea na viongoz wanao kwenda tofaut na muongozo wa Nchi una fanya nimkumbuke Magufur,nimesikiliza hutba yko ila nilivyo fika kwenye wafungaj na watu walio nyanganywa aridh yao nineumia sn namna ulivyo hitimisha hlo, yaan umesha jua waz hawakutendewa haki kwa sababu hawana kipato ww km mkuu wa Nchi na mtetez wa wanyonge unashindwa kutoa tamko la wao kupata haki yao et unamuagiza mkuu wa Mkoa wkt unajua waz na yy ni miongon mwa walio wazulum,hapo ndio utaona umuhim wa baba yetu Magufur 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@omanoman-ir1ez
@omanoman-ir1ez 11 месяцев назад
hahahahaa kweli kabisa mama ni mama tu hawezi kuwa kama baba mama yako amefeli
@gloryarnanidaud8748
@gloryarnanidaud8748 11 месяцев назад
Aseme wakati mpango mzima anaujua hiyo ni vunga TU.
@jackisonmlaari4556
@jackisonmlaari4556 11 месяцев назад
Utatoka 2 2025 c ni kesko
@Ibnimohd-tr6qc
@Ibnimohd-tr6qc 11 месяцев назад
Kila zama na nabii wke zam ya mama wa Taifa
@simontamba2189
@simontamba2189 11 месяцев назад
You make me cry
@meshackmayenga969
@meshackmayenga969 11 месяцев назад
Moja ya maeneo ambayo yanarudisha maendeleo ya nchi yetu kwasasa ni ulaji mkubwa wa hela ya serkali.Hili nidoakubwa kwakweli.Kwa vile sasa mama umeanza kuyaona kuyafuatilia naona mbele majizi yataanza kuogopa.Hongera sana mama yetu.Tupopamoja nawewe mama.
@KhamisHaji-fd5lw
@KhamisHaji-fd5lw 10 дней назад
Ahsante mama samia ipo cku inshllhu watakuelewa 2!
@patrickjohn4086
@patrickjohn4086 11 месяцев назад
Mama Samia i will blame you, umeamua kuwaachia. I miss magufuli
@Ibnimohd-tr6qc
@Ibnimohd-tr6qc 11 месяцев назад
Following Magu
@festokemibala5832
@festokemibala5832 11 месяцев назад
Kama umewabaini waondoe katika ofisi walizopo, mtaani soko liko saturated watu wanatafuta wapi pa kuonyeshaea umahili na weledi wao katika kuhudumia umma.
@albertbunyinyiga7581
@albertbunyinyiga7581 11 месяцев назад
Shida kubwa umerudisha wezi watumbue
@karimmunis8302
@karimmunis8302 11 месяцев назад
Leo ndo unajua wamekuweka hapo , hii tabia ya kùpuuza kero za watu wamekoi kutoka kwko
@gabrielmarcel3776
@gabrielmarcel3776 11 месяцев назад
Tatizo mama unaongea kuliko kutekeleza, unabembeleza watu wanaokula mali za nchi😢
@judyngowi391
@judyngowi391 11 месяцев назад
Yanaishia hapohapo
@user-cj1ft4mw2l
@user-cj1ft4mw2l 11 месяцев назад
HUYU MAMA ANAONGOZA HII NCHI KIMWINYI SANA NA KIZANZIBA, NCHI IMESHAMSHINDA HII
@khamismwadini2169
@khamismwadini2169 11 месяцев назад
Umwinyi huo huo Leo ndio unakufanya ujambe
@David-if6nk
@David-if6nk 24 дня назад
​@@khamismwadini2169Aawapi
@richardgaya3965
@richardgaya3965 9 дней назад
Interesting to note that seems to be talking about the state of affairs in Kenya!!!!!!
@EliatoshaLema-rw5hm
@EliatoshaLema-rw5hm 11 месяцев назад
Leo umenifurahisha sana mama yetu .hiyo fuatilia wapo wengi
@SangioNgoo
@SangioNgoo 11 месяцев назад
Atafuatilia wangapi na nchi ni kubwa? Bila kubadilisha mfumo ni bure! Kuna mtu alikuwa anatumbua kama Magufuli? Mbona hakuwamalizika? Mnakuwa warahisi sana kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa!
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 11 месяцев назад
​@@SangioNgoomfumo yeye samia ndio kaubadilisha adi sheria kazibadilisha alivoingia tu kama huamin kasikilize hutuba zake za mwanzo alivo apishwa tu akasema kuna sheria ziliwekwa kubana watumishi wa umma na kubana wawekezaji ambao ndio hao wawekezaji wizi akasema anazifuta hizo sheria na mfumo wa mtangulizi wake sasa we ulitaka mfumo gani wakat wanabadilisha kwa masirahi yao awam hii wizi umezidi mfumo wa jpm ulikua mzur wizi walibaki kidogo sana waishe sema wakamkata uhai wake ila mifumo inabadilishwa na ndio kilicho fanyika sasa huyu anaongea. tu ila udhibiti wa wizi hana ye mwenyewe anaiba ndio maana anakwambia nanyie mle urefu wa kamba zenu kwahiyo mfumo unabadilishwa ndugu
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 11 месяцев назад
@@SangioNgoo kweli maneno yako ndio mgawanyo wa madaraka..!
@ahmedissa7882
@ahmedissa7882 11 месяцев назад
Kila la kheri Mama
@daudykasherente8667
@daudykasherente8667 11 месяцев назад
​@@SangioNgootru
@husseinmpuruti1372
@husseinmpuruti1372 11 месяцев назад
mama mama mtu amebainika ameharibu rushwa au wizi mbona unawaacha kama vile zamani mtumishi kibaha Dareslaam eti adhabu yake anahamishiwa mwaza mama hivyo tumbua ili iwe fundisho kwa watumishi wako ukiwaacha wanakuchukulia powa tu eti mama ni mpole tumbua mama usiwaache
@hajihassan5433
@hajihassan5433 11 месяцев назад
Kuupiga mwingi maana yake huo wizi mama! Awamu yako inatisha na hutafika mbali ukiwabembeleza hivyo.
@AsanteRashidi-w7f
@AsanteRashidi-w7f 6 часов назад
Fanya kazi mama,hao wezi timua
@subiramwaka9792
@subiramwaka9792 11 месяцев назад
Mwisho wa siku mwananchi ndie anae teseka. Makato na maendelea pia yanacheleshwa. Hongera mama leo umeongea mule mule.
@magrethmeela154
@magrethmeela154 11 месяцев назад
Mama ni mzalendo hapendi dhuluma hapendi rushwa hapendi wabadhilifu hongera mazaaa❤
@thomasmnally8793
@thomasmnally8793 12 дней назад
Mheshimiwa Raisi mama Samia, tunamwomba mheshimiwa Makonda usimwache azeekee Arusha tu, mpeleke mkoa wa Lindi,na ukimwamishia mkoa wa Lindi majibu utayapata na yatakuchukiza,na utaliafiki hili tunaliomba wana Lindi.Natanguliza shukrani
@amadeokinyekile8804
@amadeokinyekile8804 11 месяцев назад
Asanteee sana mheshimiwa Rais dokt Samia kwa kusimamia vizr seriiali
@geofreydamas1697
@geofreydamas1697 11 месяцев назад
Toa oder don't complain these people of ccm wanafanya kazi kwa mazoea
@charles-lc4pp
@charles-lc4pp 10 дней назад
mama samia allah/mungu akulindesana manenoyako niyahekima sama wateule wabadilike wachape kazi.
@user-rs4vz2vt9z
@user-rs4vz2vt9z 11 месяцев назад
Sasa semina kashiriki itakuaje?,au hawalipwi hapo?.kweli unaweza kufa nimeona huruma.
@EliasEmmanuel-kw8wi
@EliasEmmanuel-kw8wi 11 месяцев назад
Si ndio hao wanaokusifia unaupiga mwingi, acha kazi iendelee mamaaaaa..
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 11 месяцев назад
nayeye akijisifu kuwa anachawa wake ndio hao
@sulemanmndeme8961
@sulemanmndeme8961 11 месяцев назад
Km anafanya kazi ana wajibu wa kusifiwa. Wizi ni sifa ya mtu. Dawa yao ni kutumbua.
@allanmbilinyi4826
@allanmbilinyi4826 11 месяцев назад
KAMA HUTAKUWA MKALI NCHI ITAKUSHINDA UWE MKALI PESA UNAKOPA MAJIZI YANACHUKUA.. KINASEHEMU ZILITOWA ML 130 KWA AJILI YA DARAJA MKARARASI ANALALAMIKA AMEPATA ML75 TU DARAJA CHINI YA KIWANGO PIA HAIJAISHA...UWE .KALI MAMA.
@shebitaufik4607
@shebitaufik4607 11 месяцев назад
Kwa sasa mkurugenzi kawa waziri na waziri kawa raisi wakuu wa wilaya ndo usiseme mama yupo vizuri ila watendaji wake daa mungu atusaidie.tuu kwa kweli.
@user-ex9sd8wm4l
@user-ex9sd8wm4l Месяц назад
Mama niteuwe hata mimi niwemkuu wawilaya nitaweza cyo kama hao walafi wanakula hawakumbuki hata wenzao kama wapo😊😢😢😢
@timboxlee919
@timboxlee919 11 месяцев назад
Mhhh si kweli, mbona huwatumbui wakurungezi na mawaziri wako wakula hela,na miradi inasuasua
@RewardMmbaga
@RewardMmbaga 11 месяцев назад
Mama nimekusikiliza nimekuelewa sana,ombi kwa wana Mbarali tunaomba uturudishie arizi yetu
@hamisihemedi1099
@hamisihemedi1099 11 месяцев назад
M a ma asante.sana mungu akuhifadhi wako wengi.wakuatumbua nakuwafukuza.kamahuyohuyoo
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 11 месяцев назад
Ooooh my god. WATUUUUU jamaniiiii khaaaa😢😢😢😢
@nzarekimoshi2251
@nzarekimoshi2251 11 месяцев назад
Hio system ni CCM mama usijifanye hujui hakuna jipya hapo ndo zenu hizo CCM
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 11 месяцев назад
Sana tu kaka
@elyotchisanga138
@elyotchisanga138 11 месяцев назад
Anza na Tulia Aksoni atimuliwe yeye ndie mwangalizi na mwakilishi
@user-zg4uf2sh6x
@user-zg4uf2sh6x 10 месяцев назад
Hongera mkuu kazi unaenda poa. Viongozi matatizo tusafishie mama
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 11 месяцев назад
Overhaul the whole Mbeya government system kama kweli uko serious. Usirudie kosa kuhusiana taarifa ya CAG last year ulipofikia hatua ya kuwatukana wezi wa fedha za Serikali, ... Shenzi kabisa, ... Ajabu hukuchukuwa hatua yoyote hadi leo. Hapo ndipo mnawapa nafasi Chadema kuwapiga mawe.
@omaryluhanga9387
@omaryluhanga9387 11 месяцев назад
Asante Kwa kuliona hilo
@patrickjohn4086
@patrickjohn4086 11 месяцев назад
Mama kama ndio namna ya kukemea watumishi waizi basi hakuna nchi
@hajihassan5433
@hajihassan5433 11 месяцев назад
Very true!
@mkude
@mkude 11 месяцев назад
Unataka akemee vipi au unataka atukane,
@hamisisonga9342
@hamisisonga9342 11 месяцев назад
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂
@Worldunite
@Worldunite 11 месяцев назад
Mama ungewaondoa hao wapigaji, umewasamehe? ina maana hiyo pesa iliyokusanywa kwa udanganyifu jee? Naomba utumbue wote hao vinginevyo huu mchezo hautaisha aisee, naomba uwe mkali sana usikanye wewe ondoa tu watendaji wasiokuwa waaminifu 7:38
@FredyLazaro-us5mu
@FredyLazaro-us5mu 4 дня назад
Ukitaka kujua ssi waogaga nikama hapa hapo alipoona jee huko kwamawaziri ndoo matrioni watu hawaogopi ukama angeibuka kwa kustukiza mbona mungu ange mpa cheo mbinguni make sio hapa duniani tena sema. Nini uoga kama mwendo Kasi ukipitia huko Kuna Tikt za watu huko
@EliyaMwaipopo-hf6nq
@EliyaMwaipopo-hf6nq 11 месяцев назад
Mama umekua mpolesana nandiomana nchi iinachezewa takukulu mbeya niwala lushwa ukipeleka tatizo umepeleka ulaji wachukuliweatua
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 11 месяцев назад
RAISI ACHANA TABIA YA UPOLE KUPITA KIASI! HAO WOTE WAONDOKE WAENDE KWA MAMA ZAO!!
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 11 месяцев назад
😂😂😂😂
@khlafanmwassa
@khlafanmwassa 11 месяцев назад
Huu sio upole isipokuwa yeye mwenyewe ni tatizo
@amaniabdi9755
@amaniabdi9755 11 месяцев назад
Wewe ndo tatizo unataka akamatekamate tu bila ushaidi
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 11 месяцев назад
​@@amaniabdi9755Kama wewe ni muislam na unaandika haya basi ni musibaaa kweli
@khalfanikaabuka
@khalfanikaabuka Месяц назад
Kazi inafanyika nyamagana Mwanza Mkuu Wa wilaya kila baada ya mwezi miwili makilagi anapita kuwasikiliza wana nchi ongela yake
@jumbeojaso5767
@jumbeojaso5767 11 месяцев назад
Suluhisho ni katiba mpya, na maoni ya wananchi, wakuu wa mikoa (magavana) wachaguliwe na wananchi, na asipofanya vema anapigwa chini kwa kura au kushtakiwa ( impeached). Kila.mtu atafanya kazi kwani haiwi kazi ya hisani ya rais,urafiki na kubembelezana kama sasa, Kila Miaka 5 anarudi kuomba kura na umma unaamua aendelee,au wanachagua mwingine wanayemtaka.
@PauloMhagama-ld8xq
@PauloMhagama-ld8xq 15 дней назад
Dr Samia nakuomba atakaye shikwa Kwa rushwa afilisiwe au,apigwe risasi kwani hawaitakii mema Tanzania.kazi iendelee.🇹🇿👍🌹🌹🌷🌺🌸Bongo iwe kama Beinjin.
@user-jw9no5jx5p
@user-jw9no5jx5p 11 месяцев назад
Bravo Mama,keep it up, Mungu akubariki sana
@MaulidAbdalla
@MaulidAbdalla 11 дней назад
Hongera mama umeongea maneno mazima mungu akuzidishie
@user-ev9yp5zc4m
@user-ev9yp5zc4m 15 дней назад
Nakuombea Kwa MUNGU Mama kuongoza ni kazi MUNGU akufanikishe....Unaweza
@Fundi12345
@Fundi12345 11 месяцев назад
Mama huo ndo wizi wa tz kufanya tepng ndo zao hao piga chin usilembe mwandiko mswahili humuwezi tunaumia sana Hali mbaya sanaaaaa
@abuukarata9653
@abuukarata9653 11 месяцев назад
Hao ndio wa bara bwana
@mgazamadigamadiga-sg5cd
@mgazamadigamadiga-sg5cd 11 месяцев назад
Mungu awape maisha maled dunian na akher
@oskamsafiri2814
@oskamsafiri2814 11 месяцев назад
Unakuwa mpole mno, kwanza ilitakiwa uwe umewasimamisha then yafate.majitu hayo ndio yanatutesa na kutunyanyasa wananchi
@charles-lc4pp
@charles-lc4pp 10 дней назад
mamapole sana watuwanapewakazi wakusaidie pole mama nakuomba kuwamkali
@gracemima5234
@gracemima5234 11 месяцев назад
Mama uongozi umekushinda. Watanzania wanafhulumiwa na watu wachache . Lugha yako hafifu. Chukuwa hatua
@drallan6879
@drallan6879 11 месяцев назад
polite advice achana na issue ya DP world inakuchafua our dear president nchi inagawanyika
@mkude
@mkude 11 месяцев назад
Hapana DPW ni muhimu kuja kuwekeza katika bandari yetu Kwa maslahi ya taifa letu
@kisokimhagama9526
@kisokimhagama9526 11 месяцев назад
Asante sana Mama chapkazi.
@victorcephas3618
@victorcephas3618 11 месяцев назад
Tumbua hao wote ni mtandao huo wa ulaji wa fedha zetu sisi wananchi
@user-gc1ez1yv4k
@user-gc1ez1yv4k 11 месяцев назад
Kwa kauli hizi,mambo yatakuwa magumu zaidi,ulemba mbele ya majambazi.Mimi naiona 2025 mbele.Sijui Kama kutakalika.Wenzetu huko Zanzibar najua mko Waungwana.Haya yalitukuta kwa Mwinyi.Nchi ilidorora.Hotuba tamu tamu za nini !!
@ottumachachary8925
@ottumachachary8925 11 месяцев назад
😂😂😂 ulemba mbele ya jambazi..
@user-gp5wx1ev9f
@user-gp5wx1ev9f Месяц назад
Mama Dr Samia Suluhu Hassan Mungu akupe nguvu utekeleze azima na ilani ya Chama kwa wananchi. Na watendaji na maofisaa wanaoporw pesa waende nyumbani.
@AliMazur-o8m
@AliMazur-o8m 19 дней назад
Asante mama kwa hotuba nzuri uko sahihi kabisa mama yetu
@CharlesMasese-cp3oe
@CharlesMasese-cp3oe 11 месяцев назад
Nafikiria baadhi ya mawaziri nao ufuatiliaji uwepo,channel ni KUBWA mno
@wanainchitvrdc6705
@wanainchitvrdc6705 11 месяцев назад
Uyu mama sijui ni kiongozi wa aina gani . Yeye kila siku kazi yake kulalamika kuliko kutoa majawabu na way forward. Kwa kifupi kazi ya uraisi haiwezi .
@agastokissatu2667
@agastokissatu2667 11 месяцев назад
...... Tumsifu Yesu kristo,Leo angalau nimekuelewa kidogo mama,gap ni kubwa mnoo kati ya watawala na maskini,chunguza sana maafisa elimu,kila sehemu ni rushwa tuu
@ElishaMtakii
@ElishaMtakii 14 дней назад
Mama namukubali kwao kuchapa kazi hongeraa
@malupex6299
@malupex6299 11 месяцев назад
Mh. upo sahihi kabisa
@NixonJohnson-r4m
@NixonJohnson-r4m 27 дней назад
Hawa waswahili na kuongoza nchi jamani hawajawahi kuweza jamani ... msikieni tu ...tujitahidini... mwizi unampa kauli hiyo
@paulrwechungura4284
@paulrwechungura4284 11 месяцев назад
Upo vizuri mh Rais kwa kusimamia Taifa letu,unaonesha uzalendo wako kwa Taifa lililosimamia, .Binafsi nakupongeza sana kwa maendeleo tunayayona,,
@NixonJohnson-r4m
@NixonJohnson-r4m 27 дней назад
Nini kizuri umekiona wewe wakati yy analalamika
@ramadhanisalum2271
@ramadhanisalum2271 11 месяцев назад
Mama hongera xnaa, but punguza upolee penye ukali fanya kweli unaachaje watu 700 wanateseka kwa ajili ya manufaa ya mtu na familiya yake! Ni bora wafe 20 wapone 200 coz katik hao watapatikana wazur watao lipizia hao wapumbavu wanaoharibu then unatukanwa wew kuw nchi waendesha vby coz yao, wape adabu wanayostahik kwa uadilifu, ahsante Allah akuongoze pale penye mapunguf yako:
@deborahmgedzi632
@deborahmgedzi632 11 месяцев назад
Mungu Baba Mwenyezi tuokoa Wanyonge.
@clarencelazaro9600
@clarencelazaro9600 11 месяцев назад
Yaani mama unachofanya ni k.m mbwa anayebweka harafu hang'ati
@victoriamazula5592
@victoriamazula5592 14 дней назад
Unawa1bem1beleleza sana. 1 ni hatua straight away. Hii nendeni nendeni haifai
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 11 месяцев назад
SIJAWAHI KUSIKIA KIONGOZI MKUBWA ANASEMA KWAMBA ATAENDA KUULIZWA NA MUNGU JUU YA UONGOZI WAKE ,MUNGU AKUTANGULIE MH RAIS TUNAKUPENDAAAAAA❤❤❤❤
@jamesmwita2995
@jamesmwita2995 Месяц назад
Mama hao wezi wote unawatambua kwanini usiwatumbue na wazirudishe pesa zote,,,acha kuwabembeleza wezi wanalirudisha nyuma taifa na unazidi kutengeneza mtandao mkubwa wa wezi na mwishowe watakujakukushinfa
@mohameddossa7642
@mohameddossa7642 13 дней назад
Siku hizi MAMA w 3:41 atu wanakula kwa kushirikiana wote uliowataja wanakula kwa pamoja. Wanagawana na kila mmoja anapelekewa Mgao wake ndiyo maana wanajifanya hawaoni.
@user-ou1ls6oj2f
@user-ou1ls6oj2f Месяц назад
Mimi napendekeza kina mama wapewe nafasi zaidi kuliko mababa jamani hao wanakutoboa jicho ukiwa umesimama mh rais angalia upya uteuzi wako na ulete katiba mpya ya wanainchi ili kazi yako iwe raisi
@marijanimohamed8875
@marijanimohamed8875 11 месяцев назад
MIMI KILICHO NIACHA HOI WALIO TENGENEZA MTANDO WA WIZI WAPO ILA ALIYE PELEKA MAJI UPANDE MMOJA AMEFUKUZWA LAKINI WALIO TAJWA WAPO MKUU WA MKOA MKUU WA WILAYA DASI SIMTETEI ILA HAKI YULE ALIKUWA WA KUONYWA KISA KADI, ZA CHA ILA HILO LA MBEYA AAA TUME KWAKWELI HAKI HAPA DUUUUU ALLAH MWENYEWE ANAJUA
@zakarialuhemeja4179
@zakarialuhemeja4179 11 месяцев назад
Ikiwa huko chini Kuko hivyo na yule wa juu kabisa hapo mbeya mchungulie
@joycejackson2320
@joycejackson2320 11 месяцев назад
Zitarudishwa sana hizo kadi!! muigeni ngombare Mwiru yy hashiki kitabu chochote wakati anaapa anasema hana dini!! anajua vzr akiapa kinachofanyika ni kinyume anaogopa Moto wa ahera! ila mnamuona mjinga!! huyo ndio mjanja kuliko woteee!!!
@MoudyKisengo
@MoudyKisengo Месяц назад
Mama apo unaongea ila kuna mijitu aikusikiliz kabisa yan,,inwaza kukuangusha tu yan daaah
@ibrahimabdullah1887
@ibrahimabdullah1887 11 месяцев назад
Wamwagie maji yamoto mama waskuzarau hao maboyezangu some tai fanya kama filim piga mtu chuma chakichwa akalime nazani ujumbe umeleweka fanya hivyo kama mwanamke achoshwa na mume watimue japo kwa panga nasio mafumbo utakua huendi
@ottumachachary8925
@ottumachachary8925 11 месяцев назад
😂😂 daaah
@KhamisHaji-fd5lw
@KhamisHaji-fd5lw Месяц назад
Mama samia nakupenda sana kwa uchapakazi wako M/mungu akuongoze,kutokn na nia yako njema watajidhuru wenyewe hao mafisadi ya kiuchumi!
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 11 месяцев назад
Bora hata aliyetumbuliwa kuliko mtumbuaji
@zianasalimuhivikunamchunga5224
@zianasalimuhivikunamchunga5224 11 месяцев назад
Huna hayaaaa wewe,
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 11 месяцев назад
Kunywaa ntalipa ndugu
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 11 месяцев назад
@@MiriamAbdallah thenkyu!
@shabanimungazija7272
@shabanimungazija7272 11 месяцев назад
Mama kama umeuona hayo hongera sana keto ni nyingi lakini hazifiki ukiongea tu ni kichapo
@FrankMwakibinga
@FrankMwakibinga 11 дней назад
Hongera sana mama yetu
@husseinally3015
@husseinally3015 11 месяцев назад
Mama siku onyesha rangi yako halisi maana wanao haribu wanajulikana
@BashiruMchelenje-zs3fs
@BashiruMchelenje-zs3fs 14 дней назад
Sasa huko mbeya badala kuchukua hatua eti unasubiri ripot...ya nini sasa?, nachoka sana nakauli kama hiyo.
@WilliamKileta
@WilliamKileta 11 месяцев назад
Daaah tunasafari ndefu sana
@marklekasango9300
@marklekasango9300 11 месяцев назад
Vibaya mmno
@paulina.baynit7970
@paulina.baynit7970 11 месяцев назад
Umesema kweli mama wakuu wa wilaya ni shida tupo, wachunguzeni sana na watumbueni wanarudisha nyuma maendeleo ya wanyonge.
@patrickjohn4086
@patrickjohn4086 11 месяцев назад
Na mama unaongea kama mzaha, kuwa mkali chukua hatua na fatilia na tuone matokeo
@user-dr2lk7im7r
@user-dr2lk7im7r 10 дней назад
Waziri wa tamisemi nae yupo kwenye huo mgao. Mchengerwa ???
@christopheritungi1228
@christopheritungi1228 11 месяцев назад
Moja ya hotuba nzuri sana kuwahi kutolewa na Mh. Rais imegusa wananchi moja kwa moja.
@StanleyMakombe-fh2tq
@StanleyMakombe-fh2tq 11 месяцев назад
Mama nakupongeza sana kwa kukutujali sisi wanyonge mama mh.RAIS pongezi kwako kwa nyongeza ya mishahara
@martineshija2712
@martineshija2712 11 месяцев назад
Mbona kwenye ma umeme huyaongelei wakatihapo ndiyopabovu kabisa halafu unazunguka zunguka2 umeme umekuwa kelo2 Sasa hiv au mh Rais hujuikamatunataabika Sasa hiv kweny swala la umeme?
@songomary908
@songomary908 11 месяцев назад
D' Mh Rais Samia Suluhu Hassan nimekusikiliza sana tena nimekuelewa sana na huwa nakusikiliza sana nitumie neno hili niseme Umechelewa mno ila mungu atakusimamia na yuko pamoja nawe ombi langu wanyooshe kweli usiwaangalie usoni matarajio ya watanzania wengi wa chini ni kuona upendo kwa watu wa chini na sio wa hao uliokua nao juu ambao ni wasaidizi wako tafakari Mh Rais
Далее
Rayvanny - Mwamba (Unplugged Session Video)
4:33
Просмотров 15 млн