Тёмный

RIDHIWANI KIKWETE Amwambia MZEE OLE SENDEKA - "WEWE na BABA ni MARAFIKI, Kwanini Mmekuwa WAONGO? 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 501 тыс.
50% 1

RIDHIWANI KIKWETE Amwambia MZEE OLE SENDEKA - "WEWE na BABA ni MARAFIKI, Kwanini Mmekuwa WAONGO?
NAIBU waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, Ridhiwani Kikwete ameendelea na ziara yake ya kutatua migogoro ya ardhi wilayani Simanjiro mkoani Arusha.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Опубликовано:

 

17 фев 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 697   
@globaltv_online
@globaltv_online Год назад
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@leahngaiza5985
@leahngaiza5985 Год назад
⁸0
@williamruttabukobatours6570
Anazo busara mh Naibu waziri Ridhiwani1
@juliethmollel9355
@juliethmollel9355 Год назад
Olesendeka inaonekana wewe ni dikteta hata kwenye swala lile la ngorongoro hufai wewe
@hassansalim7832
@hassansalim7832 Год назад
.lo92
@hassansalim7832
@hassansalim7832 Год назад
Lmokl0
@hermanmathias1960
@hermanmathias1960 Год назад
Nimemwelewaridhiwani leo mwanzoni niliona labda kapewa upendeleo kwenye uwaziri kumbe jamaa yuko Bright piga kazi Mheshimiwa kazi nzuri unaifanya
@pierremkelemi5548
@pierremkelemi5548 Год назад
Hongera Muheshimiwa Ridhiwani unamuheshisha baba yetu Mh. Jakaya Mrisho Kikwete 💪
@Expedito2512
@Expedito2512 5 месяцев назад
Ni kweli hata mimi leo ndo nashtuka Ridhiwani ni mtu wa mtindo gani. Hongera Ridhiwan. You deserve it
@amosafrica2350
@amosafrica2350 Год назад
Riziwani ni kama mzee wake kamtuma kijana wangu kafanye kazi ufute rekodi mbaya kwenye familia yetu🙌🙌🙌
@ramadhanibundala580
@ramadhanibundala580 Год назад
Rais ajae huyo mtoto wa samia
@enedictmchau1053
@enedictmchau1053 Год назад
Mheshimiwa Ridhiwani wewe jembe Mungu aendelee kukubariki Kwa kazi nzuri.
@auntdorah9141
@auntdorah9141 Год назад
Nilimwelewaga sana mhshmw Kikwete, leo naanza kumwelewa mhshmw Ridhiwani, asante sana kwa msimamo wako👏👏 this is it!
@saidabdallah4939
@saidabdallah4939 Год назад
Ridhiwan ni mwanasheria
@jeremiahkaliwa741
@jeremiahkaliwa741 Год назад
Huyu Mzee anajifanya mjuaji sana mungu atamnyosha tu
@herrykilele4622
@herrykilele4622 Год назад
Mimi nilitamani MAMA angekuacha kwenye hiyo Nafasi ya Naibu Waziri Wa Ardhi well done Brother.
@noelnoel4916
@noelnoel4916 Год назад
Masha Allah kazi nzuri Ridhiwani umeifanya Allah akubariki zaidi na uongozi mwema wenye wisdom and good judgment
@mkambamaulid447
@mkambamaulid447 Год назад
Mh.Ridhiwani hapo kuna jambo limejificha safi Sanaa🙏🏼 Msimamie huyo Dada🤗
@waziriuledi6322
@waziriuledi6322 Год назад
Mbunge anagombania Ardhi aibu hiii
@dandassimon3116
@dandassimon3116 Год назад
Unajua kuna ujanja hpo waziri fanya kazi yko nakusikiliza kuna kiongozi mjanja sna hpo
@dandassimon3116
@dandassimon3116 Год назад
NI AIBU SANA KIONGOZI KUGOMBEA ARDHI.
@allynassoro8448
@allynassoro8448 Год назад
Ridhwa unatatua mgogoro Arusha.wakati wapiga kura.wako wa kitongoji Cha costo kijiji.cha Sadan.wananyanyaswa na campuni ya.majambazi ya sea.salt wananchi wanazuwa.huduma muhimu ,ikiwemo.mji chakula nyumba za ibada zinavunjwa watu wanabomolewa nyumba zao kinyume Cha Sheria Ridhwani umeshindwa kuwatetea Muhjndi anajitamba anasema Serikali kaitia.mfukoni,
@EstherClement-wb4jo
@EstherClement-wb4jo Месяц назад
Hongera Sana liziwan
@silviamelkizedek1516
@silviamelkizedek1516 Год назад
Hyu wazir ana hekima mno! Hongera Rais Samia
@fridaernestmkedege900
@fridaernestmkedege900 Год назад
Haya mambo yanaumiza sana...mtoto unashindwa kuacha mali ya baba yako inachezewa...na unahisi km marehemu anazalaulika...mkijitahidi mpiganie haki ya baba yenu ambaye ni marehemu mnakutana na usaliti uliovuka mipaka! Mungu walaani wote wanaodhulumu mali za marehemu!
@noelnoel4916
@noelnoel4916 Год назад
Good job Mh Ridwiwani K ukijua muongo Kati Yao, usimsikilize tena. Kazi nzuri unafanya haki itajulikana
@lucasturuka8385
@lucasturuka8385 Год назад
Hii ndio maana ya uongozi! Hongera sana Mh N. Waziri 👏👏
@mathewnyahuru9009
@mathewnyahuru9009 Год назад
Aisee leo nimejua riziwan anafaa kuwa kiongozi kwa mujibu alichokifanya mungu akusimamie amina
@valenakomba7686
@valenakomba7686 5 месяцев назад
WAZIRI UCHWARA. SIKIA HATA UONGEAJI WAKE. WALA HAJIELEWI. HATA UONGEAJI WAKE HAUNA BUSARA. UHUNI MTUPUU.
@muhsiniissa8151
@muhsiniissa8151 3 месяца назад
Mmmh,we ulitaka aongee vipi!?
@ericbalige1781
@ericbalige1781 Год назад
Kwenye hili Mh.Ridhiwan Kikwete umesema vyema sana. Migoro mingi ya ardhi ni migumu sana,ila watu wakiacha kuwa waongo na busara za wahusika wenyewe zikitumika kama ulivyosema inasadia kuondoa kesi zisizo za msingi na zinazopoteza muda na rasilimali zingine.
@muhundaramadhani5057
@muhundaramadhani5057 Год назад
Kwa namna nilivyooangalia mwanzo mwisho Huyo Mzee Ana shida na siyo Mkweli hata kumwangalia tu akiongeongea unajua hii janjajanja porojo za kisiasa . Mh Naibu wa Waziri Big up Broo uko vizuri kwenye kutenda haki. Keep it up
@albertmbise2670
@albertmbise2670 Год назад
Ni mshemzi na hao wote wanamsupport ni jamaaa zake hawataki kabisa watu wa kuja kumiliki ardhi
@br.samwelmparange4986
@br.samwelmparange4986 Год назад
Hapo sasa Ridhiwani nakuelewa. Jitahidi kuwa hivyo ulivyo.
@hazibonplatformafrica9617
@hazibonplatformafrica9617 Год назад
Sendeka ujuaji mwingi; hongera sana mhe.Ridhiwani hakika wewe ni kiongozi busara yako na hekima yako imesaidia pakubwa hakikisha haki inatendeka.
@richardchuwa4402
@richardchuwa4402 Год назад
Dada utapata haki yako
@husnamahadhi7437
@husnamahadhi7437 Год назад
@richardchuwa4402 sasa mh ameshabadirishwa wizara
@sapikiwanga6154
@sapikiwanga6154 Год назад
Mh.ridhwani msaidie Huyo dada na ndugu zake,usikubali Hilo swala walipeleke kwenye vikao vya madiwa au vikao vyao vya kimila,umasaini mwanamke Hana dhamani kabisa.Hao jamaa ni wakorofi mno mno Kisha wanafki sana sana.plse WAZIRI.
@tinamahega9848
@tinamahega9848 Год назад
Jamii za kimasai mwanamke si kitu kabisa
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Год назад
KUMBE RIDHIWANI NI ZAIDI YA KIONGOZI ALLAH AKULINDE NA MAHASIDI
@mohamedmohamedy8311
@mohamedmohamedy8311 Год назад
Ameen mashaallah
@eliaikammary7525
@eliaikammary7525 Год назад
Upo vizuri sana naibu waziri,fchapa kazi
@eliaikammary7525
@eliaikammary7525 Год назад
Hili sio la kukaa wazee tena,mbele kwa mbele
@herrykilele4622
@herrykilele4622 Год назад
Sure
@modestalois2535
@modestalois2535 3 месяца назад
Kweli kabisa
@oscarmario466
@oscarmario466 Год назад
Mh waziri Sasa hiyo ndio kazi tunayohitaji kuiona Mungu azidi kukuongeza hekima
@barakampenja-to4sm
@barakampenja-to4sm 3 месяца назад
Vizuri San
@kaundavyoseena6514
@kaundavyoseena6514 Год назад
Ridhiwani umenipa picha tofauti. Wewe ni jasiri, kiongozi imara. Sasa kama watakupa Uraia mbeleni sina kipingamizi. Mungu akulinde mno.
@saadomari7150
@saadomari7150 Год назад
Sendeka seems like he can't get enough.
@albertmbise2670
@albertmbise2670 Год назад
Uyo sendeka na wamasai wenzie hawataki watu kutoka maeneno mengine mkutoka pande za Tanzania kumiliki ardhi
@mr.t6411
@mr.t6411 Год назад
Mimi ni mkazi wa Arusha nilifanya kazi bagamoyo kwa miaka zaidi ya 8 toka 1999 hadi 2008 namjua huyu mtoto ana roho nzuri sana, na moyo wake mwema, jasiri kama baba yake. Baba yake alishindwa tu kumsemeya huyu mtoto ili asijeambiwa anamsifia mtoto wake kwa sababu zake. Lakini huyu mtoto Ridhiwani ana zaidi ya hekima. Wanyonge kaeni mkao kula kwa huyu kijana Mh. Ridhiwani.
@emmanuelndaje2571
@emmanuelndaje2571 Год назад
Umetumwa nini 🤧🤧🤧
@Mwandu-xm6kg
@Mwandu-xm6kg Год назад
Nili chojifunza tusomeshe watoto huyu binti yupo vizuri
@TINO2DADY
@TINO2DADY Год назад
It just hit me right now kwamba I've been looking at Nancy. God be with you my sister. I know your not a lier
@linnamlay3643
@linnamlay3643 Год назад
Nyie huyu kaka namuelewaga sana . Piga kazi jembe letu Mungu akulinde . Simamia haki na Mungu akubariki.
@alfredcharles8029
@alfredcharles8029 Год назад
Safi sana Ridhiwan kwa umakini wako
@user-jx8ix3yv4k
@user-jx8ix3yv4k 3 месяца назад
Tatzo hapa ni sendeka,big up sana Ridhiwani busara ya hali ya juu
@monicaashery1
@monicaashery1 Год назад
Ridhiwani mi Mwanasheria, mawasli yake yote kutoa maoni ni ya mtu aliye si tu soma sheria bali aliyefanya kazi ya sheria. Kwa hiyo wana Kijiji hawakuwa tu wanaongea na Waziri wa Ardhi bali pia Mwanasheria. Natumaini mgogoro huo wa ardhi uliisha vizuri. Baraka za Mungu kwa watoto. Nasi tuna shida hiyo na watu wa zamani wanaojua yote hawataki kuwa mashahidi.
@auntdorah9141
@auntdorah9141 Год назад
Nimekupenda sana leo😭😭huyo mzee atageuk humo kaburini😭😭 imenigusa sana, mimi pia nimepitia ktk kudhulumiwa ardhi ya familia yangu baada ya mume wangu kufariki, na documents zote tunazo...tumemwachia Mungu... Mngemalizana tuu ki rafiki jamani..hizi ardhi tunaziacha.
@elizabethisaya136
@elizabethisaya136 Год назад
Anahekima sana mungu akubariki mwanetu
@zuberimwinyi3102
@zuberimwinyi3102 Год назад
Kiongozi umeongea vizuri sana, umebalance maneno Yako mimependa mh.
@mcgomy2153
@mcgomy2153 Год назад
Hekima nyingi sana Brother Ridhiwan 🤝🇹🇿
@salumujabiri2061
@salumujabiri2061 Год назад
hongela sana kaka LIDHIWANI kwa kazi nzuli 👏👏👏
@ntegrity277
@ntegrity277 4 месяца назад
My brother Ridhiwani kumbe wewe ni Comrade you are rich but very intelligent
@christinamselle4490
@christinamselle4490 3 месяца назад
Mheshimiwa hongera sana uko vizuri. Njoo na huku Kahama tunasumbuliwa sana na watu wa ardhi, tunanyanyaswa sana. Makonda alipokuja tulisaidika kidogo ila Bado shida ni kubwa Mh. Njoo utusaidie
@oscarkasalile3966
@oscarkasalile3966 Год назад
Safi waziri
@deborahcharles79
@deborahcharles79 Год назад
Hongera wazir ridhiwani safi sana unapenda haki
@elianicholaus7199
@elianicholaus7199 Год назад
Hapo kuna kazi kubwa sana, kumnyang’anya masai eneo la malisho ni Sawa na kutaka kumtoa uhai, Mbunge anatetea eneo la wananchi wake.Busara itumike kutatua mgogoro huo Sendeka ni mtu makini Ridhiwani pia ni waziri makini Haki itolewe sawa. Japo wengi wape
@jtheophil5499
@jtheophil5499 Год назад
Unafanyia kazo site.Asante kwa kazi nziri Ridhiwan
@israelgershom4198
@israelgershom4198 Год назад
Ridhiwani kikwete umeivaaaaaaaaaaaaa
@Malemajrtv
@Malemajrtv Год назад
msiwadhurumu wanyonge haki yao mzee mtoto wa kikwete Mungu akutunze nimekuelewa Vizuri sana
@peacemwesiga
@peacemwesiga 4 месяца назад
Ridhiwani Mungu akulinde nisaidie na mimi pale vigwaza kuna mtu amekuta nimeshanunua eneo miaka 3 nyuma akaja akang'oa nguzo nakujenga banda la ngurue nikamshitaki ktk baraza kesi ilikaa miaka 2 maana mke wake.anafanya kazi ktk baraza hilo.amewahi kunitishia kwa panga hadi kutuma mtoto wake kunfanyia fuji matusi n.k.ishahidi wote upon na aligeuza kesi yangu na kunipeleka tena mahakamani naomba msaada namesake sana
@liberiaamo5953
@liberiaamo5953 Год назад
Good job, ridhiwan uko na mungu. Akulinde daima ukweli utabaki kuwa ukweli.
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 3 месяца назад
Sikuwahi kufikiri hata kidogo kuwa Ridhiwan yupo hivi. Nilidhani ni kijana fulani wa michongo michongo hivi, lakini kumbe sivyo. Kwa hili, amejitahidi sana.
@thomaskwibonelwa9240
@thomaskwibonelwa9240 Год назад
Naiona hekima kubwa kwa Ridhiwani.
@naimarishedy1523
@naimarishedy1523 5 месяцев назад
Ridhiwan upo vizuri hongera kwa hekima zako hao dharau ni kwa vile ni mtoto wa kike❤❤
@user-fi9nv2sb4o
@user-fi9nv2sb4o 3 месяца назад
Huo ndyo uhalisia
@nelsonmwaipaja3727
@nelsonmwaipaja3727 Год назад
Ridhiwani unakili kubwa xana,mwenyezi mungu akutangulie huyo mzee olesendeka hopeless kabisa amekalia kukandamiza watu tu
@goodluckmsoka3660
@goodluckmsoka3660 Год назад
Anatamaa sana
@rogersiddy
@rogersiddy Год назад
Sio bule kuna kitu hapa tena kikubwa tu ila sili nzima anaijua Mungu mwenyewe Mungu tenda haki juu ya hili🙏
@elisifajoshua6155
@elisifajoshua6155 Год назад
umeonaeeeee!
@rogersiddy
@rogersiddy Год назад
@@elisifajoshua6155 Kbs ndugu yangu hawa wana siasa sio wakuwaaamini kbs
@bayonawe-el2os
@bayonawe-el2os Год назад
Mheshimiwa Naibu Waziri Ridhiwani, you have done a great job, hongera sana sana....
@heraldloshi1864
@heraldloshi1864 Год назад
Ridhwani uko sawa kwenye usimamizi wa uma. I am more than impressed. Endelea kuusimamia ukweli.
@huldamichael4445
@huldamichael4445 Год назад
Daah Ridhiwani leo nimekuelewa mno.Mungu akuongezee hekima hizo
@kmotivation1130
@kmotivation1130 Год назад
Waziri samahani sana kwa hii kauli , wamasai ni wanafki sana sanaaa nimeishi nao, na vigeu geu sana
@sifrajenterprises5002
@sifrajenterprises5002 Год назад
Walituuzia ardhi na bado wanaleta mbuzi hadi tulivojenga niwakorofi mno
@tanzaniawildlifeandlandsca4469
Ndo muwajue sasa tunavyoshinikiza waondoke Ngorongoro hatuwaonei ni wajuaji sana halafu mmasai akisoma ndo anakuwa mjinga zaidi
@jamals.mbarak8638
@jamals.mbarak8638 Год назад
Chekecha Mh Ridhiwani. Aliesema uongo tumjue
@tinamahega9848
@tinamahega9848 Год назад
Mnoo
@tinamahega9848
@tinamahega9848 Год назад
@@tanzaniawildlifeandlandsca4469 umegusa mulemule
@pendomarco8928
@pendomarco8928 Год назад
Mungu wetu asante kwa viongozi Wa hivi lakin Haya yote alianzisha Mzee wetu najua watanzania wengi mnamfaham
@alfalupiambili1431
@alfalupiambili1431 Год назад
Nimefurahi kuona both Royal sons katika majukumu muhimu
@eaglecrown6470
@eaglecrown6470 Год назад
Leader can make change. Safi Sana naibu wazili komaaa kutumika wanainchi Issues sio majina ya ukoo issues ni unafanya nn unapokuwa madarakani. 🙏🏿🇹🇿🤔
@lilianmbilinyi5019
@lilianmbilinyi5019 Год назад
Mungu akubariki sana kwa kazi nzuri
@EserianEnglishMediumSchool
@EserianEnglishMediumSchool 5 месяцев назад
ULIPOPIGA HATUA KWENDA KWENYE MIPAKA HAPO MH ULIONESHA DHAMIRI YA DHATI KUTATUA MGOGORO, HUO UMBALI SIO MCHEZO....NA NI PORI KAMA UNA DHAMIRA YA KWELI USINGEJICHOSHA, BIG UP SANA. HAKI IDUMU
@maigajohn5828
@maigajohn5828 Год назад
Naibu waziri hekima ipo nyingi sana hongera sana pia dada ana hekima sana
@andrew29468
@andrew29468 Год назад
RIZ anaongea kama MZEE JK daa damu kali aiseeee, nice nice
@joasitz9559
@joasitz9559 Год назад
Mh Ridhiwani your very smart. I wish tungeonana utusaidie shida ya mgogoro wa shamba pia.
@christopherkachenjela-ex4jr
Nimekuelewa vizuri sana mkuu maneno ya hekima sana hayo
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 Год назад
Hongera sana Waziri nimekupenda sana
@user-yh3gk4fg1b
@user-yh3gk4fg1b 5 месяцев назад
Your smart like your dady i wish mungu akupe uwezo wanupeo wa kuona mbari km baba yako
@rahmahersi6584
@rahmahersi6584 Год назад
Msema ukweli mpenzi W Mungu..... Mwenyeezi Mungu.ndiye Mwamua haki....
@IddyDaruweshi-jv1fu
@IddyDaruweshi-jv1fu 2 месяца назад
CONGRATULATIONS NAIBU WAZIRI RAFIKI YANGU UMEKUWA VIZURI SANA NEXT TO BE WAZIRI KAMILI . FANYA KAZI USIANGALIE SULA HUYU NANI FATA HAKI SEMA UKWELI. NAKUPA MAUWA YAKO BRO
@mhojamsafiri2273
@mhojamsafiri2273 Год назад
Maneno ya hekima sana dah! Skuwahi kukusikia ukiongea kwa mda mrefu kias hiki dah! Riziwani Mungu akuongoze.
@ElishadaiSam-rq3hl
@ElishadaiSam-rq3hl 3 месяца назад
Mhe. Wape mabinti haki yao mimi naifahamu hiyo nyumba ya Mzee Yese. Uko vizuri mhe Waziri. Tuna ushahidi wa kutosha. Pia wakumbuke waliokufa wanaona.
@leonardrichard3032
@leonardrichard3032 Год назад
Mkuu ridhiwani kwa hapa nimekukubali unafanya kazi kwakujiamini hongera sana
@johnmtumishi8554
@johnmtumishi8554 Год назад
Hongera waziri
@pendomarco8928
@pendomarco8928 Год назад
Hongera viongozi wetu siyo kukaa ofisini kuzunguka na vitu na wakati wananchi wanataabika
@davidbenezer8701
@davidbenezer8701 Год назад
Ndugu comrade Ridhiwani kazi nzur ingawaje kwa sasa umebadlishwa wizara
@Ambagaye
@Ambagaye Год назад
Tanzania tuachane na siasa za kiukoo. Nyerere angeendeleza siasa hizo za kiukoo, Nchi hii ingekuwa inatawaliwa na Wazanaki tu leo hii, na wapo wazanaki wengi ssana wenye uwezo kuliko walioko madarakani leo hii; lakini hakuna mzanaki hatta mmoja aliyeko madarakani leo.
@waltersesuru43
@waltersesuru43 Год назад
Riziwanu safi sana chapa kazi
@danstanpanga8490
@danstanpanga8490 Год назад
Hongera sana Comrade Mwamba Rizzy
@jumbekipeme1441
@jumbekipeme1441 Год назад
Kweli mkuu mungu akurinde
@tinamasunga.
@tinamasunga. Год назад
Big Up Boss Ridhiwani😍😍😍😍
@oswaldmwita1520
@oswaldmwita1520 Год назад
Yese ana Nyumba sana mimi ni shahidi kabisa na anashamba kubwa kama ema elfu na nime Lima sana
@hamishassan6784
@hamishassan6784 Год назад
Mh mbona kama nimemuelewa Ridhwani. Anafaa sana Shukran kaka
@minaelnathanael1846
@minaelnathanael1846 Год назад
Hongera sana muheshimiwa Naibu waziri wa aridhi. Safi sana
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 Год назад
Jamani wamasai wenzangu. Nini umri huo kufanya hayo. Muogopeni Mungu. Dunia hii jamani mbona haya. Ss mavurugu ya hivi watu wazima maana yake nini mkae tu muelewane. Ardhi hizi!!
@mtangag774
@mtangag774 Год назад
Nimesikiliza mpaka mwisho Kwa mara ya kwanza nimemuelewa akiwa hivi safiiiiiii
@ramadhanihalifa131
@ramadhanihalifa131 Год назад
My roll model
@yahyamohd3866
@yahyamohd3866 Год назад
Mh nakukubari umejitahidi naamini haki itapatikana
@ishengomanelson
@ishengomanelson Год назад
Maturity! Nimekukubali
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 Год назад
Ubarikiwe Mheshimiwe Kikwete hapo Safi Sana
@scolabajuta6626
@scolabajuta6626 Год назад
Nimependa sana ulivyo wapa ukweli riziwani mungu akutiye nguvu wasiwarushe hao mabinti
@Wildwolf254
@Wildwolf254 Год назад
Wamasai ni wabaya sana hasa linapokuja suala la aridhi pia ni watu wa dhuluma sana na wanashirikiana sana kumdhulumu mtu ambaye siyo mmasai mwenzao
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Год назад
Huyu mzee afai
@user-wn3rm6gm4p
@user-wn3rm6gm4p 5 месяцев назад
Mweshimiwa nimekuelewa kaka yangu rizi watetee wadogo zetu wananyanyaswa ilo shamba nimali ya yesse wasione yesse kafariki ndiyo wazulumu watoto wake
@jtheophil5499
@jtheophil5499 Год назад
Ridhiwan umeivaaaa
@abdulshija3715
@abdulshija3715 3 месяца назад
Hongera ridhiwani umemuelewa vzuri ole sendeka
@mhagalaatilio4536
@mhagalaatilio4536 Год назад
Nimekukubali Sana kwa namna unavyotatua changamoto ngumu. Hongera Sana natamani tuonane Mh.
@bornmartin6747
@bornmartin6747 Год назад
I have same idea as you
@onesmokaunda8
@onesmokaunda8 Год назад
Aisee ridhiwani yupo sahihi Mimi namjua mzee yese tukiwa na kambi pale daaa watu waongo sana
@FilbertKatagira
@FilbertKatagira 4 месяца назад
Eti umemkumbuka
@mr.t6411
@mr.t6411 Год назад
Mh. Ridhiwan Kikwete Naibu waziri wa ardhi baba yako alikuwa mtu wa huruma sana kwa wanyonge naona kama kuna kitu ndani yako usikubali watu watumie nafasi zao kudhulumu watu haki zao. Baba yako tulimkubali sana sasa tunaona hali hiyo kwako. Mkuu wa mkoa huyo ni mtoto wa Arusha kabisa nakukubali mkuu wa mkoa. Nawe mtoto wa Yese komaa CCM haitaki uonevu. Mbunge aache ukabila.
@fayeezabdallah2217
@fayeezabdallah2217 Год назад
MashaAllah Allah akup busara zaid
@nancysiama8428
@nancysiama8428 Год назад
Born with it. 👏🏽👏🏽👏🏽😇
@jumbekipeme1441
@jumbekipeme1441 Год назад
Kweli naibu WAZIRI pamoja sana mdogo wetu
@enezermwafrica7443
@enezermwafrica7443 Год назад
Ridhiwani ni Waziri kweli kweli, sio M'babaishaji, big up💪
@user-br4tl7jv9j
@user-br4tl7jv9j 5 месяцев назад
Uyu baba atakufa na presha aachie eneo la watu😂😂😂😂😂
Далее
Кто быстрее? (GTARP)
19:19
Просмотров 250 тыс.
Mbarikiwa ahoji. Je kikwete atakamatwa na simu yake...
20:02