Тёмный

Rais Samia Amewabananisha Mawaziri Wake Kujibu Hoja za Wananchi Tunduma 

The Chanzo
Подписаться 90 тыс.
Просмотров 1,7 тыс.
50% 1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesimama na kuzungumza na wananchi wa Mji wa Tunduma wilayani Momba wakati akitoka Sumbawanga kuelekea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Songwe uliopo mkoani Mbeya.
Katika mkutano wake wa hadhara na wananchi wa Tunduma, Rais Samia aliwasimamisha mawaziri alioambatana nao ikiwemo Waziri wa Maji, Waziri wa Ujenzi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI iliwaweze kusalimia na kujibu masuala mbalimbali yaliyoibuliwa na wananchi.

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 3   
@DicksonMtaki-dd3vu
@DicksonMtaki-dd3vu 2 месяца назад
Hongera sana Rais wangu kwa kazi nzuri unayofanya
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 2 месяца назад
Mbona Samia yy anawasukumia mawazir ili aonekane mstaarabu
@JohnMwita-u8p
@JohnMwita-u8p 2 месяца назад
Mh bashe kwema tuwaishie mbolea za kupandia msimu umeisha anza huku Tarime mkoa wa mara wakenya wanatupanshia bei kama vile hatuna serekali tuwaishie chap
Далее
🔴#LIVE: RAIS DKT. SAMIA AKIWASALIMIA WANANCHI TUNDUMA
1:47:25