Тёмный

RAIS SAMIA ACHARUKA "MSIWACHAGUE WANAOPENDA MAANDAMANO, KUPIGANA, CHAGUENI CCM" 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 3,1 тыс.
50% 1

Rais Samia Suluhu Hassan ametaja sababu mbili za wananchi kutakiwa kukichagua Chama cha Mapinduzi (CCM) kubaki madarakani ikiwamo uhakika wa chama hicho kusimamia usalama wa nchi.
Sababu ya pili aliyotaja Rais Samia ni kujali maendeleo ya watu yanatokwenda sambamba na utekelezaji wa miradi ya maendeleo.
Hayo amesema leo Jumanne Septemba 24, 2024 akiwa anaendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Ruvuma.
#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifa

Опубликовано:

 

24 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 33   
@ellymakongo656
@ellymakongo656 17 часов назад
Wewe tupishe tuijenge ccm yetu, hutufai unatuharibia chama kwa kutoheshimu utu wa watu na uhuru wa vyama vingine
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 15 часов назад
Kwa kuiba kura ni sawa lakn kwa kuwachagua hakuna mtu anawaza kuichagua ccm tena
@WilliamGideme
@WilliamGideme 18 часов назад
Ewe mwenyezi Mungu utuondoe katika hilarious za ccm, wewe ndiye unajua.
@kassimjumanne5399
@kassimjumanne5399 18 часов назад
Siwezi kuchangua Chama cha ccm bora nisipige kura
@ellymakongo656
@ellymakongo656 17 часов назад
Kura piga ila usiwapigie
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 13 часов назад
Hatuchagui CCM Chama cha MAJAMBAZI bora waandamanaji
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u 18 часов назад
Mauaji na utekwaji vipi au nayo ni moja ya maendeleo mama yangu.
@penelpenpenielpeniel2238
@penelpenpenielpeniel2238 16 часов назад
Kwa nini mnapenda kupiga raia bila sababu ili hali hii ni nchi inyoendeshwa kisheria .kwa namna moja au nyingine chama hiki hakifai tena chama cha watu waompenda Mungu ila cha shetan watu wake
@erasmusaloyce4398
@erasmusaloyce4398 16 часов назад
Bora kuwachagua wanopigana kuliko wauaji.
@barnaba3037
@barnaba3037 15 часов назад
Polisi umewapa rungu la kuumiza wananchi
@azariamaduhu2075
@azariamaduhu2075 18 часов назад
Haki ya nani tafuta mgombea mwingne ila sio ww kwenye urais ww hufai kuwa rais kwendraaaaa
@yohanakateko
@yohanakateko 18 часов назад
Hamna chama mama
@Yasintaeustas
@Yasintaeustas 14 часов назад
Raisi ni lini watekaji watachukuliwa hatua watu wanauwawa, tutatulieni hili limetuondolea amani mimi Sina chama ila nitachagua kiongozi atakaye jali uhai wa watu na kuthamini maisha Yao.
@janeshija6638
@janeshija6638 15 часов назад
ONGOPEWA HAO WAJINGA. MWENYE AKILI TIMAMU HAWEZI KUICHAGUA CCM. NI WEZI WANAWAIBIA WANANCHI.
@TrustElbashil
@TrustElbashil 14 часов назад
Wewe ndo hutochaguliwa sababu umeuza bamdari zetu isipokuwa wafu watachagua ccm lakini wenye akili timamu watachagua chadema
@HildaKessy-yw7kh
@HildaKessy-yw7kh 13 часов назад
Naenda kizmkazihayo maendeleo ulikuwa mpango tangu uhuru
@rithaurassa
@rithaurassa 15 часов назад
Chadema bado iko juu jaman tusidanganyane
@nenolauzima5281
@nenolauzima5281 Час назад
Peramiho hoiyeee....eeeeh!...
@NeemaSamueli
@NeemaSamueli 6 часов назад
Sawa hiyo 5 siyo mbali ikiisha lud kwenu
@danielndam5997
@danielndam5997 4 часа назад
Hapa naona nipini ya dhahabu kwenye pua ya ngurue
@FernandesPaul-v4u
@FernandesPaul-v4u 3 часа назад
Unazingua mama
@AlfredBadili
@AlfredBadili 14 часов назад
Tuko pamoja saaaana
@BarakaOchuu
@BarakaOchuu 52 минуты назад
Hufai
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 15 часов назад
Chama cha wauwaji useme hivyo
@ngotosilasi2099
@ngotosilasi2099 4 часа назад
Waliopotea tuambie wako wapi
@BenardBwakitare
@BenardBwakitare 18 часов назад
Watu masikini unawadanganya wajinga ccm hata kama nimekifa nikikuta bendera yake nakohowa
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 13 часов назад
😂😂😂 Nimechek sana Benard
@ClarahMataya
@ClarahMataya 19 часов назад
Mnateka wananchi raha kuwateka
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 19 часов назад
Mama unachapa kazi tunakuelewa
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 15 часов назад
Unamuelewa wewe na mkeo
@safiaothman5175
@safiaothman5175 18 часов назад
MITANO TENA MH.RAIS SAMIA SULUHU HASSAN.
@allonjoseph5467
@allonjoseph5467 15 часов назад
Eti aman watu wanakufa huko
@AlfredBadili
@AlfredBadili 14 часов назад
Далее
БЕЛКА РОДИЛА КОТЯТ#cat
00:20
Просмотров 1,1 млн
Интересный наборчик 😀
00:12
Просмотров 13 тыс.
USINUNUE CCTV CAMERA KABLA YA KUJUA HILI
4:32
БЕЛКА РОДИЛА КОТЯТ#cat
00:20
Просмотров 1,1 млн