Тёмный
No video :(

RAIS SAMIA AINGILIA KATI SAKATA la BABA KUOA DADA wa KAZI na KUMTESA MKE WAKE MLEMAVU -POLISI WAFIKA 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 237 тыс.
50% 1

RAIS SAMIA AINGILIA KATI SAKATA la BABA KUOA DADA wa KAZI na KUMTESA MKE WAKE MLEMAVU -POLISI WAFIKA....
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

23 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 868   
@globaltv_online
@globaltv_online 6 месяцев назад
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@user-xe4vi6cj7m
@user-xe4vi6cj7m 6 месяцев назад
Channel ten
@rugendorunene545
@rugendorunene545 6 месяцев назад
Nime mpenda sana huyu dada wa jeshi La Police... Baraka 🙏🙏.
@maryupendo8706
@maryupendo8706 6 месяцев назад
Huyu dada apandishwe cheo mara moja,,,,watching from Kenya❤❤❤❤
@MaryMatereadvicer011
@MaryMatereadvicer011 6 месяцев назад
❤❤❤❤
@joyce55727
@joyce55727 6 месяцев назад
Mama samia Mungu azidi kukubariki pia azidi kukupa afya njema uendelee hivyo hivyo mama ❤❤
@user-gg1gp8ib2u
@user-gg1gp8ib2u 6 месяцев назад
😊
@user-gg1gp8ib2u
@user-gg1gp8ib2u 6 месяцев назад
😊😊
@Bikhafija
@Bikhafija 6 месяцев назад
Lkn usimchoke kaka yangu ndio mgonjwa tena
@Bikhafija
@Bikhafija 6 месяцев назад
Lkn na uyu msichana ange mlea uyu.mama kama mzazi wake
@khadjamhozya
@khadjamhozya 5 месяцев назад
acha unafiki amekuwa magufuri
@ruthhamisi2902
@ruthhamisi2902 6 месяцев назад
Asante mungu kwa kuona mda mrefu mateso ya huyu mama na ukashuka mwenyewe kumsaidia, ameeen
@ahmadamohamed1907
@ahmadamohamed1907 6 месяцев назад
Kashuka mwenyewe?daah
@mariansumari2179
@mariansumari2179 6 месяцев назад
Mama Samia kipenzi cha wanawake rais wetu MUNGU baba akutunze Mama TUNAKUPENDA ❤❤❤
@rosehillary8742
@rosehillary8742 6 месяцев назад
Mm naomba uelewe Huyu mama ni Mgonjwa sawa na umeoa nakubali. 1. Huyu bi mdogo ni mpuuzi na hajui kula na kipofu. Angemhudumia huyo bi mkubwa kwa upendo kwakuwa ni mdogo kwa upendo wote ila kakosea sana atafutiwe pakukaa eneoblingine kabisaaaa 2. Baba ambae ni mume mtunze mkeo kwa Upendo amtafutie msichana wa kazi wakumtuza na Pia msomeshe mwanao wa Kiume na baba mpatie chakufanya aweze kujisimamia nakumsimamia Mume wake. 3. VIONGOZI WA DINI NA WANASAIKOLOJIA WAITEMBELEE HII FAMILIA MARA KWA MARA KWA AFYA YAO YA ROHO NA MWILI Mbarikiwe sana mloshiriki kwa Hili❤❤❤❤❤❤
@zaidasalumualute6437
@zaidasalumualute6437 6 месяцев назад
Mpuuzi sanaa huyo bimdogo,angemuhudumia huyu mama kwa nguvu zote angerisi malizote zahuyu mama,lakin sasa kujitafutia laana,haya yalimkuta huyu mama nayeyatamkuta,Chezaa matajiri wa kichaga??
@rubenprince8990
@rubenprince8990 6 месяцев назад
​@@zaidasalumualute6437selekari za afrika ni mbovu sana kesi ya kuipeleka mahakamani munaiongelea barabarani hiyo kesi ni kubwa ingekuwa huku ulaya huyo jamaa angeisoma namba tatizo la selekari za afrika hazina sheria hata kidogo
@stamillusatila9084
@stamillusatila9084 6 месяцев назад
Hata ongea yako unaonyesha jinsi ulivyo fedhuli wee Baba
@orsolinaleonsminja6436
@orsolinaleonsminja6436 6 месяцев назад
Mkatili kabisa huyu. Hana lolote! Hizo Mali atakuwa na ataziacha! Mungu hapendi! Kama ana fedha kwanini asimuwekee mtu WA kumhurumia?
@annamosha968
@annamosha968 6 месяцев назад
​@@stamillusatila9084Sana, sura tu inamuonesha ni KATILI
@paulmisalaba3364
@paulmisalaba3364 6 месяцев назад
Mungu aniepushe na visa kama hvi siwez mfanyia hv mke wangu akiwa katika hali hiyoo😢😢
@user-xc4or2vp6l
@user-xc4or2vp6l 6 месяцев назад
Na iwe hivyo kama ulivyosema
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 6 месяцев назад
Amina kaka mungu akuwezeshe
@annamosha968
@annamosha968 6 месяцев назад
Na ukabarikiwe mnooo kaka, wewe una Mungu 🙏
@marysdiosa8764
@marysdiosa8764 6 месяцев назад
Kama mim siwezi mfanyia mume wangu hivyo, sema hatupatagi watu wa kuolewa nao wakweli
@jescajulius8023
@jescajulius8023 5 месяцев назад
Kweli kabsa kaka
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 6 месяцев назад
Mama. Samia. MPENDWA WETUUU Rais WETU mwema 🎉. Mungu. AKUZIDISHIE mama
@user-ox3ij7ki3t
@user-ox3ij7ki3t 6 месяцев назад
Kusaga na wenzie mungu awabarki kwa kuwa jana mlilifikisha hili jambo kwenye mamlaka za juu nasasa tunaona likifanyiwa kazi ahsante Mungu
@marthakimia4075
@marthakimia4075 6 месяцев назад
Uko vizuri Kolumbas Mungu atakubariki sana Kwa Kwa hilo
@stellamoses4496
@stellamoses4496 6 месяцев назад
Mum Samia your amazing Mungu akupe maisha marefu na Amani.
@LevinaMichael-oy8cu
@LevinaMichael-oy8cu 6 месяцев назад
Duuuh aisee mama kumbe anaona mama mungu akulinde sana
@mackarioussmakuri6147
@mackarioussmakuri6147 6 месяцев назад
Lakini ingekua ni wewe bwana umeugua je ungekubali hayo unayomtendea mwenzako akutendee?
@gorethlupembe5502
@gorethlupembe5502 6 месяцев назад
Kulipa pesa ya dialysis na huduma zote huyo ni mke wako ni haki yako.muogope Mungu hujui kesho yako.usifikiri mkeo aliomba huo ugonjwa.
@latifamama4627
@latifamama4627 6 месяцев назад
Wewe mke mdogo jiangalie, yatakukuta mambo tofauti na umri wako
@user-el6ev9dt5k
@user-el6ev9dt5k 6 месяцев назад
Kabisa yaani anahisikm anamsadia tu
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 6 месяцев назад
Huyo mfanyakazi ambae kwa Sasa ni mke wallah kipo kitu kitamkuta Mungu hachezewi
@joymrema4141
@joymrema4141 5 месяцев назад
Mama samia mama bigapu
@joymrema4141
@joymrema4141 5 месяцев назад
Wana wake tumepitia magumu mengi mimi niliwahi kunywanyasika nikaacha kit lakitu huyo dada wakazi hanaakili w
@user-jx4rx6jy6y
@user-jx4rx6jy6y 6 месяцев назад
Nimefulahi sana kusikia ivyo mungu akubaliki mama samia
@sunherybabie1472
@sunherybabie1472 6 месяцев назад
Baba hana haya huyu,kumtolea damu ni wajibu wako si mke wako,si uliapa kiapo kanisa katika hali zote za utajiri na umasikini,furaha na maradhi,leo hii unaongea maneno kwa jazba unataka kujiliza unafiki. Mungu atadili na wewe maumivu anayopitia mwanamke huyu juu yako utalipia hapa hapa dunia. Na huyu mfanyakazi Mungu atakuchapa kisawa sawa,na wewe ni mwanamke bado unasafari ndefu,utakuja kujuta.
@user-uc8ei8kn3l
@user-uc8ei8kn3l 6 месяцев назад
Kabsa
@anneth7572
@anneth7572 5 месяцев назад
Baba katili bado anaonekana tu, Mungu halali we baba
@user-dm8pv2ck3i
@user-dm8pv2ck3i 6 месяцев назад
Rais Samia hongela saana mungu akukulinde
@user-qn3cf2bg4u
@user-qn3cf2bg4u 6 месяцев назад
hatasisitumefurahi kwahilo asantedawati lakijinsiya asanteni majirani pamojana mwenekiti
@rosehaule6765
@rosehaule6765 6 месяцев назад
Mungu ni mwamnifu sana asntee sana jamani 😢 ee yesu mwema bariki viongozi wetu Rais wetu Mungu akutunze
@tatutumbi4640
@tatutumbi4640 6 месяцев назад
Mama Samia, Rais wetu. Mungu Azidi kukulinda. Ubarikiwe Daima🙏
@vickylupemba6055
@vickylupemba6055 6 месяцев назад
Mwandishi msomi hongera, you are the best, God bless you 🙏🏾
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 6 месяцев назад
Asante sana afisa wa tz,yaani tz bwana, nawapenda munakuwa na ujamaa na ni uzuri sana!!!! Asante Raisi wa tz
@gorethlupembe5502
@gorethlupembe5502 6 месяцев назад
Asante mama Samia Mungu akulinde sana uzidi kututetea
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 6 месяцев назад
Kabisa
@rosekilawe786
@rosekilawe786 6 месяцев назад
Mimi nimshauri huyo mgonjwa usimpe shetani nafasi kaa karibu na Mungu mpe maisha yako Yesu anaponya na anafanya njia ukimkubali anakupa uzima Kama alivyofanya kwangu na atakupa kila kitu msaada wa mwanadamu aufai pia Akikupa Amani ya moyo wako inazidi utajiri wa Mali Mungu akuponye Kama alivyoniponya Ameeen.
@neemaisaac8356
@neemaisaac8356 6 месяцев назад
Pole dada utaona Mungu ni mwema huyo mwizi wa mabwana za watu dunia itamfundisha
@victorianganyagwa2467
@victorianganyagwa2467 5 месяцев назад
Waachen waendelee Hao wanawake wanaoiba wa ume za watu n kutesa fmlia za wtu ipo ck yan wayalip kwa uchung San n km dem c angeend UK mbl n hudum ziendelee km kawaid lkn hamuheshimu mkew huo n mtihan wa kiapo walichokul mbl y madhabah
@JehovaJonas
@JehovaJonas 6 месяцев назад
Adui wa mwanamke ni mwanamke full stop
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 6 месяцев назад
Huyu baba jeuri mshenzi mkubwa mungu ampe na yy maradhi akome
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 6 месяцев назад
Asante Mungu! Hilo malaya mwixi mchawi, acfikiri hakuna Mungu.Mtakoma mbwa nyie. 2:45
@roviykamage5423
@roviykamage5423 6 месяцев назад
Usifikilie katika ubaya ona mazur ya mme pia . Uwewepesi wa hukumu huku na hulka hio
@salmabinyaga2357
@salmabinyaga2357 6 месяцев назад
We nae huyo mume ana mazuri gani
@cleversalbaba-em4jf
@cleversalbaba-em4jf 6 месяцев назад
Mungu akuponye mama Liston Mungu akupiganie na usisahau kuomba huenda huyo House girl aliyeolewa kwenye ndoa ya mwenzake ninavyomuona huenda kashamloga mwenzake ili yeye aweze kumliki huyo mume na kula alichotafuta kwa jasho mwenziwe aliye mgonjwa. Ashindwe kwa jina la Yesu na Damu ya Yesu ikuponye mumy..
@teresiangoya6950
@teresiangoya6950 6 месяцев назад
Haugel kamloga mwenzie
@marrypius576
@marrypius576 6 месяцев назад
​@@teresiangoya6950mimi natak kujua huy House girl ni kabil gani tuanzie hapo 😂😂😂
@teresiangoya6950
@teresiangoya6950 6 месяцев назад
@@marrypius576 mwenzangu mhh hatujui kabila gani
@JasminMneney
@JasminMneney 6 месяцев назад
Alafu kapendeza kushindaa Mama mwenye mji kaivaaa uso unateleza khaaa wafanyakaziii@@teresiangoya6950
@MohammedLali-k3r
@MohammedLali-k3r 10 дней назад
❤Hongera mama samia god blee you
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi 6 месяцев назад
Mh Rais ni Mama mwenye huruma na utu.Matukio mengi yakimgusa anawajibika,kongole nyingi Mh Rais Dkt SSH.Mungu aibariki hii familia na ampe hekima huyu mwanaume kumsitiri mkewe wa ujana wake,Amen🙏
@eddahkobong271
@eddahkobong271 6 месяцев назад
Rais wetu mama Samia. Kweli nimefurahi sana kwa kulishughulikia hili jambo Mungu azidi kukubariki, uendelee kutuongoza. Kweli wewe ni mama yetu.
@user-im9wf2tb2r
@user-im9wf2tb2r 6 месяцев назад
Jaman we mwanaume hukumbuki hata mlikotoka!!!!ugonjwa hajauomba jua hata ww hujui kesho yako!pole mama Mungu atakusaidia
@MaryMatereadvicer011
@MaryMatereadvicer011 6 месяцев назад
Aki huko Tanzania 🇹🇿 nitaamia uko yaani serekali yao❤❤❤❤
@juliuslengai5089
@juliuslengai5089 6 месяцев назад
Hongeren global.. ila hii saut ya unatazamaaaa global tv inanikera
@sophiasingano6944
@sophiasingano6944 6 месяцев назад
😂
@zainabzanzibar1518
@zainabzanzibar1518 6 месяцев назад
😂
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 3 месяца назад
Naipenda serikali yetu ya Tanzania....namkubali mama Samia,asante sana mama yetu, Mungu azidi kukulinda, na sasa tunaona hata alivyomteua Makonda kupambania haki za binadamu..
@saida5091
@saida5091 6 месяцев назад
Ubarikiwe sana mama yetu mpendwa Samia Suluhu.......umetisha mama...hapo ni kazi tuu❤❤❤ Mungu awabariki nyote.
@sadikidaudi460
@sadikidaudi460 6 месяцев назад
Hapo mwanaume angeumwa mwanamke angeolewa tungeskia maneno Mengi Saana
@ZsbAlbarwani
@ZsbAlbarwani 6 месяцев назад
Ni kweli kabisa
@FayeezAlbahassaney
@FayeezAlbahassaney 6 месяцев назад
Nkpnd sadikd
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 6 месяцев назад
Bora nawewe umeliona
@sarahburetta8547
@sarahburetta8547 4 месяца назад
Kweli aisee
@stanleymsenga2436
@stanleymsenga2436 6 месяцев назад
Mama SAMIA MUNGU Akupe maisha marefu sana na aendelee kukuweka kwenye hicho kiti akubariki na uzao wako kwa kumtetema huyu mama,
@BeullahBujah-lk3sx
@BeullahBujah-lk3sx 6 месяцев назад
Ubarikiwe sana Mama Rais wetu Samia..
@nyabahailani3169
@nyabahailani3169 6 месяцев назад
Mungu akubariki sana korumba tarifa zako tunazielewa sana" hilo li hose gal liondoke haraka mshenzi mkubwa huyo " mama samia hoye rais wetu kipenzi anaye jali
@goodluckminja9101
@goodluckminja9101 6 месяцев назад
Global TV wacheni ushamba,, Sasa hiyo sauti NI ya nini wakati tunaona NI global TV
@monicambuva529
@monicambuva529 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂
@norahkyando8809
@norahkyando8809 4 месяца назад
😅😅😅😅
@DativaMbowe
@DativaMbowe 2 месяца назад
🤣🤣🤣🤣 unatazama, global tv
@rahabumwalongo25
@rahabumwalongo25 6 месяцев назад
Nimeanza kumuelwa Rais wetu mama samia. Uyumama angekosamsaada sijui nini kingetokea. Mama mimi kwahili niponaww kilichokua kinarndelea hapo niuonevu. Mungu akulinde mama samia🎉
@user-rl3yh6ls7b
@user-rl3yh6ls7b 6 месяцев назад
Swafiii Sana Amiri Jeshi Mkuu, yaani hawa waumeeeee
@mwakamwatsimu
@mwakamwatsimu 6 месяцев назад
Huyu baba Mungu amuongeze na azidi kusimama na mkewe licha ya changamoto aliyonayo ya mkewake asimchoke akatupa baraka na kujibebea haraka.kisha mke mdogo nawe siatumie busara na hekima ya kuishi kwenye ndoa yaani anajisahau unataka kutawala kila kitu ulisikia wapi mali ambayo haukuitolea jasho inaweza kusitiri hebu ajiongeze nadhali ashaolewa na ajue kubalance mambo na sio kujitoa fahamu akifanya mchezo mume atamkosa na mali atakosa ajui kula na kipofu anatanguliza wivu badala ya kutumia akili na marifa kama mke acha tamaa na kujisahau.
@dorothysamwel2648
@dorothysamwel2648 6 месяцев назад
Hilo housegirl ndilo lichawi liliomroga huyu mama.
@Rich-wo
@Rich-wo 6 месяцев назад
Mtu wa kwanza kbs kumsuspect ni mme wake
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 6 месяцев назад
Kabisa
@MsAggie5
@MsAggie5 6 месяцев назад
Usikute kweli yaani
@lucykimambo487
@lucykimambo487 6 месяцев назад
Kweli kabisa
@ZainabuOmary-nt7xf
@ZainabuOmary-nt7xf 6 месяцев назад
Wanaume shikamoniiiii mungu atawalipeni apa chini ya jua
@zaidasalumualute6437
@zaidasalumualute6437 6 месяцев назад
Asante Mama Samia,pole mgonjwa,pole familia,bimdogo toka Ktk boma lamwenzio,kama nikufa afevizuri,asife nawewe moyoni.
@tianarest
@tianarest 6 месяцев назад
Viburi vya uzima vinaponza sana hiv huku tukiwa hatuijui kesho yetu, ahsante sana mama Samia kwa kuliona ilo Mungu akuweke kipenzi
@user-uh7to2kw2z
@user-uh7to2kw2z 6 месяцев назад
Mama Samia mungu atakulipa.kwa kumpigania mm huyu huyu baba anaonekaa mkatili sn na huyo bimdogo.kua makini mm wasikutilie sumu2 apew ulinzi
@SalimhchialaAtilio-qj5cs
@SalimhchialaAtilio-qj5cs 4 месяца назад
Simlikuwa mnasema vibaya Samia suluhu Hasan raisi wetu ssa kiko wapi aibu inawatoka hongera sana raisi wetu nikiwa omani muscat mungu akulinde sana❤❤❤
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 6 месяцев назад
MUNGU AKUBARIKI SANA MAMA YETU MPENDWA ❤️ RAISI WETU MAMA SAMIA.
@EsterMbise-pj4vd
@EsterMbise-pj4vd 4 месяца назад
Nashukuru sana sana kwa rais kujali wananchi wake nakukubali sana mama Samia rais wetu
@mysoulproclaimsthelordmygodmam
@mysoulproclaimsthelordmygodmam 6 месяцев назад
Mungu Atukuzwe sana na Kumbariki kila anayemtetea mnyonge na anayeonewa. Ubarikiwe sana Mama Samia. Mtu mwonevu Atubu na kuacha uonevu wake. Kama kuna mtu anayeweza kujitolea kumpatia figo Mama huyu endapo Madaktari wanashauri hivyo, Mungu Ambariki sana.
@veronicaagonga7415
@veronicaagonga7415 6 месяцев назад
Asante sana mama samia hakikisha huyo mama na mtoto wake wako salama na haki zao za msingi wanazipata niko hapa kenya thank u very much
@bulengepetite6062
@bulengepetite6062 6 месяцев назад
Mungu apewe sifa ❤❤❤❤❤❤
@janetchinga695
@janetchinga695 6 месяцев назад
Amina mama Samia mungu akulinde mama akae bali na moto Rais wetu wa Africa yote na mama wetu sote watching from Capetown
@martinmollel1363
@martinmollel1363 6 месяцев назад
Hongera sana Afande,hiyo ni positive observation na umeeleza vizuri sana,umeonesha professionalism heko sana,hiyo ndiyo image ya serikali tija sana.Huyo mwanaume hajasimamia wajibu wake,ni unyanyasaji uliobeba dhambi sana.Huyo dada wa kazi aache tamaa,kimtizamo yeye ndiye muharibifu na amemdhibiti huyo jamaa mpaka ameshindwa kusimamia wajibu wake.All in all hii Dunia tunapita, tupendane,tuthaminiane, MUNGU hadhihakiwi.
@user-mq4yq6rw1w
@user-mq4yq6rw1w 6 месяцев назад
Mama yangu Samia Suluhu Mungu akubariki,kwa hayo unayotenda Mungu atakulipa .Mungu akubariki na kukulinnda wewe na Familia yako.Soma Isaya 41:10
@angelaminde1247
@angelaminde1247 6 месяцев назад
Hongera mama yetu Samia Suluh. Tunakupenda mama
@franciscakija1702
@franciscakija1702 6 месяцев назад
Mungu twakuomba utuomdolee maradhi jaman 😭😭
@nenenongi66
@nenenongi66 Месяц назад
Ruth Mungu akuponye hayo maradhi.
@gracemuro4109
@gracemuro4109 6 месяцев назад
Big up Rais wetu kipenzi Mhe. Mama Samia Sulusu Hassan kwa kuingilia kati swala hili la Ukatili wa Kijinsia kwa huyu Mama na kusimamia vema upatikanaji wa Haki zake. Mungu yu nawe Rais wetu katika kupiga vita na kutokomeza kabisa Ukatili huu ndani ya Jamii. Hongera kubwa kwa Jeshi la Polisi kwa kazi nzuri. Naamini mnafuatilia kwa karibu utekelezaji wa makubaliano kuhusu upatikanaji wa haki zote za huyu Mama. Mungu awabariki.
@user-yz2it2qm3p
@user-yz2it2qm3p 6 месяцев назад
Mama samia wengi wanateseka sana,Mungu akupe maisha marefu,utulivu wa familia ili upate muda wa kupitia mitandaoni huyaone haya,Mungu akufunike kwa bwawa zake kila
@user-yv7xg4em4s
@user-yv7xg4em4s 6 месяцев назад
Mama yetu samia tunakuombea sana Mungu akutunze kwa ajili yetu.
@user-pm7pj6zi6q
@user-pm7pj6zi6q 6 месяцев назад
Jamani safi sana mama yetu kipenz na Rais wa Jamhuri ya mhungano Wa Tanzania Mungu akubariki sana na akutunze kwa kitendo kama hiki kuguzwa nacho hongera sana mama wetu mlesi❤❤❤❤
@mamirybenson2516
@mamirybenson2516 6 месяцев назад
MUNGU akubariki Rais wetu aendelee kukupa jicho lakuangalia zaidi watu wenye shida kubwa ktk jamii
@lightdahaye9099
@lightdahaye9099 6 месяцев назад
Daaah jamani wanaume…😭😭😭 Yeye angekuwa anaumwa mwanamke wake angekuwa na mwanaume mwngne hapohpo kwake ingeezekana 😰😰😰 Huo ni ukatili Mkubwa sana, Mama samiah tunakushuru kuingilia kati hili swala wapo weng sana wanateseka na kunynyasika msichoke kuwasaidia dawat la jinsia hongeren sana 👏👏👏 Mmefanya jambo ambalo licha ya kaz yenu tu hata mbele za Mungu mnathawabu zake, nachoomba tu msiache kumfutilia huyo mama apate haki zake Kama mke wa ndoa huyo na ndoa yake batili ya pili na ndoa ya kanisani haijafa waktafute vyao hapo aondoke anamuumiza huyo mama akili na kumpa mawazo, kingne wasisahau kumukea dda wa kumtunza huyo mama hajaomba kuumwa, wamuekee deadline huyo baba wa utekelezaj aliombiwa na wamfutilie Kama ameshfanikisha waliyokubalina, Wasimuache tu aamue bila kumuekea ukomo wa siku, mwsho Asante Mama yetu samia kumsaidia mwanamke mwenzetu Ruti, Mwenyez Mungu aendelee kukutunza 🙏
@aidaharuna5549
@aidaharuna5549 4 месяца назад
Safi sana Mama yetu Samia Mungu akubariki umemtendea Haki huyo Mama
@mariamutarimo5398
@mariamutarimo5398 5 месяцев назад
Hongera sana kamanda umeelezea vizuri kabisa suala la ndoa ,huyo baba ni mnyanyasaji aondoke na huyo mwanamke wake mbona sisi tunavumilia wao wakiumwa au anafikiri kuna fungu ambalo kampa Mungu yeye abakie kua mzima ,hebu ona huruma kaka wewe tambua hayo ni maisha hata yeye anahitaji kupona na kua mzima kama zamani .
@jamilankaya6825
@jamilankaya6825 4 месяца назад
Ubarikiwe mama samia
@ashurakiswamba7085
@ashurakiswamba7085 6 месяцев назад
MIMI NAOMBA NISHKURU ASANTE MAMA SAMIHA SULUHU HASSAN...HIKI KILIO KIMEKUFIKIA NA UMEKITATUWA KWA KWELI ASANTE SANA 🙏🙏🙏.SANA MUNGU AKUBARIKI AKUPE UMRI MREFU AKUONDOLEE HUSDA ZA KILA PEMBE YA TANZANIA NA DUNIANI.ASANTE MAMA UMEMSAIDIA MWANAMKE MWENZETUUU.AMIN🌹🌹🌹
@zainabuhamisimmbaga1840
@zainabuhamisimmbaga1840 6 месяцев назад
Afande YUKO vizuri Sana 🙏🙏🙏😭😭😭
@graceannah8452
@graceannah8452 6 месяцев назад
Kila jambo linakuja kwa sababu flani,baba kukuchagua wewe kuwa msaidizi wake aliongozwa na Mwenyezi Mungu sio kwa hakiri yake, ndio sababu magumu makubwa unatusaidia watoto wako, mama Mwenyezi Mungu akutunze akuzidishie zaidi hekima upendo na busara ulizonazo.umekuwa ni msaada wa watanzania,uko sawa na kaulimbiyu ulioichagua mama Asante sana
@rosehaule6765
@rosehaule6765 6 месяцев назад
Mama.samia mama Mungu peke yake atakulipa ss tunakuombea sana mama Mungu akupe nguvu afya njema na.kila.lenye heri Mungu wetu wa mbinguni anaona.moyo wko mwema..huruma na upendo wa hali ya juu❤ tunakupenda sana
@safroniaurio8392
@safroniaurio8392 5 месяцев назад
Mmefanya jambo jema sana Mungu awatunze kwenye kazi kwa kusimamia haki za huyu mama. Mama Samia wewe ni mama Mungu akutumze Hekima ya Mungu iwe ndani yako
@wamadoropushthestar4145
@wamadoropushthestar4145 6 месяцев назад
Global TV Punguzeni Ushamba Sasa Ninaona Kabisa Ni Glogal TV Lakini Bado Mnaendelea Tu Kuongea Unataza Global TV.. Badilikeni.....Wanaume Ndio Maana Tunachukiwa Na Watoto Unafikiri Huyo Mtoto Wa Kiume Anamuwazia Nini Baba Yake?.
@africandarling6925
@africandarling6925 6 месяцев назад
Kabisa baba anajisaau kabisa kama kuna mungu anawza kubadrisha Maisha sekunde tu yani mwezake mgonjwa yeye mijaziba tu sijui vipi huyo
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 6 месяцев назад
Mungu akubariki sana mama Samia kwa kumjali huyu mama
@neemareuben311
@neemareuben311 6 месяцев назад
Huyu msichana wa kazi anaonekana mkatiliii balaaaa yani Ana hasira anaongea anahema baoaaa
@lizzynkifu4179
@lizzynkifu4179 6 месяцев назад
Na nina wasiwasi alipokuwa mfanyakaz alikuwa anaitamani ndoa ya huyu mama akayafanya aliyoyafanya kumpa ulemavu mwenzake ili achukue nafas yake MUNGU ATUSAIDIA SANA
@rosedohho8971
@rosedohho8971 6 месяцев назад
Asante mungu hakika wewe nimwaminifu
@marysdiosa8764
@marysdiosa8764 6 месяцев назад
​@@lizzynkifu4179umewaza kama mimi
@jescajulius8023
@jescajulius8023 5 месяцев назад
Yan mh
@hajihassan5433
@hajihassan5433 6 месяцев назад
Hii nchi viongozi wameshindwa kazi kabisa. Issue za kimtaa ashughulikie Rais, viongozi wengine wako wapi na wanafanya nini?
@cbegram6161
@cbegram6161 6 месяцев назад
😂😂😂
@leokamil6284
@leokamil6284 6 месяцев назад
Wapo kula mishahara ya bure na hongo .bora kaamua Mh Raisi la sivyo wangekula mlungula wakamkandamiza huyo mgonjwa mpaka aage Dunia uscheze na hii nchi .Si wewe mwenyewe unaona mafuriko kwenye mikusanyiko ya Makonda ?
@user-up2kg1wm9p
@user-up2kg1wm9p 6 месяцев назад
Nimefurahi nimefarijika. Mama Samia. Hongera Sanaa na serekaliyako
@aishaabdul9287
@aishaabdul9287 6 месяцев назад
Msichoke kutembelea family ili muwe mnajua kinachoendelea jamani shukrani mama Samia Kwa kuguswa na hii family
@suzanbegas4139
@suzanbegas4139 6 месяцев назад
Mama Yetu Kipenzi Samia Mungu azidi Kukubariki💕🙏🏼💕 Wanawake Tunanyanyasika Sn
@kulwakibasa5396
@kulwakibasa5396 6 месяцев назад
Hongera sana mwandishi musomi Kwa kuungamisha hiii familia
@mariyamgharib940
@mariyamgharib940 6 месяцев назад
Ahsante kayumba mwandishi kwa habari kuweza kutatuliwa nimelia wallah jana Allah atampa shifaa uyu mama inshaa allah.
@aminafundikira126
@aminafundikira126 6 месяцев назад
Mh kweli wanawake tukisha tokewa na udhaifu wanaume hawatuthamini tena, ila Mungu yuko nawe mama. Hongera Raisi wetu mama samiya, Allah akulinde.
@monadinadi5295
@monadinadi5295 6 месяцев назад
Mungu ni mwema ❤❤
@user-rl3yh6ls7b
@user-rl3yh6ls7b 6 месяцев назад
Polee mamaaa
@maryammeme3203
@maryammeme3203 6 месяцев назад
Mungu Akujali kwa utedaji wako wa kazi
@mhubirichoir-ntyuka568
@mhubirichoir-ntyuka568 6 месяцев назад
Mungu awabariki sana.Huu ni uandishi wenye faida za ukombozi na siyo majungu
@mwanduelizabeth2282
@mwanduelizabeth2282 6 месяцев назад
Mungu akubariki Sana mama Samia kwà kuwatetea Wana wake wanaopitia kwenye changamoto Kama hizi. Mungu akubariki Sana. Eee Mungu wa Mbinguni Mungu mwenye nguvu, achilia uweza wako, nguvu zako na mamlaka yako juu ya mama huyu mponye magonjwa yote ktk mwili wake🙏
@user-uc8ei8kn3l
@user-uc8ei8kn3l 6 месяцев назад
Baba mbaya sana wew ulitaka nani amtolee damu na kumuoa msichana wa kazi ulimuoa wa nin
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 6 месяцев назад
Mijanaume 🙌
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 6 месяцев назад
Mshukuru Mungu alikuinua kiuchumi hivyo huwezi kushindwa kumtunza mama mkubwa. Huyo mkeo mdogo ondoa hapo akakae kwake.
@prismaphilip2478
@prismaphilip2478 6 месяцев назад
🙏🙏🙏🙏🙏 Asante mama Samia mama yetu kwa kumsaidia mama Ruti kwa sasa ana Amani kubwa sana mungu akulinde Kila Kona mama yetu🙏🙏
@mzirayshangwe8224
@mzirayshangwe8224 4 месяца назад
Happy barikiwa . Piga kazi
@aminathaabubakarmasoud565
@aminathaabubakarmasoud565 6 месяцев назад
Nimefurahi kuona Mh. Raisi wetu kutuma watu wake kufatilia issue ya huyo Mama, Asante Mungu... Asante Mama Samia ❤🙏
@khaijakadija2082
@khaijakadija2082 6 месяцев назад
Alhamdulillaah
@user-sh4ig6cf6z
@user-sh4ig6cf6z 5 месяцев назад
Asante Mama.Mungu akubariki
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 6 месяцев назад
Asante sana mama Samiya mungu akutangulie inshaallah, Amin 🤲🤲
@claudineali3561
@claudineali3561 6 месяцев назад
Tanzania oyeeeeeeeee asanteni sana Raisi mama Samiya 🎉🎉🎉
@user-hs3er6ui3w
@user-hs3er6ui3w 6 месяцев назад
Ila wanawake mungu anatuona 😢
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 6 месяцев назад
Mama nakupenda sana sana nakuombea popote na chochote ufanyacho Mwenyezi Mungu aendelee kukutunza kiafya na azid kukupa nguvu ya kutuongoza miaka 5 tena mama kura yangu na za wengine hazina mjadala
Далее