Тёмный

RAIS SAMIA AKIIONA VIDEO HII LAZIMA ATOKWE MACHOZI - BINTI APOTEA AKIWA kwa MKUU wa SHULE -INAUMIZA! 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 38 тыс.
50% 1

RAIS SAMIA AKIIONA VIDEO HII LAZIMA ATOKWE MACHOZI - BINTI APOTEA AKIWA kwa MKUU wa SHULE -INAUMIZA!
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 181   
@globaltv_online
@globaltv_online Год назад
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
@Oman-nu2kc
@Oman-nu2kc Год назад
Mama Samia tunakuomba uangalie hili mama preas 🙏🙏 huyu mwalimu achukuluwe hatua
@rehematawalani733
@rehematawalani733 Год назад
Chozi la wazazi Allah amelisikia mungu atajibu
@rehematawalani733
@rehematawalani733 Год назад
Poleni sana poleni sana kwakweli inaumiza sana wazazi wenzangu Allah awape nguvu subra kwa wakati huu
@chemstry409
@chemstry409 Год назад
Hata Mh Mkuu wa Wilaya ameshindwa kumsaidia huyu mama????😢😢😢
@teddymassawe3583
@teddymassawe3583 Год назад
Mwl anajihamini sana,Mama Samia tusaidie Mama
@JojMagnifique
@JojMagnifique Год назад
Mimi nahisi mwalimu alimpiga mtoto hadi kafa na akamzika Alafu akahama kafikiri watu hawata fuatiliya inchi ingine yule mama angehojiwa akiwa amefungwa Kutoka burundi naliya sana 😢😢
@birusidesmond3245
@birusidesmond3245 Год назад
Ama alimuuza akala hela
@KayflockKay-g7e
@KayflockKay-g7e Год назад
Poleni sana mama na kwa familia
@elizabethkambi5221
@elizabethkambi5221 Год назад
Naona huko aliko anahangaika na waganga ili kesi ife haifi kwa jina la Yesu.
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 Год назад
Amina🤲🤲
@fatumasukwaju226
@fatumasukwaju226 Год назад
Mwl Wema toa ushirikiano.kwa nn unajiamini sana? JUA MUNGU YUPO NA TUTAREJEA MBELE YAKE SIKU YA HUKUMU.hadi nakuogopa❤❤😭
@shanimpenike7568
@shanimpenike7568 Год назад
siku hizi serikali haifanyi kazi vizur uonevu tu
@KhadijaAbrahman-i3i
@KhadijaAbrahman-i3i Год назад
Inaumwa sana jamani poleni ndugu zetu
@NasmaMusa-j3p
@NasmaMusa-j3p Год назад
Inauma Sana machoz yamentoka
@WinfridaZakayo-mj7co
@WinfridaZakayo-mj7co Год назад
Mungu saidia tuwalee watoto wetu wazaz wote wawil
@أمطارقالبحرية
@أمطارقالبحرية Год назад
Allah atamrudisha salama insh Salini sana usiku na mchana mumuombee dua ,dua ya wazee wawili hirudi Msalie mtume sana na mfanye istighfaar sana insh atarudi salama
@Khadija-tr8du
@Khadija-tr8du Год назад
Allah Awape subra family ya warda
@halimamohammed4108
@halimamohammed4108 Год назад
Kwa hara sana huyo mama awajibishwe atuambie mtoto wetu yuko wapi mungu akulinde huko ulipo mtoto mzur in shallah utapatikana tuu
@KayflockKay-g7e
@KayflockKay-g7e Год назад
Pole sana jamani jamani msaidiyeni uyu mama mtoto wake mzuri jamani
@patriciamuganda4498
@patriciamuganda4498 Год назад
Usisahau kuwa Kuna wizara ya elimu na wizara inayoshughulikia wanawake na watoto. Waanzie huko kwanza. Raisi ana Majukumu Mengi ya kitaifa.
@martinabayyo9982
@martinabayyo9982 Год назад
Police wenyewe wala rushwa hv tutafika wapi jamani mama Samia tunaomba ingilia kati kwanza kabisa hao police wapigwe ndani na huyo mama wanajua kila kitu
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 Год назад
Subhanallah mungu awape faraja hiii familia maumivu anayopitia mungu tu ndio anajua ,,, Yarrab mkinge mtoto huyu popote alipo
@azizaaziza7996
@azizaaziza7996 Год назад
Amin yarabi
@elizabethkambi5221
@elizabethkambi5221 Год назад
Pole mama kwa kuwa hapo ulipo umekuwa kama mjane ,na machozi ya mjane Mungu huwa anayabariki na azidi kukufungulia milango mingine ,umpate mtoto na maisha yako yainuliwe kwa kiwango cha juu sana
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du Год назад
Naisi. Wamemeficha kwenye chemba za vyoo. Kashaua uyo angekua hai. Angesha. Mtoa. Amakweli. Maskini anaaki😢😢
@munamuna4621
@munamuna4621 Год назад
Global msaidieni
@ZamaradiNusura
@ZamaradiNusura Год назад
Wapelelezi ndo hawafai kabisa na hawana faida yoyote zaidi yā kukufirisi
@vero57
@vero57 Год назад
Wazazi tusiamini kila mtu jamani, tukae na watoto wetu,ee Mungu tunaomba mtoto arudi salama 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@doiabel3793
@doiabel3793 Год назад
Huyo anacheza kama mimi ndo baba wa mtoto kati ya baba na mwalimu siku hiyo mmoja atazikwa kabisa nawambieni uniletee jeuri kwa mtoto huku kanda ya ziwa vichwa vyetu huwa havina uvumilivu huo.
@evamussa9597
@evamussa9597 Год назад
Pole sana inauma kweli
@munamuna4621
@munamuna4621 Год назад
Hiii clp ipostiwe ista kws wingi iwafikie wakuu
@ashooraashoora1180
@ashooraashoora1180 Год назад
Police hawanaga ushirikiano na wanannchi ila kulinda maslahi ya wafanyakazi wenzao wauma pole mama Allah amuhifadhi huko aliko
@hafsa05adil32
@hafsa05adil32 Год назад
Wanaangaliy upande wao tu
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 Год назад
Waanaangalia. Pesa tuu njaaa. Mbayaaa
@sofi_1940
@sofi_1940 Год назад
Daaah,, inaumaa Sanaa, 😢
@ibrahimkasim922
@ibrahimkasim922 Год назад
Hii ni aibu sana awapewi sapoti mpaka kiongoz mkubwa aingilie SASA mpaka kukamilika Jambo Hilo kuwaje tena
@qttqqq1982
@qttqqq1982 Год назад
Mm nahisi huyu mwalimu alimuuwa mtoto kwa kumpiga na kumzika mahali
@mariammohamed3104
@mariammohamed3104 Год назад
In.shaa.Allah.ataonekana
@MajidAbdullah-p9s
@MajidAbdullah-p9s Год назад
Rais Samia ikiwa hawezi kusema kitu Nani ataweza?
@RabiaKhalifa-lr8qh
@RabiaKhalifa-lr8qh Год назад
Sijawahi kucomont ila nimeumia Sana huyu mtoto angekuwa na shida hata huyo mwalimu asichemchukua,walimu Huwa wanapenda watoto wastaarabu
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Год назад
Hujawahi kucomment kwasababu hujui kuandika vizuri..rudi shule😊
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Год назад
​@@masalakulwa7601hahahaaaaaaa
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 Год назад
​@@masalakulwa7601😂😂😂😂😂😮😮
@sauhumus7007
@sauhumus7007 Год назад
Ee mungu mfanyie wepesi mtt uyo apatikane akiwa hai
@latifamangula6798
@latifamangula6798 Год назад
Toeni namba hadharani kila mtu ajaribu kumpigia labda atapokea jamani
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire Год назад
Inaumiza sana jameni? Mungu wa Israel isaac na jacob... Ni wewe pekee unaouwezo wakuleta ufunuo wa hali ya warda... Mungu wangu mimi naomba simama haki ipatikane.... Dunia inaisha kweli hakuna wakwamini sio asikari, sio waalimu.... Mungu onekana mm nasikia naumia sana kwa jambo hili
@mligosandrah7851
@mligosandrah7851 Год назад
Yaani kwa mambo haya hatuwezi kuacha kumkumbuka magufuli yaani rushwa njenje hivi viongozi hamyasikii haya mna chukua hatua gani Hawa ndio wanachafua Chama chetu
@christaoman8890
@christaoman8890 Год назад
Mungu amuonekanie huyo binti apatikane akiwa salama
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Год назад
Hiiii mtihani mkubwa huo mwalim amemuwa huyo mienzi 5 sahivi ni mtihani atafaham dunia na khera mungu atamuona huyo mwalim mjinga kumuwa mtoto wa watu jamani😢
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 Год назад
Kuna sintofahamu jamani 😢mwalimu kafanya kitu kibaya sasa sheria ya Tanzania iko wapi daa mpaka chozi
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj Год назад
Mtihani jmn hawajamuua lkn😬
@FekiHappy
@FekiHappy Год назад
YANI HATA HILI HADI RAIS JAMANI
@munirakhalfan5716
@munirakhalfan5716 Год назад
😢😢😢😢afungwe huyo mwalimu
@stelamwakatulile2455
@stelamwakatulile2455 Год назад
Uyo mwalimu ajawai kutana na watu wabaya mbona atasema kilicho tokea mwanga uyu amtoe mtoto wa watu😢😢
@francinenahimana7289
@francinenahimana7289 Год назад
utizam vizuli sije akapita pembeni akapita watu akamu baka ao amesha muuwa jamani😢😢😢😢😢😢😢
@christaoman8890
@christaoman8890 Год назад
Pole sana mama Mungu amrudishe huko alikokimbilia awe salama
@tunudimandogreek9683
@tunudimandogreek9683 Год назад
Mi naomba maa SAMIA kiongozi wetu,wachukiliwe hatua wote walio potezea upelelezi,kwa sababu huwezi zungumza chemba na mtuhumiwa kisha washitaka ukawapotezea kwa kuwapa kalenda ya nenda rudi,au mwingine kujibu ameshindwa ,je ye nijirani au kiongozi ktk ngazi ya serikali maana serikali inaanzia kwa mjumbe so humo mote walimo pita ni serikali,sukuma ndani wote ndio wajue pesa ni sumu
@estakapufi7582
@estakapufi7582 Год назад
Mama mungu atakufuta machozi yako mungu halali wala kupuuza kilio chako
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 Год назад
Yapo kweli mambo haya kwenye hii Dunia, mtoto mpaka umzae mwenyewe ndio utamfuatilia vizuri maisha yake.
@yasmine937-so4mi
@yasmine937-so4mi Год назад
Itakuwa kamuuwa 😏😏😏
@jumanneally6856
@jumanneally6856 Год назад
Serikali yetu ndio inayo changia wananchi pale tukio linapotokea kuchukua sheria mikononi
@KhadijaAbrahman-i3i
@KhadijaAbrahman-i3i Год назад
Angekuwa mwanawe angefanya kazi kweli
@fatimahirakoze7311
@fatimahirakoze7311 Год назад
Kiukweli watanzania kwa ilo nawakopaga sana sijui wanafanyaga ivo kwa nini wanatisha
@fatmabY-m5u
@fatmabY-m5u Год назад
Shenz type huyu mwalim ni katili mwanga . Huyo mtt keshamua kabsaaaa
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Год назад
Huyo mwalimu mtoto kamuuwa au keshamuuza kwa wanaotoa kafara wananunuwa sana
@sauhumus7007
@sauhumus7007 Год назад
Uyo sio mwalimu
@alawi6796
@alawi6796 Месяц назад
Hyo mwalimu anatakiwa alisaidie Jeshi la police awekwe ndan
@gracekunambi7438
@gracekunambi7438 Год назад
Mama Samia angalia hili, mtoto ajulikane alipo awe hai au amekufa. Saidia wanyonge
@bbsahl1242
@bbsahl1242 Год назад
Pole mzazi mwezetu lkn mama warda wakati ulopompigia cm akiwa warda analia mbona hukufatilia kwa haraka
@janetchinga695
@janetchinga695 Год назад
Aende jela uyo mwalomu angekuwa masikini angesha kamatwa. Tayali kwasababu masikini hana sauti
@JokhaSalehv
@JokhaSalehv Год назад
Mama samia lione hili msaidia huyu mama apate mtoto wake. Mwalimu anajuwa wapi amepeleka warda. mwalimu akamwatwe jamani kunakitu hapo
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Год назад
Huyo mwalim ndie anaejuwa aliko Warda auliwe aliko mtoto wa wenyewe Mama Samia tizama hili huo mwalim achkuliwe hatuwa 😢😢 poleni Sana wazazi 😢😢😢
@mariamzubeiri1723
@mariamzubeiri1723 Год назад
C wamkamate anakaz gan mbona kama kwenye cm watoto wanalia ofisi ipi yupo wakamate huyo mama watie ndan
@annaNgaiza-hu8ki
@annaNgaiza-hu8ki Год назад
Maskin watu wabaya
@azizasuleiman3295
@azizasuleiman3295 Год назад
Jamani serikari iko wapi?kitu kinaonesha wazi huyu mama kwa maelezo tu alicho Tanya kinaonyesha
@NeemaKipande-hr9rz
@NeemaKipande-hr9rz Год назад
Kumbe ata mabinti ulowazaa meenyewe nanyumbani wamezaa hao ndio wenye adabu uliowaona
@masanganohashim8951
@masanganohashim8951 Год назад
Na ninyi waandishi was habari mpaka leo mwalimu anabembelezwa wakati Raid yupo. Maana polisi , DC ndo hivyo tunakuomba Rais msaada wako.
@vero57
@vero57 Год назад
Na pesa za hostel arudishe, huyo mwalimu, mwizi mkubwa!!!
@saidaramadhan2099
@saidaramadhan2099 Год назад
Myezi minne mtoto ajapatikana
@bebebebe5677
@bebebebe5677 Год назад
Uyo mwalimu mshenz san Jamn msaidien uyo mama wa walida
@alawi6796
@alawi6796 Месяц назад
Sasa kwann hao police hawamkamat hyo mwalimu na maelezo yanajitosheleza
@yasmine937-so4mi
@yasmine937-so4mi Год назад
Mmi ningewamwagia petroli niwachome familia yake yote Qmamake zake huyo mwalimu kama unaisoma comment yangu we mwalimu mavuzi yk
@abeliantony7085
@abeliantony7085 Год назад
Wananchi wenye hasila kali wakafanye vitu kwa mwalimu wema selokali imeshindwa kuchukua hatua
@abeliantony7085
@abeliantony7085 Год назад
Ivi wakuu waichi hawazione picha hizi nakuchukua hatua? Au mtetezi wawanyonge alikuwa hayati magu tu?
@nusrathmanyawa4501
@nusrathmanyawa4501 Год назад
Huyu atakuwa kamuua mtoto wa mwenzie
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 Год назад
😢😢
@vero57
@vero57 Год назад
Ndiyo maana watu wengine wanachukua sheria mkononi
@shanimpenike7568
@shanimpenike7568 Год назад
huyo anaroho mbaya sana kwanini asikamatwe?na kama hiyo kazi yake sisi inatufaa nini kazi yake ndo iwe shida kwa masikini ?
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Год назад
Hii😢
@GiftEmmanuel-cf4bs
@GiftEmmanuel-cf4bs Год назад
Magufuli amka baba ongea neno
@angelaminde1247
@angelaminde1247 Год назад
NINAIMANI NA MAMA SAMIA SULUHU HASSAN. NAJUA KAULI YAKO MOJA TUU INAWEZA NA ATAPATIKANA . MUNGU ATAWAPA UJASIRI NA HALI ITAKUA SAWA NA MTOTO ATAPATIKANA TUU😢😢😢
@RebeccaTindimwebwa-cr2dz
@RebeccaTindimwebwa-cr2dz Год назад
Mungu asikie kirio kyako mama
@roseamos2812
@roseamos2812 Год назад
Angekua wake angeendelea kufanya kazi
@christinainnocent3184
@christinainnocent3184 Год назад
Serkali iingilie kati wizara ya elimu mko wapi? Watoto wanapitea shuleni kuna tatizo hapo
@KhadijaAbrahman-i3i
@KhadijaAbrahman-i3i Год назад
Ewe mwenyezi mungu muoneshee huyo mtoto mama yake
@zuenajuma9603
@zuenajuma9603 Год назад
Amina
@elizabethkambi5221
@elizabethkambi5221 Год назад
Huyo hafai kuwa mwalimu kabisa hata kazi afukuzwe hawezi kuishi na wanafunzi hivyo .Mimi mwenyewe nimepita kazi hiyo nilikuwa Mama,Bibi Dada kwa wanafunzi ,mpaka Leo bado wananikimbilia wakiniona.Ukiwa Kama mwalimu unatakiwa uwe rafiki na wanafunzi ili waweze kujifunza vizuri,pia hata Kama Kuna kitu tofauti wanafunzi watakupa ushirikiano water.Kumbuka walimu Ni wito. Narudia Tena hafai Ningekuwa mm ndiye mwenye amri baada ya kusoma habari hii ,ningemfukuza kazi na utumishi
@elizabethkambi5221
@elizabethkambi5221 Год назад
Na hii ifike Hadi Rais aiyone
@SalamaAkilimali-ly3bu
@SalamaAkilimali-ly3bu Год назад
Mbwa huyo .mwalimju wema m mungu atamlaani inshalah shetani huyo
@demetriajohn2393
@demetriajohn2393 Год назад
Ina maana huyo mwl.ameacha kazi? Kama amehama na kazi amehamishwa?waajiri wake huyo mwalimu wanasemaje?
@dianaabdallah4696
@dianaabdallah4696 Год назад
Naumia mimi uyu n muongo amekosa upendo hana ofo ya mungu au amemuua uyo mwalim n katili
@aishaaisharagp9381
@aishaaisharagp9381 Год назад
Huyu mwalim laana za Allah zitamtafuna yy na familia yake
@SalamaAkilimali-ly3bu
@SalamaAkilimali-ly3bu Год назад
Inshalah
@justerissaya9165
@justerissaya9165 Год назад
Eti Niko bize na kazi !!!? Hv Kuna kaz inazidi uhai wa mtu kweli !? Jmn ebu rushwa ikaee pemben Moen mama ukweli wa mtoto wake Mana mnampa pressure ata yeye anaweza potae kbsaa Dunia tuwe na hurum wakt mwingn
@WinifridaMahimbo-f6z
@WinifridaMahimbo-f6z Год назад
Mmh tunapajau apo
@doiabel3793
@doiabel3793 Год назад
Huyo mwalimu wema anacheza na vichwa vya watu mtoto apotee mikononi mwake alete jeuri kumpiga mabapa ya kutosha hadi aseme nasubilia nani alete huu ujinga
@dppd4219
@dppd4219 Год назад
😢😢😢
@NeysharMgendi
@NeysharMgendi Год назад
Huyo mama nahao polisi wapuuzi wao enda kinyume na sheria, nao wa wajibishwe na huyo mam awanibike anajua alipo huyo mtie ndani atasematu
@Zainab-te7pt
@Zainab-te7pt Год назад
asalamu walekumu? dar mama amka usiku sali rakaa2 muda wa siku tatu muombe mung akunyeshe njia nnaimani kama mama inshaallah utapata jibu mama ang inauma lia shukuru mung muombe mung usiku zanana
@ijsound5149
@ijsound5149 Год назад
Story za bunuasi hizi hakuna uhalisia hapa
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Год назад
kwa kweli polisi hawana faida yoyoteee labda ya kupiga watu kuuwa watu na huku zanzibar kusubiri daladala wapige mibungo ni wabaya sana wala sio waadilifu mbele ya pesa
@NeemaKipande-hr9rz
@NeemaKipande-hr9rz Год назад
Sasa jamani wananchi wakijichukuliabsheria mnawakatalia iv mndhani wazazi WA warda nimaumivu kiasi gani wanayapata ajili ya binti yao nahuyu mwl yupo huru TU je kama pia nimtu mwingine c ninyi askari mnawrza sababisha mtu ajichukulie Sheria mwanangu kapotea ulikuwa nae hutoi ushirikiano ukija police hakuna majibu i'vi kweli mnamtakia uyu mwl mema kweli mtasababisha watu wauwane jamani shuhurikieni hili swala wazazi wawarda wanatumia na sote tuwazazi karibu hili swala Kama liwe ndio limekitokea wewe ungefanyaje???????????
Далее