Тёмный

RC ANDENGENYE MGUU KWA MGUU AKIKAGUA BEI YA CEMENT, WAFANYABIASHARA WAFUNGUKA TATIZO BEI KUONGEZEKA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 14 тыс.
50% 1

#MillardayoKigoma

Опубликовано:

 

18 ноя 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 22   
@eyumededu2948
@eyumededu2948 3 года назад
Hii ni nzuri sana sababu inarahisisha kujua changamoto za wafanyabiashara nimeipenda hii
@yasiniselemani9318
@yasiniselemani9318 3 года назад
mh nimekuela Sana umeziona kiundani Keri za wafanyabiasha na sio kuwakandamiza wafanyabiasha mungu aendelee kukupa busara hizo mkuu 🙏🙏🙏
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 3 года назад
Kulimaliza tatizo ni kufungua kiwanda tu karibu na mikoa hiyo basi,,siyo kusubiri mzigo toka dar es salaam
@yahyamajidyahyahilalal-har8762
@yahyamajidyahyahilalal-har8762 3 года назад
Ahsante Sana🤝🏻. Nimemuona Kirahumba
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 3 года назад
Iyo haisaidii mzee watu tumeshapigika mnakumbuka shuka wakati kumekucha amko sirious na hizi mambo
@smolletmwakamele4275
@smolletmwakamele4275 3 года назад
Busara mku RS
@lugaziarutta3367
@lugaziarutta3367 3 года назад
Safi sana
@daktar_kapaku_natural529
@daktar_kapaku_natural529 3 года назад
Daah muone uyo Muha nahuo msaraba hahahahaha eti mwisho wa relikwani hyo ndio sababu Muha na tukisema mwanzo wa reli
@sikuzanibusanya6423
@sikuzanibusanya6423 3 года назад
Yani jamani Cement imekuwa changamoto mnoo hadi mifko Erf 25000 mmmmmm
@saidbakari1127
@saidbakari1127 3 года назад
Wanasiasa mungu anawaona.
@naimasaid7763
@naimasaid7763 3 года назад
Safi
@mwilemwasenga7066
@mwilemwasenga7066 3 года назад
ccm oyeee
@athumanitanuke6795
@athumanitanuke6795 3 года назад
Tuliipenda wenyewe tupambane na hali yetu Ni sawa na mpishi yuko jikon , chakula kiko tayar ila hafikish mezan ukiuliza tatizo ni nn eti hata yeye mwenyew hajui Kumbe mkuu wa nyumba amefunga mlango Hiyo ndiyo Cement Nondo Mabati Mafuta ya kula Hii ndiyo nchi ya uchumi wa kati
@solemba595
@solemba595 3 года назад
Waache soko huru la cement kutoka nje kama zamani, kama wanaachiwa local supplier Lkn Bei 25000 mwananchi wa kawaida atajengaje?
@geraldgm1217
@geraldgm1217 3 года назад
Cement Kenya Tsh.12K...karibuni
@geraldgm1217
@geraldgm1217 3 года назад
@Change Mindset Tsh.12k
@leecode6135
@leecode6135 3 года назад
Yaani ukitizama hata huo uwekaji wa cement ni very local duuuh yaani kma 1970 duuuuh
@fahadfaraj1822
@fahadfaraj1822 3 года назад
Tatizo nini unadhani
@sabrimohammed2799
@sabrimohammed2799 3 года назад
Tunaisoma namba sasa na tutaisoma sana mitano hii
@abuumusabukolo814
@abuumusabukolo814 3 года назад
Na sukari na mafuta ya kula pia jamani
@baragatimaingu5623
@baragatimaingu5623 3 года назад
Kwenye sukar mngeenda namna hii wala isingekuwa 2800
@omaniworker548
@omaniworker548 3 года назад
* mhhhhh
Далее
BREAKING: BIDEN AJITOA KUGOMBEA URAIS MAREKANI
1:46